No video

Part 1_USHUHUDA WA SARA ALIYEKUWA MCHAWI MHARIBIFU WA MAKANISA

  Рет қаралды 14,435

PROMOVER TV

PROMOVER TV

3 жыл бұрын

JIUNGE NA MAGROUP YETU YA WASAP KAMA UNGEPENDA KUWA MCHANGIAJI WA KILA MWEZI KAMA IFUATAVYO:-
1.JS01-Kuanzia Tsh.2,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.JS02-Kuanzia Tsh.5,000 kila mwezi,bonyeza link hii chat.whatsapp....
3.JS03-Kuanzia Tsh.10,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
Namba za mawasiliano na kuchangia pesa ni: +255784074462 / 0766294335 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 29
@lioncoin
@lioncoin 3 жыл бұрын
Asante yesu kristo kwa upendo wako bila kubagua rangi kabila ,maskini, tanjiri urebo ama sura mbaya kwa hakika yesu kristo ni mfalme wa wafalme. Nitampenda yesu kristo tu!
@dianawebala9381
@dianawebala9381 3 жыл бұрын
Nilingoja sana kumsikiza dada huyu! Jinala Bwana litukuzwe!👏🏾👏🏾
@rabilubinza7661
@rabilubinza7661 3 жыл бұрын
Yesu ni Bwana
@kmwendemusic5379
@kmwendemusic5379 3 жыл бұрын
Been longing to hear from this lady.. Woow.. GOD IS FAITHFUL
@henryosoro7696
@henryosoro7696 3 жыл бұрын
I Saw her in a church.. am listening that testimony
@marieunique3265
@marieunique3265 3 жыл бұрын
Namsikiliza huyu mama kwa makini mno ila kuna baadhi ya sehemu naona kama anaokosea au anaendelea kumfichia siri mwovu... kuna baadhi ya sehemu katika story anahadithia but hafunguki yoote, unapoamua kuokoka ni kuwa tayari kuongea kila ulikuwa unatumikishwa mpaka BWANA YESU alivyokukomboa katika utumikishwaji huo wa mwovu ibirisi.... pia nipenda ujasiri wake na stor alivyoihadithia kwa ufasaha #hongera na BWANA AWE NAWE . YEYE NDIYE MUNGU , MUNGU BABA WA MOSES, na waislael alio watoa katika utumwa na kuwapa mji wa asali, na maziwa Utajili ulio mkuu basi BWANA ATUREHEMU SOTE. 🙏
@mwesigwaannte6751
@mwesigwaannte6751 3 жыл бұрын
Thanks Mtumishi wa MUNGU kwa ku leta huyu dada hebu part Please
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 3 жыл бұрын
Yesu anaokoa Amen Amen Amen
@kelvinramson2164
@kelvinramson2164 3 жыл бұрын
Mbarikiwe sana na Mungu
@IANA2030
@IANA2030 3 жыл бұрын
Jesus is Lord everything and everyone will bow unto Him
@Lucy-nr2sm
@Lucy-nr2sm 3 жыл бұрын
Amen God is our forgiveness am Phanice Okongo am watching from Saudi God bless
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 3 жыл бұрын
Eee Mungu turemu katika hii dunia, asante Yesu kwa neema yako, barikiwa dada na ushuhuda wako
@dokasa9176
@dokasa9176 2 жыл бұрын
Jameni kwa shetani ni kazi ngumu kweli,Yesu kristo ni mshindi wa washindi “kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri ya kwamba kristo ni Bwana”
@millicentayangokunting3728
@millicentayangokunting3728 3 жыл бұрын
Amen barikiwa mama
@biblianenolaukweli5616
@biblianenolaukweli5616 3 жыл бұрын
Mungu nimkubwa
@Shalom2018
@Shalom2018 3 жыл бұрын
Amina, ubarikiwe dada
@navokisembo
@navokisembo 3 жыл бұрын
Ameeen barikiwa saana dada Sarah
@elizabethjackson3865
@elizabethjackson3865 3 жыл бұрын
Bwana Yesu apewe sifa Ameen kubwa sana
@fei3668
@fei3668 3 жыл бұрын
asante Mungu
@oscanyakunga9674
@oscanyakunga9674 3 жыл бұрын
Mungu ni mwema cku zote
@peterdaniel9050
@peterdaniel9050 3 жыл бұрын
Ilikuwa familia ya kichawi
@joyceprojestusdamian1043
@joyceprojestusdamian1043 3 жыл бұрын
Da kumbe ulikuwa mchawi hiv upendo mkudi wamelijua hili??
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 2 жыл бұрын
"Watu wa Mtu yule" kumbe Mtu mwenyewe ni Bwana Yesu...mbona wengine mnamuita Mungu!?
@evangeliststanleykibwobi6441
@evangeliststanleykibwobi6441 3 жыл бұрын
Mbona mambo ingine unaficha
@mariachannelke9769
@mariachannelke9769 3 жыл бұрын
Kweli kabisa hafafanui kila kitu...
@ritasheriff7814
@ritasheriff7814 3 жыл бұрын
Mungu si mtu. Yeye ni roho
@pendoajuna9340
@pendoajuna9340 3 жыл бұрын
Mbona anaficha vitu . Kushudia n kumuhaibisha SHETANI
@joyceprojestusdamian1043
@joyceprojestusdamian1043 3 жыл бұрын
Kumbe ulikuwa mchawi??
@asiasalim4634
@asiasalim4634 3 жыл бұрын
Unaficha sehemu na vitu vingine utamwabia badae ww. Uongo kwanini usifunguke yote kma umeokoka
Part 2_USHUHUDA WA SARA ALIYEKUWA MCHAWI MHARIBIFU WA MAKANISA
50:52
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
SCHOOLBOY. Последняя часть🤓
00:15
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 10 МЛН
LIVE; PRESIDENT RUTO RECEIVING KENYA OLYMPIC TEAM AT IN ELDORET
2:09:13
Kenya News Alerts TV
Рет қаралды 9 М.
USHUHUDA WOTE(Part1-9)Aliyekuwa Chifu wa Wageregere kabila la kichawi
4:52:28
ALIYEKUWA AKIFUGA MAJINI 4004-Part 1
32:50
PROMOVER TV
Рет қаралды 8 М.
USHUHUDA WA ALIYEKUWA MGANGA MCHAWI WA KASULU KIGOMA  l Part-1
40:42