Mungu amlaze pema Ruge Ameen. Hakika atakumbukwa. That was very nice speech 🙌🏽👏🏼👌🏽👍🏽
@mudrickmudrick52155 жыл бұрын
Tumempoteza Mtu muhimu sana kwenye Jamii..Allah Ampunguzie adhabu za kaburi
@magdalenamwapinga48475 жыл бұрын
Ushukuriwe Mungu kwa ajili ya huyu Baba! Mtendee sawasawa na mapenzi yako.Hakika umetutoa matongotongo watanzania wengi
@josephmkindi46335 жыл бұрын
Nzuri sana kaka ezden clip bora zaid ya mwaka 2019 bila shaka itakua hii kama unakubal gonga like
@nabsonkifuge51152 жыл бұрын
Alikuwa mzalendo asiye na mfano ,alipanda mbegu njema na kutufundisha wengi . Apumzike kwa amani
@nyanzalakaporo25045 жыл бұрын
R.I.P Genius Jasiri Muongoza njia, Umeacha ujumbe mzuri sana kwa sisi vijana. MUNGU akupumzishe mahari pema peponi.
@musason16802 жыл бұрын
Mungu ampumzishe salama huyu baba
@josephinenestory23825 жыл бұрын
Josphine. Tumempoteza mtanzania mwenye uzalendo wa hali ja juu. Tumhenzi kwa kuyatekeleza yale aliyoyasimamia. Poleni wote. Mungu amlaza mahali pema peponi.
@rahemahrahemah27195 жыл бұрын
Mashaallah! yaani huyu Baba Allah Ailaze roho yake mahali pema peponi 🙏
@danchibomnyama42953 жыл бұрын
Daah mungu amlaze mahali pema peponi
@josedorothea79395 жыл бұрын
Waooh, kufundisha wengine kumbe ni vizuli weng wetu ni wachoyo wa elimu, now ntabadirika R. I. P Ruge Mtahaba jasili muongoza njia
@amalahmad65905 жыл бұрын
Daah asante Sana umenipa njia ruge pumzika kwa amani kaka
@stumaikaguna10335 жыл бұрын
Tunakumis sana Ruge Mutahaba,Mwenyez mungu akupumzishe kwa amani
@agathamichael88185 жыл бұрын
Daaah bado inauma kwa mtu kama huyu alikuwa ana nondo za ukwel za kutuondoa vijana ujinga....Asante kaka kwa kutukumbusha hilo
@karenyunus39295 жыл бұрын
Kazi nzuri Ezden. Unatuelimisha kupitia Mtanzania huyu mahili aliyeisaidia jamii yake. Kupitia maisha yake wengi maisha yao yataboreka
@siwemamelchior16865 жыл бұрын
Mbegu bora imeharibika . Pakacha limetoboka . Pumzika kwa amani. Repose en paix ➕
@esternzumbi18885 жыл бұрын
Santee sanaa kaka kwa kutufungulia dunia...... God bless you
@brightonshakila64065 жыл бұрын
Nakutamani ...nipate kua na hiyo spirit...pumzika pazuri Jasiri.
@fedharmmark63983 жыл бұрын
Aendelee kupmzika kwa amani Genius 💎🙏🙌💞💥
@jcomplext.v44095 жыл бұрын
safi sana kaka napenda sana kujifunza somo kubwa kwako ezden unajua kutumia frusa kaka natamani kuwa kama ww na histor ya ruge imenijenga sana na kivo chake ndio sababu ya mm kumjua cjawi mjua awali mungu amlaze mahali pema peponi
@dorndet61795 жыл бұрын
Ruge you were Genius(IQ). RIP.Dear.Thanks to God who brought you in this world.
@ramaamakasy14562 жыл бұрын
Mungu namuomba amsamsamehe madhambi yske
@Amylotu5 жыл бұрын
jamani, mjasiri sana kijana wetu.Mungu ilaze salama roho yake pema peponi. Amen
@alphamwipopo57255 жыл бұрын
Everyone should be a social entrepreneur by solving our problems internally. Dr Ruge.
@prophetaivan5 жыл бұрын
Don't be driven away by ideas that don't add anything to your passion. Maneno yako yamekuwa mwanga kwa wengi brother. R.I.P
@imakulatasingo19835 жыл бұрын
nilikupenda nitakupenda sana kaka ulale salama tunajifunza mengi kwako
@gembegeelias12545 жыл бұрын
Ni kweli kbx kk unaendelea kubadil maisha yang kwa kunifany kuwa na mtazamo wa mafanikio barikiwa xn na kam kuna namna ya kuwez kynpa support xn km una group la wasap nataman kujifunz zaid
@dawsonkaaya421010 ай бұрын
Vijana tusisahau kujifunz kutoka kwa Ruge Mtahaba Jumuia ya wazazi tuwakumbushe vijana wetu kuyaenzi ya RUGE.❤
@severnekazungu88925 жыл бұрын
Daaah Good speech
@dominicmahega19705 жыл бұрын
Nilikuwa naomba ushari kuhusu maisha yangu nilikuwa nahitaji nikueleze historia fupi
@musaemanueri73385 жыл бұрын
nimekutana nae kwenye azimio LA kagela luge sitamsaau kaniachia USIA mkubwa sana
@ahmadomar27114 жыл бұрын
@@musaemanueri7338 usia upi tujuze na sisi
@thegirl14055 жыл бұрын
Hakika nimeguswa sana na maisha ya Ruge Mutahaba so nimejifunza kitu vingi sana ndani yako ama kwa hakika nimeamini kesho yako itengeneze leo punzika kwa Amani brother Ruge Mutahaba tumekulilia😭😭😭 hata sie tusio kufaham nimejifunza mengi naamini nafasi niliopo nayo kwa sasa ina nafasi kubwa nzuri ya kuongoza njia katika maisha yangu, vijana wenzangu ukigundua umepata hatua yakupiga hatua mbele ishikilie kwa kuing'ang'ani inueni familia zenu, hudumieni wazazi wenu inauma sana mimi naona kuanza sasa najiita ukhty hlm kuongoza njia napigana angalau nionekane angalau kinyota kidogo kinacho ng'aa tueni na moyo kama wa kaka Ruge Mutahaba washikeni wenzenu mikono msiache wanahangaika mitaani R.I.P brother punzika kwa Amani nasi umetuachia jina Ruge Mutahaba muongoza njia nasi tutaongoza njia Insha Allah
@thegirl14055 жыл бұрын
Brother Ruge Mutahaba alikua na akili nyingi sana na mbunifu na alikua mjanja sana alikua anavuta vijana na kuwafanya wawe na maisha yao yawe imara
@thegirl14055 жыл бұрын
Ndugu zangu tusiukubali umaskini hatujazaliwa tuwe maskini hivyo tupige sana vita🏹🏹🏹🏹 na ukiona watu wanakusema sana/kukukatisha tamaa ujue mti wenye matunda cku zote ndio unaopigwa mawe
@tumajuma69175 жыл бұрын
R.I.p Ruge🙏.#tajiri wa roho.#jasiri muongoza njia.Tulikupenda ila Mungu alikupenda zaidi.Asante kwa busara zako.Tutakumiss ila tutaonana baadae inshaAllah.
@laurianj.luzwela28305 жыл бұрын
Nimeipenda sana
@zaitunikivelege55695 жыл бұрын
Thanks so much RIP Ruge ..kwa nini sikumfaham mapema nimemjua baada ya kufa ..
@boniventuremaduga85795 жыл бұрын
umeongea point sn! haiwezekan kikund kizima kufanikiwa
@secylovenessadaa42455 жыл бұрын
Amen Amen, Mungu akulaze Mahal Pema pepon Rip bro
@abdallahyahaya97603 жыл бұрын
Brain boss Extra intelligent Man Ruge Mutahaba RIP
@josephinenestory23825 жыл бұрын
Ndiyo maana Mzee Mengi alisema kwenye mazishi ya Ruge, kwamba Ruge ataendelea kuishi.
@salumnjenje74155 жыл бұрын
Aisee imebadili Sana mfumo wa maisha yangu from now...
@lailazingbar9355 жыл бұрын
Mwenyez mungu anakusudi rip
@semanasitv83035 жыл бұрын
napenda kumwita master mind
@mwanaishasuleiman16535 жыл бұрын
Mungu ana makusudi yake juu ya kila jambo lkn kama itafanyika kukusanya interview za Ruge zote zinaweza kuendelea kuwaelimisha wanaoziona kwa wakati huu kama mm ndio naanza kujifunza kutoka kwake wakati ameshaondoka Mungu amuweke anapostahili
@alfredmaliva82355 жыл бұрын
Mungu ailaze mahali pema peponi
@stephahObimo5 жыл бұрын
Brother sikuzote mungu anakujalia kutokana na juhudi na mipango na kutokuwa mbinafsi Hakika tunajifunza kupitia wewe mungu akubaliki
@aliebrahim94234 жыл бұрын
Elimu nzuri sana,ni vitu vya kujifunza.Hilo la Azam limenigusa Sana maana ni mfano uliohai.
@upendoj5 жыл бұрын
asante kwa ujumbe mzuri, Nakupogea huna matangazo ambayo hayana mantiki, upo tofauti.
@successpathnetwork5 жыл бұрын
Thanks Upendo
@shemahabdallah55945 жыл бұрын
Ipo vzur kaka ujumbe mzur kwa vjan
@jeaff195 жыл бұрын
asalam alyqum hongera sana kaka kwa kutuonyesha samani iliyo jificha ambayo kila siku tunayo ila haitambuiiii big up.
@clarapeter36625 жыл бұрын
dah asante umekuwa mchango katka jamii kuonyesha njia za mafanikio
@stevekanemelakatembotz88295 жыл бұрын
Hakika huyu Ni JASIRI MUONGOZA NJIA Nachukua fursa hii kukuombea mwenyezi mungu akupunguzie adhabu ya kabuli bab pumzika kwa Amani #Baba yetu Ruge mtahaba. Hakika pengo lako halitazibika kirahisi
@ashelbisaga95585 жыл бұрын
Mutahaba alikua mtu wa pekee!!
@castosawaka14735 жыл бұрын
EachOne TeachOne This Guy he was very deeply curiosity. Thanks Ezden For MoDetails
@obachristopher43895 жыл бұрын
Kk asante sanaa
@munnawwaryaqoob34145 жыл бұрын
RIP ruge umetuachia maneno mazuri kaka
@ezzlemill65025 жыл бұрын
let us live with words of ruge mutahaba
@asheryissa61005 жыл бұрын
Tangu nianze kuckiliza clip zako Ruge ukiwa unaumwa nikagundua kitu kwamba ulikuwa unaumwa mda mref ila uliamua kuficha saut yako ndan yake km inaoneaha figo zilianza kukutesa kitambo Daah chaupole kisaut najua mengi titafaidika uloyaacha yataendelea
@LazaroSamwel5 жыл бұрын
kazi nzuri kaka
@shijakongejatz86685 жыл бұрын
Kwel kabisa
@mr.chenge51025 жыл бұрын
Mr, uko vzr
@teresiamutua44875 жыл бұрын
He was a genius Rest in peace
@charlzzesonconsciousness66855 жыл бұрын
Brother unazidi ku ni inspire kila siku ujumbe mzuri sana na nmeanza kusoma kitabu kiitwacho #THE SECTET CODE OF SUCCESS naendelea kujifunza kila siku na najiona mpya
@lightnessjohn70935 жыл бұрын
Jamani. Poleni
@hidayamussa25895 жыл бұрын
RIP my bro. Please clouds can you compile all fursa semina and archive them into your library so that they can be available for generation to come
@francischikwindo26165 жыл бұрын
I appreciate your thinking
@charlzzesonconsciousness66855 жыл бұрын
Very powerful
@jailonoely445 жыл бұрын
Voice of revolution in Tanzania
@telesiamkumbwa88885 жыл бұрын
hakika ruge alibarikiwa hekima na maono
@Coachsamwel5 жыл бұрын
nimejifunza asanteee
@rahillhamidu25445 жыл бұрын
Allah akurehemu ruge MUTAHABA
@saadaharoon95914 жыл бұрын
Duu nimechelewa lkn cjakata tamaa mungu akuweke mahali pema
@elipharajapetro84105 жыл бұрын
True
@bensonbisare10785 жыл бұрын
Ruge alikua vizuri Sana, R. I. P
@eliachavala20955 жыл бұрын
Barikiwa kaka......kazi nzuri.
@godfreykirway43245 жыл бұрын
Mawazo yako yataishi kwa mda mrefu katika nchi hii!!najua ulipo una amani kwani umefanya makubwa!REST IN PARADISE BROTHER!! YOUR LEGACY WILL SURVIVE FOREVER
@mwanahawarajabu18373 жыл бұрын
Rest in.peace boss ruge hadi leo 2/10/2021
@filbertsulusi89633 ай бұрын
God bless you Luge
@malkoashaali54305 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏gift from God 💕💕💕💕💕💕❣❣
@enockyohana68565 жыл бұрын
Bro ezden hii video ikifanikiwa kumfikia kila MTU itafungua kila tatz kwa kila MTU atakae angalia ...kiukwel nivitu muhim tu vimeongeleka
@swalehebaraka40285 жыл бұрын
ruge was ahead of time
@bekarpaul Жыл бұрын
Dah life is too short.... Jamaa tunaishi na maneno yake mpaka sasa. R.I.P jasiri muongoza njia
@successpathnetwork Жыл бұрын
Naam
@aishaomary73845 жыл бұрын
R.i.p Ruge kweli ulikua jasiri muongoza njia
@chiomanonso2745 жыл бұрын
Kweli Rugee asilimia kubwa ya watanzania wachoyo wa material
@truthprinting80645 жыл бұрын
Truth printing, tunaprint Vitabu, kuanzia copy 50
@successpathnetwork5 жыл бұрын
Please contact me on WhatsApp 0759191076
@aliarkam14135 жыл бұрын
Nimejifunza mengi Leo
@enockyohana68565 жыл бұрын
Asee kaongeza kitu kikubwa sana kweny akili yangu
@tarikideu83805 жыл бұрын
jah bless ruge
@enockyohana68565 жыл бұрын
Wanao kupenda hawasemi ila wanao kichukia hawakujui..@ ruge
@khadijakhamis56043 жыл бұрын
Maishaa llah tabaraka rahman ruge alikuwa smart saana ki faham Maishaa llah vizuri havidum lakini hudum matendo yake mema mwenyezi mungu wape mema hata kwenye amal zao ruge magufur ni pengo kubwa saana mwenyezi mungu wape mema ahera yao,, ni mfano mzuri wa kuigwa
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Kweli walikua viongozi wazuri
@mwanakidaally97405 жыл бұрын
Dah umenigusa natamani ungekuwepo na umenifundisha mengi Rip bro
@saidihabibu44315 жыл бұрын
Mwanakida Ally
@leticiaaugustin49935 жыл бұрын
Nimejifunza mengi kupitia Ruge.Pumzika salama kaka.
@malkoashaali54305 жыл бұрын
We have lost the sun 💕😢😢😢😢😪😪😪
@richardmmakoi90095 жыл бұрын
Thanks
@shubackmashinga35355 жыл бұрын
Duuuu rest in peace mutahaba
@ericjonstz31204 жыл бұрын
Yote yamenigusa Respect my brother n R-l-P
@Rennyanselim4 ай бұрын
Kizuri akidumu pumzika kwa amani 8:35
@emmanuelmayombo61885 жыл бұрын
Asante
@mohammedrashid29062 жыл бұрын
Amin
@bennyfatel9 ай бұрын
Mwenye namba za Dennis mpagaze na please msikilizeni kazi zake
@mariammhoja78375 жыл бұрын
nimekuelewa sana R.I.P
@sufianntambi54195 жыл бұрын
Kazi nzuri sana 👏
@successpathnetwork5 жыл бұрын
Pamoja sana akhii
@rumibarton23594 жыл бұрын
Genius huyu
@deograsiamgeni57165 жыл бұрын
Amazing ivi kwa nini Wema hawadumu?
@malekelachinyama97075 жыл бұрын
very conscious R.I.P #Ruge
@fridaynjenje9925 жыл бұрын
Nikweli kaka unanitowa kila atuwa
@sumainterprisis97025 жыл бұрын
Rip Ruge tuzienzini busara na maneno yake na tutembee kwenye maneno yake tutafanikiwa sana tu.