[Part 2] Jinsi Ya Kutimiza Malengo Yako Ya Kifedha Kwa Kasi - Joel Nanauka

  Рет қаралды 13,534

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 23
@Georgemorisiamani-oy3hf
@Georgemorisiamani-oy3hf Жыл бұрын
Nisipo shukulu kuhusu masomo yako nitakua muongo nakushukulu kwa ukombozi wa fikra ubongo yangu inapata chakula sahihi mungu akulinde ❤
@HeriethSylvester-dm3nb
@HeriethSylvester-dm3nb Жыл бұрын
Kaka Joel mm nakuelewa sana since nimeanza kufuatilia mafunzo yko nimekua mpya barikiwa sanaaa
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Жыл бұрын
Asante sana somo zuri
@neemakimaro6871
@neemakimaro6871 Жыл бұрын
Mungu atusaidie sana suala la uchumi
@issayamalau
@issayamalau Жыл бұрын
Kiongozi hakuna cha zaidi bali uishi miaka mingi
@deboralaiton-ge8mf
@deboralaiton-ge8mf Жыл бұрын
Nasubiri kwa hamu
@herbertbavuma7228
@herbertbavuma7228 Жыл бұрын
Hili jamaa Mungu alituletea ana maana linajua mpaka aloo.
@iamqacha
@iamqacha Жыл бұрын
Madini😤🔥
@danchibomnyama5461
@danchibomnyama5461 Жыл бұрын
Kaka joeli mungu akubariki sana kiukweli nabarikiwa na mafunzo yako
@successconcious703
@successconcious703 Жыл бұрын
Waiting for part 3 Mentor, this one is deep. Thank you so much
@beatuskahwa6351
@beatuskahwa6351 Жыл бұрын
Tunasubiri session 3
@twahasuleiman-lo9vl
@twahasuleiman-lo9vl Жыл бұрын
Wangapi tulifatikia mafunzo ya Joel Nanauka since subscription ilikua 1k .❤❤❤😂
@joelnanauka
@joelnanauka 10 ай бұрын
Ahsante sana kwa kuendelea kukua Pamoja nami.
@twahasuleiman-lo9vl
@twahasuleiman-lo9vl 10 ай бұрын
@@joelnanauka ammmmmmein my life coach
@ShabanJorry
@ShabanJorry Жыл бұрын
Shukrani sana kwa somo zuri
@barakamsungu5260
@barakamsungu5260 Жыл бұрын
Nasaidika pakubwa sana na hizi elimu, sijui kwanini maana waliotajirika huwa wanasema fanya kazi kwa bidii bila kuonyesha mikakati kama hii, asante brother kwa shule nzuri unazotoaga 🙏
@mwajumakambangwa2190
@mwajumakambangwa2190 Жыл бұрын
Asante sana bro, nimekusoma vilicyo
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
🙌🏿👌🏽🤸‍♀️🤸‍♂️
@Michaelntambala-dw6cx
@Michaelntambala-dw6cx Жыл бұрын
Mafundisho ni mazuri tatizo unaowafundisha waswahili kingereza cha nini
@imanimillanzi6444
@imanimillanzi6444 Жыл бұрын
Lugha ni sababu moja wapo katika kuleta maendeleo. Mafundisho kutolewa kwa mchanganyiko wa lugha ya kiswahili na kiingereza sio shida sababu tuna ishi katika multilingual society na pia sio watanzania wote tunalengo la kupambania financial freedom katika nchi yetu. Finally, mafundisho mengi anayoyatoa ni mchanganyiko wa mawazo ya watu mbali mbali ambao waliandika katika kiingereza kwahiyo wakati mwingine kufanya code-mixing au code-switching sio mbaya. KIUFUPI KWASISI TUNAEANGALIA NA KUSIKILIZA KWA MALENGO SIO SHIIIIDAA. SORRY FOR THAT
@Udindigwa
@Udindigwa Жыл бұрын
Amina Baba
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz Жыл бұрын
jamaa wa camera jifunze kazi yako toa prezentesheni vizuri kila Joel anapoongelea hapo kwenye prezentesheni jaribu ktuonyesha
@moneyfollowme737
@moneyfollowme737 Жыл бұрын
Thanks a lot Big brother 🙏🏽
UBONGO WA MWANADAMU - JOEL NANAUKA
13:23
Joel Nanauka
Рет қаралды 72 М.
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 29 МЛН
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,9 МЛН
Jinsi ya kutImiza malengo yako kwenye ulimwengu wa Sasa.
55:40
Joel Nanauka
Рет қаралды 106 М.
EPUKA  HAYA KWENYE  ENEO LA KAZI - JOEL NANAUKA
10:44
Joel Nanauka
Рет қаралды 59 М.
MAKOSA YA KIPESA YA KUEPUKA - JOEL NANAUKA
5:36
Joel Nanauka
Рет қаралды 165 М.
MAMBO 10 MUHIMU YA KIUCHUMI KWA MWANAMKE  - JOEL NANAUKA
14:04
Joel Nanauka
Рет қаралды 31 М.
Mbinu Za Kutimiza Malengo 2018  - Joel Nanauka
32:24
Joel Nanauka
Рет қаралды 51 М.
ELIMU YA FEDHA KATIKA UCHUMI NA BIASHARA 2 - JOEL NANAUKA
9:39
Joel Nanauka
Рет қаралды 19 М.
Inawezekana Kufikia Malengo Yako Usikate Tamaa   Joel Arthur Nanauka
23:06
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 29 МЛН