I’m dead eti unakuja kimama & kishogashoga 😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@seasonepisode33283 жыл бұрын
Mganga yyte lzm awe mchawi na akuna mganga mwema duniani ata 1...we baba umejua kunifurahisha..wengine wanamsifia marasta na mkewe 🤗🤗🤗🤗awajui ata mke wa marasta sio wa kawaida maana amepewa na mizimu uyo mke ndo akaoa..na mizimu ni majini wa makaburini...
@seasonepisode33283 жыл бұрын
@@minicooper9642 naungana na ww kuusu maziwa. 100 %maziwa ni mchawi...maziwa sio mchungaji wa kweli wala mkewe...ila akuna wa ubora wote ni wanga tuu...maziwa anatumwa na rais na uyu anatumwa na waziri mkuu. Wote wapo ktk serikali moja ktk falme za giza....so akuna alie bora..bible imeeleza manabii wa uongo kama maziwa
@seasonepisode33283 жыл бұрын
@@minicooper9642 ukisoma bible utaelewa ukweli wa awa manabii wa uongo...uyu baba anaelezea vzr sana ila kitu kimoja tuu nacho kataa uyo maziwa ni mtumishi wa shetani..so akili ku mkichwa
@aishaally88113 жыл бұрын
Nimempenda baba anaadisia kwa utulivu sana yaani
@babyboss28863 жыл бұрын
Nmewasili Mr Everything Na kupenda bureee ❤️😘😘😘😘
@jonasjeffery7023 жыл бұрын
Pro trick: you can watch series on Flixzone. Been using them for watching all kinds of movies these days.
@allanquinton73293 жыл бұрын
@Jonas Jeffery yup, been watching on Flixzone} for years myself :)
@nehemiahkylan35793 жыл бұрын
@Jonas Jeffery yup, I've been using Flixzone} for months myself :D
@hunterkaden27013 жыл бұрын
@Jonas Jeffery Yea, I have been watching on flixzone} for since december myself :)
@lionelboston32533 жыл бұрын
@Jonas Jeffery Yea, I've been watching on flixzone} for since december myself =)
@mbarikiwambarikiwa39883 жыл бұрын
Mmmmhhh lkn km ameokoka mbona km unausifia sn uganga kuwa una nguvu.
@t33pelos773 жыл бұрын
Nimejifunza mengi kupitia video.hii asante davistar
@seasonepisode33283 жыл бұрын
Safiiiiii sana baba umewapa watu ukweli...bible imetuambia tuvae siraha..
@livingwaterchurchmbulukahama3 жыл бұрын
Nakubali dav
@answarmusaanswarmusa57973 жыл бұрын
Juma Mubarak kaka davistar tuko saa mbamba nafurai Sana na hio story
@khadijajuma71423 жыл бұрын
Dunia na viumbe vyake kudadekii 🙌🙌🙌🙌🙌Mungu nilinde usiku na mchana khaa!!!!
@pilimusa77703 жыл бұрын
Kabisa yani
@kenyanniggar3572 жыл бұрын
sehemu ya kwanza iko wapiiii?Davi
@seasonepisode33283 жыл бұрын
Aya aya jamani akuna jini mkristo lbd mkristo wa uongo kama Roman catholic...akuna mzimu unae usiana na Mungu ...then unaona marast eti anamshukuru Mungu kwa kazi yke ya uganga🙄🙄🙄🙄Mungu gan sijui yan ..waganga wanawadanganya binadamu tuu wale wote ni ma agent wa shetani
@pilimusa77703 жыл бұрын
Kabisaaa.
@nurafedrick3783 жыл бұрын
Kazi mnayo maiti mwaitesaa jamani Mungu atawahukumu
@oprahsalum81853 жыл бұрын
All the glory to God Almighty
@djmtengwatz10993 жыл бұрын
Nzuri sanaaa
@khamissalum92853 жыл бұрын
Uyu.wakati kasomea utapeli bado nitapeli tu
@pilimusa77703 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@minicooper9642 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mbavu zangu uwiii. Mwaka huu atanyonyweshwa hayo maziwa.
@Laila-lz4ij3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 🤣🤣🤣
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@Laila-lz4ij 🤣🤣🤣🤣🤣
@morrismo82123 жыл бұрын
Mbona kuna sehemu imeruka
@macamezunguzungu56973 жыл бұрын
Pamoja kaka DAV🙏💪💪💪💪💪🔥
@florencerose8593 жыл бұрын
Nimefika ndani 🙏
@salamanauthartanzania63013 жыл бұрын
Haya jamani nami leo wa 7
@nurusky3 жыл бұрын
freshii sana.Ila punguza sauti ya background music
@@pilimusa7770 Alhandulillah chidada changu vp na ww
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 mie mzima Alhamdulilah
@somoeawadh77743 жыл бұрын
Wacha niskize kwanza
@fundiali45353 жыл бұрын
Km anaongea ungo hv
@ahyatibenn83193 жыл бұрын
wacha uongo, kuna wanganga anamuamini Mungu na wanatibu pia, huyo pastor mwenyewe anashirikiana na Machetani na free manson.
@nooor11203 жыл бұрын
Wanadanganywa tu huko kanisani jmn
@mohammedkhamisi22373 жыл бұрын
Kabisa .nipopamoj nanyi
@martinmaryogo60813 жыл бұрын
Umeonaeee
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@nooor1120 kabisaa
@charlesmapunda59053 жыл бұрын
Acheni kuukumu mtu hamumjui wala hamna ushaidi nae, mbona hao wanaotoka kwenye ushetani wanapo na nakushukuru Mungu na kujuta yale walokua wanayafanya? Mbona hatuoni mtu alokuja akasimulia nimetoka kwenye kanisa ambalo tulikua tunaua watu au tunawapeleka kuzimu na kama yote tulosikia kwa walokuwa wanasimulia?
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Alhamdulillah w mwishoo😭😭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭
@pilimusa77703 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 pole
@bintimrope3 жыл бұрын
😀😀😀😀sio wewe ni mimi hapa
@fundiali45353 жыл бұрын
Nipo team kucherewa
@FFL-X1D3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 Asante kipenzi 😂😂❤❤❤
@FFL-X1D3 жыл бұрын
@@bintimrope Asante kipenzi 😂😂❤❤🤝🤝
@aiyamhassan13213 жыл бұрын
Wakwanza haya njoon
@fatmaalrshdii76153 жыл бұрын
Ongera yako sana nimekuja
@aiyamhassan13213 жыл бұрын
@@fatmaalrshdii7615 asante karb mmy
@pilimusa77703 жыл бұрын
Hongera 🎊🎊🎊🎈🎈🎈🎉🎉🎉
@aiyamhassan13213 жыл бұрын
@@pilimusa7770 asante maa
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@aiyamhassan1321 pamoja wangu😍😍😍😍
@khamissalum92853 жыл бұрын
Uyu hanaanalo.jua ila.uwongo lete stor nyengine
@pilimusa77703 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@asiliyakechuma43193 жыл бұрын
Sijamuelewa hata mm
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@asiliyakechuma4319 😂😂😂😂😂😂
@angelinahogqvist77103 жыл бұрын
Nakama ukiwa muganga hufanyi mabaya unatibu tu wagonjwa?
@wamtaafrani95643 жыл бұрын
number uweuna andika kwenye kilavideo natumaini itasaidia
@kenyanniggar3572 жыл бұрын
part 1 iko wapii??
@aishaally88113 жыл бұрын
Baba nimemuelewa sana
@pilimusa77703 жыл бұрын
Kabisaaa
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
kabsa
@aiyamhassan13213 жыл бұрын
Aisha ,pili njoon
@pilimusa77703 жыл бұрын
Asante ndiyo nimefika kipenzi changu😍😍😍😍😍😘😘😘
@aiyamhassan13213 жыл бұрын
@@pilimusa7770 karibu dada
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@aiyamhassan1321 pamoja wangu😍😍😍😍😍
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Ndiyo nmefka kipenzi😍😍😘😘 za mdaa😍😍
@pilimusa77703 жыл бұрын
Huyu jamaa anafafanua mambo vizuri kweli.
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
kabsa
@jotafungo46223 жыл бұрын
Dunia ina mengi sana
@denizamahongo85573 жыл бұрын
Wacha tuendelee kujifunza
@rappertinno41843 жыл бұрын
Wachelewaji 2juane Chapa nembo Davistar Nakubal
@fatmaalrshdii76153 жыл бұрын
Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli endelea kutusomesha wanafunzi wako tunaelewa bila ya kutuchapa viboko
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
😍😍😍
@salmakiyabosiriyamachoziha87563 жыл бұрын
Kabisa inatufungua tuliokuwa tunategemea mizim ishidwe kabisa mungu tuongize njia iliyo sahihi tu
@heritier51193 жыл бұрын
Mizimu ni shetani
@heritier51193 жыл бұрын
Uchawi uganga ujinga na umasikini ni pacha
@kawtharsaleh92293 жыл бұрын
mmmh utawakuta kwa allah siku yahkm
@M27TVT3 жыл бұрын
Watu wengi sana hawajui mzimu ni kitu gani. Hata waganga wanafanya kazi ni mizimu ila hawajui mzimu ni nini. Mzimu ni roho zinazofanya kazi na ukoo. Zilitokea baada ya Mungu kughalikisha dunia kwa maji maana maasi yalikua mengi kuna malaika wali asi wakazaa na wanadamu wakazaliwa manefili.sasa hao makefile walivyokufa roho zao ndio hao mizimu wanakaa na vizazi wanafatilia ukoo na wanajionesha kwa sura ya babu yako aliefanya nao kazi. Kama wew ukiwakubalia inamaana watakuja kuwatokea wako kupitia sura yako na watajitambulisha kama mababu
@nooor11203 жыл бұрын
Aha. Itakuwa lbd kwa imani ya kikiristo ipo hivo nilikua sijui Lkn kwa imani ya kiislam malaika hawezi kufanya dhambi kwasababu kaumbwa kumtii Mmungu tu bila kufanya dhambi na ana tii amr ya mmungu.
@jesusislord91903 жыл бұрын
Hapana ndugu soma biblia iko hivi Mzimu ni Roho chafu ilio asi ambayo.. mtu huyo kabla ya kufa alitumika na shetani kwahiyo Roho yake huenda kuzimu na huko huishi ikisubiri siku ya mwisho ili ikaingie motoni...kuna mauti mbili kifo na moto..mtu wa MUNGU akifa Roho yake huenda peponi kwa MUNGU..Roho Ilio asi huenda kuzimu .... huko waishiko majini na rusifa wakisubiria siku ya mauti ya pili ya moto...
@jesusislord91903 жыл бұрын
ahmed ndugu...waislam....kidogo huwa mnanishangaza sana...eti ..shetani iblis hakuwa malaika...na quruan imeandika kuwa natulipo waambia malaika sujudini..walisujudu ila iblsi...sasa Allah amewaambia malaika ndio wasujudu na iblis hakuwa malaika Yy kilicho mchanganya ni nn?? Kwasababu hakusema malaika na pamoja na iblis..alisema ... malaika .. kosa la iblis ni nn?? Kama hakuwa malaika??? Umewaambia mbwa semeni wawawawawawaaa ..ivi paka akikaa kimya atakuwa na kosa???? ...kunajambo la kujiuliza kidogo hapo
@Laila-lz4ij3 жыл бұрын
@@nooor1120 hivyo ndio najua
@Laila-lz4ij3 жыл бұрын
@@jesusislord9190 kaka yangu mungu kabla hajaumba binadamu waliokuwepo majini na Malaika. Na hii ardh ilikuwa wanaishi majini wakaasi Allah akawashushia adhabu wengi wakakimbilia baharini . Iblis na shetani ni kitu kimoja na pia ni Aina ya majini kama vile mizimu, Makata, subiyan I na wengi nao. Iblis alikuwa mtoto mdogo sana walipo adhibishwa majini ndio Malaika walimchukua baada ya kuwaadhibisha majini Duniani akawa anaishi jannah. Hapo baada ya kuumbwa Nabii Adam Allah akawaamrisha Malaika wote wamsujudie pamoja na yule Iblis. Wote walisujudu ila huyo Iblis ndio alieogoma na Kusema yeye ni kiumbe bora kuliko binadamu hapo ndio ugonvi ukaanza
@fahadjinni58453 жыл бұрын
JAMAA HAKUA MGANGA ...POROJO HIZI
@seifmnahaule48183 жыл бұрын
yani kk unamaliza bado letu kwa stoli za uwongo dar
@lizzybeth63443 жыл бұрын
Kwani amekulazimisha kusikiliza
@martinmaryogo60813 жыл бұрын
Huyu nae fala tu, c uache kuckiliza?
@lizzybeth63443 жыл бұрын
@@martinmaryogo6081 ndo apo utafkiri kafosiwa
@charlesmapunda59053 жыл бұрын
@@lizzybeth6344 Huyo atakua mmoja wao saaa anaona anavurugiwa dili kwasababu hapa watu tunafumbuliwa tusio yajua ili tujue tunaishije ukiona huelewi unafanya yako tuu.
@lizzybeth63443 жыл бұрын
@@charlesmapunda5905 kabisaaa afanye yake tu
@jesusismyking52923 жыл бұрын
Ipuka Munga'nga na uone Mungu
@dotosalim50903 жыл бұрын
Kwan wajina kamaliza au mbona sielew
@pilimusa77703 жыл бұрын
Kama kamaliza naona.
@danieljoseph16103 жыл бұрын
Mbona hata mganga wakati wa kutibu mtu huwa anamtaja mwenyezi Mungu! Hio imekaaje? Au mtu kaenda kwa mganga anataka tiba na hana nia yakuua mtu anajitengeneza mwenyewe! Kwani huyo ana dhambi gani?
@margaretjelagat52103 жыл бұрын
Daniel Joseph
@jesusislord91903 жыл бұрын
Iko hivi? .sio kila mtu anaeta MUNGU anamaanisha MUNGU muweza..MUNGU alieumba kila kitu...wahindu wanaita Mungu...budza wanaita Mungu . Je wanamtaja..Mungu gani???... imeandikwa hata shetani hujiita Mungu kwahiyo.. wanakuwa wanamaanisha shetani
@charlesmapunda59053 жыл бұрын
Unapokua kuzimu ni marufuku kuita Shetani nae anaitwa Mkuu Mungu na Miungu ipo mingi hivyo Mungu wa kweli anamaali pake, Ukitaka kuakiki hilo tafuta mganga atakae kutibu kwa jina la Yesu. Lakini kanisani Mungu anatajwa sambamba na Yesu na watu wanapona nakuzinduka mapepo yanatoka.
@karrolleschon39863 жыл бұрын
Umetuweka Sasa mista fackts
@karrolleschon39863 жыл бұрын
🇰🇪🎲🎲🎲💃
@brenda10833 жыл бұрын
Hivyo vitu huwa havitoki haraka wakati mwingi mtu anakaa Kama amechanganyikiwa
@jangombeboys45363 жыл бұрын
YA🔥🔥🔥
@hassanmassawa11073 жыл бұрын
Difinition ya mizimu na jinns bado ni tata
@heritier51193 жыл бұрын
Mizimu ni wakubwa kuliko majini SAwa na OCD na askari wa kawaida. Mizimu ni SAwa na OCD mizimu uwasimamia majini
@saidabdalla89963 жыл бұрын
Simchezo dunia hii
@mtitagirloriginal68903 жыл бұрын
Watu wanamikasa ukiniuliza mi mkasa wangu nataman uchawi Kwa wakati huu, niwaloge waarabu wafanye kazi wenyewe maana sio Kwa mikazi hii mpaka nataman uchawi 🏃🏃🏃
@hamadikassim30913 жыл бұрын
🤣🤣Mashagala wanabala
@dorcaskidoti2493 жыл бұрын
Jaribu kama hujatembea uchi na ukichaa juu yako,😒😒😒😂😂😂😂😂
@mtitagirloriginal68903 жыл бұрын
@@dorcaskidoti249 🙄🙄🙄🙄potelea mbali
@dorcaskidoti2493 жыл бұрын
@@mtitagirloriginal6890 mimi ningekuwa na uwezo usiku nawafanyisha kazi zote, napass wanapiga usiku,kazi yangu nikupika navyombo tu, ili wajue nasie tunachoka au hatuchokii
@mtitagirloriginal68903 жыл бұрын
@@dorcaskidoti249 🤗🤗🤗
@answarmusaanswarmusa57973 жыл бұрын
Yule dada yuko wapi haja maliza kazi yake
@preciousgrayson20213 жыл бұрын
Nilikuwa namsubiri pia
@florencerose8593 жыл бұрын
You can't save to masters at ones hiyo hamna kabisa
@credo78373 жыл бұрын
Hilo jina lililo tumika kwe video nihatari sana
@pilimusa77703 жыл бұрын
Sana
@credo78373 жыл бұрын
@@pilimusa7770 pili vip kipenz
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@credo7837 poa tuu. Naangali part 3 sasa
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@credo7837 kwema huko
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
sanaaa
@msalimsali69893 жыл бұрын
Dm muhojii apostor maziwa
@pilimusa77703 жыл бұрын
Kabisaaa
@theunseen.believe56723 жыл бұрын
Kuna kipindi davista alimhoji,ebu jaribu kutafuta vipindi vya nyuma
@annasilayo14053 жыл бұрын
Minaomba tuunde group wasp mnaonaje tunaomsikiliza dav
@msalimsali69893 жыл бұрын
Anna silayo tuunde
@aishaally88113 жыл бұрын
Dislike zimefika 6 nini tatzo jamni mi mbona sielewi
@pilimusa77703 жыл бұрын
Hapo sasa
@credo78373 жыл бұрын
Yaleo au yajanaa maan sio kwa kuchelew huku wa 66🤔