PAPA ALIVYOINGIA TANZANIA ALISALI KIISLAMU

  Рет қаралды 446

SHEIKH MWAIPOPO TV

SHEIKH MWAIPOPO TV

Күн бұрын

#muhubirimwaipopo #sheikhmwaipopo #sheikhmwaipopotv

Пікірлер: 8
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 25 күн бұрын
Maashaallaah ukweli nampenda ustaadh Mwaipopo kwanza ana msimamo hayupo na washirikina wala wapiga ramli wala wafuga majini waganga na hii ni tunu Allah humpa amtakaue kuna wanaongea kiarabu na wamehifadhi aya nyingi lakin tawhiid au akida yao sifuri kabisa wanapiga ramli ajini ndio marafiki zao pete hawa wahuni wanajiita maustaahi kumbe wavhawi tu ila huyu alhamdulillaah na sio ujanja wake, wapo wengi wajanja wajanja washirikina na chanel wapo wanazo you tube
@paulmushi2428
@paulmushi2428 25 күн бұрын
Maamuma Mwaipopo, neno dini maana yake ni NJIA na njia YA kweli ni YESU KRISTO ambaye anasema YOHANA 14: 6 Mimi ndiye NJIA, KWELI NA UZIMA MTU HAJI KWA BABA ILA KWA NJIA YA MIMI na YESU KRISTO ni WA nyakati zote!! EBRANIA 13: 8 Yesu Kristo ni yeye yule, Jana na leo na hata milele!!
@paulmushi2428
@paulmushi2428 25 күн бұрын
Maamuma Mwaipopo, Eti hamtumii toilet paper 😂😂😂 mbona mnatawadha Kwa mchanga mkikosa maji?😂😂😂😂😂😂
@paulmushi2428
@paulmushi2428 25 күн бұрын
Maamuma Mwaipopo, hoja zako za leo ni hoja mfu, Ibada za kuimba Kwa kumsifu Mungu zilikuwepo hata kabla ya YESU KRISTO kuja Duniani Soma Biblia ZABURI 150: 1 - 6; 2NYAKATI 29: 28 - 30 Pia hata YESU KRISTO aliimba MATHAYO 26: 30 Soma hiyo mistari 😅😅 Pia Waislamu ibada zenu za kusujudu hazimwelekei MUNGU MUUMBA MBINGU NA ARDHI Bali zinaelekea kwenye Al hajar Al aswad Jiwe jeusi lililoko Makka kwenye Kaaba mmedanganywa!! Na mqureish Mwarabu wa Makka 😢
@paulmushi2428
@paulmushi2428 25 күн бұрын
Maamuma Mwaipopo, hata sisi WAKRISTO tunaweza kufanya ibada Kwa KUSIMAMA MBELE ZA MUNGU soma 1FALME 8: 22; 2NYAKATI 7: 6 UNAWEZAKUFANYA IBADA KWA KUKETI MBELE ZA MUNGU 2SAMWELI 7: 18 UNAWEZA KUFANYA IBADA KWA KUPIGA MAGOTI 2NYAKATI 6: 13; DANIEL 6: 10; LUKA 22: 41 PIA UNAWEZA KIFANYA IBADA KWA KUSUJUDU ZABURI 95: 1-6 PIA UNAWEZA KIFANYA IBADA KWA KULALA KIFULI FULI MATHAYO 17: 6 na 26: 39 Hivyo vyote ni vitendo vya kiibada vinakubalika mbele za Mwenyezi Mungu
@paulmushi2428
@paulmushi2428 25 күн бұрын
Muhammad wako anatutaka tuishike Injili na Torati Qur'an Surat Maidah 5: 66 Kwa hiyo sisi WAKRISTO tunaishika Injili Muhammad wako anasema Qur'an 2: 62 Hakika Walioamini, na Mayahudi na Masabii na Wakristo, waliomwamini Mwenyezi Mungu, na siku ya Mwisho na wakatenda mema, basi hawatakuwa na khofu Wala hawatahuzunika:: Sisi WAKRISTO tanamwamini Mwenyezi Mungu, na siku ya Mwisho na tunatenda matendo mema 😂😂😂😂😂
@Anonymous-w9v-i1p
@Anonymous-w9v-i1p 25 күн бұрын
Sheikh samahani siajelewa kidogo. Umeongelea kuhusu mitume wote kutotumia toilet paper katika kujisafisha ispokua MAJI ila naona maelezo yako ni tofauti kidogo na Sunan an-nasai book 1, hadith 44. Naomba nieleweshe.
@paulmushi2428
@paulmushi2428 25 күн бұрын
Mwaipopo hana ilimu ya kutosha ya Dini ya Waarabu Maqureishi wa Makka!!
SHEIKH PONDA ASHAMBULIWA NA MUISLAMU
42:11
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 986
MWARABU AIBEBA KANDA YA ZIWA
48:31
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 753
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 190 МЛН
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 44 МЛН
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 8 МЛН
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 37 МЛН
Kisa Kizito cha Mzee aliyemnyooshea Bakora Mwalimu Nyerere
17:48
NABII JHODEVI AIKANA BIBLIA NDANI YA KANISA LAKE
34:38
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 6 М.
TANZANIA YAINGIA BALAA SHEIKH KUBATIZWA NA KUMTUKANA MTUME MUHAMMAD
43:48
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 19 М.
MIUJIZA YA WADUDU HAWA  // SHEIKH IZUDINI ALAWY
35:36
arkas online tv
Рет қаралды 28 М.
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 190 МЛН