Bibilia imesimama haijipingi, wanyama, ndege samaki MUNGU ameweka wazi wa kuliwa na wasioliwa, agano jipya halijaruhusu bali Yesu aliongea kwa mafumbo kwamba kimuingiacho mtu hakimtii mtu unajisi bali kimtokacho akinaanisha ukiijua kweli usipoitenda ndio unajitia unajisi. Mfano ukijua kuabudu sanamu ni dhambi baada ya kuhubiriwa na kulijua Neno ukaendelea kuabudu masanamu tayari umejitia unajisi.
@Esthermordecai5 күн бұрын
Mtumishi na Davistar,mko vizuri sana,nimejifunza kwamba,vita vya wakristo si vya mwili na damu bali ni vita vya rohoni.😢
@annkim26903 күн бұрын
Mtumishi wa Mungu hebu angalia kitabu uandike hii story
@FrankieFrank-e4e5 күн бұрын
Viva devistar mata nakupata nikiwa Pretoria north bravo
@geofreymulei56955 күн бұрын
Hii dunia ina Imani za anjabu kweri 😢😢
@florencerose8595 күн бұрын
Hii ndio chanzo changu ya kuchukia nyama ya ngurue
@saleemsuleiman22205 күн бұрын
Ustadhi leo uende msikitini 😂😂😂
@ElizabethMuia-ro9yh2 күн бұрын
Kaka ebu tuelezee kwa nini wana chijanga mbuzi nyeusu,or Kondoo or kuku bona iwe nyeusi siri ya iwe nyeusi ni nini,siri ya Ragi nyeusi ni nini?
@isackyombe84104 күн бұрын
Apo kasulamimba si ndio kwa kina Musa chessa..je imesha muuliza kama alishawah sikia ama kujua Yale matukio yake😊
@TonnyJimmy-z5c5 күн бұрын
Toka namfatilia naona anatupa stori za ndugu zake tu
@tonykileo71085 күн бұрын
#davista# namba ya wamayo mbona haipatikani tenaa , tunaomba tujue anaendeleajee maisha yake
Mtumishi una hazina kubwa sana....ila mpangilio kidogo umekuwa mgumu... Ingawa nimejifunza vingi
@mohdbest58595 күн бұрын
Huyu jamaa box kweli toa ushahidi agano jipya nguruwe analiwa
@KiswahiliTV272 күн бұрын
Kilicho umbwa na MUNGU si haramu ndugu. Mshukuru MUNGU alafu KULA.
@YusuphJuakali5 күн бұрын
Stori za sungura na fisi. Stori za kusadikika. Uongo mtupu.
@charlesmapunda-g5l4 күн бұрын
Wasiliana na Davistar basi ili utuambie simulizi yako ya kweli. Wengine tumejifunza kwenye hii story kwamba Uislam na uchawi mizimu na Majini ni kitu kimoja ndio maana havipatani na Ukristo kabisa sababu ya Yesu anatoa kibano kwa Majini na mizimu yao Waislam.
@annkim26903 күн бұрын
@@charlesmapunda-g5l haki wewe🤣🤣🤣
@ShomaryGango5 күн бұрын
Kuna sehemu alisema baba alizima, sikusikia akiendelea kusimulia kwamba alikufa ama alizima vipi...lakini pia simulizi anaipeleka mbele na kuirudisha nyuma inafanya atuchanganye kidogo.
@Bamutumubaya5 күн бұрын
Yeah simulizi nzuri, Ila mpangilio kidogo unamchanganya
@annkim26903 күн бұрын
Ee babake alizimia akapelekwa na kakake Kwa waombaji na alipona alipo ambia mke wake akasema wakristo walimtupia mapepo na ndio wakayatoa