Kenya number 3 😂 majirani tupeeni nasi likes 🇰🇪, tunawapenda TZ
@emojongtv39959 ай бұрын
Wakenya munaficha uganga wenu ama hamna kabisa😂😂
@bonniebaraka9 ай бұрын
Pamoja sana
@Monika-cp2gk9 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 pamoja sana
@joymkenya23599 ай бұрын
@@emojongtv3995 😂nikama hata hatujielewi
@remigiusrwechungula70479 ай бұрын
Hii kama Wamayo Nice story teller
@donathamwangobe27769 ай бұрын
Wakwanza npen like
@KillastaMwampashe9 ай бұрын
Like zanini
@markmwaghogho92269 ай бұрын
Swafii braza.....Kenya Nairobi tupo rada
@angelalyimo28629 ай бұрын
Story nzuri ❤
@piusnkwale9 ай бұрын
Huyu Mchungaji anasimulia vizuri sana .hata maswali yanapungua.kifupi anaeleweka
@frankvianey24389 ай бұрын
Kaka Davista umetisha sana aisee,leo ni bandika bandua
@kahindiwanje909 ай бұрын
Safi👍👍
@maureenmwende35156 ай бұрын
dunia ya sasa
@hancymachibbula43559 ай бұрын
Malagashimba- Makucha ya simba
@CosmasHamis-e4i9 ай бұрын
Asante kunijulisha maana ya malagashimba
@KennethMgona-jy4vc9 ай бұрын
Davista walisema ume pata mke na vipind atupat kwa wakat
@sukisa12349 ай бұрын
Jàman naomba Mnisaidie namna ya kuyadhibit haya matangazo ya mikopo yananikera
@trophywilson72119 ай бұрын
yaache
@babaalex50629 ай бұрын
Ukifa huwezi daiwa marehemu hanadeni jitahidi ufe ndo dawa ya deni😂😂😂
@sukisa12349 ай бұрын
Mjomba mm sidaiwi..wananikera na matangazo yao mtandaoni..istoshe wengi majiiz
@arifosman35009 ай бұрын
siku nne mpaka tano gari imeharibika ulikua huendi choo... maana ulikatazwa kushuka mpaka gari ifike... acha uwongo we mzee... basi utakua ulivaa pampaz
@hijamwinyi32339 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@hijamwinyi32339 ай бұрын
Kafanya maasi mengi ajiziba na dini utavuna ulichokipanda
@ayoubmwangonji23579 ай бұрын
😂😂😂 uelewa wa kiswahii shida sana kinacho fanya usielewe hapo ni nini 😂😂ok aliambiwa asipande gari nyinge tofauti na ile mambo ya kushuka kujisaidia au kula hakukatazwa
@directorgozi55097 ай бұрын
Uyu mzee ni muongo atachomwa vibaya sana
@directorgozi55097 ай бұрын
Uyu mzee ukimsikiliza vizuri hii story yake ni ya uongo eti kabla ya kuwa mganga majini yalimtesa mbaka akakubali ila alivyoacha uganga hakukuwa na shida yoyote 😂😂😂
@ericapiyo2639 ай бұрын
Kenya kuna wachawi wa kukumbia usiku tu 😂
@angelalyimo28629 ай бұрын
Mhh
@ZuberiOmari-gz3kk9 ай бұрын
Naona watu hawataki kumsahau wamayo😂😂davit tunachungulia huku kila mda😎😎😎
@kiwiacasmir61419 ай бұрын
Du wamayo alitisha.siku nikifika mwanza lazima nimtafuke wamayo aisee
@martinchambala93999 ай бұрын
Aisee ni hatari kumbe mashehe wanamajini
@hijamwinyi32339 ай бұрын
Sio wote ina maana waislamu wote wana majini roho hakutumwa aue watu ni tamaa yake acheni kuhiumu watu
@hijamwinyi32339 ай бұрын
Alotaka utajiri mwenyew hakutumwa tamaa mbaya tumuogope mungu tu
@Foodie_Tv19 ай бұрын
Sio mashehe wote wako na majini ila kuna baadhi ambao wanawatumia kwa mambo yao. Quran ni kama bunduki unaweza kutumia kwa ulinzi ama kufanya maafa
@sukisa12349 ай бұрын
Mbona hata wachungaji wanamajin😅😅
@salomedarema3049 ай бұрын
Yaani uislaam bila majini ni sawa na mkristo asiye na Roho mtakatifu😂😂
@saidali-xv8yh9 ай бұрын
Wewe wacha uwongo kila shekhe mganga wacha kuutukana dini ya kiislamu mshenzi wewe.
@arifosman35009 ай бұрын
MUONGO huyu mzee. eti kaambiwa na mganga basi atakalopanda asiteremke mpaka atakapo fika... cha ajabu ilivoharibika akawa anasaidia kama taniboy mpaka kupika inamana alikua anateremka.. muongo mpaka anajichanganya
@arifosman35009 ай бұрын
sasa alikua anaendaje kujisaidia choo. du uyu muongo sana
@arifosman35009 ай бұрын
@emmanuelmachibya2034 umesikia uwongo au bado utamtetea... kaambia mpaka avue nguo sasa sijui walimfanya nn... aliambia atulie ivo ivo uku yuko uchi.
@richzebest20299 ай бұрын
Tuletee ya kwako ya ukweli tujifunze...
@bonniebaraka9 ай бұрын
Ni lugha hujaelewa yaani asiliache lile gari au basi tulia acha wenge