Pole sana … şifa kubwa unaonekana kuna ukweli sana hapa. Ila wewe hivi ulivovaa unaonekana na heshima tu , sasa tuwaombee Mungu awahidi na sisi pia
@aseelaisaa42829 күн бұрын
Pole❤sana sanaaa habibti mwanaharusi.pole sana nimekupendan sana sanaaa ni mkweli.umefanya jambo la maaana kutowa yote ukweli unaondelea inasitisha sana sanaaa kufanya vitu hivi ktk nchi yetu tunatakiwa tuwe loyal sana sanaaa ❤❤❤❤❤.sad sad .
@mishimusa622618 күн бұрын
Shukran habipty 🙏❤️🥰😍😍💗
@umsalim651529 күн бұрын
Pole sana, lkn wana media tunataka kuona wafanyakazi wa ndani wa Tanzania, muwahoji na wao
@AlHamra-k4u28 күн бұрын
Mzungu aninusuru nipo Oman atatoka kwenda popote zaidi ya Kurudi nyumbani. Wadada wengi wanakamatwa sana wanatuma mahabusu huko. Sina ndugu nitoke nikatembee namtembelea nani labda 🙌.
@Rizikialiamechannel76328 күн бұрын
Sasa ww unaogopa kukamatwa ukiwa na ndugu utatoka nje mana police huwakukamati Tu bila kosa
@RitbayRitbay28 күн бұрын
Na ukitembea ukipata shoga pesa haikai nawkambia wengine wamaliza pesa kwa kutoka
@AlHamra-k4u26 күн бұрын
@@RitbayRitbay duuuh hatari mwisho wa siku unarudi Tz huna hata shilingi
@innocentoisso686929 күн бұрын
Hata kana kaliwa kutokana na hayo mapito aliopitia atasema wamama punguzeni tamaa ya maisha tulieni kwenye familia zenu na uhakika hiyo safari Haina baraka za wenza wenu
@MariaThomas-wm9iq29 күн бұрын
Dda mkwel anamakando kando hta kdgo nmempenda
@annievibes879426 күн бұрын
Jokha hatoacha utapeli😂😂😂
@AlHamra-k4u26 күн бұрын
@@annievibes8794 Hivi jokha yukoje mimi simjui nisijeingia mkenge 🤣😂 maana Kuna aliwai kuniambia Mtafute jokha kwa bahati nikampata Suleiman
@annievibes879425 күн бұрын
@AlHamra-k4u suleiman ni shemeji yangu na upo kwenye mkono mzuri hatakutapeli huyo jokha ni mchaga aliolewa na muoman enzi za 90s na akapata passport ya Oman kwa kuolewa siyo muoman asili 😃
@FrankieFrank-e4e28 күн бұрын
Pole sana my sister
@mishimusa622618 күн бұрын
Shukran 🙏🙏🙏
@Asha-u3b29 күн бұрын
Mm nimekuja kuimba ama kufanya kz ya nyumba pole wallaih
@ayeshaaljabry28 күн бұрын
Ukikatiwa visit visa ni lazima ticket ya go and return na kama ni one way huwezi kukubaliwa kupita, mnaomuamini hamtumii akili ?
@annievibes879426 күн бұрын
Hawajawahi kusafiri labda😂ila huyo dada jokha ni tapeli kweli kwa hiyo maneno ya huyu dada mengine ni ya kweli 😅😅
@ayeshaaljabry25 күн бұрын
@ anaweza kuwa ni tapeli lakini story ya huyu mama imejaa uongo mwingi, inatakiwa wahojiwe na wa upande wa pili pia
@annievibes879425 күн бұрын
@@ayeshaaljabry nimeandika kwa kuwa namjua 💯
@sifatiiman20 күн бұрын
@@ayeshaaljabrywewe ndio jokha mwenyewe tumekustukia
@mishimusa622618 күн бұрын
Tumesafiri na Oman Air tulipofika airport tukaambiwa hiyo ni tiketi ya kwenda, tiketi ya kurudi imefanyiwa buking lkn haijalipiwa na ilikuwa sio tiketi ya Oman Air ilikuwa tiketi ya emeriety sasa nimeongopa nini navisibitisho vyote ninayo vya hiyo tiketi hewa kwani mie mshamba wa safari nimeanza kusafiri tokea mwaka 99 nafanya kazi ya mziki huko huko Oman lkn kwenye mahotel ya 5star niliongopa napata nini kwamfano au ili iweje
@Portugal30928 күн бұрын
Niliskia Oman wanajua Kiswahili ndio maana percentage kubwa ya wafanyikazi wa uko ni wa Tanzania
@sifatiiman20 күн бұрын
Sio wote tena wachache tu ndio wanajua kiswahili
@زيتونتنزانيا29 күн бұрын
Huyu dada anaongea ukweli. Ruwi ndio kuna pub huko watu wa nenda malaya kibao waschana wanaojiuza. Huyu dada anaongea ukweli. Hapo ruwi napajua waschana wanaojiuza hapo wamejaa
@annievibes879426 күн бұрын
Siyo ruwi tuu kuna sehemu nyingi wanajiuza mpaka wanaharibu sehemu za starehe😢
@@SamirahKiango wachafu hata cha kufananisha hakuna
@shamalharthisham205726 күн бұрын
Mmmm mama muwongo huyo teksi riali 5 astafirullah
@sifatiiman20 күн бұрын
Wewe ndio muongo huyo hadanganyi chochote
@AlHamra-k4u28 күн бұрын
Huko Ruwi unaambiwa wadada ni wengi wanajiuza uko. Kuna mfanyakazi hapa alikuwa mahabusu wiki mbili alikamatiwa Ruwi.
@زيتونتنزانيا29 күн бұрын
Vyote alivyo ongea huyu dada ınaonekana hakuna cha uwongo hata kimoja vyote inawezekana nivyaukweli mana anaongea vzr
@bintmrisho352629 күн бұрын
Anaongea vya ukweli ingekua vya kutengeneza angekua Ana babaika kutunga stor kazi ww
@RoseSesala29 күн бұрын
Hela inatafutwa kwa shida khaaaa,, pole sanaa
@ukhutfatumah115428 күн бұрын
Mhhhhh pole sana mpamanaji ndio maisha hayo ya utafutaji
@AishaMnyamwezi-o7x29 күн бұрын
Kwaiyo awoo wengine walikuwa wanaenda wapi kuangalia?
@RadhiaAlliey-l6u29 күн бұрын
Oman hairuhusiwi kuimba wala kujiuza uchafu wote.
@زيتونتنزانيا29 күн бұрын
Mziki upo hata wasanii wapo
@RadhiaAlliey-l6u29 күн бұрын
@@زيتونتنزانيا Mziki Upo kwamabar makubwa yamesajiliwa Sio kwa mazra
@RadhiaAlliey-l6u29 күн бұрын
@@زيتونتنزانيا kuimba imba nimeishi Oman miaka mingi sana huko Al raha tumeenda sana wakifunga mapolice wanatega watu wanatoka Maclub kuwaashika wa Sio I’d na walevi
@vaalonedearmy93929 күн бұрын
Passport id & public drunk naijua hiyo haswa siku ya ijumaa ili ulale hadi jtatu ndo utoke
@AishaMnyamwezi-o7x29 күн бұрын
Ulifanya Nini?
@SabraMohamed-ys6lv28 күн бұрын
Unajua oman kuna sheria zao pia huyu dd kaongea uongo mtupu kuna watu walokuja kufanya kazi hapa oman wanaheshima zao tena wanatafuta na mungu kuwaruzuku zaidi kwa length Lao la kuja kutafuta cha halal kwake ila kuna wengine wakija hapa length Lao ni kuja kutafuta kilokuwa akilini mwao hapo utakuja maelewano yao yy na boss wake mwanzo mengine baada ya yy kufika tu oman na kujiunga magroup mengine anadanganyika anatoroka au watadanganywa na wengine wabadili viza na kwenda kwa mwingine na kufanya kazi hur yake na yy mwenyewe ameamua kutoka ktk sehem alokuja mwanzo ilokuwa sahihi na yy mwenyewe kwenda kwenye kudanga tena kwa ridhaa zao wasisingizie waoman halaf limempata holo sasa watagombania mabwana na kufukuzana na kuanza kutangatanga ss hapo kosa la nani kuna watanzania wapo huku wanamiaka16 na wanaendelea kuwepo wao wanaokuja tafuta makubwa yakiwashinda watunga mambo wayajuo kuwachafua waoman na sababu ni yy mwenyewe kaharibu maisha yake anatupia waoman wapo dizain kama hawa wamejaa tele na kabla ya miezi2 walisombwa na Polis na wakatupwa rumande ss aibu hawana wanatuharibia majina watanzani waitwe wahojiwe na waseme live
@annievibes879426 күн бұрын
Hivi unamjua Jokha vizuri au unaandika tuu hao wote wawili jokha na Asha rukeshi si watu wa kuchezea 😂😂😂😂
@nasseralaufi930829 күн бұрын
We dada acha uwongo kesho unahisabu Kwa mwenyezi Mungu
@Nijuzetzdigital29 күн бұрын
nenda wewe kaseme ukweli😢
@زيتونتنزانيا29 күн бұрын
Hiv unaakili timamu umesikiliza kipindi cha kwanza au una COMENT utumbo
@yousifyousif-p7f29 күн бұрын
Kila mtu ana mapio yake ww umepata sehemu mzuri mshukr mungu usilopoke tu
@bintmrisho352629 күн бұрын
Hakuna uongo alioongea uyu dada vyote anavyoongea ni kweli
@ummohamed440428 күн бұрын
Mngefungwa nakutandikwa mkome kijiuza
@zuweinaalhabsya877328 күн бұрын
😅😂
@alimaftah764029 күн бұрын
Je kutokana n hali y maisha uliwah kudanga huko oman?😃
@MariaThomas-wm9iq29 күн бұрын
Kudanga awez kukosa muhimu hyo😅😅
@alimaftah764029 күн бұрын
@@MariaThomas-wm9iq yaan Ukiskiliza Tu Utajua Ndo wale wale😂😂 dah
@fatmaalnabhani360929 күн бұрын
@@alimaftah7640 Hapo sasa
@fatmaalnabhani360929 күн бұрын
@@alimaftah7640 Hapo sasa
@mishimusa622618 күн бұрын
@alimaftah764🙏🙏🙏🙏🙏0
@binthamoudshariff549229 күн бұрын
Mwanaharusi tangu unaanza kuja bado hujawajua tu hao km ni matapeli poleni
@زيتونتنزانيا29 күн бұрын
Huyo. Joha niyupi mie simjui. Huyo
@annievibes879426 күн бұрын
@@زيتونتنزانياfamous diva in oman bado ana mume 😂😂mume jina
@SamirahKiango26 күн бұрын
Bangali ndowatu gani
@AgnesS-vy5fy18 күн бұрын
Ni wabangiladeshi, ni sawa na useme watanzania,
@SamirahKiango26 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@fatmaalnabhani360929 күн бұрын
Ninja na kuimba wapi kwa wapi 😮😮 ?
@ruqaiamohammed34529 күн бұрын
Mbona watu wapo wanaoimba na kufunga wanafunga mwez wa ramadhani na alhamic na j3?
@زيتونتنزانيا29 күн бұрын
Acha ujinga kama hujui watu səma uelekezwe. Unakumbuka wimbo wa juma kakele safari. Yule dada anasema pole baba oooo poleee mumewangu asante
@fatmaalnabhani360929 күн бұрын
@@ruqaiamohammed345 Hii sio kukatazwa jiungeni na nyie na msafara wa Oman kwa kuimba na kuzini hassa kwa mwezi wa Ramadhan kisha inaitwa vunja jungu
@fatmaalnabhani360929 күн бұрын
@@زيتونتنزانيا Wewe ndie mwerevu sawa ? Nasema tena ninja haziendi na nyimbo ni kuficha ushahidi wa uhuni tu. Ukishaimba Ramadhan utafanya Ibada wewe kweli lakini?