OMBA HIVI, NA TATIZO LAKO HALITAJIRUDIA TENA // UWEPONI MWA MUNGU

  Рет қаралды 23,985

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

Күн бұрын

Lk 11:24
Pepo mchafu amtokapo mtu, hupitia mahali pasipo maji, akitafuta mahali pa kupumzika;
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
linktr.ee/siri...
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Пікірлер: 223
@ShadrackmasatuNgofira
@ShadrackmasatuNgofira 3 күн бұрын
Mtumishi MUNGU akubaliki sana kwa kuendelea kutupa hii Elimu nzuri mazabahu ya Siri za biblia.
@reaganhassan156
@reaganhassan156 4 ай бұрын
Hivi kuna mtu ameelewa kama nilivo elewa!mungu akubariki kwa somo zuri
@ShadrackmasatuNgofira
@ShadrackmasatuNgofira 3 күн бұрын
Amen
@RamadhaniLuhizo-lw5ge
@RamadhaniLuhizo-lw5ge 5 ай бұрын
Mungu niokoe na mapepo machafu
@Rifaniastagguy
@Rifaniastagguy 3 ай бұрын
Asante sana ndugu yetuu
@mgondiwapesamgondiwapesa427
@mgondiwapesamgondiwapesa427 10 ай бұрын
Hii madhabahu imeyabandilisha maisha yangu Asante Sana mtumishi Mimi naitwa Asafu Jackson nipo Dar esaam
@NaomiBahat-bz6ri
@NaomiBahat-bz6ri 3 ай бұрын
Eeee Mungu nisaidie nakata tamaa sana naamini Mungu atamsaidia na nitaamka tena
@user-er5lx9il2w
@user-er5lx9il2w 2 ай бұрын
Mungu naomba umuokoe mume wangu !!!
@georgeochieng7491
@georgeochieng7491 3 ай бұрын
Nashuku kwa mafunzo haya
@martinstanslaus5942
@martinstanslaus5942 2 ай бұрын
Amen🙏
@JohnGamma-qq2gq
@JohnGamma-qq2gq 3 ай бұрын
Namshukur sana Mungu kwa kuwa siku had siku mnazd kutuonyesha njia sahihi,,,,, naitwa john
@LilianLumeme
@LilianLumeme 5 ай бұрын
Mungu wangu nakuomba unisamehe dhambi zangu na uniponye magonjwa ananisumbua sana eeeh bwana usiniwache🙏🙏🙏🙏
@winfridaadam7951
@winfridaadam7951 4 ай бұрын
Ameeeen baba Mungu akubariki sanaaaa kwa mafundisho mzur sanaa🙏🙏
@NaomiBahat-bz6ri
@NaomiBahat-bz6ri 3 ай бұрын
Eeee Mungu naomba unisamehe na unijibu maombi yangu
@user-ju4mi1qx5b
@user-ju4mi1qx5b 3 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe nahitaji msaada wa mungu sipendi kuongea naomba yesu anikumbuke niko na kiasi cha kuongea kuongea yesu anikumbuke
@georgeochieng7491
@georgeochieng7491 3 ай бұрын
Amen 🙏🏽
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 10 ай бұрын
Ameen
@user-ij6jj6hl9r
@user-ij6jj6hl9r 10 ай бұрын
Amen , MUNGU azid kukubirik mtumish. Hakika unakoa Roho nying za watu kwakutuongoza. Kupitia maombi ya hapa madhabahun ubarikiwe sana🙏🙏🙌
@user-dy8ff4nh6y
@user-dy8ff4nh6y 8 ай бұрын
Asante kwa ushauri nimeupokea, mim sijui kuomba ninajitajidi kujibeba iatika maombi nashindwa wakati wa kusali nakosa maneno ya kuongea, hivyo ninasali kupitia kufuatilizia maneno yako, nataka nisali kwa maneno yangu mwenyewe, imani ninayo najiamini cz kuna mambo mengi ninaongozwa na malaika na naona, lkn nashindwa kusali mwenyew kumshukuru Mungu KY toka kinywani mwangu ninajikuta naongea maneno 3 basi siwezi kuendelea.
@monicamireni1205
@monicamireni1205 5 ай бұрын
Mungu Nisaisie niondokane na roho ya ufilishi
@happyngonde2923
@happyngonde2923 5 ай бұрын
Mungu anisaidie niache uongo natamani kuwa mwaminifu mbele za Mungu kwa kila kitu 🙏
@liliansamwel4109
@liliansamwel4109 9 ай бұрын
Naomba uniombe jini mahaba asinifate tena na mizimu
@MamyMoleli-hy5hu
@MamyMoleli-hy5hu 7 ай бұрын
Mungu wangu naomba unisameh kwel nimekukosea nimezin nikaenda kinyume naww nikasahau kuwa ww upo nimerud sasa mungu natubia makosa yangu nikwel kabisa nilitubu lakn nikaqnguka mungu,😭😭 nisamehe naomba niurumie ugonjwa wamoyo unanitesa lakin najua niadhabu unanipa nisamehe yesu nisamehe
@liddydeSalt4773
@liddydeSalt4773 10 ай бұрын
Amen and Amen
@chingychingy2066
@chingychingy2066 3 ай бұрын
Mtumishi unajua nakuelewa sana
@margaretneema9923
@margaretneema9923 9 ай бұрын
Amen nasikia kugiveup juu sometime nawaza mawazo siyapendi nikumbukeni kwa maombi
@Judith-mw4ys
@Judith-mw4ys 5 ай бұрын
Even me oh God have mercy on us 😭
@JaneNkata-tq5oi
@JaneNkata-tq5oi 5 ай бұрын
Aneen
@FistonWilly
@FistonWilly 9 ай бұрын
Mimi kweli ni m'moja kati ya walioibiwa nidhamu Eeeeh YEU CHRISTO WA NAZARETH ULIYE HAÏ UNISAIDIYE. AMINA
@monicamireni1205
@monicamireni1205 5 ай бұрын
Roho Mtakatifu nisaidie
@BintiMwambapa-ev6kw
@BintiMwambapa-ev6kw 10 ай бұрын
BWANA YESU azidi kukutunza Mtumishi wa MUNGU Alie hai
@marymaria6544
@marymaria6544 10 ай бұрын
Amen amen amen ❤❤❤ asante roho mtakatifu Aki mungu anatupenda wapendwa .mungu akubariki mtumishi Na roho mtakatifu azidi kukutumia kama Chombo chake amen❤
@tetulajohn5684
@tetulajohn5684 10 ай бұрын
Japo nimechelewa Lakin bado naamin maombi haya yatanigusa kwa namna moja ama nyingine Amen 🙏
@RebekaFeza-lm6xx
@RebekaFeza-lm6xx 8 ай бұрын
Asante sana mutumishi
@annefidelis6931
@annefidelis6931 10 ай бұрын
Amen Pastor naomba Mungu anisaidie mimi na uzao wa tumbo langu kuzishinda zile Dhambi zinazoturudisha nyuma hatupigi hatua kwa ajili ya hasira, kiburi, kutokujishusha, biashara , ajira, mahusiano na ndoa ee Baba nisaidie hasa tutoe hapa tulipo leo ktk jina la Yesu wa Nazareth alie Hai Amen
@franciscajuma8236
@franciscajuma8236 10 ай бұрын
Mungu wangu nisaidie nijue namna ya kukuombea kila wakati
@user-zc6ex8dj7v
@user-zc6ex8dj7v 10 ай бұрын
Nina dhambi sugu kama uchoyo wivu roho mbaya mawazo machafu uongo .Natamani kuacha naomba uniombee sana,Ñdo yangu ina migogoro sana,Niombee sana tafadhali
@RebekaFeza-lm6xx
@RebekaFeza-lm6xx 8 ай бұрын
Amen amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@user-gn3ln6ce4z
@user-gn3ln6ce4z 10 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU kwa neno hilo kwamaaana unazidi kutufungua macho
@Jackson-wv6pz
@Jackson-wv6pz 8 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@mariahabokea2085
@mariahabokea2085 10 ай бұрын
Amen! Utukufu Kwa Yesu. Barikiwa mtumishi wa Mungu 🙌🙏😇
@pacificshuli5415
@pacificshuli5415 10 ай бұрын
AMEN, pst innocent ❤
@user-bk1ni2hr8r
@user-bk1ni2hr8r 10 ай бұрын
May God continue using you more am blessed day by day in this alter
@user-yb6rw3tm1d
@user-yb6rw3tm1d 5 ай бұрын
@user-gn3ln6ce4z
@user-gn3ln6ce4z 10 ай бұрын
Maaana hata katika neno lako daudi anasema nainua macho yangu nitazame milimani msaada wangu unatoka kwa bwana,so holy spirit tutie nguvu maana msaada wetu ni wewe
@anethjohnson4147
@anethjohnson4147 10 ай бұрын
Amen Amen Amen 🙏🙏🙏
@user-er5lx9il2w
@user-er5lx9il2w 2 ай бұрын
Ameen baba MUNGU akubariki sana sana kwa kuni toa hatua hii kunipeleka kwenye viwango vikubwa sana vya kiimani
@aminajuma1156
@aminajuma1156 10 ай бұрын
Ameeen hiki kitu ni kweli kabisa,🙏🙏
@LuciaVenance-nd2kd
@LuciaVenance-nd2kd 9 ай бұрын
Mungu wa mbinguni akubariki sana mtu mtumishi wake alie kupaka mafuta kwaajili yetu 🙏
@user-kw6zy8rz5q
@user-kw6zy8rz5q 10 ай бұрын
Amen mwenye haki yangu ataishi Kwa imani ,Yesu tusaidie tuishinde dhambi
@arsenelucas
@arsenelucas 5 ай бұрын
Mungu nisaidiye kushinda dhambi zinazo nitesa kwajina la Yesu. Roho wa bwana niwezeshe amen 🙏🏽🙏🏽
@user-cy1wh6rc2y
@user-cy1wh6rc2y 5 ай бұрын
Haki mm sijui ila nimekata tamaa sana
@RamadhaniLuhizo-lw5ge
@RamadhaniLuhizo-lw5ge 5 ай бұрын
Yesu niguse katika biashara yangu na mahusiano yangu na dalia zumba
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 10 ай бұрын
Hakika hii ni kweli Mungu atusaidie😮😮barikiwa sana mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙏🙏
@raessa_i438
@raessa_i438 5 ай бұрын
Mungu baba yetu uliye Mbinguni please father ni okowe kwa rehema zako mimi fifi Mungu ni funguwe katika mitego ya ma aduwi
@emilywamalwa5938
@emilywamalwa5938 5 ай бұрын
Amen mimi nko hapa naomba unisamehe ili nisimame tena katika maombi yangu nisaidie Mungu wangu 🙏🙏🙏🙏
@user-gn3ln6ce4z
@user-gn3ln6ce4z 10 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏tusaidie eeh vwana yesu katika nyakati hizi tuxidi kutafuta uso wako
@user-gn3ln6ce4z
@user-gn3ln6ce4z 10 ай бұрын
Eeh MUNGU tusaidie na roho wako ilitusidi kumshinda shetani,tusizembee katika maombi
@johnsonmushi4537
@johnsonmushi4537 9 ай бұрын
Usiogope kutubu, wala usimuwazie MUNGU kua anakuchukia, noo MUNGU wetu ni wa huruma sana,
@user-gy5im3cu3z
@user-gy5im3cu3z 10 ай бұрын
Huyo mtu ni mimi.Natubu halafu mambo yangu yanaenda vibaya na namkasirikia Mungu na imani yangu inapungua kwa Mungu.
@velmah_96
@velmah_96 10 ай бұрын
Mimi pia lakini tuombe neema ya Mungu itusaidie
@julianapeter9893
@julianapeter9893 9 ай бұрын
mungu awasadie ira hinabidi ubadilishe mtazamo ukitubu amini kua mungu amekusameh ukiomba kitu amini kua imetendeka
@user-ye1dt2eb8u
@user-ye1dt2eb8u 9 ай бұрын
Pia Mimi nakasirika,
@PendoMarwa-bw1lv
@PendoMarwa-bw1lv 4 ай бұрын
Ee Mungu wangu nisamehe makosa yangu na uniponye magonjwa yangu
@maseaJoe8676
@maseaJoe8676 9 ай бұрын
Asante Yesu kwa neema ya kuyasikiza haya tujalie neema pia ya kuacha hizi vitu zinatusumbua. Asante mtumishi barikiwa sana.
@AgnatarAmad
@AgnatarAmad 10 ай бұрын
Amen 🙌🙏 ubarkiwe mtumishi wa mungu
@FistonWilly
@FistonWilly 9 ай бұрын
Mahubiri Na mafundisho haya ya leo yananigusa Mimi kwakweli mtumishi Wa Bwana inocent mashauri usiache kuniombea na kunitenganisha na Roho MTakatifu Aniongoze.
@Boasmwale-on6gt
@Boasmwale-on6gt 9 ай бұрын
Asante sana mtumishi wa mungu nirikuw nimehangaika sana naroho iriyoningangania kwamda murefu kwasas naona uerekeo wakushinda roho kinyanyanizi asante sana Mungu adhidi kuwatumia tunajegw sana na mafundish yenu🙏🙏🙏 nikiwa Lusaka Zambia nawapata sana🌾🌾
@AgathaMkambeo
@AgathaMkambeo 8 ай бұрын
Kweli pasta ni mm nina roho ya kukata tamaa kwa ndoa kazin
@blandinehategekimana6831
@blandinehategekimana6831 9 ай бұрын
MUNGU atusaidiye
@user-vg1lc5ie5e
@user-vg1lc5ie5e 9 ай бұрын
Amen mtumishi wa mungu Mimi naomba unikumbuke Kwa maombi mmi nimeavya mimba na tangu iyo ciku Mimi cina amani kabisa nifanye nini
@user-on2qp4bj3e
@user-on2qp4bj3e 9 ай бұрын
Mimi nimeona Mungu amenitendeya mengi rakini nisaidiye kwa maombi ni siferi kwamaombi
@tiffadauda
@tiffadauda 10 ай бұрын
Mungu nisaidie niko tayari
@mishikazungu8028
@mishikazungu8028 10 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa maombi hayaa hakika nikuweli 😢😢😢
@user-gn3ln6ce4z
@user-gn3ln6ce4z 10 ай бұрын
Amen pastor
@WahindikwembeAloyce
@WahindikwembeAloyce 10 ай бұрын
Mungu naomba nisaidie niishinde dhambi ya uzinzi na hasila, naomba moyo wa hekima na busara.
@user-ic2rl7gz5z
@user-ic2rl7gz5z 10 ай бұрын
Amen mutu mishiwaMungu naomba musahada wamaombi kwawatoto wangu wapate mandowa n’a visa y’a Canada namwengine àpate cotrat yakazi naomba musaadawa maombi baba
@MarryNnko
@MarryNnko 9 ай бұрын
Yan mtumish unasema na mm kabsa
@elishamafulu106
@elishamafulu106 5 ай бұрын
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
@JaneNkata-tq5oi
@JaneNkata-tq5oi 5 ай бұрын
Tabia ya uongo naikataa kwa jina la Yesu leo ikome huna nafasi Sherwin kwangu tena
@dorisgabriel6445
@dorisgabriel6445 5 ай бұрын
Wakat mwingine ni mazingira unayoishi na watu wanao kuzunguka unajikuta unaanguka katika dhambi Mungu nisaidie😢
@devothaisaya5833
@devothaisaya5833 9 ай бұрын
Asant Mungu shetan utaniwez kabis ktk jina la yesu
@BerthaAblaham
@BerthaAblaham 5 ай бұрын
Asante Mungu kwa wema wako Mungu naomba uikimbuke familia yangu mwana hatupendani loho ya umaskini umetanda kwetu Mungu naomba utukumbuke sisi wanao kila mwanaume ninaye pata ananiacha bila sababu Mungu wangu ifike mwisho sasas Mungu nimechoka kulia mtumishi nisaidie kuombq nipo tayari kupokea
@user-sr4rn1uj2n
@user-sr4rn1uj2n 5 ай бұрын
MUNGU ni mwema my dear hicho kitu kilikuw kiki nitesa sana mim ila namshukur MUNGU ,,Amin tu mpendwa MUNGU yupo😢
@user-bp6pl8xi8z
@user-bp6pl8xi8z 9 ай бұрын
Nifanyeje mungu anisikilize nimeomba sana nakulia hata bado ndio vitu vinaenda vibaya nimechoka nisaidie
@user-jn9cx7zh1j
@user-jn9cx7zh1j 9 ай бұрын
Oho! Asante roho mtakatifu kwa kuniongoza katika madhabahu hii.ninaendelea kukua kiroho
@mareh18
@mareh18 10 ай бұрын
Mungu atusaidie!
@lilianmoraa1938
@lilianmoraa1938 8 ай бұрын
Amen mtumishi a blessing to many
@StellaJohn-dz6gv
@StellaJohn-dz6gv 5 ай бұрын
Mungu naomba univushe bila wewe siwezi
@MarryNnko
@MarryNnko 9 ай бұрын
Baba narud kwako nirudie ee yehova 😭😭😭🙏🙏🙏
@sarahkapange252
@sarahkapange252 9 ай бұрын
Asante kwa uwamsho mimi kweli nimeibiwa zamu Mungu ainisaidiye kwakweli
@RamadhaniLuhizo-lw5ge
@RamadhaniLuhizo-lw5ge 5 ай бұрын
AMEN NAPOKEA KWA JINA LA YESU
@velmah_96
@velmah_96 10 ай бұрын
Pastor mm niko katika hali hiyo ..lakini kwa neema ya Mungu nitashinda..
@florencewambua7866
@florencewambua7866 9 ай бұрын
Huyu Ni Mimi mtumishi WA mungu kuama katika uwepo wa mungu
@maqueen-rs6in
@maqueen-rs6in 9 ай бұрын
Mungu najiunganisha na maombi haya niolewe
@Amijayaloyce
@Amijayaloyce 3 ай бұрын
Mimi kijana naitwa juma aloycee napendaa kuwa mtuu was dini haswa naitaji kuokoka
@elishamafulu106
@elishamafulu106 5 ай бұрын
Damu ya YESU
@HelenaMagiri-cm4rj
@HelenaMagiri-cm4rj 5 ай бұрын
Amen Amen
@JaneNkata-tq5oi
@JaneNkata-tq5oi 5 ай бұрын
Ameen nrumisgi naamini Mungu atanipigania
@tumainimatanda8214
@tumainimatanda8214 10 ай бұрын
EE Mungu nakuomba nifanye niwe mwaminifu
@agnesminde4081
@agnesminde4081 5 ай бұрын
AMEN AMEN AMEN
@AdelhermaMbwana-dy6dp
@AdelhermaMbwana-dy6dp 9 ай бұрын
Mungu niokoe na ndiyo.mbaya na pepo mchaju
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 5 ай бұрын
Asante mtumishi.Mungu anisaidie.Anipe ratiba ya kuonges naye.😊
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 9 ай бұрын
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏🙏🙏🙏
@EsterMwasambungu-ll9gi
@EsterMwasambungu-ll9gi 9 ай бұрын
God bless you ooh! my God help me 😢
USIFANYE HIVI KWENYE MAOMBI YAKO // EPUKA MAMBO YAFUATAYO:
9:55
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 35 М.
SAUTI YA MUNGU NDANI YA JARIBU LAKO // KUWA MSIKIVU
12:47
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 10 М.
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 16 МЛН
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 15 МЛН
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 44 МЛН
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 42 МЛН
DHAMBI INAYOKUTAFUNA HARAKA
18:57
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 6 М.
DHAMBI AMBAYO WENGI HAWA ISEMI
17:16
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 53 М.
AINA YA MAOMBI AMBAYO MUNGU ANAJIBU Mwl Mpoki Jafari
21:44
mpoki jafari
Рет қаралды 21 М.
MAOMBI YA KUVUNJA VIKWAZO NA VIZUIZI - MAOMBI YENYE NGUVU SANA' KEMEA VIZUIZI | PASTOR NDELWA
11:01
PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA
Рет қаралды 10 М.
JIFUNZE KUOMBEA NDOTO UNAZOZIOTA KILA SIKU // DAY 7
35:50
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 24 М.
NJIA KUU TATU ZA KUMSIKIA ROHO MTAKATIFU
19:24
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 229 М.
MAMBO MANNE YA KUFANYA KILA ASUBUHI UAMKAPO Sehemu ya Kwanza - Innocent Morris
42:19
UNAPOCHOKA,NANI ANAKUBEBA KATIKA MAOMBI?? // MUHIMU SANA
37:41
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 94 М.
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 16 МЛН