MABALOZI TANZANIA WAKERWA!

  Рет қаралды 4,027

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Күн бұрын

Mabalozi kutoka Umoja wa Ulaya nchini Tanzania wamelaani mauaji ya kikatili ya Kada wa Chadema siku ya Ijumaa. Katika taarifa ya pamoja, mabalozi hao wamesema wana wasiwasi mkubwa na kuongezeka kwa matukio ya utekaji nyara, kupotea na vifo vya viongozi wa kisiasa nchini Tanzania.
Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE KZbin Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Пікірлер: 3
@Mrmohadi.OFFICIAL
@Mrmohadi.OFFICIAL 6 күн бұрын
Dah inauma sana itabidi tupate nafasi nchi nzima wakristo na waislam tushinde kwenye nyumba za ibada tulaaani ndani ya wik moja mbona tungewajua
@chalokalunde9429
@chalokalunde9429 6 күн бұрын
Damu ya mtu ikimwagika huwa ina balaaa sana kwa walioimwagà. Inaweza kuwa mara hiyo hiyo au baadae.
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 6 күн бұрын
HATUA SASA
Teaching a Toddler Household Habits: Diaper Disposal & Potty Training #shorts
00:16
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 49 МЛН
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 14 МЛН
ZITTO: CCM WANAJIFUNZA 'KUNG-FU' WANATAKA WAMPIGE NANI?
5:31
ACT MEDIA
Рет қаралды 25 М.
Riggy G Ananyolewa Bila Maji!! - Eugene Wamalwa
43:17
Radio Maisha
Рет қаралды 3,3 М.
Teaching a Toddler Household Habits: Diaper Disposal & Potty Training #shorts
00:16