Masha'allah Masheikh wetu dawaa himebaki kenya 🇰🇪 ila uku tanzania 🇹🇿 Nimajungu tu Masheikh na mawahadhiri Ni malumbano mala majini mala yule mchawi.
@AssdfAssd-g3y7 ай бұрын
Usijali Allah atawapa maelewano inshallah
@Kuminamoja19957 ай бұрын
@@AssdfAssd-g3y ameen 🙏
@husseinmwenja43987 ай бұрын
Mchunkachi leo ni leo andiko hujawahi kuliskia uhondo uliojeeee MashAllah kaka Ramma n team nzima
@noahwamalwa43855 ай бұрын
hapo hakuna hoja, kwani wewe unajua kila andiko kwa koran?
@allymkumba707 ай бұрын
iyo imemgonga pasta vizur haki itawafikia tu nihadi ya mora wao mlezi basi mwenyekufanya haki ataitendea haki nafsi yake mwenyekupotea basi ataipoteza nafsi yake.walimu mitano mingine kwenu amin👏
@alisalmin512Ай бұрын
ALLAH SWT AWALIPE KWA WINGI WA NEEMA ZA DUNYA ,AWAZIDISHIE AFYA NJEMA,UMRI NA JANNATUL FIRDAUS SHEKH RAMADAN NA WENZAKO AMEEN
As/Aleikum, Walimu, Alhamdulillah, tunapenda mafundisho mnayo yatoa, hasa kwa watu waliochelewa kufumbua Akili zao kwa kutosoma Biblia zao wenyewe kwa makini. Ila nawashauri; MKIANZA NA MUULIZA SWALI MMOJA, MKAMILISHIA JIBU LAKE KIKAMILIFU. KWA MFANO,👉 ALIYEULIZA WAISLAMU KUINAMA HADI CHINI KTK. KUABUDU. MGEMJIBU KWA KUTUMIA BIBLIA, YESU ALIVYO KUWA AKIABUDU NA JENGO ALILOABUDIA. Huyo naamini hata kusilimu Angesilimu, nilimuona huyo ni muelewa.
@shabanisaidi2045Ай бұрын
Allah atujaalie Kila la kheri Ustadhi Ramadhan
@salmaminja77147 ай бұрын
Mashallah uctadh ni jamaa zako hakika Allah ndio mlez na mjuz pambaneni jaza ipo kwa Allah ambaya halali wala hasinzii. Allah awape firdauc yke tukufu kwn jihad yeni ni kubwa na inastahiki uvumilivu. Subhanalla ( frm Tz)
@seifissa97057 ай бұрын
Alhamdulilah shkhe kuria Mwenyezi mungu awalinde wewe kundi lako na familia yako unawaelimisha watu wasiiujua uislam
@HilaryMwilo-r2c7 ай бұрын
Insha Allah, Allah atawalipa na atawafufuwa pamoja na mujahidiin inshallah
@faridbashuu7 ай бұрын
Assalam aleykum warahmatullahi wabarakatuh Kuulizia tuu Ust Yusuf Wambugu akoje ? Allah Awahifadhi nyote
@Noorein-ws8wk6 ай бұрын
ALLAHU AKBAR
@josemu8707 ай бұрын
Barikiweni sana sana mafundisho yenye utaratibu Allahamdhullah
@abubashir34756 ай бұрын
Mashaallah Allah akujazi Kila lakheri sheikh Kwa juhudi Yako Kwa kufukisha ujumbe Kwa wahusika kazi mzr Allah akuwafikiye kwenye mambo yakheri
@andallaathman38567 ай бұрын
Mashaa llah we are waiting for part 2
@haliditwaha92706 ай бұрын
Maashaa Allah, may Allah bless your work and grant the best for us all in this world and in the hereafter, you are doing a great job, may Allah open a way for us all...
@SaidMgeni7 ай бұрын
MashaaAllah tabarakah Rahman
@isaacsifuna7 ай бұрын
Siku utakuja Moi's bridge nicall nisilimu nataka kanzu nyeupe 😂Islam is the way to Allah ❤
@hassanjuma27727 ай бұрын
Mungu akubariki kwa kuliona hilo
@rizikiali3287 ай бұрын
Allah awaongoze ndugu zetu
@hassanadam30077 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤assalam aleiykum wr wb brothers masha Allah kazi poa Allah Awalipie jazzakallahu kayri
@Zainab-r8v1t7 ай бұрын
Takbeeeer, Allahu Akbar!!!
@azizashiundu57787 ай бұрын
Assalamu Alaykum
@Nora-v1m3p7 ай бұрын
Allah àwaogoze walim wangu kw kuitagaza dini ya haki na kuabudu Muumba wa kila kitu Allah
@1972Najim7 ай бұрын
Mashallah Sheikh huu mjadala ulikuwa mzuri lakini haukukamilika ningependa kuona kipande kinachoendelea
Nawaulizeni enyi ndugu zangu waislamu yaani hakuna hata mmoja wenu ambaye anaona kasoro kuu iliyoko katika kile mnachoita imani? Hebu mjiulize maswali haya; 1. Mbona shahada ikaandikwa kwenye bendera ya Saudi Arabia? 2. Mbona nikisali lazima nielekeze uso wangu Mecca ambayo pia iko Saudi Arabia? 3. Mbona nisali nikitumia lugha ya kiarabu ambayo ni lugha ya kitaifa ya Saudi Arabia? 4. Mbona kuitimiza nguzo ya tano ya uislamu ni lazima niende Saudi Arabia? 5. Mbona nijifunze lugha ya Kiarabu ili kuwasiliana na Mungu ( neno la Mungu na sala pia) Cha nyongeza ni kuwa majini nikitaka kuwasiliana nao ni lazima niwaongeleshe kiarabu Yesu wa Nazareti alitokea Israeli katika kabila ya kiyahudi lakini wakristo hawajalazimishwa kuwasilana na Mungu wakitazama Israeli, hawasali wakitumia lugha za wengine n.k
@@JamilaJumanne-u7q Nini ya maana iko katika Quran isipokuwa uongo, chuki na kushinikiza mauaji!!!
@kennodhiambo4 ай бұрын
@@JamilaJumanne-u7q nimesoma Quran ndizo hizi aya Quran 2:191 “Slay the unbelievers wherever you find them.” Quran 3:28 “Muslims must not take infidels as friends” Quran 3:85 “Any religion other than Islam is not acceptable” Quran 5:33 “Maim and crucify the infidels if they criticize Islam” Quran 8:12 “Terrorize and behead those who believe in scriptures other than Quran” Quran 8:60 “Muslims must muster all weapons to terrorize the infidels” Quran 8:65 “The unbelievers are stupid; urge the Muslims to fight them” Quran 9:5 “Whenever opportunity arises, kill the infidels wherever you catch them” Quran 9:123 “Make war on infidels living in your neighborhood” Quran 47:4 “Do not hanker for peace with infidels; behead them when you catch them
@habibasalim30927 ай бұрын
Na mnatakiwa kujua kwamba qur'an haowezi translate kila kitu ,qur'an iko unique hata Arab yenyewe pia kuna quran jaikuweza ku translate ,so katika hio ya kusali mara 5,haijasema eti 5 ,ilihesabu asubuhi, mchana alasiri jioni na mwanzo wa ulikua ndio zikatimia 5,kwahio wakati mwengine waambieni hivo
@MahamudHussein-dw3ee7 ай бұрын
Ramadan kuria mbona Sauti hakuna
@StraightPathDawah7 ай бұрын
Fanya subira😊
@FaridsalehBinsadun6 ай бұрын
tz wamemkubari allah na uslam nyinyi wakenya ndio wabishi sisi watanzania tuko wengi waslam
@user133757 ай бұрын
Majini ya nini
@rizikiali3287 ай бұрын
Hawasomi bibilia wao ni makofi na kuruka tuu hasara kubwa sana hii a
@NathanielNathan-m4o7 ай бұрын
Mbona usema christians na muslims ni marafiki wakati Quran inasema don't take the Jews and Christians as friends.Mnafata hii ama mnakataa? Sura maidah 51.Mnafata Quran ama hamfati?
@bacteria51847 ай бұрын
Na suruali ya ndani
@Kiyonga20146 ай бұрын
They are spreading the Arabic civilization thinking that they worship God...but serving arabian gods....they diny their language, traditions and country worshipping and following arabian gods. Nawahurumia sana hawa ndugu zetu waislamu. Lord have mercy
@SalmanMughal-lq5lt7 ай бұрын
KablaYakumtajaAminaNimecheka🤣🤣🤣🤣🤣hui
@JamilaJumanne-u7q4 ай бұрын
Shangaz yangu salma we mkorofi jmn😊
@kevinmaina40256 ай бұрын
Nataka nijibiwe bona mnatumia maji iko kitambu kipi
@silassaitoti76896 ай бұрын
Sio samba sema shwamba😂😂😂
@MOSESIMCHUNGUZI7 ай бұрын
Nyie wote ni wapuuzi,huyo anasema saka,inayotolewa inaitwa ZAKA sio SAKA,pumbavu
@@SalmanMughal-lq5lt hapo kazi ipo hswa kwa mwalimu wake wa madrassa.
@JamilaJumanne-u7q4 ай бұрын
@@Samuel-iu9xmmtu hubadirika mara moja usimuhuqum
@wakeshojana7 ай бұрын
Mkristo asiyeijua Biblia yake muislamu ataitumia kumdanganya..... Hata shetani alitumia maandiko ya Biblia akimjaribu Yesu kwenye Matayo 4 lakini hakufua dafu. Kwa hiyo Ramadhan Kuria bin gakuo na wenzako hamna tofauti na shetan... Without Lies, islam dies!!
😂😂 mbona mchungaji alikimbia alikua ajui maandiko au 😂😂😂 Acha ukora wako apa
@andallaathman38567 ай бұрын
Ww ndio iblisi haswaa na ndioo ukaona Leo mapastors na mabishop hawaminiwi tena hata na vijana Kwa uongo wao na kupenda pesa
@chapchap-oz1ou7 ай бұрын
Kweli without lies, islam dies. Ukweli utawaweka huru
@MaryamIssa-y7v7 ай бұрын
Na laiti km ungeifaham ipasavyo basi mngelisilimu maana yaliyokatazwa ktk Qur-an hata kwenye bibilia unayakuta ila wanautumia udhaifu wenu kutojuwa na hamjuwi km hamjuwi sababu mifumo inayoeleweka ya kusoma