*1.Investing in myself* *2.Investing in relation with God* *3.Investing in relation with people* and not only having their phone contacts. *4.Investing in Finances freedom* Asante sana mwalim
@EnjoyLocation11 ай бұрын
Nashukuru sana kaka Joel kwa elimu hii unayotoa mimi Fadhili mkoa nipo Lindi, Nakumbuka safari yangu yakuanza kukujua wewe ilianzia miaka mi Nne nyuma Nakumbuka nilianza kukujua wewe kupitia Gazeti moja hivi ambalo alilokanunua jelani yangu kwa ajili ya kusoma habar zake me nilivyokachukua lile gazeti nikakuta umeshusha uzi mmoja Topic ilikua TO DO CRITICAL DECISION IN LIFE Nakumbuka kile kipande cha Gazeti nilikibeba nikaanza kukizungusha kwa marafiki zangu karibu 6 hili wasome hile mada yako ulokawa umeandika na niliweza kukaa nalo ndani sio chini ya miezi mitatu narudia rudia tu kusoma hile mada kuanzia apo ndo nilianza kukufaham wew na mpaka hii leo umenisaidia mengi sana katika maisha siwezi yote kuyaandika apa sina zaidi ya kukushukuru tu,, ubarikiwe sana na kikazi Chako, Karibu Lindi uje kufanya Semina siku moja nitafurahi sana kukuona live
@joelnanauka10 ай бұрын
Ahsante sana. Huu ushuhuda umenitia nguvu sana sana
@African51111 ай бұрын
Mwamba Nanauka,tajiri wa saikolojia,tajiri wa ushauri,Mungu akulinde sana,asante Mungu kwa hiki kiumbe chako(Nanauka)
@joelnanauka11 ай бұрын
Ameen, endelea kunikumbuka kwenye maombi yako.
@African51111 ай бұрын
Mungu anasikia haja ya maombi kaka,hataacha mguu wako usogezwe,wewe ni mti uzaao matunda hautavunwa mapema.Barikiwa sanaaaaaa wewe na uzao wako.
@theresiaburra-nm6he9 ай бұрын
Big up brother
@MariaDaniel-qj1eu10 ай бұрын
Nakuombea baraka kwa mungu azidi kukutunza ili uendeleee kuwa mwalimu wetu
@JanvierVenas-ro9us8 ай бұрын
Ubarikiwe mutumishi wamungu
@abdallahligogi734611 ай бұрын
Asante sana Joel nanauka mention wangu shukran brother Joel nanauka
@silasdavid501711 ай бұрын
Asante my mentor zaidi Mungu akulinde tuendelee kupata hiki unachotupa
@user-su3tg5er4i10 ай бұрын
Tajir wa maarifa tanzania
@rajabmsinzia171510 ай бұрын
Mwalimu wambie wanafunzi wasiwe wanapiga makofi makofi kila muda wa focus zaidi kusikiliza na kuelewa na sio kupiga piga makofi tu .
@onesmoalphonce367611 ай бұрын
Ila Joel why unaweka crip ndogo plz weka full video in order to feed your minds for our future
@omanjalan58210 ай бұрын
Asante mr joel kwel elimu unayotugea inatusaidia ubarikiwe
@farajiajali303011 ай бұрын
Waiting......
@user-ub8xt5dj8b11 ай бұрын
Kwel unanimalizia xana m b zangu kwa elimu tam nnayopata ilà ngeli unanipoteza
@joelnanauka11 ай бұрын
Tuendelee kujifunza
@calvinisrael10 ай бұрын
Thanks much brother
@abeidmbarouk628010 ай бұрын
See u at the top
@khadijaabdallah140210 ай бұрын
Kila nikikuskiliza huwa najifunza kitu kipya kutoka kwako mungu akulinde uzidi kutuelimisha
@RICHARDWAUSA11 ай бұрын
Pamoja sana mwalimu
@Haytham_The_Marketing_Don11 ай бұрын
Sijui kwann watu wanacheka na huyu jamaa anaongea sense
@enoshmukama478311 ай бұрын
Asante sana
@onesmoalphonce367611 ай бұрын
Always your different Joel
@prosperintlwealthcompany88859 ай бұрын
L0l 0pp0
@prosperintlwealthcompany88859 ай бұрын
P
@yonawinga99715 ай бұрын
Kaka nakushukuru sanaa mungu akulindee
@masalumakoye255011 ай бұрын
Asante kaka Kwa elimu yako ya biashara.
@HeriethSylvester-dm3nb11 ай бұрын
Naendelea kuelimika kupitia wewe Mungu akubariki
@joelnanauka11 ай бұрын
Ameen Ameen
@deathrow800411 ай бұрын
Leo nimerudia rudia kusikilizA brother ..nimeongeza kitu ktk akili yangu
@aderiderkihupi724011 ай бұрын
Mbona namuona kama Jamal Mustafa naye kama yukohapo🎉
@deboralaiton-ge8mf11 ай бұрын
Asante kaka
@simonchandara941411 ай бұрын
Mm ni mwajiliwa ningependelea unifundishe namna ya kukuza ni nacho pata kwa mez
@wilbertmlyuka572311 ай бұрын
Hongera sana kijana
@IpyanaGolden6 ай бұрын
See you at the top🎉🎉🎉
@elizabethgurti415710 ай бұрын
Barikiwa sana kaka
@mohammedrashid290611 ай бұрын
Ahsante Brother
@anordgerison863911 ай бұрын
Asante Sana Mwl wangu
@watuzoclassic798010 ай бұрын
Barikiwa Sana Brov
@habibadaudi824211 ай бұрын
Mm namomba 2 mawazo naww
@beatuskahwa635110 ай бұрын
Mwendelezo tafadhali?
@EnjoyLocation11 ай бұрын
Mwalimu tunaomba full video ya hili somo,,,,,, tafadhari
@joelnanauka11 ай бұрын
Inakuja, endelea kufuatilia
@joelnanauka11 ай бұрын
Zitaendelea kuja,endelea kufuatilia
@amanitemba854411 ай бұрын
Kaka mkubwa hatuwezi pata vipande virefu zaidi
@faudhiasalum727911 ай бұрын
Joel 😘
@bernadetachari764811 ай бұрын
Aliye kuajiri atakutumia ili afaidike yeye nawewe ubakihapo ukifikiria ati boss anakupendha sana kumbe anakutumia kwA faida yake
@leilaassey172611 ай бұрын
Safi broo ila umeishia pazuri sana tupe muendelezo tupate madini
@joelnanauka10 ай бұрын
Angalia Kuna part 2
@rabanphotostudionyakanazi_411510 ай бұрын
Po uko ukumbi gani
@mrcardano120310 ай бұрын
Mimi nna vitu kichwani kutokana kusoma na experiences ila tatizo sina uwezo wa ku articulate kama jamaa. Jamaa ana flow nzuri sana na idea siko organized sana aise. My problem ni siwez kuongea vizuri kwa flow clean km hii😢
@HappyKamuga10 ай бұрын
Jaribu Kusikiliza Video Yake Ya JINSI YA KUWA MZUNGUMZAJI MZURI Ameelezea vizuri Kweli