I love your prayers pastor I feel that's God is speaking to me
@petrondeselia18113 жыл бұрын
Bro....Mungu anakutumia kwa kiwango cha juu mno. Umekuwa ukinibariki sana kwa mahubiri yaliyo jaa husia kwa maisha ya sasa. May God be with bro
@lilianjacobs2482 жыл бұрын
Yes I like that people
@leahmanka49852 жыл бұрын
Yaani kama kuna mtu ambaye akiwa kanisani anasinzia huyu pastor akiwa anatoa neno basi huyo mtu anatakiwa ana shida ndani yake. Yaani anatoa neno ambalo ni adimu. God bless you
@teacher_gilala2 жыл бұрын
Amen
@subirakasyupa68652 жыл бұрын
🙏
@joshuamalekela64332 жыл бұрын
Mungu akutumie zaidi na zaidi kaka barikiwa
@odiliamathias54242 жыл бұрын
Mimi ni muisalam, lakini nasikiliza Sana maneno yako yananigusa na nabadilika kupitia maneno yako so, nakupenda sana uwepo wako kwangu unafaida sana
@Lighting-seasoning2 ай бұрын
Karibu ndugu
@vaileth.yohananyaluke66803 жыл бұрын
Fundisho ni zuri sana mtumishi wa Mungu.
@asteriaheliza10932 жыл бұрын
When will this pastor come to Kenya,, we love ur preaching pastor
@obadiakalemba81182 жыл бұрын
Mungu akukumbuke na wewe siku moja ukafike yelusalemu mpya
@latiphakiwelu83942 жыл бұрын
Kweli Dady ubarikiwe na BWANA YESU
@VictoriaMazagwa5 ай бұрын
Asantee kwa njia hii mtumishi
@janethmtuka71572 жыл бұрын
Hakika unatufundisha vizuri.mwenyezi mungu akubariki sanaaa.
@lusilusi8687 Жыл бұрын
Amen 🙏 nimebarikiwa san
@abbasiharidi81649 ай бұрын
mungu ambariki
@PeterMussa-ej5sw9 ай бұрын
Tunashru sana kwa maombi na ushauri
@zippykiyo Жыл бұрын
Kweliii,sala inaweza
@DayanaSospeter-sy8wl Жыл бұрын
God bless anytime
@neemamalakilevi26612 жыл бұрын
Eeeh Mungu hili neno la ukweli mno na mbaya zaidi hao tunaowaambia Wana shida zao nyingi
@happy-pn9yx3 жыл бұрын
I like your teachings sir
@matildaamandu17352 жыл бұрын
Mafundisho Yako hunijenga Kwa hakika may God bless you pastor
@aderickvictor75712 жыл бұрын
Yan katka wachungaji wote ila huyu namkubali sana
@leticiachikoma50352 жыл бұрын
Pastor unanibariki sana na kunifungua sana sana Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu sana daima Amen.
@magejohn46612 жыл бұрын
balikiwa sana
@safialuhizo49792 жыл бұрын
Ameen mtumishi nabarikiwa Sana,,!!!!.
@elisifabonifacepapaabonny6302 жыл бұрын
Pastor Mungu azidi kukuinua sana
@abbasiharidi81649 ай бұрын
nimeokoka na nimesimama coz of this guy
@miaerny66092 жыл бұрын
Mungu asante kwaajili ya huyu mtumishi wako
@vissionaryosborn2 жыл бұрын
Ninaomba baba, sitaki kujadiliwa🙏
@abbasiharidi81649 ай бұрын
mm ndugu zangu ndo mabingwa
@odiliamathias54242 жыл бұрын
Sina lafiki na sitaki lafiki Niko mwenyewe tu
@nzanzukasindi13827 ай бұрын
Jambo nabii english iko nyingi sana kwa maubiri yako punguza sio wote wanao sikiya tupe Swahili pastor
@monicawakati93462 жыл бұрын
Eeeeeeeenh Mungu katika fundisho hili naomba ukatimize haja ya moyo wang ukapunguze uzito na magum ndan ya moyo wang ukanifanyie amani nitendee eeenh bwana
@ananiasgervase-cj2yi Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🤝🤝🤝
@urusulatemba7769 Жыл бұрын
Am getting relief 🙏
@farajapius27002 жыл бұрын
Amen 💪💪💪💪
@janelaflin1816 Жыл бұрын
Yes true
@brendanduta41303 жыл бұрын
It's true pastor 👍
@dogorama34223 жыл бұрын
Amen
@rahmamusa4484 Жыл бұрын
True
@DayanaSospeter-sy8wl Жыл бұрын
❤
@gracedamas58832 жыл бұрын
Ameni
@sarahwawuda51643 жыл бұрын
AMEN
@mwanashagladys45813 жыл бұрын
Ameen
@sammgnnko52272 жыл бұрын
💪💪👍🙏🙏
@paulinemuhonja91053 жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🙏🙏
@helenamichael6682 жыл бұрын
sielewi niseme nini mafundisho yako kuna namn yananivusha ata namn ya ufikirio
@teclamsigwafashao4963 жыл бұрын
Amen 🙏
@gracenyambura97533 жыл бұрын
Amen 🙏 🙏
@gracenyambura97533 жыл бұрын
Mawaitha nzuri kweli...asante mchungaji
@christinamgalula8022 жыл бұрын
Ameen
@neemasingano90973 жыл бұрын
Amen
@gaudencemwakibibi82252 жыл бұрын
Ubarikiwe Mtumishi asante kwa neno la kuniponya
@blantinaleo64392 жыл бұрын
Amen
@VictoriaNgowi11 ай бұрын
Ameen mchungaji.nabarikiwa sana jamn ktk kipind hiki kigumu