PART ONE: Humphrey Polepole afunguka mengi kuhusu WAHUNI, KULA KWA UREFU WA KAMBA na DENI LA TAIFA.

  Рет қаралды 9,896

Dizzim Online

Dizzim Online

Күн бұрын

Пікірлер: 28
@AdoAshu80
@AdoAshu80 2 жыл бұрын
Muheshimiwa Polepole rais wangu wa baadae 💪🏿💪🏿❣❣
@abelwabike1482
@abelwabike1482 2 жыл бұрын
Nakupongeza sana kwa hoja zako comred polepole, nakupongeza zaidi kwa kuendelea kutoa somo japo ulifungiwa on line TV yako. Wayahudi walimwua Yesu wakadhani wameweza, kumbe wamekamilisha ukombozi wa dunia. Wanaokuponda hawajui maana ya siasa na hata historia ya Afrika. Watu wenye ujasiri wa kukosoa mambo kila zama wapo na huwa wachache na ni muhimu kuwapo. Walioko madarakani wanapaswa kukuchukulia kama meter ya kupimia utendaji wao na siyo kukupiga biti. Watu wenye misimamo kama yako ambao pia kwa kiswahili fasaha huitwa "social thinkers" hupangwa na Mungu na kauli zao zinakuwa na nguvu Fulani za kimungu. Wanaokushauri ukae kimya wao ndiyo wafumbe midomo. Kama Nelson Mandela, Mwal. Nyerere nk. Wangeogopa kusema ukweli, leo hii Afrika ingekuwaje.
@herielstephenmsanga
@herielstephenmsanga 2 жыл бұрын
kumlinganisha Polepole na Mandela au Nyerere unakosea sana, uwezo wa Polepole ni mdogo maana amekua kigeugeu wakati hao Elites umewataja hawajawahi kuwa vigeugeu.. Na mfano hai ni kumuangalia Polepole wa Mchakato wa katiba ya Warioba, Polepole wa Awamu ya Tano alipokua itikadi na uenezi na Polepole wa leo..ni mtu mmoja katika aina 3 za utu kitu ambacho kwa hilo tu huwezi mlinganisha na Wazee uliowataja Mandela au Nyerere
@deusrobart8181
@deusrobart8181 2 жыл бұрын
@@herielstephenmsanga mhuni ww kama wa huni wengine
@josephgomalo41
@josephgomalo41 2 жыл бұрын
True that. Watu hujifanya wanamjua Mwalimu, Uncle Magu au Mandela bila kutambua ya kuwa watu hao wangewapelekea moto hata wao wenyewe (wahuni) endapo wangekwenda kinyume kwani lengo la viongozi hao lilikuwa ni ukombozi wa muafrika! Wanaompiga vita Polepole leo hii wangempiga vita Mwalimu, Uncle Magu au hata Mandela kwa manufaa yao binafsi ya kihuni..!
@nestor384
@nestor384 2 жыл бұрын
Humphrey Polepole is the future prosperity, labda WAHUNI wamuhujumu! Hon. Polepole the true African finest son
@ooafrica3626
@ooafrica3626 2 жыл бұрын
Polepole ni Nyerere wa II NAONGEA KILA SIKU
@alindabenjamin6672
@alindabenjamin6672 2 жыл бұрын
Big up sn.Mh Polepole
@seshiorman6924
@seshiorman6924 2 жыл бұрын
Tunakukubali sana mh pole pole endelea kuwanyoosha ndo njia yako ya kufika peponi
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 жыл бұрын
MH.POLEPOLE umesema ukweli kabisa, bwawa la nyerere likamilike chap chap
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 жыл бұрын
Inashangaza watu wenye upeo mkubwa wametolewa, halafu tunawekewa wahuni. Inasikitisha sana 😢
@ilampahamisi5777
@ilampahamisi5777 2 жыл бұрын
Nashukuru Mungu kwa ajili ya H. Polepole. Mungu yu pamoja nawe. SSH amekuteua kuwa Balozi hapo Zambia, that's good for you, you will acquire new experience. Go Zambia hopes one day we will see you in executive!!
@essencebespoke1934
@essencebespoke1934 2 жыл бұрын
Positive mind always wins
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
We nawe sahihisho sio Zambia 🇿🇲 ni MALAWI 🇲🇼 🤣😀
@venancemalima1181
@venancemalima1181 2 жыл бұрын
Kiongozi mwenye uwezo ambaye hana nafasi kutekeleza ndoto zake ktk Taifa la Tanzania.inasikitisha sana 😢
@abelwabike1482
@abelwabike1482 2 жыл бұрын
CCM tunaipenda na dira, maono, malengo na imani za chama viko safi sana. Tatizo ni tukubali wamo wachache wamefanikiwa kupata nafasi za uongozi ndani ya chama au katika serikali ya CCM ambao ukweli ni wahuni. Na wabunge wa CCM mkiwa waoga mkabaki kuwa watu wa ndiyo tu mjue ni hatari sana kwa Msitkabali wa CCM kama chama cha siasa, Mzee mmoja alisema tatizo la CCM baadhi ya viongozi wa CCM ni kujiamini kupita kiasi, hata wanadhani kwenye soko la majogoo hata mabundi wananunuliwa. Wawaache wanaothubutu kutufumbua macho kuwa huyu ni bundi na si jogoo waseme kwa Uhuru kabisa kwani hiyo itakisaidia chama kuendelea kuwatawala na haki kikatiba. Vinginevyo wasidhani watanzania hawana uwezo kutofautisha kati ya jogoo na bundi.
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 жыл бұрын
#kataa wahuni, MH.POLEPOLE OYEEEEEEEE
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 жыл бұрын
Tuongezee, wahuni,+mafisadi +majesusi +MAGAIDI yameingia mpaka ikuru.
@chalressikana2389
@chalressikana2389 2 жыл бұрын
Toyota rahum
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 жыл бұрын
JPM TUTAENDELEA KUMKUMBUKA DAIMA. 2025 uchaguzi utakuwa mgumu tena sana.
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 2 жыл бұрын
Anafaa kuwa raisi wa nchi hii
@deusrobart8181
@deusrobart8181 2 жыл бұрын
Kataa wahuni
@kingmichael1234
@kingmichael1234 2 жыл бұрын
Muheshimiwa pole pole najua unajitahidi sana lakini baadhi ya watu wachache wasio waadilifu watakupiga vita lakini usiache kuendelea kuitetea haki ya watanzania, wote masikini na matajiri wakristu na waislaam, sisi wote ni watanzania. Haki ni lazima isimamiwe na Mungu atakulinda
@anordkingstar5793
@anordkingstar5793 2 жыл бұрын
Wazalendo wa nchi yetu tu,,, ndo tutakao kuelewa nini unaongea,,, vilaza hawawez kukuelewa pamoja san mzalendo wa kwel 🇹🇿🇹🇿
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Huyo 2030 mama muda wake ukiisha atachukuliwa atakae pewa urais na wahuni watakaa pembeni huyo bado mtoto sana ana nafasi kubwa za kufanya kazi za kujitegemea
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 жыл бұрын
Tatizo wahuni hawataki
@jnote9283
@jnote9283 2 жыл бұрын
Shikilia hapohapo muheshimiwa
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 170 МЛН
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 37 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 22 МЛН
POLEPOLE AANIKA SIRI YA MAGUFULI "YEYE NI HATUA MOJA KUFIKA KWA MUNGU"
4:51
Alichosema Polepole katika Mdahalo wa Katiba Mlimani-City
33:26
Amb. Humphrey H. Polepole
Рет қаралды 82 М.
Hongera Na Kila La Kheri Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa.
6:18
Chama Cha Mapinduzi - Official
Рет қаралды 3,7 М.
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 170 МЛН