Bwana Yesu apewe sifa nawapata nikiwa USA 🇺🇸 kiukweli Mungu nimwema nabarikiwa kupitiya mahubiri na nyimbo ❤🙏🏾
@AdamKisapi4 ай бұрын
Asante pastor kwa kujitoa kwako katika kipindi hiki wengi tunafunguliwa bwana Yesu apewe Sina Amina
@Elizabeth-u5k1k5 ай бұрын
Asante waimbaji, nimebarikiwa kutoka Bahrain 🇧🇭
@joycemugaka30395 ай бұрын
Ameen Mungu awabariki jinsi wote nami nime.barikiwa nikiwa Qatar Doha mm nawaombea Mungu awapiganie maana vita ni kali kwa kazi ya Mungu ,hatuogopi
@sarahemukule5 ай бұрын
Nabarikiwa na nyimbo na maubiri nikiwa Saudi Arabia, pastor be blessed
@upendoloondokalembekela77485 ай бұрын
Amina,nawafuatilia kutoka Denver Colorado
@shaniachanceline27515 ай бұрын
Amen unasema kweli pastor 2025-2028 ni myaka mibaya sana Mungu atusaidie ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@GodfreyjosephMayala5 ай бұрын
C Amina nimebarikiwa
@schuby27495 ай бұрын
Barikiwa sana 🙏
@neemasweetbert96235 ай бұрын
Please pastor DAVID MBAGA nashida sana naomba mawasiliano yako
@GastoMwakyange5 ай бұрын
Amen waimbaj wananibarik sana
@SigwaLusaja5 ай бұрын
Amina barikiwa mchungaji
@eliudbeyanga85755 ай бұрын
Asante pastor
@olphanyamweya31545 ай бұрын
Live from Saudi Arabia 🙏🙏🙏 waimbaji ,masaa ndio yananijanganya hapa ni Sunday asubui saa 00:58
@JoyceGeorge-r5h5 ай бұрын
Mbarikiwe kwa Wimborne wenye ujumbe mzuri
@DotoS125 ай бұрын
Nabarikiwa nikiwa hapa OMAN Mungu awabariki pia
@UpendoMasasi-uc9gk5 ай бұрын
Amina🙏
@EnockMASABO5 ай бұрын
Nimebarikiwa niko huku Burundi❤
@TopInTownOutfits5 ай бұрын
❤❤ i’m so glad to hear that
@phelixokwany54625 ай бұрын
Mibaraka hizi zatufikia tukiwa Somalia, ubarikiwe zaidi
@rosemutinda30765 ай бұрын
44:38 Hawa washiriki wanajua Cha kucheka na Cha huzuni kweli? 😢😢yaani mchungaji anaongelea ushoga wao ni kucheka as if it's a laughing matter😢
@jacobbukwimba985 ай бұрын
Kila mtu na fikra zake na jambo linaukubwa gani maeneo yao!!kwahiyo tusiwa judge sana
@golasrichard44005 ай бұрын
Mungu ni mwema
@nazammasa1835 ай бұрын
Nabarikiwa sana pr Mungu akubariki najaribu kutuma ujumbe WhatsApp ila haujasomwa kunajambo linanisumbua pr unisaidie
@elizabethgodfreytondo30525 ай бұрын
Amen!
@LukaKidumba5 ай бұрын
bariki wa kutembelea vijiji
@EsperanceKahindo-kc4gq5 ай бұрын
Hakika mchungaji, wewe ni hero wangu wakiroho, kwasababu, Mungu huwa ananionya, kupitiya wewe. Isingekuwa wewe, kama nisha kunywa sumu, mwaka uliyo pita, wa 2023.
@simonkambale5055 ай бұрын
Usikate Tama mungu anakunjali.
@carolinetalam58325 ай бұрын
Amen 🙏🙌
@Trizah-254-e5 ай бұрын
AMEN
@edwinmkera94165 ай бұрын
Amina.
@callennyanchama40145 ай бұрын
Amen and amen
@SylvesterLuhamba-gi3bc5 ай бұрын
Barikiwa ,pr mimi niko Mwanza nawezaje kupata kitabu cha maombi yaliyojibiwa?
@HenryDugu5 ай бұрын
Amina
@davidcleopa5 ай бұрын
Amen
@foncetec5 ай бұрын
Nimebarikiwa sana, mimi ninaombi muwe mnatuwekea namba ya sadaka
@Joharissa-f6p5 ай бұрын
Amina nabarikiwa nikiwa Ilaq pastor Mbaga ukiona hii coment yangu naomba uniombee nataka nirudi Tz ila kunavipingamizi naomba uniombee pastor .
@MahubiriPrMmbaga5 ай бұрын
Mungu akufanyie wepesi
@nundabe5 ай бұрын
Natamani kurudi Africa nikaishi vijijini… yani laha mustalehe……