NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO DODOMA, BABA AFARIKI, MKE NA WATOTO WAJERUHIWA VIBAYA

  Рет қаралды 19,194

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 41
@ZAKRINAZMGOLOLE
@ZAKRINAZMGOLOLE 2 ай бұрын
Pole sana wafiwa na majeruhi Mungu awaponye
@IdrisaTuppa
@IdrisaTuppa 2 ай бұрын
Hujuma Iyo Kuna Watu Wamehusika Apo.Poleni Sana Familia.😊
@AllyJuma-j6n
@AllyJuma-j6n 2 ай бұрын
Poleni pia sio rahisi sana mto kusema uanzie dirishani hapo uchunguzi uwepo tu
@OtiliaPius-dr1be
@OtiliaPius-dr1be 2 ай бұрын
Hili nalo gumu polen sana wanafamily Mungu waponye majeruhi wote🙏
@nourannouuran3514
@nourannouuran3514 2 ай бұрын
ALLAH TUHIFADHI WAJA WAKO TULINDE
@asteriashios1852
@asteriashios1852 2 ай бұрын
Aisee dah poleni mno yaani Eee mungu tusaidie peke yetu hatuwenzi apumnzike Kwa amani na majeruhi Eee mungu tunaomba uwaponye roho zetu hizi duh
@jandaboytzz2755
@jandaboytzz2755 Ай бұрын
Unatoa Habari Husemi Ni Dodoma Sehemu Gan
@VeronicaPaul-l8m
@VeronicaPaul-l8m 2 ай бұрын
Apumzike kwa amani baba huyo. Na wagonjwa wapone haraka ili kuweza kusaidia jeshi la polisi. Majeraha yasiyo ya Moto yametoka wapi ijulikane ili haki itendeke
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 2 ай бұрын
Poleni wafiwa na wagonjwa wote Mungu awaponye na kuwapa faraja
@GilbertKhitambala
@GilbertKhitambala 2 ай бұрын
Poleni sana majeruhi wote, na marehemu wapumzike kwa amani
@EvaAbuu-s3g
@EvaAbuu-s3g Ай бұрын
Polenii jamani😭😭😭
@rachelmtoi7857
@rachelmtoi7857 2 ай бұрын
Poleni Sana MUNGU awaponye haraka
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 2 ай бұрын
Sijui Kwann maaskari wanakuwaga hawana nuru usoni
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 2 ай бұрын
Roho mbaya na laana na machozi ya watu,nuru wataipata wapi?!😢
@IssaNasir-v2e
@IssaNasir-v2e 2 ай бұрын
Wengi dhambi kazi ngumu hiii hatari
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 2 ай бұрын
Stress ndugu
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 2 ай бұрын
DODOMA KUNAKITUGANI MJI MKUU WA TANZANIA MATUKIO MFULILIZO😢😢😢
@mamachris6811
@mamachris6811 Ай бұрын
Nchi nzima ina matukio.mwovu yupo kazini Tumuombe Mungu sana 😢
@AmaniOmari-ev2gu
@AmaniOmari-ev2gu 2 ай бұрын
Poleni saana kwakweli wafiwa
@westmanmoses541
@westmanmoses541 2 ай бұрын
Very painful
@ChristinaMsau
@ChristinaMsau 2 ай бұрын
Polen jamani
@KidsLegacy-o3x
@KidsLegacy-o3x 2 ай бұрын
Ina uma sana. 😪😪
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 2 ай бұрын
Zima moto huwa kila wakt hawawahi kwenye matukio Sijui shid nini
@godlovemsororo1813
@godlovemsororo1813 2 ай бұрын
Ukisikiliza kwa makini waliotoa taarifa ni jeshi la polisi wahusika hawakutoa taarifa
@elizabethandrew3317
@elizabethandrew3317 2 ай бұрын
poleni sana
@mwalukomosi
@mwalukomosi 2 ай бұрын
Polen sana
@tigris_192
@tigris_192 2 ай бұрын
Too hurts
@AmaniOmari-ev2gu
@AmaniOmari-ev2gu 2 ай бұрын
Kamanda ni mzungu au mtanzania daaah
@DICKSONYOHANA-dq6vj
@DICKSONYOHANA-dq6vj 2 ай бұрын
Daaa inauma sn chinga mwenzetu
@JosephEdward-x5c
@JosephEdward-x5c 2 ай бұрын
Mbona matukio ya kuuwana sisi kwa sisi shida nini
@KuruthumKikuyu
@KuruthumKikuyu 2 ай бұрын
panua mdomo kuongea we afande unajishaua km unaongea na mpenzi wako
@AnatoriaRwabatwa
@AnatoriaRwabatwa 2 ай бұрын
Pole
@user-albertfortunatus
@user-albertfortunatus 2 ай бұрын
R.I.P
@rosemeda8048
@rosemeda8048 2 ай бұрын
Leo tarehe 28?
@happysindani6708
@happysindani6708 2 ай бұрын
Tukio limetokea jana
@HadijaMANDOA
@HadijaMANDOA 2 ай бұрын
Polani sana
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th 2 ай бұрын
dokta ni mrembo
@HeriswidaChiwalal
@HeriswidaChiwalal 2 ай бұрын
Polen Sana
@user-albertfortunatus
@user-albertfortunatus 2 ай бұрын
R.I.P
@HeriswidaChiwalal
@HeriswidaChiwalal 2 ай бұрын
Polen sana
@user-albertfortunatus
@user-albertfortunatus 2 ай бұрын
R.I.P
ROSÉ & Bruno Mars - APT. (Official Music Video)
02:54
ROSÉ
Рет қаралды 204 МЛН
ЗНАЛИ? ТОЛЬКО ОАЭ 🤫
00:13
Сам себе сушист
Рет қаралды 3,6 МЛН
MAUAJI YAKUTISHA DODOMA: WATATU WAKUTWA WAMEUAWA NDANI
5:54
Wasafi Media
Рет қаралды 54 М.
Has globalization failed us?
9:53
CNBC International
Рет қаралды 171 М.
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36
Wasafi Media
Рет қаралды 151 М.