Shekhe othmani napenda sana mawaidha yako sichoki kukusikiliza leo nimemsalia mtume mara alfu kumi na zaidi mashallah tabarak rahman. Mmungu akupe umri uzidi kutuelimisha. Njoo na canada pia tutafurahi sana. Shukran.
@mummeira3887 Жыл бұрын
Na Mimi sheikh nakushukuru sana kwa kutupatia umuhimu wa swala ya mtume..alafu pia Mimi naeneza kuwahamasisha watu kuhusu kumswalia mtume.الهم صلي على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم
@ibrahimkarwani5478 Жыл бұрын
MM NILIKUWA SISWALI SWALA 5. LKN KUPITIA MAWAIDHA YA SHEKH OTHMAN M. NASIMAMISHA SWALA. ALLAH AMLIPE MEMA NA AMJALIE PEPO JAMANI
@firstlady9848 Жыл бұрын
Ameen ❤️
@salmamakalanga4572 Жыл бұрын
Amiin
@omytifa6403 Жыл бұрын
ameen
@IMRANSTORIES136 Жыл бұрын
Aamiin
@muddymuzungu4357 Жыл бұрын
Maa Shaa Allah brother
@user1873anon5 Жыл бұрын
Assalam aleikum wahrahmatullah wabarakatuh. Sheeran sheikh kwa mafunzo. Yaani ni tiki tu na sisemi zaidi. JazakAllah Khayrun!!!!!
@zaitunibendera7988 Жыл бұрын
Masha ALLAH jazauka llahi khàiry baada ya khery Janata naiiim 🙏❤️ sheikh mm nilitoka mapepo matatu shukrani
@zahraabdul9652 Жыл бұрын
Asante sana kwa mafunzo mazuri walahi sheikh watupenda watutakia mazuri duniani hadi Ahera jazakallakher akupe pepo Allah inshallah 🥰 Mungu akujalie mwisho wa shahada pia ❤❤❤❤
Allah atujalie niwenye kudumu kwa swala hio ya Mtume maisha yetu yote.
@mwanabayadola5476 Жыл бұрын
Ameen
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Amiin
@malak-lz6kx Жыл бұрын
Amiin
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
@@malak-lz6kx matekeo umeyaona?
@malak-lz6kx Жыл бұрын
@@Catherine-mh8sw nimeyaoan ndugiangu kwanza nahis roho yng ina furaha kila wakati maan ulinijia wasiwas huo mpk nikapewa dawa za stress kwanza hata usiku silali na nnamtot mchanga nilikua namswalia mtume kila wakati alafu nasema lailaha ila anta subhanaka innikuntum minadhwalimin bs alhmdullah
@RASHIDISEMNDELE2 ай бұрын
Masha Allah Sheikhe Othman nakufutilia sana Maalimu wangu
@mrsahmadhajraah1550 Жыл бұрын
ALLAH AKULIPE PEPO OSTADH UNA MOYO W PEKEE
@MacklinemoraaoinoMackline Жыл бұрын
Salam alaikum alhamdulilah ĥii dua sheke ya Muhammed tunamsalia nigani ndugu kwa rehema zake Allah nifafanulie
@muhsinally6813 Жыл бұрын
M sio sheikh othamn ila nitajibu kwa mujibu nilivyo muelewa ndugu yangu, sheikh anasema mswalie mtume Muhammad swalla llahu aleihi wasallama mara 1440 au 1575 kila siku au mara nyingi uwezavyo
@mrsahmadhajraah1550 Жыл бұрын
Swadacta
@ashurakabura7268 Жыл бұрын
Assalam a'alaykum alhamdulillah kwa kutupa i'ilmu ya bure Allah akujaze kheri hapa duniani na kesho akhera mana tangu nilianza adhkar wallah mambo yangu mengi yamekuwa mepesi kila sehemu alhamdulillah shukran saana
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
1440 kuswali mtume inachukuwa masaa mingapi? Je unaweza kumswalia mtu huku unatembea au mpaka ukiwa nyumbani?
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Mda gani Sasa umefanya
@nassoriddi1307 Жыл бұрын
@@Catherine-mh8sw Unaweza mswalia ukiwa nyumban hata kazini. Mara 1440 kwa kukisia dakika 35 na huenda usifike. Elf 2 na Dakika 50.
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
@@nassoriddi1307 Asante kaka angu
@nassoriddi1307 Жыл бұрын
karibu sana
@ShekueMaliki10 ай бұрын
Mashallah, Allah Bariki.
@fatmambaza6248 Жыл бұрын
Kuxema kweli mawaidha ya ustadh othumani waah yamexababixha Imani yangu kupanda zaidi woow mashaallah,,,uxichoke kutoa mawadha jamani na pia twakuombea dua
@letuslearn7548 Жыл бұрын
Allahumma swalli wasallim alaa Sayyidnaa Muhammad wa aliihi wa aswhaabihi wasallim × 1440
@AbdulKipanga Жыл бұрын
Jazzakallah khaira fii deen waduniyaa wal akhera Shukran sheikh
@halimakenya3632 Жыл бұрын
Nakupenda Sana sheikh kwa mawaidha na kutuelimisha mungu akujalie pepo inshaallah
@mrsahmadhajraah1550 Жыл бұрын
Ostadh umebarikiw una ELIMU KUBWA SANA ALLAH AKUANDALIE JANNAT FIRDAUS
@yusramwadini5 ай бұрын
Allah atakupa khery mpk ushangae shekh 🤲🤲 sisemi sn ila ❤❤❤
@jamilashabani8580 Жыл бұрын
Shukran Maalim Shukran Wajazaukum llah khayra
@jamilashabani8580 Жыл бұрын
Sheikh Othaman Michael Ahsante Maalim Maalimu Kwani mtu akiwa na umri gani Ndio Akisoma swalat ghala nabii anapokelewa hio Dua. Maaalim mm nasomaga mara elfu 10 , Lakini Bado sijapta Majibu kwani hadi Ufikishe Miaka 40 Ndio zikubaliwe Au
@KhizryKwekajr-jw4ze Жыл бұрын
ALLAH AKUJALIE PEPE YA FIRDAWSI SHEE OTHMAN MICHAEL
@saeedsaeed73814 ай бұрын
Masha Allah 🙏🙏🙏
@BakariMussa-to2me5 ай бұрын
Allah akulipe namimi naanza kudumu nayo kuanzia leo allah anifanyie wepesi inshaallah
@mashakhamiskh88808 ай бұрын
Mashà ALLAH, na sisi Allah atujaalie tuzisome in shaa ALLAH
@ShekueMaliki10 ай бұрын
Allah akulipe malipo yaliyo mema Sheikh wetu.
@MozaMkongwe-h3rАй бұрын
Mashallah Allah akutangulie
@AlyaIslam-j9h Жыл бұрын
Assalamu aleykum. Alhmdulh shekh Allah akujazi kher
Walahi napenda mawaidha yako mpaka naumwa nikiweka tu mb naweza mawaidha yako niombe dua shekh
@abdulhamidjabu6530 Жыл бұрын
Amini
@halimamfaume1925 Жыл бұрын
Yaa salam SubhanAllah ❤❤❤❤❤
@jokhaali5893 Жыл бұрын
اللهم صل على سيدنا محمد وآله وصحبه وسلم
@TwaybaAbubakar5 ай бұрын
Mashaallah nakufatilia sana
@mohazboy Жыл бұрын
Masha Allah❤❤❤
@Salimamiry-p3t3 ай бұрын
Allah akulipe shehe
@ayoubrashid8392 Жыл бұрын
اللهم صلى على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم
@HabibaHaret-e9b4 ай бұрын
Mashaallah mashaallah
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Shukran shekh
@KhalfaniOmar Жыл бұрын
Shekhe endelea kutupa tasbih mungu atakupa ujira wako
@kibibijaphary6918 Жыл бұрын
Ameena In shaa Allah
@FatumaAbdalla-m7t5 ай бұрын
Mashallah tabarakallah
@umazimwambezi8092 Жыл бұрын
Mashallah alahuma amiin
@kibibimwasera8188 Жыл бұрын
Mm nashukuru Allahmdulillah
@Hhalimakhamis-lv1zn Жыл бұрын
A,alaykum shehe wetu,tunakutakia kila la kheir shehe wetu
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Inachukuwa masaa mingapi kumswalia mtume mara 1575? Asante
@ShekhSaid-i3t Жыл бұрын
Shukran
@ibrahimmwadini779 ай бұрын
😍😍❤
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Mtume Muhammad s.a.w kamuona Mwenyezi Mungu kumbe?
@ramadhanihatibu1714 Жыл бұрын
Ndugu Zang kama una jambo lako gumu unadhik ya maisha mswalie tu mtume uwezavyo na sir iliokubwa zaid amka usiku ndio Bora zaid mim na wambien mungu hua haongop wallah yoyote anaetaka chochote kwenye hii Dunia na ahera afanye hvo mim ndio Kaz yang nyingine ni asbab tu lakn Kaz yang kubwa na mswalia mtume tu
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Inachukuwa masaa masaa mingapi kumswalia mtume mara 1575?
@JamilJamil-t2u Жыл бұрын
@@Catherine-mh8swnusu saa au dakika 40 naaa Kwa Ile swala fupi Allahumaswali Alaa said na Mohamed Waalih waasuhabih wasalam....
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
@@JamilJamil-t2u anha sawa asante
@IssaMbaru-qw6ug Жыл бұрын
Kaka nisahidie kituu unifafa nulie mimi nilisoma ivii llahillah illah a anta subhanak hinikuntu millahadhallimina mara 110
@IssaMbaru-qw6ug Жыл бұрын
Nikamsalia mtume allahuma swalli allaha muhamadi wsllahali muhamadi kama swallata allah iberahima wallah alli aberahima wabarika allah muhamadi wallahali muhamari kamabarakta allah iberahima wallahali iberahima filalamin inaka amidu majidu mara 1440
@mwanaishakama3381 Жыл бұрын
Assallam alaykum Warhamma tullah wabarakhatuh. Shekh niliuliza maswali zaidi ya mawili hukujibu naomba ili nijibu plz 🙏(unaeza mswalia Mtume bila kukaa yaani ukiwa unafanya kazi zako)
@MmMm-hx6ln Жыл бұрын
Ndio unaweza kusoma huku unafanya kazi zako alielezea hivyo,unatakiwa Kila wakati mdomo wako uzoee kumtaja Mtume sw,huku unatia Nia shida yako .unaendelea kumtaja
@othmanmichaelonline2866 Жыл бұрын
Naam unaweza
@rhmahhabibu7594 Жыл бұрын
اللهم صل وسلم على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم
@mbagaherbal4796 Жыл бұрын
@@othmanmichaelonline2866Asalam alaykum warahmatullah wabarkatuh Sheikh Wang, Kaka yangu. Am very sorry naomba namba zako Ndugu yangu niwenazo ninamambe mengi ya kushare nawewe Akipenda ALLAH.
@ladymoretaboraprincess6190 Жыл бұрын
Alhamdulilah
@ibrahimmwadini7710 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@khadijaalihamad7086 Жыл бұрын
Aslam alykum nilikuwa nauliza hizi salaatu Allah nnabiii ukiwa hupo tohara yani upo kwenye hedhi je unawez Kukaa kikao cha kumsalia mtume au istikh far
@wahidaally8683 Жыл бұрын
Unaruhusiwa
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Swali langu lilikuwa hilo hilo
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
@@wahidaally8683unaweza kuswali mtume huku unatembea au mpaka uwe nyumbani?
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
@@wahidaally8683 kumswalia mtume mara 1575 inachukuwa masaa mingapi?
@ድልበዘይቱብ Жыл бұрын
Ustadh ni vp hio kuswali mtume
@jamilafuad-5702 Жыл бұрын
Waislamu wenzangu kuna siri kubwa katk swala ya mtume s.a.w tujitahdid ukifanya kwa dhati ya kumuamin Allah na subir ataona wepes kila njia ktk maisha.
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Wewe umeona matokeo?. Pia inachukuwa masaa mangapi kusoma 1440?. Pia unatakiwa kusoma kila siku au?. Je unaweza kuswali mtume huku ukiwa unatembea au lazima ukae chini?
@malak-lz6kx Жыл бұрын
@@Catherine-mh8swtena matokeo ya haraka sna unaweza kuswali asubuh unamaliza mara moja hzo sio nyingi
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
@@malak-lz6kx mie inanichukua masaa mbona. Masaa 4 Ile nyingine masaa 3
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
@@malak-lz6kx swala ya mtume unayosoma ni Ile alwahu maswali alaa saidina Muhammadin wa alihi wa swahabihii wasalim au Ile ya kwenye shahada wakati wa kuswali?. Au unasoma ipi ambayo ni fupi?
@malak-lz6kx Жыл бұрын
@@Catherine-mh8sw swalawahu alaamuhammad swallawahu alaihi wasalam bs kila wakati na na lailaha ila anta subhanaka innikuntum minadhwalimin
@mariamkai2705 Жыл бұрын
Mashallah
@NadiaHabonimana3 ай бұрын
Sheih na Burundi tunakuitaji mawaidha yako mazurisanaaaa
@alikhamisali4551 Жыл бұрын
A.alaykum.sheikh Mimi nimeshafanya hivyo na ndani ya mwezi mmoja nikapata pesa nikanunua kiwanja nikajenga ,lkn Bado sijamaliza lkn nilibadilika kiasi fulani
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Hivi mtume Muhammad s.a.w amewahi kumuona Mwenyezi Mungu?
@bisadaally9298 Жыл бұрын
Iskilize hiyo darsa yake vizuri utaelewa❤
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
@@bisadaally9298 nilivyoelewa kasema kamuona. Ila watu wanasema Mungu hajawahi kuonekana na mtu yoyote
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Kuswali mtume hizo mara 1440 unatakiwa kufanya kila siku au
@bisadaally9298 Жыл бұрын
Ndy
@radhiambwana3353 Жыл бұрын
Mie usiku mzito nimemswalia mtume usiku×100 nimeona habar yake mwilini.
@alikhamisali4551 Жыл бұрын
Lkn Bado naendelea nayo sala ya mtume .lkn naomba muongozo wako zaidi utaratibu ukoje
@MmMm-hx6ln Жыл бұрын
Utaratibu Kila siku unatakiwa umsalie Mtume mara 1575 Kwa kikao kimoja bila ya usumbufu ukae sehem ambayo imetulia udhihirishe moyo wako juu ya maombi yako tuu. Na usikatishe ukaona wiki hujafanikiwa ukaacha,laaa, uendeleze mpk Mung anakufungua na mafanikio yatakuja biidhinillah na mwenyewe utayaona.
@soudkhamis7006 Жыл бұрын
Mungu atusaidie kututimizia mambo yetu kupitia sababu hizi za kumswalia kipemzi chake
@sofiaomar8939 Жыл бұрын
Sema, allahuma swali ala sayyidna mohammad wa alihi wasahbihi wasalim, mara 1440 au 1575 kwa kikao kimoja
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
@@sofiaomar8939asante.
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
@@sofiaomar8939 inachukuwa masaa mingapi kumswalia mtume mara 1575?
@khaijakadija2082 Жыл бұрын
Kinaitwaje hicho kitabu??
@ayoubrashid8392 Жыл бұрын
Wewe unaechkua camera....mtulizie camera shekhe...unaizungusha sana
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Kumswalia mtume hiyo mara 1440 inatakiwa iwe kila siku ?
@shamsiarashid4015 Жыл бұрын
Kila siku
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
@@shamsiarashid4015 Asante Sana
@alhajisengasu5956 Жыл бұрын
Ndiyo
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
@@alhajisengasu5956 Asante
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
@@shamsiarashid4015 inachukuwa masaa mingapi, kumswalia mtume mara 1575?
@gamingwithmwah9326 Жыл бұрын
Asalam aleykum everybody,maalim unasoma kikao moja swala ya Mtume ama unaeza swalia Mtume nusunusu siku ikiisha umepata 100 0 ama zaidi.naomba kuskia jibu maali.
@khaijakadija2082 Жыл бұрын
Dada hiru khairati
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
ACHENI KUWADANGANYA WAISLAM WASIO IJUWA DINI YAO!! MASWAHABA WALIJUWA ZAIDI KUMSWALIA MTUME KULIKO NYIE!LAKINI WENGI WAO WALIKUWA HAWANA KITU!! UTAJIRI HATA MAKFIRI WAMEPEWA,HATA KUMTAJA MTUME HAWAWEZI!!
TUMIA AKILI USIKURUPUKE ,KUNA MITIHANI AMBYO ALLAH ANAITOA KUPIMA IMANI ZA WAJA WAKE YAN MTU ANAFNYA IBADA KWELI KWELI LAKINI NI FAKIRI SANA YANA MASIKINI HANA KITU SASA KUWSBB WANAAMIN MUNGU HUTOA MITIHANI WALIFAULU ,NA HAO MAKAFIRI UNAOSEMA HAWASWALI NA NI MATAJIRI HAO WANA MTIHAN KAMA.ULIKUW HUJUI KWNZ WE INAMI YAKO NDOGO NDOMANA UNAANDIKA MANENO YASIYOKUWA NA MASHIKO WE ONDOKA KAMA HUTAK KUMSIKILZ ACHA SISI TUFUNDISWE TUFATE FAITA WE KATAFUTE HELA SISI TUNAMTAFUTA ALLAH NA MTUME WETU
@mrsahmadhajraah1550 Жыл бұрын
TUMIA AKILI USIKURUPUKE ,KUNA MITIHANI AMBYO ALLAH ANAITOA KUPIMA IMANI ZA WAJA WAKE YAN MTU ANAFNYA IBADA KWELI KWELI LAKINI NI FAKIRI SANA YANA MASIKINI HANA KITU SASA KUWSBB WANAAMIN MUNGU HUTOA MITIHANI WALIFAULU ,NA HAO MAKAFIRI UNAOSEMA HAWASWALI NA NI MATAJIRI HAO WANA MTIHAN KAMA.ULIKUW HUJUI KWNZ WE INAMI YAKO NDOGO NDOMANA UNAANDIKA MANENO YASIYOKUWA NA MASHIKO WE ONDOKA KAMA HUTAK KUMSIKILZ ACHA SISI TUFUNDISWE TUFATE FAITA WE KATAFUTE HELA SISI TUNAMTAFUTA ALLAH NA MTUME WETU
@ddfatma42817 ай бұрын
Kweli mtu kama haijakugusa acha lakini usiongee ili utkatshe tamaaa hapa nikazi tuuu tuache nafsi zetu zimeshiba tutamswaliya hata .njiani tukitembea