PART 2: WANANDOA WALIOPISHANA MIAKA 38 WAMETAJA SIRI YA NDOA YAO

  Рет қаралды 41,614

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 518
@elizabethdismas7660
@elizabethdismas7660 4 жыл бұрын
Mbona naona aibu Mimi, Kam unaona aibu kama Mimi gonga like
@rozzana3048
@rozzana3048 2 жыл бұрын
Wewe shauri yako endelea kuona aibu wenzako wanasonga mbele
@ashabakari1448
@ashabakari1448 4 жыл бұрын
Huyu mama nahisi dish limeyumba na uyu mtanga mwenzetu umezingua sana
@vinickokindo2904
@vinickokindo2904 4 жыл бұрын
I love thus lady beautiful smile .I wish them nothing but happiness !
@augustinomwamasinga2200
@augustinomwamasinga2200 4 жыл бұрын
Vinick Okindo hehehe, why nothing
@sophiamacdonald2711
@sophiamacdonald2711 4 жыл бұрын
Eti mmewangu 😁😁😁
@joycewafula935
@joycewafula935 4 жыл бұрын
Yes😂
@janegeogre3234
@janegeogre3234 4 жыл бұрын
Naombeni namba za Go kiz ili nimsapot ktk huduma yake ya uimbaji na ktk kutangaza neno la Mungu! hongera sana mtumish wa Bwana! songa mbele mtumishi usjali maneno ya wanadamu!!!
@nurafedrick378
@nurafedrick378 4 жыл бұрын
Mm pia natamani kama hii Eee Mungu nipe subira namm nipate chet chandoa🙏🙏🙏
@maryhaule5625
@maryhaule5625 4 жыл бұрын
Mungu ni mwema utapata
@anthonyjoseph4979
@anthonyjoseph4979 4 жыл бұрын
Jamani Siku Ya Harusi hiii ningekuwa Kanisani Humo Ningekuwa Nacheka Tyuuuuu..Siwezagi kujizuia Mimi.
@omaryasili3554
@omaryasili3554 4 жыл бұрын
Yaaan mm ndio kabisa siwez kuzuia kicheko
@johnmatiko2596
@johnmatiko2596 4 жыл бұрын
Mimi naona sijui ndo bestman na mchungaji wanacheka sana
@claramkisi5268
@claramkisi5268 4 жыл бұрын
😂 😂 😂 😂 😂 Mimi kwa kucheka ningefukuzwa uko church
@anthonyjoseph4979
@anthonyjoseph4979 4 жыл бұрын
Hahahahahahahahahaaa!
@happynesslema7885
@happynesslema7885 4 жыл бұрын
Anthony Joseph kuwaga unang’ata ulimi itakuasaidia kujizuia 🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️
@moreenedwin5943
@moreenedwin5943 4 жыл бұрын
Afu uyu mwanaume eti tusaport penzi lao jinga uyu😁😁
@magdalenazilimu4343
@magdalenazilimu4343 4 жыл бұрын
khahahhahah
@twariatiomary486
@twariatiomary486 4 жыл бұрын
Hahaaa
@qonquererqanquerer1781
@qonquererqanquerer1781 4 жыл бұрын
Mambo ni Mazito!.
@happynesslema7885
@happynesslema7885 4 жыл бұрын
Moreen Edwin 🤣🤣🤣
@marryyohana89
@marryyohana89 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 mungu anakuona
@siwemamichael690
@siwemamichael690 4 жыл бұрын
Huyu mama sio mzima sio kwa cheko hilo
@mariamnamwa188
@mariamnamwa188 4 жыл бұрын
Nimependa ulipo sema usipo zaa utaangalia yatima kwa hapo b blsd aise that's my dreams too.ahafu huyu n mrwanda
@lazaromallya7895
@lazaromallya7895 4 жыл бұрын
You're welcome. lazmally25@yahoo.com
@ashajuma3826
@ashajuma3826 4 жыл бұрын
Mariam Namwa ni mrundi huyu mama ,na mjuwa vizur
@sarahmwaluko2480
@sarahmwaluko2480 4 жыл бұрын
Mama kwanza hongera kwa muonekano mzuri hata nimeshindwa kuamini Kama unaumri sitini na aisee bado unadai kuhusu penzi lenu Nina maswali mengi lakini no comment mwisho wasiku hayo nimaamzi yenu so wacha nibaki na maswali yangu
@gabriellabampema2346
@gabriellabampema2346 4 жыл бұрын
@@ashajuma3826 mama wa Jean Marie uyo hapo.Kasema amesahau jina lake la kizazi😡😡😡
@moreenedwin5943
@moreenedwin5943 4 жыл бұрын
Hehehe ja mani miwani😀😀 natabasamu la bibiee kweli go kz anamahaba duh jamani Dunia inaviumbe wake ila nimechekaaa sana
@imaculatadominic7005
@imaculatadominic7005 4 жыл бұрын
moreen nimecheka co kidogo
@mussaisaac
@mussaisaac 4 жыл бұрын
😂😂
@twariatiomary486
@twariatiomary486 4 жыл бұрын
Haaaa
@sabinaalex6341
@sabinaalex6341 4 жыл бұрын
Kama mjinga
@Airforcebz
@Airforcebz 4 жыл бұрын
Jina lake ni Gokeys Dokeys!
@rahmahersi6584
@rahmahersi6584 3 жыл бұрын
May God Bless your Marriage.
@anastazialymo3564
@anastazialymo3564 4 жыл бұрын
Tulio ona mbwe mbwe za go kiz gonga like
@mwajumabulugu4115
@mwajumabulugu4115 4 жыл бұрын
Tatizo watanzania tunafeli kufanya kitu kwa kuogopa watu watasema,mwisho wa siku tunajikosesha furaha.tufanye kitu roho inapenda bila kukiuka misingi ya dini
@isolatedbull
@isolatedbull 4 жыл бұрын
Bora Mwajuma wewe umesema ukweli. Kwasabu watu wawaponda wakati mwisho wa siku hakuna yoyote anahusika na maisha yao. Wanaoponda siajabu hawajavalishwa Pete na wengine hawajaoa kazi uzinzi tu😜😜😜
@fatmakhalfan2869
@fatmakhalfan2869 4 жыл бұрын
kbsa yan
@lazaromallya7895
@lazaromallya7895 4 жыл бұрын
Umetishaaaaaaa? + Answers are always like this.
@elizamwaigombe2457
@elizamwaigombe2457 4 жыл бұрын
Mwajuma Bulugu mungu weeee nikweli lakin
@pilijohn4267
@pilijohn4267 4 жыл бұрын
Umeongea kitu cha kwel
@mosesmwaisela2455
@mosesmwaisela2455 4 жыл бұрын
Acha ujinga wazazi wanataka wajukuu. Apo mbegu unapada kwenya ramii. Nguvu alokupa mungu unaichezea utakuja jutia badae.
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 4 жыл бұрын
Waacheni jamn wafuhie maisha ya ndoa yao, yaani hapo ungekuwa mwanaume ndo mwenye umri mkubwa mwanamke mdog msingetukana, Mbona Mzee flan tajir alioa kibint kidoooogo mlikuwa mkimsiaaaaa
@mohamedpesambili9460
@mohamedpesambili9460 4 жыл бұрын
We basilisa mungu anakuona😂😅😅 xi unajua lakn mwanaume haendi hedhi😄😄 na hedhi ina ukomo xax jiulize huyo mama bado mda gan ili axiwe anaenda hedhi?(menopause)🤩🤩🤩🤩
@mohamedpesambili9460
@mohamedpesambili9460 4 жыл бұрын
Muogope mungu basilisa 😁😁😃😃😃😃🤣
@salomerobert7898
@salomerobert7898 4 жыл бұрын
Aaah Asante kwa swali 😜go kiz to kiz.... mimi nimependa kiatu cha muimbaji ☺️🏃🏽‍♀️
@marycelinapaschal9619
@marycelinapaschal9619 4 жыл бұрын
Bi mdashi anapenda kukenua😁😁
@angelfelix7939
@angelfelix7939 3 жыл бұрын
😂😂aliyesikia go kizz ndo no1 Tz nzima🙌🙌🙌😂😂jmn
@mimsbaibe6mimsgul737
@mimsbaibe6mimsgul737 4 жыл бұрын
From Kenya ooh boy child uyu ni mamako roho ikapenda kazi iendelee kwa raha zenu love forever mamasboy
@CyimSky
@CyimSky 4 жыл бұрын
hili nalo tatizo kama matatizo mengine
@lubatikoseme6613
@lubatikoseme6613 4 жыл бұрын
We acha tu
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 4 жыл бұрын
🤣majanga jamani.
@salmajuma4015
@salmajuma4015 4 жыл бұрын
😂😂😂
@humphreydaimon7028
@humphreydaimon7028 4 жыл бұрын
Salma Juma 😁😀😀😀😁
@mariamfaki1166
@mariamfaki1166 4 жыл бұрын
Huyu mama ni m bakaji
@allnaturegoodgrafics9482
@allnaturegoodgrafics9482 4 жыл бұрын
Daaah Go kiz ana mbwe mbwe 😂😂😂😂😂
@mamaivansaganda9783
@mamaivansaganda9783 4 жыл бұрын
Happy Valentine's day. Wakukenua na mjukuu wako
@mgogomtata
@mgogomtata 4 жыл бұрын
Sema limama linakenua...kama lips sentimita 70 sema jamaa mama ako aliogopa...kuja kwa ndoa yako alihisi unamuoaa yeye🤣🤣🤣
@namelessunknown1377
@namelessunknown1377 4 жыл бұрын
Hahaha
@rehemaismail6816
@rehemaismail6816 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@ponsianasingo5348
@ponsianasingo5348 4 жыл бұрын
MG mtata tv umeua kabisa washenzi hawa😒
@merinaibrahimnampendayukov7007
@merinaibrahimnampendayukov7007 4 жыл бұрын
Sanaa tuu
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 4 жыл бұрын
Hahahaaaa
@stainasmkoko604
@stainasmkoko604 4 жыл бұрын
Hongereni mungu awatunze
@polisinibinadamu9527
@polisinibinadamu9527 4 жыл бұрын
Kama umesikia akimwita mr innocent piga like
@legendofxxxtentacion6879
@legendofxxxtentacion6879 4 жыл бұрын
uyo bi mkubwa ivi akili zake zipo sawa kweli😁😁
@kinyippalta9598
@kinyippalta9598 4 жыл бұрын
😂😂😂
@kelvinoisso8374
@kelvinoisso8374 4 жыл бұрын
legend of xxxtentacion uyo mwimbaj kanisan anainjoy watu 🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️
@محمدسالم-ظ2ف
@محمدسالم-ظ2ف 4 жыл бұрын
🤣🤣
@nancyjohn4147
@nancyjohn4147 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@michaelnzunda7347
@michaelnzunda7347 4 жыл бұрын
Mtambo
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 4 жыл бұрын
Wangapi waliowana wakiwa na umri uliolingana na ndoa hazikudumu? Ni wapi pameandikwa ndoa lazima umri utoshane? Waacheni watu na raha zao. Rika ndio wanauwana kwa mapanga kila kukicha.
@laylasuliman5805
@laylasuliman5805 4 жыл бұрын
Ni sawa vp ss kuhusu wtt inamana huyu jamaa miaka yake atoke empty asiwe na wtt akalie tu mapenzi
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 4 жыл бұрын
@@laylasuliman5805 Watoto ni baraka kutoka kwa Mungu. Kama Mungu hajakujalia wawezaowa msichana wa miaka 16 na asikuzalie kwa kuwa hana uzao. Na mtoto siyo lazima umzae hata ukipata wa kulea ni baraka pia.
@laylasuliman5805
@laylasuliman5805 4 жыл бұрын
Kweli mungu ndo anabariki wtt utakaowa msichana huwezi jua atazaa au laa ndo tutajua ni mipango ya mungu ss mwanamke tayari kashabarikiwa wtt na ukomo wakuzaa umeshamfika
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 4 жыл бұрын
@@laylasuliman5805 wangapi walizaa na hata kulea kukawashinda. Kuzaa siyo kilakitu.
@laylasuliman5805
@laylasuliman5805 4 жыл бұрын
@@damariszuckschwert9489 Bora uwe nao malezi yakushinde kuliko kutokua nao kabisa
@classiccell9671
@classiccell9671 4 жыл бұрын
Ila siku zote mwanaume atabaki2 kuwa mkubwa kwa mwanamke hata kama ni katoto ka miaka tano na mama wa miaka hamsini bado2 hako kakijana ka miaka tando ndo kakubwa ndo manake ikaandikwa sisi wanawale ni viumbe vithaifu na kando na hilo mungu alitakulia kumuimba mwanaume mbele ta mwanamke haijalishi mnazidiana na umri gani hata kwa bibilia wsko2 wengi waliowaoa wanawake wakubwa tukiabza na king solomoni alimuowa mke wa mfanyikazi wake baada ya kuuwa bwanako so hakuna jipya hapa wanawak tutabaki2 kuwa chini ya wanaume hata kama ni mdogo kiyasi gani . Age is just a namba
@kaliyahya8782
@kaliyahya8782 4 жыл бұрын
Dah hawa ni wanyabi kweliii😂😂😂😂😂
@fataomedia7050
@fataomedia7050 4 жыл бұрын
Hii sinema kanumba akasome
@qonquererqanquerer1781
@qonquererqanquerer1781 4 жыл бұрын
Nikwerekweche!
@zumbaabiyah3184
@zumbaabiyah3184 4 жыл бұрын
Asnt kwa kuniongezea Cku za kuishi!! 😂😁😱👏
@cdeleo9336
@cdeleo9336 4 жыл бұрын
Hahahahaha
@mwanamhd6748
@mwanamhd6748 4 жыл бұрын
Shkamoo miwani shkamo smile salut kwa wapendanao........nimecheka mno jmni
@dunduumaster4815
@dunduumaster4815 4 жыл бұрын
Mpaka mshipa wa K umekusimama
@benedictdingobenedictdingo4037
@benedictdingobenedictdingo4037 4 жыл бұрын
Mhh nimechoka na mauzauza ya Dunia hii 😂 😂 😂 😂
@twariatiomary486
@twariatiomary486 4 жыл бұрын
Haaa
@jenymtafya3430
@jenymtafya3430 4 жыл бұрын
Mh! Huyu mama akili yake haiko sawa, na sio real Tanzanian the way she speak swahili
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 4 жыл бұрын
Huyu Bibi ananikosha Hilo tabasam na anavojibebisha Hadi na acha mdomo wazi 😁😁😁nakuzaa nimajaliwa nasiyo umri
@sarahmcharo1548
@sarahmcharo1548 4 жыл бұрын
kwelii kabisaa hana raha mwenyeww
@madamloveness7274
@madamloveness7274 4 жыл бұрын
Huyu mama Ni mrundi na sio mtanzania ,niliwahi ona kwa tv Burundi ndio maana anasema kasahau jina lake alopewa na wazazi
@furahamwatwinza9560
@furahamwatwinza9560 4 жыл бұрын
Uko sahihi
@paulosonda8995
@paulosonda8995 4 жыл бұрын
Mwanaume akili zikimludia wataachana labda awe hana
@slimjumakimamba3979
@slimjumakimamba3979 4 жыл бұрын
Paulo nimecheka
@nancyjohn4147
@nancyjohn4147 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@merinaibrahimnampendayukov7007
@merinaibrahimnampendayukov7007 4 жыл бұрын
Paul, hujakosea
@zumbaabiyah3184
@zumbaabiyah3184 4 жыл бұрын
Kk upo sahihi!
@rosemaiko9405
@rosemaiko9405 4 жыл бұрын
Hatariiii
@silyadamian5708
@silyadamian5708 4 жыл бұрын
😎😎 hii inaitwa haruc ya kijan na kicheko 😂😂😂all de best
@Airforcebz
@Airforcebz 4 жыл бұрын
Jina lake ni Gokeys Dokeys!
@upendozahaki304
@upendozahaki304 4 жыл бұрын
ivi uyu mwanamke anajielewa kweli mmh tuwaombee watoto wetu
@rebecamolamu5096
@rebecamolamu5096 4 жыл бұрын
Yaan huyu kijana no zaidi ya zezeta ,tarehe ya ndoa hakumbuki,kanisa alilofungia ndoa hakumbuki,wasimamizi wa doa et yupoo......,yupoo....na wengine kibaooo
@joanitastephano3321
@joanitastephano3321 4 жыл бұрын
Huyu bi harusi ana vibanio kama vyote🤣🤣
@bryanfelix3771
@bryanfelix3771 4 жыл бұрын
Nawashauli ndungu zangu tuache matusi anaye bariki ni mungu kuna watu wapo nate kijana au vijana wanamani ndoa lakini wanaikosa wanapata wakuwazalisha tu. Huyo mama mjue nimlea wayatima hamna kubwa kama kulea yatima.hivo basi mungu kamkumbuka naomba tujifikilie mala mbili mbili hayo matusi tunayo yatoa naomba tuombe mungu msamaha maana uyo mama anavyo jiereza naona yopo sahii miaka 20 akiwa mjane
@celinakingu3097
@celinakingu3097 4 жыл бұрын
Hahahahahaha its realy amaizing and shoked and its happed just like miracles and un belivable ......DANCE ACCORDING TO THE TONE .......😃
@khadijamdoe1601
@khadijamdoe1601 4 жыл бұрын
my best couple ever🤣🤣🤣😂😊
@sesiliajohn2216
@sesiliajohn2216 4 жыл бұрын
Hiihiii
@justerinnocent7014
@justerinnocent7014 4 жыл бұрын
ivi we kijana umelogwa au??
@tatuta6529
@tatuta6529 4 жыл бұрын
Kijana kafa na mahaba mama anapenda kutabasamu mtihani sana huu
@zumbaabiyah3184
@zumbaabiyah3184 4 жыл бұрын
...huyu jamaa nae chenga, kanisa alilofungia ndoa kalisahau! Mke wake nae jina ulilopewa na wazazi kalisahau..!! 😱🙏
@sarahmwaluko2480
@sarahmwaluko2480 4 жыл бұрын
🤣🤣
@rebecamolamu5096
@rebecamolamu5096 4 жыл бұрын
Hahahaaaa wasimamizi wa ndo wawili na wengine kibao
@icecream8399
@icecream8399 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@claramkisi5268
@claramkisi5268 4 жыл бұрын
Uyu papaa kweli kwenda kumuonyesha mtt izo shavu zako Nyeuc 🤔🤔🤔😕😕😕Ulikosa mme waujana
@johnkyara1498
@johnkyara1498 4 жыл бұрын
Kama wana raha is good for them
@consolatamedard1700
@consolatamedard1700 4 жыл бұрын
Jaman uyu mama simzima kamuharibu mtoto wa watu atakanisa walilofungia ndoa hawalijui nimecheka kweli
@naamohamed9964
@naamohamed9964 4 жыл бұрын
Naona hakutaka kulitaja sbb waandishi wasiende kuhoji mchungaji
@nelsabugo3613
@nelsabugo3613 4 жыл бұрын
Mtanga yupo vzr....bibiharusi nae amepodoka
@Airforcebz
@Airforcebz 4 жыл бұрын
Gokeys Dokeys!🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤💥💥💥💥💥🙏🖥🎧👑🙌
@tunumakila2220
@tunumakila2220 4 жыл бұрын
Watu wanajua kuwakomaza watoto wa wenzao khaaaa
@naimaabdul142
@naimaabdul142 4 жыл бұрын
Nawasi wasi huyu mama sio mzima
@paulinasemindu1292
@paulinasemindu1292 4 жыл бұрын
😂😂😂
@magynzioka1122
@magynzioka1122 4 жыл бұрын
😂😂😂😂Naon unawivu ujavaishwa pete
@sheilamakungu6259
@sheilamakungu6259 4 жыл бұрын
Sawa lakini Kama wanisadia kuona hii Ni Kiki gonga like....
@benbenedict2720
@benbenedict2720 4 жыл бұрын
Wapo vizuri Mungu awabariki sana
@ami.atwaha7024
@ami.atwaha7024 4 жыл бұрын
Huyu mama sawa ni mtu mzima lkn heshima anayo kwa mumewe
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 4 жыл бұрын
Kuliko wengi wenye umri wa kutoshana.
@rosekweka9544
@rosekweka9544 4 жыл бұрын
Unajua huyu mtt Ni chizi na huyu Bibi pia nikichaa jamani mm nimewasikiliza vizuri nimewaelewa awanazote eti aujui kanisa ulilofungia ndio Mara sijui mchungaji alifanyaje kweli hapo Amna ktu kawapimeni
@almasymohamed1496
@almasymohamed1496 4 жыл бұрын
Dah hii ni sawa na kununua gazeti jioni habar zote washa soma wadau
@Mrshoo169
@Mrshoo169 4 жыл бұрын
Aaaaah expired
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
Heeeee dunia simama niteremke.naona greenish kama zote mapenziiiiiiii.Mungu awalinde.
@zuhramakus4639
@zuhramakus4639 4 жыл бұрын
Alieona wei yamchungaji tujuane
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 4 жыл бұрын
Jamani huyo mama ni nini lakini nimecheka sana, halafu hata kanisa walilofunga ndoa hawalijui linaitwaje yajayo yanafurahisha
@nurafedrick378
@nurafedrick378 4 жыл бұрын
Mama anatabasamu smt sana
@nyamkamawanjara29
@nyamkamawanjara29 4 жыл бұрын
Siku akitamani mtoto ndio apo atakapo cheat pumbavu kijana mjinga sana wewe huyo ni mama yako kabisa hivi nyie watoto wetu wa kiume jamani aibu hii
@mohamedpesambili9460
@mohamedpesambili9460 4 жыл бұрын
😁😁😁😁😂🤣🤣😆😆😆
@azizaaldhahari6387
@azizaaldhahari6387 4 жыл бұрын
Sio mama yke ni mjuku wake
@rozzana3048
@rozzana3048 2 жыл бұрын
Wewe zidi kuwatusi na hao wanaendeleza mapenzi yao
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 4 жыл бұрын
Eti Mume wanguuuu😂😂😂😂😂daaah,yaani mwenzenu nahisi km commedy vile🙈🙈
@Airforcebz
@Airforcebz 4 жыл бұрын
Jina lake ni Gokeys Dokeys!
@veojoseph488
@veojoseph488 4 жыл бұрын
Ci bure ufaham wa kijana umetekwa tena kwa hali ya juu Mungu akupe ufaham poleeee ci mtu wa kawaida
@mussarichard8144
@mussarichard8144 4 жыл бұрын
Mimi naona wote wawili kama vile dishi limeyumba sizani kama wako sawa tuwaombee
@abuumaryam1628
@abuumaryam1628 4 жыл бұрын
Hii dunia bana Ina kanuni zake "Ukishindwa kujishughulisha basi utashughulishwa wewe" Kijana ukishindwa kutafuta utatafutwa wewe Jamaa amenaswa huyu Huwezi kumpenda mzee kirahisi rahisi Mungu hajatuuumbu hivyo
@mussaothmani6273
@mussaothmani6273 4 жыл бұрын
Huyu dogo anatafuta laana tu hakuna chengine, maana kaamua kumvua mama yake nguo.
@Airforcebz
@Airforcebz 4 жыл бұрын
Jina lake ni Gokeys Dokeys!
@jeniphachristian2131
@jeniphachristian2131 3 жыл бұрын
😳😳 innocent nyange tena!🤭🤭ukoo wa nyange huu jamn😂😂😂😂🤣🤣🤣
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 4 жыл бұрын
Nguvu zako unazimaliza bule kuna kipindi hizo nguvu zitakwisha na utatimuliwa hapo atachukuliwa kijana mwingine mwenye nguvu ya kufanya kazi hiyo
@prisslakabyemela4891
@prisslakabyemela4891 4 жыл бұрын
Uyu mama kichwa kibovu
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 4 жыл бұрын
Jaman kama vilenawaona watoto wako wanavyo umia mama lakini wajikaze ty hakuna jins Dunia haina huruma 😁😁😁🤣🤣🤣
@mishibabu8946
@mishibabu8946 4 жыл бұрын
Huyo bi harusi vp meno wazi mweeeh mapenzi mema
@aishalukas5814
@aishalukas5814 4 жыл бұрын
Hahaaaaaaaaa
@happyfamilly1049
@happyfamilly1049 4 жыл бұрын
Nani alieona msuruwali washemeji akiceza na kuimba,mungu nisamee mimi
@mohamedpesambili9460
@mohamedpesambili9460 4 жыл бұрын
Eee mungu njoo utuchukue tu maana hakuna tunachokifanya duniani kwa xaxa vyote vimeisha🤩😂😅🤣😁😁😁😃😃
@beatricemapembe8941
@beatricemapembe8941 4 жыл бұрын
Yaani mwali kwa kucheka! Familia umepata mkwe hongereni
@otiliakapinga7488
@otiliakapinga7488 4 жыл бұрын
Anatamani kuzaa ata watoto ishirini😀😀😀😀
@Airforcebz
@Airforcebz 4 жыл бұрын
Jina lake ni Gokeys Dokeys!
@neemakaluwa2089
@neemakaluwa2089 4 жыл бұрын
Mambo ya green mpaka unajikuta km ni shamba la mchicha vile!! Maana c kwammechisho huo!!
@nurafedrick378
@nurafedrick378 4 жыл бұрын
haha mm naona nikibanda ya safaricom🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@leonardgewa5875
@leonardgewa5875 4 жыл бұрын
Hawa ndio wanaaribu jina LA Yesu kwa upuuzi wao wakiki, na viongozi wa kikristo wawewanakemea upuuzi km huu
@nelsonkazaura6954
@nelsonkazaura6954 4 жыл бұрын
Masikini kijana mdogo katekwa na kuzimu, bi harusi alisahau jina alilopewa na wazazi sasa wote wamesahau jina la Kanisa walilofungia ndoa. Makubwa!
@mwanatz5980
@mwanatz5980 4 жыл бұрын
Unajua kuchombeza kaka😂😂🤣🤣.
@deusmogahachi2620
@deusmogahachi2620 4 жыл бұрын
shikamoo mapenzi
@tatuta6529
@tatuta6529 4 жыл бұрын
Hatar sana kweli
@joycestephen9752
@joycestephen9752 4 жыл бұрын
Huyù kijana ameliza wazazi wake huyu mama asubiri kwa watoto wake mchungaji ana neno la kujibu kwa Mungu
@joycemageta4876
@joycemageta4876 4 жыл бұрын
Jimama linauza meno mpaka kelo
@mauaamani8378
@mauaamani8378 4 жыл бұрын
Jinga kweli kweli
@lilianrwegasira2769
@lilianrwegasira2769 2 жыл бұрын
Uyo kijana namuonea uruma jamani vijana awapendi kujituma ndo tatizo
@jerrysonshayo1557
@jerrysonshayo1557 4 жыл бұрын
Ivi vituko nimecheka... Yale yale ya dogo janja na uwoya yamerudi
@rahmamaskri2806
@rahmamaskri2806 4 жыл бұрын
Bora hata dogo janja lakin hii kali ya mwaka
@nyamogafamily4262
@nyamogafamily4262 4 жыл бұрын
Jamani jamani!!!Haya mafuriko cyo ya nchi hii
@lucytibe7790
@lucytibe7790 4 жыл бұрын
upepo wa kisulisuli😀😀😀😀😀😀
@mouradradmou7696
@mouradradmou7696 4 жыл бұрын
*Kakakakaka kakakakaka kakakakaka kakakakaka kakakakaka kakakakaka kakakakaka kakakakaka kakakakaka kakakakaka kakakakaka kakakakaka kakakakaka kakakakaka kakakakaka kakakakaka kakakakaka kakakakaka kakakakaka kakakakaka kakakakaka kakakakaka kakakakaka kakakakaka kakakakaka kakakakaka kakakakaka kakakakaka*
@glorynguma3593
@glorynguma3593 4 жыл бұрын
ww kijana jmn kweli umetekwa sikatai mapenzi yapo unaweza penda mzee au mzee akampenda kijana lakini lazima ufikirie future itakuwaj na huyo mtu utakuwa naye sasa huyo mama ana watoto na amebatika kuolewa kwahiyo moyo wake umetulia sasa ww kijana mdogo jmn huyo mama hawez kukuzalia mtoto.inamaana ww utaishi tu hutamani kuwa na mtoto ndio mnapendana lakin wat about future jmn mm nakuonea huruma
@laylasuliman5805
@laylasuliman5805 4 жыл бұрын
Haswa umenena watu hawafikiri hapa
@angeljoyce6836
@angeljoyce6836 4 жыл бұрын
Hiyo siyo ndoa ni komedi bwana msituzingue
@shedrackhm2204
@shedrackhm2204 4 жыл бұрын
...eti mme wangu si ndio! Ooohhh niokodeo ...koloni joi wanameremeta....
@ummukulthummohd5403
@ummukulthummohd5403 4 жыл бұрын
Bi harusi anarembua hatari
@naimanurdin8984
@naimanurdin8984 4 жыл бұрын
😭Eti nimejikuta me ndo mama wa uyo mwanaume natokwa na machozi hapa
@evaduttu8327
@evaduttu8327 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@bahatirngulika4493
@bahatirngulika4493 4 жыл бұрын
An hawa wannchkesha sn huyu mwanaume yuko timamu il huyu bibi hakuna kitu humo kichwan jmn anajibu km chizi tu,mtu unasahauj jin lako na huo mdomo anakenua n km dume la ng'ombe juu ya jike
@winnifridamilari4448
@winnifridamilari4448 4 жыл бұрын
Siku ya harusi atakuwa aliisahau miwani yake
@zakyahya4645
@zakyahya4645 4 жыл бұрын
Yani uyu mama anacheka mda wote mashallah
@regnethsangwa6148
@regnethsangwa6148 4 жыл бұрын
Kama umeuona mstari aliounyoa mchungaji kwenye nywele zake gonga like hapa twende sawaaaa
@augustinomwamasinga2200
@augustinomwamasinga2200 4 жыл бұрын
Regneth Sangwa eeeeh
@regnethsangwa6148
@regnethsangwa6148 4 жыл бұрын
Hahahaaaaa ,umeona eeeenh
@samsonphilmon6757
@samsonphilmon6757 4 жыл бұрын
Kama ndo habari za upepo wa kisuli suli huko makanisani basi....wanaume Kazi tunayo.
@shamsaog2998
@shamsaog2998 4 жыл бұрын
Mm najiuliza hivyo Vibanio na miwani cjui wana duka la hivyo vifaa
@eddydauson7525
@eddydauson7525 4 жыл бұрын
Yaan hata kanisa mlilofunga ndoa hamlijui???
My daughter is creative when it comes to eating food #funny #comedy #cute #baby#smart girl
00:17
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 74 МЛН
LULU ATOA MACHOZI MAHAKAMANI, HUKUMU YAKE NOVEMBA 13
1:52
FRANCIS DANDE (Habari Mseto)
Рет қаралды 25 М.
Similarities Between Arabic and Sicilian
14:11
Bahador Alast
Рет қаралды 1,3 МЛН
"Mawazo" Sehemu Ya 70 Thoughts Dr Elie VD Waminia''
36:53
Chomoza Tv
Рет қаралды 3,1 М.
GLADNESS KUFALUKA AMFICHA SURA MUMEWE AOGOPA KUIBIWA
4:54
Onlinegossip
Рет қаралды 767
My daughter is creative when it comes to eating food #funny #comedy #cute #baby#smart girl
00:17