Part8_ESTA MASANJA:UJUMBE KWA KENYA,UGANDA,CONGO, A.KUSINI•MACHUKIZO YA UHARIBIFU•UONDOENI HUO MTI

  Рет қаралды 3,847

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.3878783
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 30
@amisakiza1538
@amisakiza1538 Жыл бұрын
Asante Yesu kwakusikiya viliyo yatahifa yakoya Congo jinala Bwana libarikiwe kwaneemaya hukombozi
@annissdaprincess3846
@annissdaprincess3846 Жыл бұрын
Amina hallelujah ubarikiwe sana Mtumishi wa MUNGU kwakueneza ujumbe wa MUNGU wambinguni pia wanapromover T.V MUNGU wambinguni awainue viwango hadi vyengine hallelujah
@emmanuelsunday8325
@emmanuelsunday8325 Жыл бұрын
Amen tuendelee kuombea Africa
@quintavitalis926
@quintavitalis926 Жыл бұрын
Amen,
@deboraleonard3441
@deboraleonard3441 Жыл бұрын
Sasa ruto na mseveni ni watumishi wa mungu jamani huyu dada muongo .endeleeni kuomba mungu atasema nanyi
@lavesharmulla7205
@lavesharmulla7205 Жыл бұрын
Ameen
@amandaangie4806
@amandaangie4806 Жыл бұрын
Amen 🙏
@mwajumasakina9599
@mwajumasakina9599 Жыл бұрын
museveni na ruto sio watumishi wa Mungu, kila kitu wakifanyacho kuna siasa nyuma yake, angalisho sana na hao watu ni watu hatari sana barani Africa
@liesharehema5193
@liesharehema5193 Жыл бұрын
Africa kusini huku wanasapoti ndoa za jinsia moja Tena hata ukimshangaa shoga huku unaweza ukafungwa sheria zinawatetea
@CamaraSyntya
@CamaraSyntya Ай бұрын
Muna omba sadaka hadi mitandaoni. ? Kweli?
@deboraleonard3441
@deboraleonard3441 Жыл бұрын
Wewe ni muongo sana ni muongo
@gadimbajo
@gadimbajo Жыл бұрын
unamuangalia wa nini sasa
@liesharehema5193
@liesharehema5193 Жыл бұрын
Yaani Mimi niko huku Afrika kusini yaani yanayoendelea huku ukifika utalia Sana watu wanatembea uchi tu makanisa yakishetani wazwaz tu yaan
@maryandason1815
@maryandason1815 Жыл бұрын
Endelea kuomba na kusimama ktk kwel ya MUNGU
@maryandason1815
@maryandason1815 Жыл бұрын
Ukiona fujo inazd rud home kwanz
@emmanuellikaare1661
@emmanuellikaare1661 Жыл бұрын
Unasemaje?
@liesharehema5193
@liesharehema5193 Жыл бұрын
Nikweli kabisa ushoga ulishahalishwa mda mrefu ukimtukana shoga utapelekwa mahakamani Kuna mmoja namfahamu yaani alishabadilisha hata mavazi anavaa sketi na magauni nakila kitu nivya wanawake ila sauti Sasa haibadiliki wengine nimadaktari kabisaaa ila unamuona kapaka wanja na lipstiki yaani MI nasema MUNGU aingilie Kati huku uovu umezidi
@HighzackMichael
@HighzackMichael Жыл бұрын
​@@liesharehema5193 " lakini wewe simama na Mungu usiku na mchana mpaka kieleweke
@liesharehema5193
@liesharehema5193 Жыл бұрын
Huku Afrika kusini MUNGU MWENYEWE asimame lakini ukisema uanze kuwapiganisha mashoga yaani vita itainuka huku MUNGU tu asimame kabisaaa nikweli huku amani hakuna kitu kidogo tu watu huandamana na kufanya vurugu
@maryandason1815
@maryandason1815 Жыл бұрын
Sabbu ya kuandaman?
@liesharehema5193
@liesharehema5193 Жыл бұрын
Watu wahuku Nima jeuri hawaogopi hata polisi
@quintavitalis926
@quintavitalis926 Жыл бұрын
​@@liesharehema5193 rudi nyumbani dada
@liesharehema5193
@liesharehema5193 Жыл бұрын
Nikweli niko mbioni kurudi
@maryandason1815
@maryandason1815 Жыл бұрын
@@liesharehema5193 eeh mmaa mm mwenyew nlkua Kenya nlvyoona mambo mengi nikarud tz Kwanza....so fanya urud home Kwanza than utaangalia
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 Жыл бұрын
Amen
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 14 МЛН
Офицер, я всё объясню
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 27 МЛН
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,7 МЛН
MAANGA 7•ESTA MASANJA KATIKA SEMINA DSM TZ•Anga la kwanza
27:42
MAJARIBU NI MTAJI BY AMBWENE MWASONGWE (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
8:14
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 978 М.
Part10_USHUHUDA WA ESTA MASANJA|MALANGO SABA YA KUZIMU
1:34:00
PROMOVER TV
Рет қаралды 7 М.
USHUHUDA WA KILICHO MFANYA OSINACH KUTOKUINGIA MBINGUNI
23:22
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 44 М.
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 14 МЛН