Sijawah ona jini anasalimia bwana Yesu asifiwe wala kwenda ktk maombi sijawah ona..naona wanaenda msikitini tuuu🙌🙌🙌
@adamnasango4 жыл бұрын
Ukipanua Akili utaona
@euniceeunice76804 жыл бұрын
@@adamnasango ata apa ktk history sijawah ona mtu anasema jini nikaenda nae kanisani ila naona jini kwenda msikitini madras na kusalimia kwa kiarabu na majini wote ni washombe kama waarabu ivi 😂😂😂😂😂😂😂jini nae anaenda msikitini 🙌🙌🙌
@hajimnzava34234 жыл бұрын
Hatamimi sijawahi kusikia mini akisalimia bwana yesu asifiwe sijui kwanini
@euniceeunice76804 жыл бұрын
@@hajimnzava3423 nisaidie wewe...maana mda mwingine ukweli usemwe apa ktk story zote sijawah ona mtu anasimulia eti jini kamsalimia bwana asifiwe ..si apa apa kila siku tunasikiliza story za kweli kbs
@abuu_khaki41204 жыл бұрын
@@hajimnzava3423 huwenda ukusikiliza juma wa julieth au yule mchungaji alietokewa na watu watatu kanixani na kumfanya apoteze ibada
@nancygitau52684 жыл бұрын
Hi davista. I'm Kenyan but I like your series. They are very interesting though kiswahili at times chanichanga 😂the swahili is so deep but I still enjoy
@ummusulaish55864 жыл бұрын
Shukran sana bro kwa kaz yako hii unayofanya tunajifunza sana
@fredichaki48684 жыл бұрын
Pa moja
@mwamurekadenge21614 жыл бұрын
Perfect story divester mata that🔥🔥🔥👊👊
@iamfadhili3 жыл бұрын
Very interesting stories Davista 👌
@farhathamdansalum97254 жыл бұрын
Dhuuu, noma sana aisee
@beatricekweka66834 жыл бұрын
Mmmh..Mambo hayo..pamoja Sana Davii Davii.....Mungu akutunze.. 💪
@hebronsdaughter16614 жыл бұрын
Amen
@stivenmgonja59084 жыл бұрын
Leo mapema sanaaa
@pilimusa77704 жыл бұрын
Hongera
@jamilaally31724 жыл бұрын
Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big up 🙏
@allyiddakizimana71034 жыл бұрын
Yeah wa pili 👏👏🍻
@nurusalim8464 жыл бұрын
Hongera
@pilimusa77704 жыл бұрын
Hongera
@omaryally1984 жыл бұрын
Show show safi Musa mpaka jini kaelewa show ilikuwa sio ya kitoto 😀😁👊👊🤙🤙
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
😎
@lydiaingolo16784 жыл бұрын
Huna picha ya huyo jini na Mimi nimuone jamani 😜
@jamesmuhia10474 жыл бұрын
254 tupo duh! Leo nimewai..
@mursallusinde91894 жыл бұрын
Wakenya 🇰🇪😂 mnatupenda wabongo 🇹🇿 ila kuna wakt mnajifanyaga wabishi ila one love Corona ilitaka kuvuruga udugu wetu ila tupo p1🤣😂🙏🏻
@pilimusa77704 жыл бұрын
Hongera
@ayshamahariq66654 жыл бұрын
@@mursallusinde9189 Hongera
@jasminjuma63904 жыл бұрын
Hii stori inafanana Kama Ile ya juma na juliet ..... Ila pole Sana brother
@josephmuchiri31804 жыл бұрын
Brother safi sana akyamungu
@mariamripiti21374 жыл бұрын
Pamoja sana brother
@nurafedrick3784 жыл бұрын
Wewe pia ulikuwa ushauxwaaa kimawazo tayari nb umepeana hukuumempendaaa mtapendaaa majini
@ramadyzo55874 жыл бұрын
Nipe n like zangu
@pilimusa77704 жыл бұрын
Nishakupa
@fatmaalrshdii76154 жыл бұрын
Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli ulipo Nipo
@roseuwambe80894 жыл бұрын
Majini yana vishawishi sana
@rebeccapmashauli26484 жыл бұрын
Leo nimekuwa wa zero 🤣🤣😂
@nurusalim8464 жыл бұрын
Asante davista sijachelewa sanaa tunaelimika sanaa kaka . Pili musa uko wapii
@pilimusa77704 жыл бұрын
Ndiyo nimeingia sasa😂😂😂. Asante saana Nuru wangu
@nurusalim8464 жыл бұрын
Karibu kipenzi nimefurahi
@pilimusa77704 жыл бұрын
@@nurusalim846 asante
@ramadyzo55874 жыл бұрын
Wakwanzaa
@pilimusa77704 жыл бұрын
Hongera
@Quarantine-w5n4 жыл бұрын
before you watch the interview like share and comment guys👊👊Mata
@kibibi78264 жыл бұрын
Wakwanza leo mnipe likes zangu
@suleymanally47294 жыл бұрын
Hupat like kwakua ww nikibibi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@pilimusa77704 жыл бұрын
Hongera
@pilimusa77704 жыл бұрын
@@suleymanally4729 nilitaka kusema hivyo hivyo😂😂😂😂😂
@kibibi78264 жыл бұрын
@@suleymanally4729 sema unawivu tu
@ayshamahariq66654 жыл бұрын
@@suleymanally4729 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@cheptooemma2384 жыл бұрын
MR. Facts nakuelewa sana from 254 city
@somoeawadh77744 жыл бұрын
Pamoja sana Davistar 🤝
@alfambaga98234 жыл бұрын
Davistarmata umetisha mkulungwaaaa
@violinenyakara50284 жыл бұрын
Nawasili, part 2 ndugu davista
@mwishojamary59284 жыл бұрын
Wa kwanza
@pilimusa77704 жыл бұрын
Hongera
@fadhiliswalehe92864 жыл бұрын
Kwani yuwapata nn ukiwa wa kwanza badilika
@AbdulkarimMohamed-l3n19 күн бұрын
😂😂😂😂 hvi nijini gani akubali utowe Siri zake wacheni shobo
@alitoufik54774 жыл бұрын
Davister Bhana
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Akanikumbatia mtoto 😘😘😘😘😅
@naomiakoth29584 жыл бұрын
Wah part two plz
@nurusalim8464 жыл бұрын
Tunaisubiri kwa hamu
@pilimusa77704 жыл бұрын
@@nurusalim846 sanaa
@pauloabtwah42154 жыл бұрын
Namimi nilikuwa mchawi,njoo nikusimulie
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Kawasimulie bibizako huko hatukutaki
@amaradiombera21984 жыл бұрын
Ashanti sana sumulizi taamu
@gmdecoration60444 жыл бұрын
Binadamu wanabalaa kijana kampiga jini show show mpaka jini kamtumiya meseji kakubali show ilikuwa kali binadamu. siwaezi🏃🏃🏃🏃
@pilimusa77704 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 binaadamu nuksi
@gmdecoration60444 жыл бұрын
@@pilimusa7770 hatari sana mpaka jini anajuta kwenda🤣🤣🤣
@pilimusa77704 жыл бұрын
@@gmdecoration6044 😂😂😂😂😂😂 chezea Musa we.
@gmdecoration60444 жыл бұрын
@@pilimusa7770 musa katisha
@pilimusa77704 жыл бұрын
@@gmdecoration6044 simuona mwenyewe 😂😂😂😂
@pili37504 жыл бұрын
Kafanana na rayvany
@mereeilanzeee12324 жыл бұрын
Hizo ndizo zinazo tupa vunzo kweny maish
@zaynabakary52004 жыл бұрын
Duuh hatar Allah hatuifadhi
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Njia4 zenyewe zinasemaje
@emmanelly68644 жыл бұрын
Kaliii
@tonywambua95054 жыл бұрын
Kama kawa bro from 254 much love
@tracyangells75954 жыл бұрын
🇰🇪👍
@tonywambua95054 жыл бұрын
@@tracyangells7595 vp mrembo
@jeffmulei88953 жыл бұрын
Walisema mechak anadanganya sasa sikia hii majini wanaenda msikiti mapepo hao
@videozaaj10694 жыл бұрын
Hahahahahahah 14.21 eti akanikumbatia mtoto hahah kijana ana hatari huyu anasema jini ni mtoto
@acruxe58104 жыл бұрын
Zalbia ni pisi kali 😁🖐️ shombe shombe
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Ila jini
@deelissa27464 жыл бұрын
😂😂😂😂Davi et nyie si mulikuwa munasoma madrasa na Mambo Kama Yale VIP😂
@marysteven6054 жыл бұрын
Kumbe Dav naye alikua uko?
@deelissa27464 жыл бұрын
@@marysteven605 mmmmmmmh mwana kulifind jmn hp nilikuwa namnukuu tu davistar alivyosem bwan 😅
@ayshamahariq66654 жыл бұрын
Nmewahi leo🇪🇭🇪🇭
@pilimusa77704 жыл бұрын
Hongera
@ayshamahariq66654 жыл бұрын
@@pilimusa7770 shkuran
@pilimusa77704 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 karibu
@ayshamahariq66654 жыл бұрын
@@pilimusa7770shkuran daa 😍😍
@ayshamahariq66654 жыл бұрын
Karbu sana daa 😍😍
@zabiyafahmikhamis48734 жыл бұрын
Nilipote kidogo kwenye nyumba hii
@nurafedrick3784 жыл бұрын
Hii str yafanana nayulekijana alikuwakutana najini msikitini kama sijakosea😨😨😨😨mm hata sikujui mm kushoto wewe kulia
@ssds77814 жыл бұрын
Jamani mm namtamani huyo jini hata ciku moja tu🤪🤪
@alfambaga98234 жыл бұрын
Nikaona sms ya Asanteee sanaaa kwa show ya jana usikuu🤣🤣🤣🤣
@shodristvtv61214 жыл бұрын
😂😂
@jeaninemugisha63954 жыл бұрын
Jamani
@saidabdalla89964 жыл бұрын
Mei wa kwanza leo
@pilimusa77704 жыл бұрын
Hongera saana
@macamezungu27414 жыл бұрын
Asante dvsmtr🙄
@ayshamahariq66654 жыл бұрын
Wap daa pili njooooooo🤣🤣
@nurusalim8464 жыл бұрын
Mpenzi upoo na mie sijachelewa yuko wapi shoga angu pili
@fatmaalrshdii76154 жыл бұрын
Nimekuja japo amjaniita wadau wenzangu pamoja sana
@nurusalim8464 жыл бұрын
Karibu mpenzi Fatma hatujakusahau
@pilimusa77704 жыл бұрын
Nimeingia sasa hivi😂😂😂😂. Asante
@pilimusa77704 жыл бұрын
@@nurusalim846 nimeingia sasa Hivi. Asante shoga yangu Nura na Ayshaaa. Nimewasili😂😂😂😂
@butondodavid21054 жыл бұрын
Hizi ndoninazo zitaka na za utajir cyo wale waganga wanaojigamba hatackuwaelewa kabisa
@pilimusa77704 жыл бұрын
Mimi pia
@eshalibaba11954 жыл бұрын
😂😂😂mm saivi za waganga wala sisikilizii
@pilimusa77704 жыл бұрын
@@eshalibaba1195 unangoja za majini tuuu 😀😀😀
@eshalibaba11954 жыл бұрын
@@pilimusa7770 😂😂😂😂wale wengine wanatangaza biashara tuu uongo kibao
@pilimusa77704 жыл бұрын
@@eshalibaba1195 kabisaa. Za majini ndiyo zangu. 😂😂😂😂😂
@mfilaunimgululi54034 жыл бұрын
Daaa
@hajiabdalla57724 жыл бұрын
Huyo zimwi alikuwa haingii msikitin wala madrasa . Alikuwa anakuzuga kiini macho to uwone kama anaingia. Mana majina wanao muabudu mungu hawafanyi mapenz na binadamu wala hafany zinaa . Huyo ni jini mahaba afirit au ameasi .
@nasibubalonzizubusa34494 жыл бұрын
Majini wanamuabudu mungu pia wanamshimu Sana mungu na wanafanya mapenzi na binadamu wanamapungufu pia nao Kama sisi
@jangombeboys45364 жыл бұрын
jangombeboys1999 sah
@momyusuf77314 жыл бұрын
Duhhhhh mitihani
@hamisihassan26204 жыл бұрын
Wacha ni comment kabla sijasikiza simulizi
@pilimusa77704 жыл бұрын
Mimi pia. 😂😂😂
@ismailmasoud60012 жыл бұрын
Huyu kuhadithia hajui..!
@nasibubalonzizubusa34494 жыл бұрын
Majini ni wenzetu maana aliyewaumba ni mungu pia ila wananguvu na uwezo zaidi ndo maana jini ukimukosea
@ineix-ug5oo4 жыл бұрын
#Mtu makini there are my top stories I claim are still a little temporary bro😓
@johnassilvester16004 жыл бұрын
Haya tusikie
@hebronsdaughter16614 жыл бұрын
Huku kupenda bila kumjua mtu kiundani ni hatari sana
@pilimusa77704 жыл бұрын
Sanaa
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Alafu kenyewe kadogo
@linazuke58384 жыл бұрын
Leo nimewahi
@pilimusa77704 жыл бұрын
Hongera
@sapnaabdallah10844 жыл бұрын
Tuko pamojaaa
@ayshamahariq66654 жыл бұрын
sanaaaaaaaaa
@onesmojohn78454 жыл бұрын
Hatar sana
@alexjos76254 жыл бұрын
Inafanana na ya yule wa ntoto mariamu
@fredmwankaja93234 жыл бұрын
Ntoto mamu
@gmdecoration60444 жыл бұрын
Hivi ndio vitu vyetu sasa naomba wadada msiunguze mboga tunashindwa kuwapiga kwa heshima ya davista😂😂😂😂majini yote meupe
Jini huwa aliendi kanisani sababu majini uenda msikitini tuu ndio dini Yao kanisa ni sehem takatifu
@farhathamdansalum97254 жыл бұрын
Kk Davi, namba ya Bakari Said wa Kelinde upo nayo ama
@ayshamahariq66654 жыл бұрын
Hakox
@RahmaRahma-xp9jr4 жыл бұрын
Duuh
@karrolleschon39864 жыл бұрын
🇰🇪📣📣📣
@dorcaskarago28763 жыл бұрын
Mbona majini wapenda kwenda miskitini
@bebebebe56774 жыл бұрын
Hahahaha nacheka kama mazuli
@sallo27.704 жыл бұрын
Chanel Bunifu East Africa. Mtu Makini Pamoja Sana.
@angelmilele47304 жыл бұрын
.🏢🏢
@zabiyafahmikhamis48734 жыл бұрын
Hodiiii
@wantangosaimon52954 жыл бұрын
Hivi naombeni niulize kitu jamani tangia nimeanza kumfuatilia Davis cjawahi sikia mkristo kapendana na jini why isilamic only?
@dripboy20264 жыл бұрын
Sababu waisilaam mnaamin sana majin wakat majin ni malaika waliomkana mungu nakua wafuas wa shetan alafu mnasema et kuna majin wazur na wabaya mm nachoamin majin wote niwabaya ila wakija kwa binadam wanakuja kama wema ila kumfanganya binadam amuamin
@wantangosaimon52954 жыл бұрын
@@dripboy2026 ok nimekwelewa
@fadhiliswalehe92864 жыл бұрын
Wanafuatwa na majini mabaya ili wawapoteze hawawezi kufuata makafiri sababu wamepotea ni kuni za motoni
@wantangosaimon52954 жыл бұрын
@@fadhiliswalehe9286 huyo ni muislam na huyo jini aliyenae anaeua ni mzuri ama na navyojua hakuna jini mzuri bro
@wantangosaimon52954 жыл бұрын
@@fadhiliswalehe9286 na tunaamini jini ni shetani sasa iweje ukalibishe xhetani na huku unamuomba Allah?
@iranangole70074 жыл бұрын
Nina karbia miez 2 cjasikilza mikasa nilkuwa nasubr story za majin Leo nimefurah
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Jini irana shikamo
@AbdulAbdul-pr9qe4 жыл бұрын
stori nzuri ila haina muhadithiaji tu
@wardahzajly31494 жыл бұрын
Uongo huo mmmmh
@abbyadams86914 жыл бұрын
Yaani jini linaingia na kusali ndani ya nyumba ya ibada? Inhiiiiiiiii! Ivi inawezekana jini likaingia ndani ya kanisa na kutoka salama? Thubutuu! .Kubali kataa Jesus is Power beyond all powers
@limajblessed71324 жыл бұрын
Ndio majini yako na dini pia tena wao niwaumini kuliko binadamu
@Wardaskitchen14 жыл бұрын
Majini wanaingia popote wakitana, kuna majini ya aina mbalimbali
@abbyadams86914 жыл бұрын
@@Wardaskitchen1 Toka uanze kusikiliza simulizi za majini,lini umewahi sikia jini likiingia kusali kanisani? Km ipo naomba ushahidi
@abuuhafsasaad94054 жыл бұрын
Uelewa ndio shida ,,,, kwani mwizi hawez kukimbilia msikitini? Kuingia msikitini kitu kiovu haina maana kwamba msikiti ni sehem ovu au dhaifu,,,, mbona tunaona makanisani watu wanadondoka na mkadai kuwa ni mapepo ambao ni mashaitwaan au wale ni malaika?
@abuuhafsasaad94054 жыл бұрын
Nlichokiona nikwamba akili zetu zinatofautiana sana katika kuyaelewa mambo
@euniceeunice76804 жыл бұрын
Alafu unakuta mjinga 1 ivi anasema wapo majini wazuri na wabaya 😂😂😂😂😂jini anaenda kuswali jini adi madrassa anaingia kwaiyo sheikh akujua kama uyu ni jini?sasa sheikh kama ana ata nguvu za Mungu apo madrassa anafundisha nn ikiwa mpaka jini anaingia na kushirikiana na wao....jamani eehh ni jina la Yesu pekee aliwezi tajwa na jini maana ndie kiboko yao kama amna jina la Yesu shetani atafanya atakavyo ktk mwili wako maana auna nguvu ya Mungu
@aminaismail42214 жыл бұрын
Wale mapastor watumia nguvu za giza kwani huwa wahubiria wapi c kanisani shetani hakuna pahali haezi ingia nikumuomba mungu akuepushe na wao
@mwana-isha49943 жыл бұрын
Jini yenyewe kuumbwa na Mungu kw ajili yakumuabudu yeye sasa kuingia madrasa ni wajibu wake na usimhusishe shehe .