PART 4: DEREVA CATHERINE Asimulia ALIVYOSHUSHWA KWENYE SIMBA MIKUMI, USIKU HUKU MVUA IKINYESHA!..

  Рет қаралды 150,672

Global TV  Online

Global TV Online

2 жыл бұрын

PART 4: DEREVA CATHERINE Asimulia ALIVYOSHUSHWA KWENYE SIMBA MIKUMI, USIKU HUKU MVUA IKINYESHA!..
Hii ni sehemu ya nne ya simulizi ya Dereva Catherine Sanga, ambaye ni Dereva wa wizara Ya Elimu kwa sasa, ametusimulia mambo Magumu aliyoyapitia hadi ndoto yake kutimia ya kuwa Dereva mahiri nchini.....
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 181
@ngamugamahonzelosanga3316
@ngamugamahonzelosanga3316 2 жыл бұрын
Pole sana mwanangu na hongera sana kwa msimamo imara hakika ulilelewa katika maadili mema kama mzazi nimefurahishwa na nimehuzunishwa na kitendo cha kinyama alichokufanyia dereva pale mikumi hakika lisilopangwa na Mungu shetani hana nafasi
@user-wg5so4sd1e
@user-wg5so4sd1e 3 ай бұрын
Daaaah kiukweli mwanazo sikukuelewa 😢 daah pole na hongeraa sana kwa ushindi
@felixlangat740
@felixlangat740 10 күн бұрын
mungu aendelee kukubariki ... umevumilia
@constancekisaghi4001
@constancekisaghi4001 2 жыл бұрын
Very touching story. Catherine you are focused and determined to that work you hve so much passion. Indeed God protects n He works in miracleuos ways.
@sengendotwaha9333
@sengendotwaha9333 2 жыл бұрын
Yeah brave raddy
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Aiseee, Pole sana Dadaangu na hongera sana kwa Mafanikio yako.
@ticasitegeta5809
@ticasitegeta5809 2 жыл бұрын
Pole sana!
@winfridamwambogoja8962
@winfridamwambogoja8962 3 ай бұрын
Duuu Mungu atusaidie ... Pole Sana
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 2 жыл бұрын
Hongeraaa kwa huyo mzee au hao baba wawili
@shabanimara5449
@shabanimara5449 2 жыл бұрын
III nimeamini no store sio kweli
@deborahlitunda6097
@deborahlitunda6097 2 жыл бұрын
Amen 🙏🙏 Kwa huyo dereva
@hatibunkonga2350
@hatibunkonga2350 2 жыл бұрын
Sijawahi kusikia stori ya kuhuzunisha kama hii pole sana Catherine
@edwadymwakisuru1622
@edwadymwakisuru1622 Жыл бұрын
Duu! Hiyo ni aibu kubwa Sana.hongo ya mwili kwakiasi hicho pole sana sister Catherine nashindwa hata kukupa hongera ya mafanikio uliyonayo leo.ila umetoa funzo
@Dantaata
@Dantaata 2 жыл бұрын
mbona story iko clear hamna alichotunga,
@mbaleallymhapa3366
@mbaleallymhapa3366 2 жыл бұрын
Hongera dada maisha safari ndefu
@KhadijakassimMwaipaya
@KhadijakassimMwaipaya 3 ай бұрын
Mashaalh
@ramzy5280
@ramzy5280 2 жыл бұрын
Hii story sioni umuhimu wa kuweka Episode
@rajabumuya4680
@rajabumuya4680 2 жыл бұрын
Wanatafuta views
@summanelson5523
@summanelson5523 3 ай бұрын
Ni muhimu. Inaonyesha wanaume walivyoweka ngono mbele badala ya utu.
@mchawaamanmchawa593
@mchawaamanmchawa593 2 жыл бұрын
Nimependa story ongera sanaa dada umepambana
@lolimokolo3591
@lolimokolo3591 2 жыл бұрын
Ndiyo wana kuwa wengi sana.pole dada..
@summanelson5523
@summanelson5523 3 ай бұрын
Pole sana dear. Huyo dereva ni muuaji. Unamwacha binadamu mwenzio kwenye himaya ya simba! Kweli Mungu yupo. Alifunga hao simba wasimfuate uko kwenye calvert!!!!!
@mimosapudica1894
@mimosapudica1894 2 жыл бұрын
Mtangazaji mpe muda msimuliaji acha kumjaza maneno yako!!UNAMPRE EMPTY MZUNGUMZAJI
@denismokua189
@denismokua189 2 жыл бұрын
Pole wanaume ni nyangau dada, finally mungu alikusaidia, mungu mbele pia usisahau fungu la Kuni mungu mkubwa
@FrediMolell-ql9sg
@FrediMolell-ql9sg 2 ай бұрын
Pole san
@benwellrichard9339
@benwellrichard9339 2 жыл бұрын
Pole kwa mitihani uliopitia mungu ni mwema umetimiza malengo yako
@alfredaloyce6835
@alfredaloyce6835 2 жыл бұрын
Good sana dada yangu
@davidimartin9106
@davidimartin9106 2 жыл бұрын
Sehem ya 5
@nyangasashekarage2306
@nyangasashekarage2306 2 жыл бұрын
Pole sana dada katherin da juzi alhamic nilikuona shekilangu una draivu gali yako da kumbe ni ww pole dada
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 2 жыл бұрын
Waiting for next chapter
@Ayubmbugu
@Ayubmbugu 2 жыл бұрын
Asante kwa huyo dereva
@linahsemindu4261
@linahsemindu4261 2 жыл бұрын
Ila huyu dada hakuwa muoga kabisa khaaa kila dereva akikwambia twende unaenda jmn Ila hongera
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 2 жыл бұрын
Ni jasiri hatari mm namfaham
@rizikially9535
@rizikially9535 2 жыл бұрын
Sehemu ya 5 please
@katumabiyan5090
@katumabiyan5090 Жыл бұрын
Du!!Du!!Pole Sana dada!!Jamaa ana roho mbaya Sana huyo
@babanahbabanah4004
@babanahbabanah4004 2 жыл бұрын
Pole
@jonasmpita2206
@jonasmpita2206 Ай бұрын
daa kumbe kuna watu waungwana kiasi hicho dunia ya sasa, ningekuwa Rais sasa hivi ningemuita huyo dereva Mwalimu kumpa pongezi na kazi maalum
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 2 жыл бұрын
Duh!una mungu
@agnesmartin5716
@agnesmartin5716 Жыл бұрын
Daaah hakika Inasikitisha Sana
@wallesdavidprimarymasinga3382
@wallesdavidprimarymasinga3382 Ай бұрын
Huyu ni mwanamke wa shuka na mwenye msimamo natamani hata kuonana nae kupata challenge ktk maisha
@jefphitaliis6588
@jefphitaliis6588 2 жыл бұрын
Pole xan sisite
@johnboscokiringo2398
@johnboscokiringo2398 2 жыл бұрын
Vita ya msituni imejipiga na umefanikiwa,hakika ktk maisha usikate tamaa na uwe na msimamo thabiti.
@charlesmasesa89
@charlesmasesa89 2 жыл бұрын
Mh uu polesana dada
@danielmjerumani254
@danielmjerumani254 Ай бұрын
It's God
@HijiraHussein
@HijiraHussein Ай бұрын
Hakuna kitu rahisi katika maisha
@seifwashule274
@seifwashule274 Жыл бұрын
Vitambi wezangu oyeee
@trillhappybeautypoint9874
@trillhappybeautypoint9874 2 жыл бұрын
Ktk kila jambo jema changamoto hazikosekani but all in all God is good
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 2 жыл бұрын
Asannte brooo
@sembasitianayinzaki1253
@sembasitianayinzaki1253 2 жыл бұрын
Mnazingua sana. Vijipandepande mnaboa kishenzi
@augustinokessy152
@augustinokessy152 2 жыл бұрын
Nilimuona chuo kihonda huyu dada,kiukweli anajitambua sana,hongera kwake..
@ErnestSaimon
@ErnestSaimon Ай бұрын
Oyeeee
@hamidahamad1905
@hamidahamad1905 2 жыл бұрын
Asante nilikua naisubiri Kwa hamu part four
@mhebhoamoskisimple2095
@mhebhoamoskisimple2095 2 жыл бұрын
Part 5 mbona siioni
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 2 жыл бұрын
Heko hongeraaa kwa shujaa wa sita
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 2 жыл бұрын
Mnaweka vipande vifupi sana sijui kwann
@D-7Mnyama
@D-7Mnyama 2 ай бұрын
Aise sister we ni mpambanaji kwili kweli
@alexkalonga5323
@alexkalonga5323 2 жыл бұрын
Columbus le Babaziiiii nakufatilia sana mwandishi msomi !
@fredanunda7719
@fredanunda7719 Ай бұрын
So sad😢😢so sad😢😢evil men 😳😳
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Duh kwl asiye na mtu ana Mungu
@johnmgalatia5375
@johnmgalatia5375 2 жыл бұрын
Pole sana,ni story nzuri na ya kusikitisha
@salumuhilaly7593
@salumuhilaly7593 2 жыл бұрын
Ila uongo kazid majaribu yote yapite salama hhhhhh
@obadiahmwendwa3312
@obadiahmwendwa3312 Ай бұрын
Hio story ni miingi ungepeana tu hio dio maisha ya leo nipe nikupe
@chepason7212
@chepason7212 2 жыл бұрын
Muongo uyo anatunga anajua
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 2 жыл бұрын
History nzuri ila hao jamaa wanao tiya fujo hapo kwanini msiwafukuze wanafanya interv isifatiliwe vizuri.
@bigjizee4130
@bigjizee4130 2 жыл бұрын
Halafu hakukuwa na sababu ya kuweka vi episode kwenye story clear kama hii, mnatuchosha bure
@aronatv47
@aronatv47 2 жыл бұрын
Ukiwa na KZbin Channel ndio utajua sababu yake vizurii..
@bigjizee4130
@bigjizee4130 2 жыл бұрын
@@aronatv47 Wewe kama huna content usifukiri kila mtu hana content
@dn_cider9641
@dn_cider9641 2 жыл бұрын
@@bigjizee4130 😁😁😁😁😁😁😁😁😁
@kessyhusseinbarilulakamigw6285
@kessyhusseinbarilulakamigw6285 2 жыл бұрын
Naamin huyu dada alitumiwatu sema hawez sema ukwl kwan tial yupo kwnye intevew hvo hyu walimutumia Yani ushushwe kwny Poli hafu usliwe pia Kam nikwli bas story niyauingo hii
@shylagwadebalima7572
@shylagwadebalima7572 2 жыл бұрын
Wazo lako ni kama mimi,
@peterrulagora7403
@peterrulagora7403 3 ай бұрын
Acheni mawazo ya kipuuz
@nivancewali8192
@nivancewali8192 2 жыл бұрын
Pole sana dada mungu wa maskini halali shame on that evil driver
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 2 жыл бұрын
Una Mungu
@twaybaahmed3017
@twaybaahmed3017 2 жыл бұрын
hongera dada Catherine wewe ni mwanamke jasiri ili upate unachokipata lazima upitie changamoto ili ufikie malengo.
@castombilo7114
@castombilo7114 2 жыл бұрын
Wanawake wote wamaloli washatobwa Sana huyu dada muongo Sana
@shamsaalsalamy5159
@shamsaalsalamy5159 2 жыл бұрын
Huyu dada alukua na bahati sana, uwachwe mikumi pekeyako na uwepo , simba wa pale hawangoji mtu apate chance ya kukimbia, yaani walikua wameshiba au walimpenda tu. Is this true?
@georgebundala4609
@georgebundala4609 2 жыл бұрын
Hapa kuna kitu tumefichwa
@donaldmgomba7571
@donaldmgomba7571 2 жыл бұрын
Muongo huyu,hapa ndo ameanza kuharibu story,huezi kubali uliwe nasimba eti unabana papuchi,uongo mwingine sio poa hata mtangazaji anajifanya eti hastuki,upuuzi huu
@maxlupapa4554
@maxlupapa4554 2 жыл бұрын
Huu ni uongo mtupu
@rajabually8659
@rajabually8659 2 жыл бұрын
Wanaume tunamatamanio ya tamaa sana dah
@lilianambokile7795
@lilianambokile7795 2 жыл бұрын
Stor nzr ila mtangazaji unaboa unakata2 sn
@jamesjunior8641
@jamesjunior8641 2 жыл бұрын
Unatuzingua
@zabibubashiri3034
@zabibubashiri3034 2 ай бұрын
Dah kweli wewe ni mwanamke na nusu umenipafunzo sana
@munirahmed7753
@munirahmed7753 2 жыл бұрын
Huyu nae fix
@teresiawanjiku6890
@teresiawanjiku6890 2 жыл бұрын
God is good unfortunately alimaliza
@denniswoiso4439
@denniswoiso4439 2 жыл бұрын
Unakimbia kuliwa na dereva unaliwa na Simba😂😂
@hejopantumsifusimon21
@hejopantumsifusimon21 2 жыл бұрын
hahaaa aa unay vituko
@amoswekesa1476
@amoswekesa1476 2 жыл бұрын
Apo kwa vitambi nimecheka sana
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
😁😁
@salidakichile7634
@salidakichile7634 2 жыл бұрын
Wewe ni mwanamke wa nguvu mungu akupe miaka mingi ya kuishi
@bigjizee4130
@bigjizee4130 2 жыл бұрын
Huyu columba ajifunze kufanya interview na watu, bado hajui, ana wa interrupt sana watu kwenye interview nyingi, yaaani ana wa pre empty kiasi ambacho anaye hojiwa anashindwa kufunguka vizuri, kama mnasomaga comment basi someni hizi na huyu mwandishi wenu mpeni shule ya kufanya interview
@ilungasalle
@ilungasalle 2 жыл бұрын
Dakika kumi kumi zinatuudhi mnoooo
@richardchaula2158
@richardchaula2158 2 жыл бұрын
pole sana ila tambua hakuna urafiki kati ya simba na chui
@trillhappybeautypoint9874
@trillhappybeautypoint9874 2 жыл бұрын
Na madereva wa malori tunawajua tabia zenu🙌
@ephraimkyando6331
@ephraimkyando6331 2 жыл бұрын
Mdada noma huyo,hakika ni king'ang'anizi.
@saidrajabu9589
@saidrajabu9589 2 жыл бұрын
Muongo huyo story zinapandiliana
@RebeccaMwansasu-ks1uo
@RebeccaMwansasu-ks1uo Жыл бұрын
Dereva cathern
@chepason7212
@chepason7212 2 жыл бұрын
Nimchaga uyo huwa wanajua kutunga story
@emmanuelsanga4275
@emmanuelsanga4275 2 жыл бұрын
Mkinga
@mcback4384
@mcback4384 2 жыл бұрын
Sanga sio mchaga na wachagga hawaweki L kwenye R
@allymasuke1543
@allymasuke1543 2 жыл бұрын
CASE BANAA NIMEMPENDA BUREEEE SAAAANA ANAJUWA SAAANA ETY BABA ANAKITAAAMBI DAAHHH
@vumilialeonardi109
@vumilialeonardi109 2 жыл бұрын
Aise Sasa tutajuwaje Kama ueimuvuria Siri ni yenu wawili
@Elizabeth-gq9kl
@Elizabeth-gq9kl Ай бұрын
Aki niya uzunisana, sipendi vile alifanyiwa.
@theresiakaruhanga364
@theresiakaruhanga364 2 жыл бұрын
Huyu dada wajina wa mamangu najaribu kumsikiliza tena na tena story zake, Mambo mengi tunafanani, Mimi nilikuwa mfanyakazi wa nyumbani boss katana kunivamia usiku wa manane nikamtoroka nikaend kulala kwenye mwembe polini kwenye Giza Totoro. Naikasa mingi yakutisha na kushangaza. Namshukuru Mungu. Mwanamke ukisimama imara unaweza, hatua niliyo nayo Mimi mwenyewe siamini. Hongera sana dada wajina wa mama Azidi kukuinua✊
@aphlineagina356
@aphlineagina356 2 жыл бұрын
Amen God is able
@suleimanmdigo5062
@suleimanmdigo5062 2 жыл бұрын
Mafanikio yana changamoto yake ,daaah dada ana msimamo sana💪🙏🏼🙏🏼
@dishongmuchemiofficial143
@dishongmuchemiofficial143 2 жыл бұрын
Poa cn ,kw kweli aweza nifunza kuendesha gari kubwa, tafadhari
@omarysonky
@omarysonky 2 жыл бұрын
Kipande hichi kinaukakasi kina mashaka kidogo
@abdulsinga2464
@abdulsinga2464 2 жыл бұрын
Yes...kipade hiki hakiko sawa..
@CatherineMbatta
@CatherineMbatta Ай бұрын
Pole wajina ila majina ya catherine wana package flani ambayo watu wengine hawana
@karatuboyarusha2731
@karatuboyarusha2731 2 жыл бұрын
Uwe unamwacha mtu amalize kuongea
@philipsam9709
@philipsam9709 2 жыл бұрын
Dada uligongwa ila uwez sema
@christinachriss9231
@christinachriss9231 2 жыл бұрын
Maisha ni kupambana najifunza
@barakammari2044
@barakammari2044 2 жыл бұрын
Vingine ni vya uongo yani wanyama wakali wakuzunguke wakuache duh
@robertmalfa8509
@robertmalfa8509 2 жыл бұрын
Pana Nia Pana njia
@martinnaisosoi142
@martinnaisosoi142 2 жыл бұрын
Kwani wanaume wa Tanzania wako na tamaa aje
@pescopenterprises2728
@pescopenterprises2728 2 жыл бұрын
Kipande hiki kinauongo mwingi
@felixmagulu6142
@felixmagulu6142 2 жыл бұрын
Hapo kwenye karavati tumuachie Mungu.
@mwapachukikombe2083
@mwapachukikombe2083 2 ай бұрын
Kuna kauongo kidogo lkn
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 2 жыл бұрын
Unaota we mudada we mdada! Kutaka usaidiwe na mwanaume bila kutoa kitumbua! Labda awe baba yako!
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 2 жыл бұрын
Vipande vidogo mno,
@mussamsella8560
@mussamsella8560 2 жыл бұрын
Wenye vitambi changamoto kwenye hiyo michezo
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 14 МЛН
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 40 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 62 МЛН
HISTORIA: RAIS Aliyekatwa Masikio Akiwa Hai, Na Yeye Aliwakata Wengine
18:44
DUKANI KWA MEKU
11:05
Joti TV
Рет қаралды 294 М.