Wabongo wanafiki sana, hapa wanapuuza point anazoziongea, siku akiwa hayupo watarudi hapa kusikiliza na kusema jamaa alikuwa anaakili sana
@bertinaafonsorapaz8345 Жыл бұрын
Fact
@maishayetufilm Жыл бұрын
Upo sahihi kabisa aisee
@deniszabron7647 Жыл бұрын
Kama ilivyokua Kwa 2pac
@ntimimalamula2104 Жыл бұрын
Sasa wanampuuza wapi wakati watu kibao waishajitolea kumsaidia lakini asaidiki
@saidabdallah3737 Жыл бұрын
FACT 💯
@aziziamimu6011 Жыл бұрын
Chid Benz...Mungu amlinde. Ukimsikiliza kwa makini bila kumbagua utaelewa ni mtu mwenye philosophy nzuri ya maisha (weka mziki pembeni) anajitambua anastahili kupata msaada.
@nishaabdula501511 ай бұрын
Ss si ataki kusaidiwa anajufanya yuko sawa
@abdallahdataguy Жыл бұрын
Chid Benz rudi kwa mola wako Allah kama unahitaji kupata utulivu wa moyo. Kumuasi Allah kwenye anasa mwisho wake mbaya kama si hapa duniani basi akhera
@deekendi191 Жыл бұрын
Uyu mwamba is free now, self expression yake its on another level, wanao judge do wamepotea... Wote tunatafuta mwanga in life. Na lazima ujue mwanga kwa kukubari kizaa kipo. ,i & i
@Sarah-tq2vc Жыл бұрын
Huyu mwanangu bado hajaacha madawa walai so sad😢
@godymobiletech3328 Жыл бұрын
Amini man
@gibsonsalisbury651111 ай бұрын
Chidi Benz, Chid Benz Chidi Benz, miongoni mwa talented musician na genius, pamoja na hali yake sijawahi kuacha kumuamini...Chidi anahitaji msaada. Chidi bado mtu sana..kama kuna watu au taasisi zinaweza kuingilia kati maisha yake na kumnusuru basi wafanye hivyo na MUNGU atawalipa. Namkubali Chidi juzi, jana, leo, kesho na daima. IQ kubwa
@eliasmichaelluambano295 Жыл бұрын
The hardest thing is to accept the reality - (Circle Of Acceptance/Grief) Lossing money, position, and all the people you use to love make life more worthless. Kuna maumivu ambayo si rahisi kuyazungumza ila uwaga tunamuachia Mungu No Matter how good we are..... Muda ni rafiki wa kweli - And There is no clear measurement Of success.... Thumb Up To U Chid
@hilalmohd8941 Жыл бұрын
😢😢😢😢🎉🎉🎉🎉 it's not Easy as we see
@wennybarny168 Жыл бұрын
You nailed On point
@mfirimassawe902311 ай бұрын
Mungu alieumba akuinue kwa kazi njema waimba mtus achana nao mwisho wao upo karibu na mbaya Sana
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
Daaaaa inauma jamn baba WA kwenda kabisa huyu UNGA UNATUALIBIA SANA BABA ZETU KAKA ZETU 😢
@shanitosaleh932611 ай бұрын
Hili n funzo kubwa sana,kwanza madawa sio mazuri lkn pia tupambane sana hili tusikewalaum watu
@allymdoka8634 Жыл бұрын
Ichi kichwaa bado akipo sawaaa ata kidogooo
@Anza_tz Жыл бұрын
Chid Benz anaongea vitu spiritual unatakiwa umsikilize kwa umakini sana nimegundua kitu hafurahii maisha yake tatizo hajui anatokaje
@Hamy1109 Жыл бұрын
Hakuna cha spiritual hapo poda tu hizo zimejaa kichwani
@ismailmasoud6001 Жыл бұрын
Spiritual gani ww, anaogea AKILI za unga.....mtu mjinga huyo, we unaona anaongea mambo ya maana hapo..!
@erickbiharagu894 Жыл бұрын
Madawa so kitu kzur' naelewa serikal inapoyakataza
@saniaidrisa3920 Жыл бұрын
@@ismailmasoud6001Nimekuelewa sana akili za unga Ila kaongea point moja tuichukue 'Kwenye mziki hakuna Mungu'
@allyfatma7359 Жыл бұрын
Tatizo hapo.
@emmanuelnkwabi8610 Жыл бұрын
Huyu mtu hapendi maisha anayoishi lkn hawez kutoka anajibu maswali kwa akili kubwa
@ismailmasoud6001 Жыл бұрын
Akili kubwa Gani ww, hujaishi na wavuta unga Nini ..anawaektia hapo unaona anaongea mambo ya maana....Tena serikali ilibidi iwatumie watu kama Hawa kuonyesha ni wapi wanauziwa hayo MADAWA....!
@ismailmasoud6001 Жыл бұрын
Nani kakudanganya, akili Gani kubwa hapo anayojibia maswali ...watu kama nyie ndio mnamtia ujinga huyu jamaa, kwanza hata hizo studio zinazomuhoji hazina maana, huyu ilitakiwa ahojiwe akiwa SOBA...! Unamuhoji ana lipi la msingi kalileta Kwa JAMII, Bora angehojiwa na channel za UDAKU zinazotafuta followers, sio cloud's, ..watu washahangaika nae Sana hataki kubadilika, Kuna WARAHIBU wangapi ambao wako tayari kuacha na awawatafuti kuwahoji...mnamuhoji mtu ambae kashajichagulia hayo maisha na hataki kuacha. ! Na SERIKALI inabidi kuwatumia watu kama huyu kueleza ni wapi anayapata hayo MADAWA na kuyavuta, sio kuleta drama studio bila maana ya msingi..!
@emmanuelnkwabi8610 Жыл бұрын
@@ismailmasoud6001 angalia IQ ya mtu katika kujibu maswali akiwa ktk hali ile usikalili kitu, kuhoji mtu huyu ni kuonesha jinsi gani madawa yana madhara
@HusnaSimbila Жыл бұрын
Sanaaa
@danielmwakilembe935 Жыл бұрын
@@ismailmasoud6001 Bro mbona kaeleweka sana na hilo ndio Kubwa la kujua pamoja na kuwa yupo hivyo anajibu kiufasaha sana Ingekuwaje asingekuwa hivyo #Kabag yupo Vzr but Dunia inapambana asirud kwenye unormal Ndio maana kuna time kaelezea tofauti ya Cheed benz na Rasheed Mpk kasema yupi mwenye matatizo
Mungu Aku simamiE Braza chidi upo kwenye wakati mgumu sana Kiu kweli
@elneussimeo127511 ай бұрын
Daah chid Benz aise mungu akupganie
@rahjah5882 Жыл бұрын
Ni ngumu sana,kumfanyia interview Chidi Benz
@bashirimuriro43611 ай бұрын
Chidi ukimckiliza vzr anakitu kikubwa sana ndani yake mungu amlinde
@moyowangu1561 Жыл бұрын
Kila kitu kina enzi.....ukweli ulianza vizuri ila sasa umeangukia pua
@officialmanji4438 Жыл бұрын
Sahihi.
@YunisJerald11 ай бұрын
Pole mwandishi maana hya mahojiano yalikupa kazi.
@jeremiahcharles6027 Жыл бұрын
Umeamua tu kuwa upande huo ,,,,jionee huruma mzee ,,acha madawa na mapombe
@jonasamos555 Жыл бұрын
lengo la clouds kumhoji jamaa akiwa katika hari hii ni nin haswa
@daudimichael7338 Жыл бұрын
Huyu jinga kabisa, alikuwa anaishi Kunduchi alipanga, maisha ya hovyo kabisa mtaani
@ellymzera245711 ай бұрын
Legend.Much love from 🇰🇪
@aishaissa2512 Жыл бұрын
Bas kumhoji tu ndo mnajuaga msaidieni awe mtu kama wasanii wengine
@abdulhakeem959 Жыл бұрын
Benz ukimaliza kuongea rudisha jez dukan. Lingeni ni kwamba msiharibu maisha wenyewe halafu mkasingizia v2 vingine
@JennyJma Жыл бұрын
Kweli kabisaa unga ale yeye anasingizia mambo mengine
@sadiqrifay5448 Жыл бұрын
Chiz anachekesha san kam hatokei kwenu✍✍✍
@ashurajengela3926 Жыл бұрын
Na kibaya zaidi hayupo tayari kuacha uyu bado anatumia afu bado aendelee kulaumu watu 😢😢😢
@abdulhakeem959 Жыл бұрын
@@ashurajengela3926 hatar sana jaman
@masumbukomoussa977 Жыл бұрын
Kusema kweli Clouds mlichokifanya sio kweli kabisa huyo ni unyanyasaji na uzalilishaji kabisa
@singidaone5628 Жыл бұрын
Huyu mwamba bado hajaacha madawa dishi halijasoma vizuri kwa mtazamo wangu anatakiwa asaidiwe Sana
@mohdkhalifa8828 Жыл бұрын
Nakukubali tangia unanza kujulkana chidi na pia sitoacha kukukubali bdo mm km mm nipo na ww brow coz unatufunza ukweli wa maisha yako kwetu ni funzo pia mana hufichi kitu
@josephmathayo5139 Жыл бұрын
Huyu mtu ni Kichwa, jaribuni kuwashirikisha wataalamu wa ushauri Nasaha wamsaidie. Anahitaji Msaada ili arudi kwenye njia.Mwenyezi Mungu saidia Mja wako
@josephmgovano3892 Жыл бұрын
Mmh inauma Sana lakin chidy vile ulivyokua na ulivyo hapana maisha unakataa Kama una watoto badilika aise😎
@justinmashala6944 Жыл бұрын
Hii sio interview bali udhalilishaji,
@Omosak Жыл бұрын
Vilevi ndiyo chanzo... chakulaumiya maisha na wasani wenzie
@epmzmusifiwar6694 Жыл бұрын
from Uganda 🇺🇬 Int'l Congo DRC 🇨🇩 To Tanzania 🇹🇿 Big up 🔥🔥🔥🔥 Legends Kyukweli Kwenye Muzik Kuna Siri Kubwa Ila Sote WASANI Tunacho Kijuwa Kupenda Ulimwengu Uko Uadui Na MUNGU MUMBA
@jamesfanuel4595 Жыл бұрын
Kweli
@allyahahmed1091 Жыл бұрын
Ila kwann hawa wamadawa wanalaumugi watu m naonaga matatizo mengi huanza na mtu mwenyewe .nobody forced u bro .get well soon though .ur the problem
@AliMshindo6 ай бұрын
Unga unga unga in hatar sana mungu atunusuru
@Shafikimanga7 Жыл бұрын
Hiki kichwa kinahitajo wenye amili nyingi na wenye subrah ya kufikia malengo. He is star all the time.
@simuspot Жыл бұрын
I totally agree with you
@chusseboywcb2808 Жыл бұрын
Du dunia duara jitaidi kuizunguka 😭😭😭😭😭maisha nifunzo
@mwandisimfukwe326 Жыл бұрын
shida ya madawa unaipata katika rahaaa hivyo mtu kujifunza ni ngumu kikubwa kaa katika imani na kuamini katik Mungu
@MohamedKidwaka-y4o Жыл бұрын
Daaaah madawa hatari sana kwa maisha yetu
@westmanmoses54111 ай бұрын
Ndo uache na usiyasogelee kabisa. WENZAKE wanamsanifu tu hapo
@kassimkitta6118 Жыл бұрын
Namuona huyu mshkaji every now and then akienda kwenye kijiwe cha unga, jangwani karibu na yanga club, mara kwa mara i see him going to get high. Mungu amsimamie. Na atuepushe sisi na vizazi vyetu inshaallah
@allyfatma7359 Жыл бұрын
Ameen
@machintangachibwena5922 Жыл бұрын
Amiin Inshallah ambae haja pitia majanga hayo hawezi yaona mauvi ya huyu Chidi benz pamoja na wengeneo wingi na kama sisi tulio pitia mauvi tunajua
@thabitdaudi9815 Жыл бұрын
Mpumbavu huyo mtu mzima karibu miaka 40 au hata zaidi unakosa akil za maisha na kujitambua unabwia unga kama mtoto wa miaka 22. Bwana. Mpumbav tu huyo. Akae rumande miaka 5 tuone huo atapata wap akitoka hapo ameacha. 😂
@kassimkitta6118 Жыл бұрын
@@machintangachibwena5922 hata social worker au counsellor hawezi elewa vizuri kama muathirika anavyoelewa. That thing is bad. Na sio wote wanaovuta hawataki kuacha, ila anaachaje? Kama chidi, he is to blame. Kapata chance ya kupelekwa sober 6 times na zote kazingua.
@NgengeMkeni-uo5hq Жыл бұрын
@@thabitdaudi9815Kama halijakukuta wewe au mtu wako wa karibu kaa kimya na umshukuru Mungu wako. Usiwe mtu wa kulaani tu kumbuka hujafa hujaumbika bwana Thabit
@abuumaryam18511 ай бұрын
Allah amuongoze kijana huyu
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Huy bado anatumia madawa na hapo kadata maskini. Mungu amsaidie arud km zaman 🙏
@stephenpaul465211 ай бұрын
Kiukweli huyu jamaa ana kipaji cyo siri 🔥🔥
@stephenmtambo22911 ай бұрын
so painfull
@ISSACCECYTIN Жыл бұрын
Uyuuuu badooo sana ajaa acha ungaaa uyuuu ana itajii msadaaa sanaaaa. jamanii ilaaaaa bongeee la kipajii jamanii nyinyi claudi fanyeni msadaaa kuweni mstalii wa mbelee na sisi tupo nyumaa badoo ana kitu
@MohammedMohammed-uo5sk Жыл бұрын
Jumba juu juu sana
@richardkamota859 Жыл бұрын
Media mnapo mhoji huyu,tafuteni pia na watu wa kumsaidia
@bbrunotz819111 ай бұрын
Chid najifunza mengi sana kupitia wewe naomba mungu akuludishe kwenye ubora wako😢😢
@katotoGenius-ml9ve Жыл бұрын
Well huyu chidi anajitambua,drugs tu jamani
@AbelMfoyi Жыл бұрын
kwan yeye nan ajatumwa kula madawa kasaidiwa sana sio mtoto apite kama walivyo pita wengine
@godfreychaula3969 Жыл бұрын
CLOUDSMEDIA,kuweni serious kwa mamb haya,MOJA,setup ya sound kwenye hii interview ni mbovu kiasi kwamba mtazamaji anaweza kudhani speaker zake mbovu,MBILI,chidbenz kabla hamja-shoot mlimuona kabisa hali yake he is not normal nadhani naeleweka sasa kwanin mkafosi kushoot naye ivo hamuoni kama mnaweza mkawa mnamdhalilisha wakat lengo ni kumuinua?,...kumbukeni pia ata kipind kadata nyiny ndo mlifanya nae interviwe kupitia shilawadu kavaa kanzu na kuanzia pale maneno yakawa mengi,TATU,atakama hamkumvalisha ila ivi hamkuona iyo lebo ya jezi mpya ilipaswa itolewe isionekane ?
@kassimkitta6118 Жыл бұрын
Angalia hata tshirt aliovaa. It seems walimkuta rough hence kuamua kununua tshirt mpya na uskute kaazimwa tu coz hata label hazijachanwa
@niyonkurumarie650 Жыл бұрын
Nikweli uyo ni uzalilishaji.kwanini wasimtafute yuko sawa😊
@simulizizakiswahili Жыл бұрын
kama umeelewa nia ni kumuinua bas watu wengne wataelewa. Hiyo lebo nadhani imeachwa makusudi
@binaljabirmshihirzanzibar8369 Жыл бұрын
Kwel manenooo yako sahihi sound mbovu
@MitchellTosha Жыл бұрын
Ushaambiwa achana na tecno hutAki😂😂😂
@mikentoga11 ай бұрын
Chidi tunakukubali sana mwambaaaa ....fans tupo kukusapot kaka
@AwezaeKishaba Жыл бұрын
Duuh! Wabongo kweli polen sana sio wakupelekwa studio kwenye maojiano uyo,
@karibunyumbani3824 Жыл бұрын
Nani apelekwe ? Kuna some points ameongea kama umesikiliza kwa makini ni mtu ambae anaumia sababu anaona kipawa chake kinayeketea na anashindwa kujiokoa so ana stress MUNGU amsaidie
@tonymaster361911 ай бұрын
dah inauma sana huyu kaka yetu zimeluka kwaajir ya kupoteza mwelekeo
@ericraphael965311 ай бұрын
Uyu jamaa anaongea vitu vizuri sana msikilizeni kwa umakini nimemuelewa sana
@kdloon2030 Жыл бұрын
Kweli unga sio deal kabisa,yaani kipaji kina teketea taratiibu.
@saimonwantango9569 Жыл бұрын
Yaani mmefanya makosa kwa nn msimtafute akuwa sawa jamani,mmezingua kabsaa
@itanzaniaAS Жыл бұрын
Mungu anakupa riziki unaingiza hela kwenye madawa😢😢POLE UTAJUA MWENYEWE
@kensonyjulius5691 Жыл бұрын
Amka broo
@hamisijumanne4137 Жыл бұрын
Wanazingua sana awa cloud et
@ellynkyalu6423 Жыл бұрын
Kama anakula unga choko kama machoko wengine
@bakarijuma6902 Жыл бұрын
Huyu chidi na mkubali sana tena sana Hivi huyu kaacha kweli? Mambo yale ya kuwapoteza vijana?
@nelsonleonard6768 Жыл бұрын
Mtangazaji kakera sana!
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm Жыл бұрын
kwenye mziki hakuna mungu hp nimemuelewa .mziki ni ushetani😅😅😅😅😅😅
@IbrahimSuleyman-j8n11 ай бұрын
Madawa sio mazuri na music sio mzur, uchawi una husika sana
@PriscarMwakarindile Жыл бұрын
😅😭😭daaah Mungu tukumbuke
@MohammedMohammed-uo5sk Жыл бұрын
Chidi mm nakukubali kweli, kweli kabisaa
@rubenladislaus7249 Жыл бұрын
The man has gone, he need to accept the reality! We just pray for him!!
@tshishimohamed9086 Жыл бұрын
Nimemskiliza sana chidi points zake zina umiza sana 😢😢
@amerwelder778611 ай бұрын
Solution aache pombe tu
@petercostakisoka Жыл бұрын
Daah chidy unga ndy imekuflis iyo kitu aionjwagi wasanii wa hip pop mnapoteaga kwa kuwaiga wale wa majuu ungekuwa na manyumba ya wapangaji na magari usiseme umelongwa ulijiloga kwa kula unga
@Ronymante Жыл бұрын
Maskini ,I grew up kumsikiza huyu mwamba Tz kulikon
@peterernest3373 Жыл бұрын
duuh bado anatumia madawa uyu
@HansBwoi Жыл бұрын
Watu wame jalibu kumsaidia chidi lakini anaacha mwezi alaf analudia watu wana maisha yao pia
@blandinapeter700411 ай бұрын
I love you Chid
@SammyBaraka-y4d Жыл бұрын
Huyu jidi mnamlaimu wengiwenu mkisema nimadawa but kwaufahamu wangu watanzania madawa hayawi hivi kuna tofauti ya mteja na chidi huyo anashida hatakama ywatumia madawa but hio reaction Sia uteja.
@JumanneFaustin Жыл бұрын
Jaa anawasema wenzie wanawaharb watto kwa nyimbo kam 'basi ntongoze'!! Kwhyo yeye kula madawa nakuw bwii namn hyo ndio watoto wajifunze kuwa ivo😅
@joshuachimwejo5892 Жыл бұрын
Life!
@shaabanramadhan6770 Жыл бұрын
Rashidi kashindwa kabisa kuacha unga dah!
@ziadasalimu1730 Жыл бұрын
Yaani kapotea kabisa jamani ha! Kwani hajapelekwa soba jamani
@Mina.15 Жыл бұрын
Here in USA 🇺🇸 kuna drug name FLAKER VERY 😢 ppl are walking like zombies
@ashurajengela3926 Жыл бұрын
Dah walaaniwe wauza unga pumbavu zao shetani awalambe matako usiku 😢😢😢😢
@agnesjohn9382 Жыл бұрын
😂😂😂 awalambe matako usiku siyo
@cosmascastory919311 ай бұрын
From the artist to Teja duuuuh
@emmanuelchacha6718 Жыл бұрын
Change begins with You.The Only way ya chid kurudi kua normal ni kukubali Ana Tatizo then awe tayari kupata msaada.Ila kama hakubali Ana tatizo hata mfanyaje hawezi kua normal.
@chrissg4026 Жыл бұрын
Na Chidi ni M'bishi kwelikweli! Watu wanampenda na wanataka kumsaidia lakini hasaidiki wala habebeki!
@kamanapomo702911 ай бұрын
Mchiz akijitambua kua yeye ni chizi bas jua kapona, huyu inatakiw alazimishwe na c Kumbembelez
@ismailmasoud6001 Жыл бұрын
PODA ni NYOKO sana ......Jamaa Bado ANANYETA , ..!....akili za NGADA hizo
@bahatisalumu8293 Жыл бұрын
Uyo kasha data
@NdongaKichwa-hz7jf Жыл бұрын
Chidi benzi Kawa mwanamke
@MohammedMohammed-uo5sk Жыл бұрын
Ushetani kama wa .........
@dabanjax301711 ай бұрын
huyu mwamba namtambua sana bt mbona tena
@jacqueli18 Жыл бұрын
Sasa y haongei kawaida...
@FatmaAmir-s1o Жыл бұрын
Mimi nimemuelewa mno japo kunawatu wanamchukulia kua kwasababu anatumia unga anapoint nyingi 😊😊😊
@hassanihamisi6144 Жыл бұрын
Sikiliza maneno yake yanakufundisha kuna kitu hapa nje ya madawa
@HusnaSimbila Жыл бұрын
Anapoint sanaa
@petrokawau68211 ай бұрын
Huu ni udhalilishaji aisee
@MitchellTosha Жыл бұрын
Msaidieni plz😢😢😢😢
@AdamAlly-p6p Жыл бұрын
Tatizo xio uchawi niunga ndio umechu kuwa maixha Yako acha unga
@Zina-m2v Жыл бұрын
Chid benz hapendi kuwa ivi na huwezi muelewa kwa haraka lakini anateseka
@ShomariShukuru-kh2uz11 ай бұрын
Uyu jama watu wana mchukulia kawaida ila uyu ana mengi kifuani kwake