Рет қаралды 168,246
Mbunge wa Mikumi na msanii wa muziki wa kizazi kipya, Joseph Haule maarufu Prof Jay ameelezea safari ndefu ya muziki aliyopitia huku akisaidiwa na #RugeMutahaba katika hatua nyingi hadi kufikia alipo leo.
#JasiriMuongozaNjia #RugeMutahaba #TutaonanaBaadae #PumzikaRuge