No video

Ongeza Kipato Chako - Joel Nanauka (Mbeya Sehemu Ya Pili)

  Рет қаралды 17,700

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 55
@anastasiamainaministries2700
@anastasiamainaministries2700 3 жыл бұрын
Kenya following thanks for reviving my hope
@msengisimoni2087
@msengisimoni2087 5 жыл бұрын
mwalimu nimejifuza mengi sana kutoka kwako kuanzia kumilikiwa katika kazi Leo najisimamia mwenyewe,nimefungua akaunti yapili tangu nimesikia nakuelewa hili somo nimeanza kujilipa mwenyewe kwanza ahsante mwalimu
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Msengi Simoni hongera sanaa
@chachmedia
@chachmedia 5 жыл бұрын
Nakupenda sana Mwl Nanauka....umenifanya nijitambue sana tena sio kidogo....asante na Mungu mtoaji akuongezee unapotoaa
@Udindigwa
@Udindigwa Жыл бұрын
Asante SANA Nimefatilia Sehemu 1 Sehemu Ya 2 Yani Ujumbe Mzuri SANA Ila Kulingana Na Elimu Bora Unayo Itoa Dhidi Ya Fikila Zetu Mhimu SANA Kurudia rudia hizi Video Mimi hii Nimerudia Zaidi Ya mala Mbili Hata Mimi Nimeona Faida Ya Kurudia rudia Zaidi Mungu Ni Mwema
@geophreygwarasa6789
@geophreygwarasa6789 2 жыл бұрын
Fanya uje na tunduma kaka joel nanauka
@justinemwakasanga4553
@justinemwakasanga4553 5 жыл бұрын
tunamshukul mwenyezi mungu kwa kutupatia kijana ambaye anaitoa nchi yetu ya tanzania katika stage moja kwenda stage nyingine me binafsi nakuombea tu kwa mwenyezi mungu aendelee kukujalia afya njema ili tuendelee kujifunza zaid na kuelimika zaidi we ni kama mwanga unaotunyesha njia.
@douglasradley6698
@douglasradley6698 5 жыл бұрын
asante na mimi nimepata mafundisho ya timiza malengo tour mimi niko burundi akini nimefatiliya kwenye channel yako ya youtube asante sana kaka naomba ukuje burundi nitakupokea vizuli sana utafulahii sana ubalikiwe na MUNGU BABA YETU
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Naomba Namba Yako
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
douglas radley nashukuru sana nitakuja kuwatembelea.Nipatie namba yako
@douglasradley6698
@douglasradley6698 5 жыл бұрын
@@joelnanauka namba yangu ni +257 79 959 708
@everadakayanda7885
@everadakayanda7885 5 жыл бұрын
Ubarikiwee saaaana Joel Nanauka.
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Everada Kayanda Ameen
@thegirl1405
@thegirl1405 5 жыл бұрын
Ahsante sana brother tu nakuelewa sana ubarikiwe sana 🙏 🙏
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Asante Pia Nashukuru
@sarahmngoya1845
@sarahmngoya1845 5 жыл бұрын
Nimekufahamu muda sio mrefu sana like miezi mitatu ilopita ila najifunza sana toka kwako.nipo morogoro niliona utakuja pia morogoro naomba nipate mahali mtakutana na taratibu zake zimekaaje lakini pia naomba nipate kitabu cha timiza malengo pamoja na ongeza pato lako.namba yangu ni 0754 589962.asante sana kaka kazi yako ni njema saaana.unaishi kuacha alama yako mwenyewe.keep the fire burning
@ezekiafilbert4896
@ezekiafilbert4896 5 жыл бұрын
asante sana joel umenifunza meng umekuwa mentor wang tang nlipokujua kupitia vitabu vyako mwaka jana mpka sasa hata mm mwenyewe najiona kabsa nmebadilika hakika kila siku nazid kukuona mpya god bless you🙏
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Amen
@wilsonmoses2761
@wilsonmoses2761 5 жыл бұрын
Daah!!! Nilicho jiuliza kuwa mm nikiondoka leo hapa duniani familia yangu nitaiachia kitu gan cha kuwa saidia maisha yao hasa watoto wangu na mke wangu.
@salummohdnyiga9760
@salummohdnyiga9760 5 жыл бұрын
I have three books from you and I gain lot of experiences from your copies! Keep lighting us. Hugs from Zanzibar
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Thanks For Appreciation
@esterchalle6611
@esterchalle6611 5 жыл бұрын
big up xna nanauka
@kassimmhamadi5449
@kassimmhamadi5449 5 жыл бұрын
Asante sana kwa somo zuri ila jmn kuwa makini sana na mwaka wako wa mateso kwasababu ndio Mwaka wako wa mafanikio
@godianathuman705
@godianathuman705 3 ай бұрын
Sasa kaka fanya utalatibu na sisi wavijini uwe unatutembelea kaka
@mwajumayunus2041
@mwajumayunus2041 5 жыл бұрын
Am here waiting for madini
@jcomplext.v4409
@jcomplext.v4409 5 жыл бұрын
Karibu arusha mteule wa mungu
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Asante Nitakuja
@jcomplext.v4409
@jcomplext.v4409 5 жыл бұрын
@@joelnanauka Fanya soon kaka utufungue saidi
@geophreygwarasa6789
@geophreygwarasa6789 2 жыл бұрын
Nipo tunduma_kilimanjaro napataje vitabu vyako?
@ngonyanijames2432
@ngonyanijames2432 5 жыл бұрын
karibu mtwara kaka
@Aviero_07
@Aviero_07 5 жыл бұрын
Maan nna ham n maneno yak teacher....
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
SeeYouAtTheTop
@Aviero_07
@Aviero_07 5 жыл бұрын
Nakukubaliii....
@fatmajumapili8918
@fatmajumapili8918 4 жыл бұрын
kaka unaongea mambo ya msingi sana. Nitakutafuta nikirudi Tanzania. I need a serious coaching.
@helmanmamai3709
@helmanmamai3709 5 жыл бұрын
Barikiwa.
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Amen
@babalois7240
@babalois7240 5 жыл бұрын
Cause and effects
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@bonifacelukoo9040
@bonifacelukoo9040 5 жыл бұрын
ni asilimia ngapi angalau inahitajika kuweka kwa kiasi fulani cha mapato?
@jacksonchimomo554
@jacksonchimomo554 5 жыл бұрын
mpaka Sasa nishanunua vitabu vyako viwili kiukweli vinanisaidia Sana bado nahitaji navingine
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Asante Kwa Support Yako
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
jackson chimomo hongera sanaaa naomba wasiliana na 0756-094875 utavipata vingine vitakavyokusaidia
@jacksonchimomo554
@jacksonchimomo554 5 жыл бұрын
Joel Nanauka Sawa
@mwanajumahamadkhamis3274
@mwanajumahamadkhamis3274 4 жыл бұрын
Naomba kitabu na mimi nitakipataje? Niko Zanzibar
@jescardamas5717
@jescardamas5717 5 жыл бұрын
plz bro karibu arusha pia nitapata wp hiko kitabu plZ
@jusmeensaid2199
@jusmeensaid2199 5 жыл бұрын
Karbu arush kak
@jcomplext.v4409
@jcomplext.v4409 5 жыл бұрын
kaka samahini nitapataje hyo kitabu uliotumia hapo
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Johnson Samweli karibu tuwasiliane 0756-094875
@Aviero_07
@Aviero_07 5 жыл бұрын
Mr.nanauka zanzibar utakuj lin?????
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Endelea Kunifuatilia Utaona Matangazo
@haulebh5007
@haulebh5007 5 жыл бұрын
Habari kaka joel . Nawazaje kupata kitabu hicho,je unaweza ntumia soft?pia hata hard copy ntahitaji pia
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Asante Kwa Support
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
skills view wasiliana na 0756-094875 utakipata.Karibu sana
@haulebh5007
@haulebh5007 5 жыл бұрын
@@joelnanauka asante sana kaka Joel ,samahani naomba kujua hili jina LA kitabu unacho. Kwenye hii semina ya mbeya
@jescardamas5717
@jescardamas5717 5 жыл бұрын
mi nipo arusha nitakipataje hicho kitabu chako pia nimejaribu kupiga hizo namba hazipatikani
5 Keys To Become Valuable Person | Joel Nanauka | Part 1
39:17
Joel Nanauka
Рет қаралды 31 М.
Ongeza Kipato Chako - Joel Nanauka (Mbeya Sehemu Ya Kwanza)
1:10:38
Joel Nanauka
Рет қаралды 44 М.
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 3,9 МЛН
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 51 МЛН
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 20 МЛН
Jinsi Ya Kuongeza KIPATO CHAKO SEHEMU YA KWANZA (PAR 01)
21:05
Joel Nanauka
Рет қаралды 25 М.
SABABU 5 KWANINI HAUFANYI VIZURI KWENYE JOB INTERVIEW
9:39
The HR Tanzania
Рет қаралды 898
LISSU AFUNGUKA SIMBA KUPEWA JINA LAKE  NA RAIS SAMIA
6:34
Mwananchi Digital
Рет қаралды 10 М.
EPUKA MAKOSA HAYA KWENYE SAFARI YA MAISHA YAKO  - JOEL NANAUKA
10:22
Njia Rahisi Zaidi Ya Kupanga Bajeti Yako
6:05
Joel Nanauka
Рет қаралды 260 М.
Mbinu Za Kutimiza Malengo 2018  - Joel Nanauka
32:24
Joel Nanauka
Рет қаралды 50 М.