Part 1_USHUHUDA WA MCH.MEDARD ISSA ALIYEKUWA MUISLAM SASA AMEOKOKA,ATOBOA SIRI NZITO USIZOJIJUA

  Рет қаралды 24,328

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Пікірлер: 157
@graceibrahim4924
@graceibrahim4924 3 жыл бұрын
Waliosoma Rungwe sec school Na chuo cha ufundi Rungwe wa like km wanamkumbuka Mtumishi huyu mimi namfahamu vizuri tena alikuwa best sana alishawahi nisaidia wanafunzi wenzie chuo cha ufund walipotaka kunipiga kiss wamefungwa mpira wa miguu Na Rungwe sec kakaang akiwa kipa
@semwandambaza2184
@semwandambaza2184 3 жыл бұрын
YESU nakurudishia Sifa,adhama na heshima🙏Mtakatifu unawaokoa watu wako kwa kuwa Tunawapenda🙏😭.Moyo wangu unakutukuza KRISTO. Endelea kuwavuta kwako BWANA,Aaamen🙏
@CherieDeDieu
@CherieDeDieu Жыл бұрын
Mungu alikuwa amekuchagua tangu utotoni wako ndugu. Mwenyezi Mungu kwa Roho Mtakatifu alikuwekea zawadi ya kuelewa au kutofautisha maroho (discerning spirits).
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 жыл бұрын
Safiii sana napenda kwa sababu unaweka wazi na unasema kweli ktk KRISTO,
@medardissa6253
@medardissa6253 3 жыл бұрын
Amen
@anneafrica939
@anneafrica939 3 жыл бұрын
Nawashauri watu wote tafuteni mguso wa nguvu ya Mungu msikimbilie miujiza ya kinabii tafuteni Mungu anapoabudiwa katika roho na kweli. Usinganie kanisa Kwa kuwa kuna washirika wengi no msikilize roho mtakatifu maelekezo yake maana makanisa mengi yamejaa viini macho
@Emmanuela_pius
@Emmanuela_pius 3 жыл бұрын
Barikiwa sana ushuhuda mzuri
@abisairobert5098
@abisairobert5098 3 жыл бұрын
Ubarikiwe
@daudilazaro5551
@daudilazaro5551 3 жыл бұрын
Nguvu ya Damu ya Yesu
@dokasa9176
@dokasa9176 2 жыл бұрын
Sifa na utukufu ni Kwa Bwana wetu Yesu kristo
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 3 жыл бұрын
Naamini kila mtu aliyeokoka ana historia yake mm mwenyewe nilikua muabudu sanamu lakini Yesu alinitoa,asante Baba yangu Yesu Kristo kwakutochoka kumtumia mtoto wako jack ili uzidi kutufunulia mengi,utukuzwe Mfalme Yesu Kristo
@anneafrica939
@anneafrica939 3 жыл бұрын
Nasema Hilo kanisa wanaomba yaani kama muumini hujuwi kuomba utajuwa tuu wanaweka kambi ya maombi siku 7 kanisani na wote munafunga usiku na Mchana Kavu kinachoingia mdomoni ni maji tuu siku saba maombi usiku na Mchana ukitoka Apo hata kama ulikuwa umefungwa kwenye jeneza utatoka ukiwa Hai.
@ndembwamponda7674
@ndembwamponda7674 3 жыл бұрын
😄😄. anne wewe
@jesusfirstchurch4162
@jesusfirstchurch4162 3 жыл бұрын
Anne Africa umenifurahisha eti hata ungekuwa ndani ya jeneza utatoka mwenyewe mzima mzima ...Safi sana..kila kitu lazima uonyeshe Imani kwa matendo dhabiti... Mungu awabariki Sana... Mama Africa
@anneafrica939
@anneafrica939 3 жыл бұрын
@@jesusfirstchurch4162Amen kubwa mtumishi
@preciousmunuo142
@preciousmunuo142 Жыл бұрын
Samahani wewe unajua kanisa lake??mimi namjua huyu ninahitaji kumpata
@preciousmunuo142
@preciousmunuo142 Жыл бұрын
Naomba nisaidie nijue kanisa lake lilipo
@sheillahwairai4691
@sheillahwairai4691 3 жыл бұрын
Hiyo midomo Yako iko na sukari ama jameni🤣🤣 karibu kwa ukristo tunawapenda sana. Na Yesu akubariki sana ndugu kwa kuamua kufuata njia ya kweli na uzima
@medardissa6253
@medardissa6253 3 жыл бұрын
Siyo sukari kigugumizi ndio kinanipa shida kuongea haraka
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 3 жыл бұрын
@@medardissa6253 wewe acha kebehi kwa mtu anayetoa ushuhuda wa kweli wa nguvu ya Yesu Kristo
@sheillahwairai4691
@sheillahwairai4691 3 жыл бұрын
@@medardissa6253 oooh! Pole sana ndugu yangu mungu akubariki sana... Karibu kwa Yesu
@sheillahwairai4691
@sheillahwairai4691 3 жыл бұрын
@@lilianluhasi5053 si kwa ubaya dada nami mkristo pia sikujua kama ni kigugumizi. Nisamehewe
@sheillahwairai4691
@sheillahwairai4691 3 жыл бұрын
@@medardissa6253 kwa Yesu Kuna raha p Mpaka tufurahie ndugu yangu... Nashukuru sana maana umenijibu kwa upole wa Yesu🙏🙏🙏🙏
@tantinemwemendi8790
@tantinemwemendi8790 3 жыл бұрын
Yesu anaweza
@kithia100
@kithia100 3 жыл бұрын
Ushuhunda mzuri , nimejifunza pia
@blessedlovedandfavoured4129
@blessedlovedandfavoured4129 3 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 3 жыл бұрын
Ameeen Yesu ni BWANA
@medardissa6253
@medardissa6253 3 жыл бұрын
Amen
@mariam3667
@mariam3667 3 жыл бұрын
Mi mwenyewe nimestuka nimekimbilia kwa YESU na wala sijutii !!!!nashukuru sn MUNGU kwa neema hii jaman na Hawa wenzangu waislam kwa ubishi siwashangai maana ata mie nilikuwa mbishi sana cha msingi ni kuwaombea tu ili siku moja waweze kufunguliwa akili zao
@abdimohamed3953
@abdimohamed3953 3 жыл бұрын
Mamdogo unanigusa etii but kianzio sasa
@mariam3667
@mariam3667 3 жыл бұрын
@@abdimohamed3953 kianzio ni kumkiri YESU kwamba ni BWANA na mwokozi wako kisha tafuta kanisa lakiroho la kweli ,utabarikiwa!!!
@abdimohamed3953
@abdimohamed3953 3 жыл бұрын
@@mariam3667 amina nafanya hivyoo
@mariam3667
@mariam3667 3 жыл бұрын
@@abdimohamed3953 Amen ibarikiwe sn na endelea kufatilia shuhuda Kama hizi zitakujenga na kukuponya
@abdimohamed3953
@abdimohamed3953 3 жыл бұрын
@@mariam3667 🤝🤝shukran sana
@lispafulgence9983
@lispafulgence9983 3 жыл бұрын
Barikiwa
@marymwanisawa8200
@marymwanisawa8200 3 жыл бұрын
Ushuuda huu una nibariki mnooo p2 tafadhali
@daudilazaro5551
@daudilazaro5551 3 жыл бұрын
Mwendelezo mtumishi
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 3 жыл бұрын
Mimi nawapenda sana waislam ninawaombea
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 3 жыл бұрын
Waislamu ni Wakweli, Wapenda haki, WachaMungu/Waumini (Wanajinyenyekeza/Wanajisalimisha kwa Mungu Mola Muumba/Allah, Waislamu tunamuabudu Allah pekee hatuabudu Viumbe). Tatizo watu (Wasokuwa Waislamu/Wakristo) hawaangalii/hawasomi kuelewa Uislamu unasemaje/unatakaje? Wao (Wakristo/Wasokuwa Waislamu) huwaangalia Waislamu/Watu/binAdam ni dhaifu/hukosea na hupatia chamsingi kuangalia/kusoma Uislamu si kumso mtu/Muislamu. Uislamu hauruhusu Uganga wa kuchoma/kuwasha Udi na Ubani na kuwaita Majini huo si Uganga wa Uislamu bali ni Ushirikina.
@happyisack8469
@happyisack8469 3 жыл бұрын
Asante yesu kwakuniokoa
@abigaelijohn1539
@abigaelijohn1539 3 жыл бұрын
MUNGU ni mwema sanaaaa
@josephbashale7844
@josephbashale7844 3 жыл бұрын
I like you tube
@josephbashale7844
@josephbashale7844 3 жыл бұрын
No comment
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 3 жыл бұрын
Can't wait 🤣🤣🤣
@veronicalaiser8394
@veronicalaiser8394 3 жыл бұрын
Ushuhuda mzuri sana unajenga. Part 2 lini?
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Hii hapa kzbin.info/www/bejne/eme4ioCIppyKbJY
@myself4128
@myself4128 3 жыл бұрын
Sheimh Omar mnyeshani alisema Majini yanaswali misikitini na kubananisha miguu eti kunamzuia Shetani/jini sasa kama ni wazuri kwanini mnawazuia wasiingie katiyenu????utazuiaje Pepo/roho kwa kubana miguu🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 3 жыл бұрын
Eleawa/kasome (jifunzeni) mjuwe ukweli kuhusu historia ya Mani (aina zao nk). Wapo majini Wema/Wazuri (Waislamu/Wanamuabudu Mungu Mola Muumba) na Wapo Majini Waasi Wasomuabudu Mungu hao ndo Mashetani/Maibilisi. Majini kitabia/matendo wapo WachaoMungu na WasiomchaMungu. Soma/Someni Quran Srrat Al Jinn, Shra ya 72 au ingia/ingieni Utube TAFSIRI YA QUR'AN SURRAT AL JINN. Uislamu hauruhusu kushirikiana na Majini hata wakiwa Wema/Wazuri (WamchaoMungu) ni haramu kushirikiana na Majini mfano binAdam kufuga ndoa na Jinni/Majjini, kutibia/kufanya Uganga nk. Sababu wao Majjini Mungu amewaumba kwa maombile yao (Wameumbwa kutokana na moto) na wamepangiwa kanuni sheria ask kulingana na maumbile yao hapo sote Majiini na BinAdam tunatakiwa tumuabudu (Allah) Mungu Mola.Muumba BinAdam tumeumbwa kutokana na Udongo na tumepangiwa taratibu/kanuni zetu ktk maisha yetu hivyo ktk Uislamu hairuhusi kushirikiana na Majjini. Ukimuona/Ukimsikia binAdam anajiita/anaeitwa Muislamu (kwa majina, mavazi, kuzaliwa, kwa matendo) na huku anashirikiana na majjini kwa kumlinda, kujamiaana kimwili, kufunga ndoa nk huyo binAdam/mtu atakuwa amekiuka/muasi anatakiwa atubu. BinAdam aloruhusiwa na Mungu kuamiliana/kushirikiana na Majjini ktk miamala/shughuli ni nabii Suleiman bin Daudi tu na si mwengine na hata hivyo nabii Suleiman hakuruhusiwa kuingiliana nao Majjini kimwili na hajawahi kuingiliana nao kimwili/kufunga nao ndoa bali alikuwa akiwatuma kazi.
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 3 жыл бұрын
Tuwaombe Jamani nemma ya Yesu Christo iwafikie nao wapokea wokovu
@ferotial4659
@ferotial4659 3 жыл бұрын
@@alhaddajmohammed4768 Duuh😱😱😱😱
@peterfrancis8944
@peterfrancis8944 3 жыл бұрын
Mpokee Bwana Yesu, Hakuna Majini wazuri na wabaya hizo Ni roho chafu zinazotenda kazi ya shetani, Pokea hii zawadi mapema
@stephenurasa
@stephenurasa 3 жыл бұрын
huyu ni kweli ameokoka kwasababu hataki kurudia maneno ya kuruani au maneno ya kiarabu na pia amebadilisha jina na kuwa la kikristo
@zamdakimaro2973
@zamdakimaro2973 3 жыл бұрын
KILA DINI MKIAMUA KUIJADILI INA MAMBO MENGI KIKUBWA NI KUSIMAMA NA IMANI YAKO,NA KUAMINI KUWA MUNGU NI MKUBWA,NA PIA WAKRISTO NYIE JITAZAMENI SANA SASA HIVI WAMEIBUKA WANABII WENGI NA HAKUNA WATU MNAOAMINI BILA MAANDIKO KAMA NYIE,MBONA WAKRISTO MNACHUKUA SADAKA KWA VIWANGI WENGI MMETAJIRIKA KUPITIA WAUMINI WENU ,MARA MNALISHWA MAJANI,MARA MTUMISHI ANAOGA MNAKUNYWA ,MARA MKANYAGWA NA WATUMISHI YOTE HAYO MANONA SAWA ,MSIONGELEE SANA DINI ,SEMENI NA NYOYO ZENU
@seebs1156
@seebs1156 3 жыл бұрын
Wala hayo yasikutishe kwakuwa Biblia ilitabiri manabii wa uongo ndo maana hatusumbiki nayo kila mmoja atavuna alichopanda shetani akikukopesha lazima ulipe kwahyo wala hayo yasikusumbue ya manabii wa uongo yalitabiliwa yapo na yataendelea kuwepo ili Yesu arudi lazima yoote yatimie
@barikielisaktay7404
@barikielisaktay7404 3 жыл бұрын
Yesu ndo mwisho wa mambo yote
@seebs1156
@seebs1156 3 жыл бұрын
@@barikielisaktay7404 ameni upo sahihi ukiwa kwa Yesu utakanyaga nyoka na ng'e havitakudhuru
@tunusanga4701
@tunusanga4701 3 жыл бұрын
King of the Kings,Simba wa kabila la Yuda,Shina la Daudi,JESUS CHRIST...mch.MERDAD ushuhuda wako utaokoa roho nyingi...sifa na utukufu ni kwake Yesu Kristo.
@semwandambaza2184
@semwandambaza2184 3 жыл бұрын
Aaaaamen 💪
@shaibmlandula8384
@shaibmlandula8384 3 жыл бұрын
Alie kufanya uukashifu ukristo alikuwa mpumbavu Nae anae kufanyaa uukashifu uislam nae ni mpumbavu pia Haitaji uukashifu Imani ya mtu mwingine ili ya kwako ionekane Bora That is useless mind
@anneafrica939
@anneafrica939 3 жыл бұрын
Duuuh hiii ni nguvu ya moto kichwani YESU anatosha.
@charleskapanga8685
@charleskapanga8685 3 жыл бұрын
Michael mwamba alikua anachezea majimaji ya SONGEA
@balbinamwanyika8267
@balbinamwanyika8267 3 жыл бұрын
Hakika huyu ni mtumishi ni jembe la YESU
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 3 жыл бұрын
Mwendelezo wa yule mama alikuwa muskule kigoma uko wapi tunasubiri kwa hamu
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Amen,tutaleta tuombeane tu
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 3 жыл бұрын
Iko wapi mwendelezo part 2
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Hii hapa kzbin.info/www/bejne/eme4ioCIppyKbJY
@lucasgasper5235
@lucasgasper5235 3 жыл бұрын
Jactan nina swali kwa uyo mtoa shuhuda ile suala ya kuchinja kuku kwa kiswahili ina maana gani
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Sawa limefika
@josephatjoseph1755
@josephatjoseph1755 3 жыл бұрын
hatar wakrsito hawajui haya mambo tunajua kwenda tu kanisan
@myself4128
@myself4128 3 жыл бұрын
Peponi maana yake ni mahala yanapoishi mapepo,sisi WachaMungu tunaenda Rahani au paradiso au mbinguni sababu imeandikwa Masikani ya Mungu ni pamoja na watakatifu,alipo Mungu Mbinguni ndipo Tunapokwenda kuishi nae Milele na milele
@halimajuma3077
@halimajuma3077 3 жыл бұрын
👍🙏🙏
@mwanaishamande8880
@mwanaishamande8880 3 жыл бұрын
Tuwe makini anakosoa uislam wenye imani dhaifu wataritadi
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 жыл бұрын
@@mwanaishamande8880 anasema kweli,kwa YESU KRISTO ndio sehemu sahihi kuliko zote duniani,tubu kabla haujachelewa
@mwanaishamande8880
@mwanaishamande8880 3 жыл бұрын
Namuamini mungu mmoja naamini mitume wake naamini malaika wake naamini kudra zake naamini pia siku yamwisho ipo inatosha kabisa kuniongoza inshaallah
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 жыл бұрын
@@mwanaishamande8880 huwezi mwona Mungu BABA wa mbingu na nchi usipotaka kumwamini YESU KRISTO Kuwa ni BWANA na mwokozi hilo ujue,allah sio Mungu wa kweli ni shetani mkubwa audanganye ulimwengu wote na kuwapeleka watu jehanamu tubu kabla haujachelewa Mpokee YESU KRISTO
@mwanaishamande8880
@mwanaishamande8880 3 жыл бұрын
@@marianachriss2444 mungu hakuzaa wala hakuzaliwa so kumuita baba nimakosa kwanini mwamuamini yesu kama mungu na sio kama maandiko yanavyotufindisha kwamba yesu nimtume kama mitume wengine
@shamimhayat7637
@shamimhayat7637 3 жыл бұрын
Kul ya hayu li kafiruna la aabud mata abduna...
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 жыл бұрын
YESU KRISTO ni BWANA na mwokozi na zaidi ya yeye hapana Mungu mwingine mpokee YESU KRISTO ni BWANA na mwokozi,tubu kabla haujachelewa
@happyisack8469
@happyisack8469 3 жыл бұрын
Du na majini wanaswali kazi ipo
@nellynellyy3167
@nellynellyy3167 3 жыл бұрын
Waislamu huabudu majini tangu kitambo
@abubakarimshahara3528
@abubakarimshahara3528 3 жыл бұрын
Huku ni rahisi kupata pesa tofauti na ulikotoka, maana huko huwezi fungua msikiti lkn huku unafungua hekalu lako unapiga hela tu,karibu kwa bwana mtume na nabii
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 3 жыл бұрын
'Kilakukicha Mitume na Manabii wanafungua Makanisa na Kondoo wa Bwana Kibao hata Hawashtuk!'
@lileoh3893
@lileoh3893 3 жыл бұрын
Umefanya vizuli subili moto
@lileoh3893
@lileoh3893 3 жыл бұрын
Hujui kialabu na
@medardissa6253
@medardissa6253 3 жыл бұрын
Ningekuwa sijui ningesema sijui ila najua sitaki kuongea hayo kwa maana nimeshatoka huko na sitaki malumbano na waislam ndio maana nimeona nisitamke kabisa. Na mkiendelea kubisha nitarudi kwakusema kiarabu ili uamini
@lileoh3893
@lileoh3893 3 жыл бұрын
Inawezekana hukuyajua vizuli maandiko maana kama umefuata yesu alikua mwislam luka 4 16 nakama umemfuata paulo wakolintho wakwanza 15 soma hiyo
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 жыл бұрын
@@lileoh3893 ukubali ama usikubali , uamini usiamini kwa YESU KRISTO ndio sehemu sahihi kuliko zote duniani
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 3 жыл бұрын
Leo wamepatikana mulisema sheikh Omary hajasoma dini nahuyu je mtasemaje
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 жыл бұрын
@@kimsamespa8490 YESU KRISTO ndio njia ya kweli na uzima yoyote asiyemkiri YESU KRISTO ameshahukumiwa,wanaleta ubishi wa bure tu,ipo siku Kila goti litapigwa na Kila ulimi utamkiri Kuwa YESU KRISTO ni BWANA kwa Utukufu wa Mungu BABA
@babafranco3366
@babafranco3366 3 жыл бұрын
Ukitoka hapo nenda efatha tupate ushuhuda pia
@Just5siblingsss
@Just5siblingsss 3 жыл бұрын
G C P. C
@Ali-ui7qh
@Ali-ui7qh Жыл бұрын
MUONGO NJAA TU UMESOMA MADRASA NA ATA KUSEMA MANENO YA KIARABU HUJUI ETI SIPENDI KISEMA HUJUI MUONGO
@mwanaishamande8880
@mwanaishamande8880 3 жыл бұрын
Utajutia yaumalkiama kama umeritadi niwewe lkn matatizo yako hayahusiani nadini yauislam dini yaamani imani yako yakumuamini mungu pekee haitakufanya uhangaike wala kutapatapa kiibada
@erianne494
@erianne494 3 жыл бұрын
Akuna mwenye alio mdjua yesu atajuth
@mwanaishamande8880
@mwanaishamande8880 3 жыл бұрын
Siwezi bishana namkiristo sababu siwaimani yangu
@medardissa6253
@medardissa6253 3 жыл бұрын
We unaongea isichokijua ndio maana,hivi haushangai kwanini nimeacha kutamka hata maneno ya kiarabu? Nimeweka staha Sana kwakuwa sitaki malumbano ila mkitaka nitamuita nianze moja niliyoyaficha kwaajili ya kuepuka machofuko
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 жыл бұрын
@@medardissa6253 kwa YESU KRISTO ndio sehemu sahihi kuliko zote duniani, hongera sana Mtumishi wa kweli wa KRISTO, Mungu aendelee kukutumia kwa viwango vya juu sana, jitahidi tufike mbinguni tukamlaki KRISTO
@alafsakisinda4886
@alafsakisinda4886 3 жыл бұрын
Hayana haja malumbano mtumishi wewe zidi kumtangaza Yesu tu inatosha, hao wa kwa babamdogo tunawajuwa niwabishi sana nawewe umetoka huko unaelewa, Jina la Yesu ndo kiboko yao , msalimie mama nabii Happiness nawapenda jamani, niko mafinga mniombee sana niko kwenye mapito magumu sana ya afya na uchumi pia, kwa majina yangu ni mercy michael kisinda mafinga mkoa wa Iringa. Mbarikiwe sana.
@engzuberir.akilenza1764
@engzuberir.akilenza1764 3 жыл бұрын
Ayoub Issa mbona hautaji jina la kingoni. Hizi propaganda hazisaidii.
@erianne494
@erianne494 3 жыл бұрын
Ukwel siku zot unauma ameongea ukwer
@mwanaishamande8880
@mwanaishamande8880 3 жыл бұрын
Umeona eeeh
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 жыл бұрын
Kwa YESU KRISTO ndio sehemu sahihi kuliko zote duniani
@chance0709
@chance0709 3 жыл бұрын
tatizo ukonacha mada una enda mubyengine unaji advise ama??? muongo wewe
Как Ходили родители в ШКОЛУ!
0:49
Family Box
Рет қаралды 2,3 МЛН
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Music Video)
2:50
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 2 МЛН
"Идеальное" преступление
0:39
Кик Брейнс
Рет қаралды 1,4 МЛН
ALIYEKUWA AKIFUGA MAJINI 4004-Part 1
32:50
PROMOVER TV
Рет қаралды 8 М.
Ushuhuda wa aliyekua muislamu.
28:57
END TIME LOUDCRY TV
Рет қаралды 258 М.
Как Ходили родители в ШКОЛУ!
0:49
Family Box
Рет қаралды 2,3 МЛН