Ongeza Kipato Chako - Joel Nanauka (Mbeya Sehemu Ya Kwanza)

  Рет қаралды 44,473

Joel Nanauka

Joel Nanauka

5 жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 67
@antonadam4231
@antonadam4231 5 жыл бұрын
unanifanya nikuone kama #Ruge Mutahaba, nice work na Mungu akufikishe mbaaaaaaali
@joemouly7877
@joemouly7877 5 жыл бұрын
Usante saana kaka Joël nanauka. Yaani wewe ni mtu ambae kila siku nikiona videos zako najihisi niko juu kabisa. Mungu azidi kukubariki na akupe maisha marefu ili ufundishe watu zaidi na zaidi. Wapate Maarifa yakufundisha generations zitakuja. Mafu'disho yako imebadili mambo mengi katika maisha yangu. DAILY ROUTINE. Asante kaka.
@amandusabren4149
@amandusabren4149 5 жыл бұрын
I mean sio jambo baya kureffer articles nyingine, ila talk inapojaa content za watu wengine inapoteza proof ya kuwa mjuzi na mbunifu. Nilijifunza kua nikitaka kufanya kitu bora niache kujifunza, nianze kufikiri. (Elewa, simaanishi tusijifunze) ila at the moment unataka kufanya wewe kama wewe inatakiwa ufikiri kwa kina kutoka ndani mwako ili uepuke kutumia ya wengine uliyoyaingiza kwenye subconscious mind yako.
@namsifuwadeya2774
@namsifuwadeya2774 4 жыл бұрын
Your too much,nakuelewa sana,barikiwa mno nanauka
@amandusabren4149
@amandusabren4149 5 жыл бұрын
Honestly nilichokiona ni compilation ya ideas za waandishi mbalimbali, sio jambo baya ila nilitegemea kuona vitu vipya. Nikiwa kama msoma vitabu nimeona ni kama vile nimepata mtu wakunisimulia vipande vya vitabu nilivyosoma. Btw. Nimefatilia masomo yako mengi, you are doing good
@amandusabren4149
@amandusabren4149 5 жыл бұрын
I mean sio jambo baya kureffer articles nyingine, ila talk inapojaa content za watu wengine inapoteza proof ya kuwa mjuzi na mbunifu. Nilijifunza kua nikitaka kufanya kitu bora niache kujifunza, nianze kufikiri. (Elewa, simaanishi tusijifunze) ila at the moment unataka kufanya wewe kama wewe inatakiwa ufikiri kwa kina kutoka ndani mwako ili uepuke kutumia ya wengine uliyoyaingiza kwenye subconscious mind yako.
@thegirl1405
@thegirl1405 5 жыл бұрын
Ahsante sana brother ubarikiwe sana 🙏 🙏
@user-sv1jg3wj4o
@user-sv1jg3wj4o 7 ай бұрын
Nataka kitabu cha timiza malengoo
@SandrineNduwimeNduwim
@SandrineNduwimeNduwim 5 жыл бұрын
Asante sana kwa upande wangu shida matumizi mpaka nafanya shooping wakati nakosewa nazijutia.
@mwajumayunus2041
@mwajumayunus2041 5 жыл бұрын
Nimeshakuwa tajiri tayariiii wa maono baaada ya miezi mitatu insha'Allah nitaleta mrejesho
@rajabumrama3161
@rajabumrama3161 3 жыл бұрын
Balikiwa sana
@matabikasuccessline2068
@matabikasuccessline2068 5 жыл бұрын
asnte kaka nanauka kwa kutushilikisha kwa sisi tulioko mbali.kalibu sana kasuru kigoma
@zuhuraabdillah6941
@zuhuraabdillah6941 5 жыл бұрын
waoooooh amazing bro one day can you come to meet us in Arusha, you are welcome
@nelsonmpolochacha5035
@nelsonmpolochacha5035 3 жыл бұрын
To have you is a blessing
@lucksometechnology2035
@lucksometechnology2035 5 жыл бұрын
Kaka umekuja kama nabii kutukomboa kwa kweli
@merryhussen2775
@merryhussen2775 3 жыл бұрын
Asante Kaka mungu akuzidishie nguvu na maarifa zaidi
@emmanueltwaha1489
@emmanueltwaha1489 4 жыл бұрын
Asante Bro Joel Nanauye, upo vizuri, unatupa mwanga.Barikiwa
@drems39
@drems39 3 жыл бұрын
Shukrani sana
@esterkapinga1336
@esterkapinga1336 5 жыл бұрын
Joel nakuelewa sana pia nataman kuanza biashara ila nilisha feli malanyingi mpaka naogopa japo na jua nguvu niliyo nayo
@LatifaAbdala-mz3zw
@LatifaAbdala-mz3zw 10 ай бұрын
Kaka haya matangazo yutubu yanakera kweli, mtu unajifunza jambo mara tangazo linajitokeza, ndani ya dakika tano yanaweza kutokea zaidi ya mara tatu, daa inaudhi sana.
@msleny6767
@msleny6767 4 жыл бұрын
Wow.. Somo hili limekuwa key la kufungua mawazo na ubunifu uliopo ndani yetu Asante sana Mwalimu Joel kwa video hili na somo safi👏👏
@maboyiamurani331
@maboyiamurani331 2 жыл бұрын
Sauti imetoka vibaya masomo yalikuwa mazuri
@noelmwikeve6255
@noelmwikeve6255 5 жыл бұрын
Mtaalamu ubarikiwe sanaa
@Maulidfundi
@Maulidfundi 5 жыл бұрын
mzee baba,,,asante kw kunifaamisha kua mm ni muindajiii,,,japo ngumu ila naimeza,2
@marthamwaihojoofficial6434
@marthamwaihojoofficial6434 5 жыл бұрын
Amina
@fahadalismaily9370
@fahadalismaily9370 5 жыл бұрын
Ahsante sana Joel Nnauka hatukuwepo ila na sisi tumejifunza kiasi kama chao
@LuiTvshow
@LuiTvshow 5 жыл бұрын
Nafuatilia kutoka @Kenya @Mombasa afisi za Radio @SautiYaPwani
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Captain lui1 nipe namba yako nakuja mombasa mwaka huu 🔥🔥🔥
@LuiTvshow
@LuiTvshow 5 жыл бұрын
@@joelnanauka +254711526919
@LuiTvshow
@LuiTvshow 5 жыл бұрын
Nimekua nikikufuatilia kwa mda sasa toka mwaka jana na umenibadilisha kiasi fulani hususan kuifaulisha ndoto ya ukuaji wa kampuni yangu itwayo Image 36 Production nilioifungua mwaka wa 2016.
@bakarimbonjo7182
@bakarimbonjo7182 5 жыл бұрын
dodoma lini?
@herytheryt7321
@herytheryt7321 5 жыл бұрын
Safi sn kaka yaani nimejifunza kitu ,,,mungu akubariki mno
@winnyshayo8812
@winnyshayo8812 5 жыл бұрын
KAKA JOEL YOUR THE BEST,
@mussasaimon2012
@mussasaimon2012 5 жыл бұрын
Hakika wewe ni mwalimu bora
@citymaxbookshoptanzania2924
@citymaxbookshoptanzania2924 5 жыл бұрын
Ilikuwa semina yenye nguvu sana kama ulikosa pole
@enockkagomba1261
@enockkagomba1261 4 жыл бұрын
Asante sana my mentor huwa nakuelewa vizuri sana
@medameda3920
@medameda3920 4 жыл бұрын
Bro asante sana nikua sijui n nini cha kufanya kwa kile nikipendacho sasa ntarifanyia kazi m hupenda sana wototo na ndo hao marafiki zangu asante sana bro
@kassianmwenyasi3718
@kassianmwenyasi3718 5 жыл бұрын
Barikiwa sana Pastor , nimepata kitu kikubwa
@richardj.magoma7804
@richardj.magoma7804 4 жыл бұрын
Kazi nzuri sana.
@aishamaulidi4679
@aishamaulidi4679 5 жыл бұрын
Nimefarijika sana sana sana Mungu akubariki kaka joel
@faudhiatmasoud4025
@faudhiatmasoud4025 5 жыл бұрын
Jamani mimi kuna jambo linaniumiza sana..kaka Joel mbona mm huwa hata sipat taarifa kama kutakua na conference ambayo itaongozwa na ww..hata kama mkoani jaman uwezekano ukiwepo tunakujaaa..naomba utuandalie namna ambayo tunaweza kutaarifiika mapema kuhusu aya ili tuwe pamojaa..plzzzz jaman
@pascalkasandakasela4541
@pascalkasandakasela4541 5 жыл бұрын
Andika neno NDOTO YANGU kwenda WhatsApp namba 0743868507
@faudhiatmasoud4025
@faudhiatmasoud4025 5 жыл бұрын
@@pascalkasandakasela4541 Asantee sanaaaaaaaaa sanaaa
@maryammaram2612
@maryammaram2612 5 жыл бұрын
Kwaiyo ukishaandika hivyo inakuwaje yani mikutano yote itakayofanyika inakuwa unatumiwa ujumbe au
@faudhiatmasoud4025
@faudhiatmasoud4025 5 жыл бұрын
@@maryammaram2612 Utaona profile yake na about imeandikwa Timiza malengo yako..
@paulinedavid2524
@paulinedavid2524 Жыл бұрын
​@@faudhiatmasoud4025 asantee
@kagembekagembe2271
@kagembekagembe2271 5 жыл бұрын
Kaka unaakili kama za kwangu nakupenda sana aisee
@ngonyanijames2432
@ngonyanijames2432 5 жыл бұрын
hongera kaka kaz nzuri
@omaryenock8203
@omaryenock8203 5 жыл бұрын
Brother thanks!!!!!!
@enockkagomba1261
@enockkagomba1261 5 жыл бұрын
Thanks my brother
@meshackurio2745
@meshackurio2745 5 жыл бұрын
Niunganishe kwenye gurupu rako plz
@joseefaidabutu7294
@joseefaidabutu7294 5 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kaka
@hafsahcletty5968
@hafsahcletty5968 5 жыл бұрын
Shukran 🙏
@rajabojunju8183
@rajabojunju8183 5 жыл бұрын
Karibu tukuyu tunaomba usiishie mbeya tu kaka
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 5 жыл бұрын
Asante
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 5 жыл бұрын
Asante bro
@egonkasiano7822
@egonkasiano7822 5 жыл бұрын
Shukran
@esterkapinga1336
@esterkapinga1336 5 жыл бұрын
Ungeweka no zako za whatsp kaka nikutafute
@zahramunir8596
@zahramunir8596 4 жыл бұрын
Wwaaawww
@bakarimbonjo7182
@bakarimbonjo7182 5 жыл бұрын
kanda ya kati lini?
@salilamsigwa4323
@salilamsigwa4323 5 жыл бұрын
mbona ukiwa unasemina dar huwa sijui nitajuane kama unasemina dar
@pascalkasandakasela4541
@pascalkasandakasela4541 5 жыл бұрын
Like page yake fasebook yenye jina jnanauka
@salomekombo6166
@salomekombo6166 5 жыл бұрын
Tnx broo ubarikiwe sanaa nmejifunza jins ya kubajet fedha na kuweka akba na kuacha matumis yasiyokua na faida,tunasubil conference ya dar jmn broo Joel Lin nataka kujua ili plzz
@alexmhema6566
@alexmhema6566 4 жыл бұрын
Mkuu nakipataje kitabu cha timiza malengo ?npo njombe
@kubyunvakimwe1437
@kubyunvakimwe1437 4 жыл бұрын
Joel abari dungu please nataka unipe number zako kama unatumiya whatsapp nataka kuogeya nawewe thanks
@tinotairo
@tinotairo 4 жыл бұрын
naomba namba yako Bro..email yangu in tinotairo@gmail.com
Ongeza Kipato Chako - Joel Nanauka (Mbeya Sehemu Ya Pili)
35:45
Joel Nanauka
Рет қаралды 17 М.
AUDIO BOOK: ISHINDE TABIA YA KUGHAIRISHA MAMBO - JOEL NANAUKA
1:09:55
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 107 МЛН
Русалка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 6 МЛН
3 SEHEMU YA MSALABA WA YESU KUKUONDOA KATIKA UMASKINI || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE || TANGA
2:55:23
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 21 М.
3 Hours for the NEXT 30 Years of Your LIFE | Best Motivational Speeches
3:29:50
Usiruhusu mtu mwingine akuumize
4:43
Elias Mwinuka
Рет қаралды 7 М.
What is ChatGPT doing...and why does it work?
3:15:38
Wolfram
Рет қаралды 2,1 МЛН
Putting Yourself Out There | Lori Granito | TEDxLingnanUniversity
50:01
The Transformative Power of Gratitude and Non-Interference | Eckhart Tolle
3:57:48
Вселенная и Специальная теория относительности.
3:51:36
ЗЛОЙ АНАЛИТИК ВСЕЛЕННОЙ.
Рет қаралды 8 МЛН
UHURU WA KWELI WA KIFEDHA - JOEL NANAUKA
1:14:26
Joel Nanauka
Рет қаралды 43 М.