Amina hallelujah mubarikiwe zaidi nazaidi watumishi wa MUNGU ninapata nguvu mpya kupitiya ushuhuda huu
@doreenmartin3105 Жыл бұрын
Nimetiwa moyo sana na huu ujumbe. Hakik a maisha yangu yako katika kujaribiwa, mapepo yananishambulia sana... Kuna wakati nimetaka kukata tamaa, kwa sababu nimedhani nimeomba vya kutosha, nimefunga, nimepanda milimani kukesha na kuomba siku kadhaa lakini mashetani yameendelea kunishambulia sana.... Sasa himesikoa kenzo ilikugharimu miaka ishirini ya ushindi wa vita....Oooo nimeinuka! Nitaendelea kufunga na kuomba usiku na mchana najua huyu shetani ataanguka tu. Asante sana
@YESUNIBWANA84 Жыл бұрын
AMEN AMEN AMEN 🙏 🙌 MUNGU AKUBARIKI SANAA NAWE PIA KWA USHUHUDA MZURI
@yudamwakatobe338 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mwana Mungu kwa ujumbe huu wenye nguvu wa neno la mungu
@عائشهعائشه-م9ق Жыл бұрын
Amen amen amen ubarikiwe mtumishi
@barakabaraka4508 Жыл бұрын
Amen
@maryandason1815 Жыл бұрын
Amen blessed kwa testimony
@gracelauzi9746 Жыл бұрын
MUNGU ATUSAIDIE TUSIMAME KATIKA UTAKATIFU WAKE TUTENDE YALIYO MAPENZI YAKE MUNGU AMINA
@loycejoshua531 Жыл бұрын
MUNGU atusaidie
@doreenmartin3105 Жыл бұрын
Nimetiwa moyo sana na huu ujumbe. Hakik a maisha yangu yako katika kujaribiwa, mapepo yananishambulia sana... Kuna wakati nimetaka kukata tamaa, kwa sababu nimedhani nimeomba vya kutosha, nimefunga, nimepanda milimani kukesha na kuomba siku kadhaa lakini mashetani yameendelea kunishambulia sana.... Sasa himesikoa kenzo ilikugharimu miaka ishirini ya ushindi wa vita....Oooo nimeinuka! Nitaendelea kufunga na kuomba usiku na mchana najua huyu shetani ataanguka tu. Asante sana
@Joyceisaka6 ай бұрын
Hakikaa tutiwe nguvu na hizi shuhuda na kusonga mbele tena