Pianasisi uturehemu baba munguwetu pia ubariki kilamutuambaye ata komenti na kuchare shuuda izi mungu azidikuwainuwa promova tivi awazidishie masiku mimi nimeokoka kupitiashuuda izi nimepunguzakutenda mabaya kila usiku siezilala bila kusikia shuuda hizi nabarikiwasNa
@Nenolamaarifa11 ай бұрын
Hawa ni shuhuda za kweli sio promova tv
@jorambranchofmud629911 ай бұрын
Ushuhuda huu umenibariki Sana tokea mwanzo natamani hata uwe mrefu unabariki sana barikiweni kwa kazi Hiyo nzuri mnayoifanya hakika Maisha yangu yamebadilika kwa ajili ya ushuhuda wenu
@margretokuku822011 ай бұрын
Mungu. Tusamehe. Tusaidie. Utuokoe
@dorcusamisi292611 ай бұрын
Amen 🙏 utukuvu kwa yesu BWANA YESU nisamehe maovu yangu yote pia niombo langu yakwamba mungu afunguwe watumishi macho
@wilkinssimkoko792011 ай бұрын
Mungu azidi kutufundisha na atusaidie tusiache kuitenda kweli yake. Shuhuda za kweli, Mbarikiwe!!
@lydiamichael550911 ай бұрын
Amen and Amen
@MariaMwasyila-mq6yc11 ай бұрын
Ameni
@patrickkatana882311 ай бұрын
MUNGU ATUTIE NGUVU
@jeremiavedasto980611 ай бұрын
Amina. Tutapaje kupona tusipo ujali wokovu namna hii?