The song always reminds me of the day I landed in Tanzania for the 1st time from Ke sijui nakoenda Wala Sina mawasiliano na yeyote Simu imezima ila Yesu mueza alinifikisha kwenye kongamano la mwlm Mwakasege salama🇰🇪🙂
@MamaJack-t7uАй бұрын
Hakika YESU unaweza ni wewe tuuu YESU hakuna kama wewe.
@SilviaMosha-xm5yc7 ай бұрын
Ubhaghile jesu balikiwa sawa watumishi wa bwana❤❤❤
@Jesusisable-t7q3 жыл бұрын
Huu wimbo nilikuwa nausubiri kwa muda mrefu nilikuwa nausikiaga tu kwenye seminar...za Mwl Mwakasege Ni mzuri sana Mungu awabariki...
@florahmushi7482 жыл бұрын
Huu wimbo nimeusikia kwa Mara ya kwanza ukiimbwa mahali nikaja kuutafuta Hakika umeniinua mnooo
Wooooow so beautiful 😍huyo mdada alieimba kisukuma nimempenda bure ana sauti nzuri na ya upako. Mungu wa mbinguni awabariki sana watumishi .
@successmaker76302 жыл бұрын
Much blessings.....Arusha ndo tunamiss Praise kama hizi...Sijui tunakwama wapi.Mungu nipe neema
@mamabyela183 жыл бұрын
Ubhaghile Jesu, asanteni sana waimbaji. Mungu anawatumia kuinua nyoyo zilizokata tamaa. Mbarikiwe sana. Nawapenda
@annakiula43252 жыл бұрын
Mungu akubariki mnoo mtumishi umenihashisha katika roho nguvu ya Mungu imenifunika.
@mariumngusa571 Жыл бұрын
Barikiwa mtu wa Mungu ni maombi yangu kwa Mungu wa mbinguni azidi kukutumia Zaid Kwan nabarikiwa na kazi zako
@lynelee58463 жыл бұрын
Nawapenda bureee sema hamjui tuu❤️🇰🇪
@clementmaseme5240 Жыл бұрын
Nawapenda watumishi,,mungu awatunzeee❤❤❤❤
@stanleymujunangoma82272 жыл бұрын
Aaaah jmn wimbo strong sana nyie watumishi wa Bwana Yesu anaweza ndio Yesu maan akuna mwingne zaid awezaye,,,, by past Stan
@SuplierАй бұрын
Yesu endelea kutumuzwa kupitia watu wako hawa
@judyngowi3912 жыл бұрын
We Gwamaka Yesu? Mwakalinga au? Mungu akutunze mtumishi Mwangosi, Goodluck Msuya akiwepo mahali anajua kunogesha sana
@gracemagembe11892 жыл бұрын
Wimbo huu umekuwa Baraka Sana kwangu ninaushuuda nao
@philipoluzege32003 жыл бұрын
Nabarikiwa na nyimbo zako mtumishi
@florahmushi7482 жыл бұрын
Hivyo Vyombo vya music🎵🎵🎶 vinavyocharazwa ni hatari 💃💃💃mbarikiwe sana na Mungu mwenyewe
@asheryfabiani2652 жыл бұрын
Huu wimbo umekuwa baraka kwangu toka nimeuskia2 yani unanipa raha na nguvu zaidi ya kuendelea kumsifu Mungu zaidi. Mungu awabariki sana Paul,Goodluck na Debora kwa wimbo wa baraka na wakuwaingiza maelfu katika dimbwi la utukufu wa Mungu.
@francisdaudi70853 жыл бұрын
Nakumbuka tulikuwa wote mbeya siku ya kurecord MUNGU awabarik
@fredrickmbise3713 жыл бұрын
Wimbo umenibariki Sana,Mungu awabariki azidikuwainua ktk viwango vingine
@theresiamanyanda11253 жыл бұрын
Unogije Seba....sukuma voice praise....
@gracemfangavo48243 жыл бұрын
UNAWEZA YESU..... Hili ndo ninaloweza kusema kwako
@naominaftali62023 жыл бұрын
Waooh, wimbo una upako, hongera Debora.
@mariamswedi11402 жыл бұрын
Manywele hayo sasa badilikeni mnaoshika vyombo vya Bwana huduma yenu isije ikawa bure Mungu hapendi tujifananishe na namna ya dunia hii watu wa Mungu mbona tuko wagumu hvyo tuwe simple tu mbona wanaume wko simple sana
@neemaswai-3051 Жыл бұрын
Mbarikiwe Sana kwa utumishi wa uimbaji
@trizaadongo9532 жыл бұрын
Hakuna asiloliweza..... Tena na tena na tena na tena anaweza. Imani yangu imeinuliwa najua Yesu unaweza ponya babangu 🙌🙌🙌🙌
@agnesmsigala95432 жыл бұрын
Tangu nilipokujua Paul mwangosi nimeheshimu mafuta juu yako na good luck such a wonderful voice oooh my God bila kusahau shujaa ninaheshimu mafuta yako Debora kuyokwa
@johnlubasha39153 жыл бұрын
Jaman wimbo mzuri sana kwa kwel odogije seba 🙏🙏🙏🙏🙏
@philomenamushi560611 ай бұрын
ASANTE BWANA YESU NAKUAMINI🙏 UNAWEZA YESU HUJAWAHI KUSHINDWA🙌🙏🙏
@faithlisamula85093 жыл бұрын
Hakika Yesu Unaweza🙏🙏..... Blessings
@neemaglorykisoli26053 жыл бұрын
Unaweza Yesu Unaweza Unaweza YESU, Bado ninaujasiri wa kukiri Unaweza Unaweza YESU🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@christinadeogratias10832 жыл бұрын
Ata sasa YESU Anaeweza🙌
@miriammalando4443 жыл бұрын
This is very powerful.... Mungu akubariki kaka Mwangosi na kuiinua huduma yako
@janesternaaman63183 жыл бұрын
Am blessed beyond words can say. Deborah I still remember your massive voice Azajangwa fellowship 2005-2008 umebarikiwa sana na umekua baraka kubwa kwa wengine ILY ❤
@rayrobert5243 жыл бұрын
Fact 👏
@enocksasingwa29193 жыл бұрын
Yani kwakweli wimbo wote una upako wa kutosha, lakini SEBA ilivyo imbwa imenitoa machozi. Good job, God bless you
@damaloemanuel50143 жыл бұрын
Super song
@ednaremmy29633 жыл бұрын
He's able our God
@damasmkisi18353 жыл бұрын
Nimebarikiwa Sana na uu wimbooo, kwell hakuna awezaye Kama MUNGU wetuu, mbarikiwe Sana watumishi wa MUNGU 💓💓
@neemashoo56292 жыл бұрын
Wapiga vyombo mungu awabariki
@gillianlissa24033 жыл бұрын
Wimbo unabariki mno🙏Mbarikiwe sana Watumishi wa Mungu 🙏🙏🙏
@chrissieyambani49242 жыл бұрын
Still here 9months later indeed yesu unaweza with love from Kenya.wimbo wenye mafunzo mema sana mbarikiwe sana❤❤
@maggymgoma8913 жыл бұрын
Halleluyaaaa
@neemasarwatt10302 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana, Mungu awabariki sana
@bestinabestina22753 жыл бұрын
Udugije udugije sebha 🙌🙌
@stephanokihaga68913 жыл бұрын
Mungu akubariki chombo cha Bwana....akupe mafunuo zaidi ya sifa kwa utukufu wake
@godlovejudica59313 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana, Umejaa nguvu za Mungu, barikiwa sana mtumishi
@janethallan56943 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥aigooooooooh
@amosimgeni3 жыл бұрын
Shem @Debora Kuyokwa Mungu Azidi kukutumia Hakika 🙌🙌
@blandinasamwel35123 жыл бұрын
Ameeeen unaweza Yesu Mungu Awabariki sana Watumishi wa Mungu
@gracy05ful3 жыл бұрын
Goodluck, your father taught me sunday school in ugweno masumbeni, more than 20 yrs ago, before i moved to Dar. He was such a simple and humble man of God, i know he is so proud of u up there. Keep the fire for Jesus burning inside u. 🙏
@gracemlaizer78873 жыл бұрын
Hakika Yesu anaweza kila jambo...barikiwa sana watumishi wa Mungu
@ElidaimaPallangyo-g1r Жыл бұрын
Nyimbo imenibarik sana
@SilviaMosha-xm5yc7 ай бұрын
Gwe gwamaka jesu mponjoli
@oliverngolle94613 жыл бұрын
Thanks God was looking for this song am blessed now always nasikia Mungu-Kwanza Radio Mbarikiwe Sana .
@gospotv3 жыл бұрын
Barikiwa mtu wa Mungu
@chrismgona83422 жыл бұрын
Nabarikiwa kila niusikilizapo, Mungu azidi kuwatunza na kuikuza huduma alowapa.
@rosebopolo96253 жыл бұрын
Hakika Yesu unaweza 🙏🙏🙏
@khalufaniomary75743 жыл бұрын
Nabarikiwa na kaz yak San kaz ninzur san mtumish
@judithjumba65893 жыл бұрын
Unaweza yesu,hakika anaweza,sifa kwa bwana
@festondile13933 жыл бұрын
Barikiwa sana kwa Huduma mtumishi wa Bwana tunabarikiwa na huduma yako.
@purityelijahmukamiofficial71213 жыл бұрын
This song is so powerful God bless you man of God
@lyontheblessed82003 жыл бұрын
Mukamikzbin.info/www/bejne/Y4STiHSXrZdpitk
@chungueffects25663 жыл бұрын
Mtumishi Mwangosi nimebarikiwa na huu wimbo..Be blessed my brother.
@richardyalonde84232 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kwa wimbo Mungu. Mungu azidi kukutumia
@samwelmwaijumba60183 жыл бұрын
Amen hakika Yesu unaweza....sifa na heshima ni kwako Jehovah
@simonnzumbi10263 жыл бұрын
Amen Yesu Kristo unaweza milele 🙏🙏🙏
@patrobamalema86312 жыл бұрын
HAKIKA UNAWEZA YESU
@annadaudi92663 жыл бұрын
Hakika Mungu azidi kuwainua kwa viawango vya juu zaidi Mbarikiwe 🙏
@colintalentdrummer3 жыл бұрын
atukuzwee MUNGU juu yako
@sethonyango53863 жыл бұрын
You are able Lord.Paul,Goodluck and that Princess,be blessed in Jesus name.Kwa ukweli,anaweza na ndiposa akawapa nguvu ya kuimba wimbo huu mtamu.
@blessiramukandala98363 жыл бұрын
Goodluck you always blessed me with your powerful voice 🙏 ❤ 💓.. unaweza yesu
@thomasmhina56373 жыл бұрын
Yesu Asante Sana.Mungu akubaringi baba
@zilepale75472 жыл бұрын
ila sasa mbona mwachezea gizani. Yesu ni nuru na si giza
@josephatmathayo23553 жыл бұрын
Mbarikiwe kwa wimbo mzuri. Hakuja Yesu unaweza
@Benjamin-Mutiso3 жыл бұрын
Nice song
@hannakabanja42293 жыл бұрын
Kweli Yesu unaweza, asanteni kwa baraka hizi
@BG155403 жыл бұрын
Kweli Yesu wetu ana weza hallelujah
@judyngowi3912 жыл бұрын
We Gwamaka Mwakalinga
@thomasphilipo8803 жыл бұрын
Mungu ni mwema siku zote barikiwa sana watu wa mungu it me muha oG
@marijanijo3 жыл бұрын
Wimbo wa baraka sanaaaa
@irenenkinda31382 жыл бұрын
yes GOD IS ABLE AMEN
@edwardgodfrey86563 жыл бұрын
Unaweza Yesu🙌
@nurujuma28893 жыл бұрын
Amen Nami nasema Unaweza Yesu
@meshackmulilo69973 жыл бұрын
Awesome God Abhaghile untwa ghwitu
@willefaustine84863 жыл бұрын
Hakika yesu anaweza kabisaa 🙌🏻🙏
@DanniIsraelTV3 жыл бұрын
Blessings Blessings Blessings to infinity....... Webare seboooo, Mukama Yebazibweee, Omutufuuuuu we abikora abibasa..
@merryjohn95203 жыл бұрын
Unaweza yesu lisifiwe jina la YESU 🙏
@suzanmushi49813 жыл бұрын
Unaweza Yesu 🙏🙏🙏
@patriciautiyah74443 жыл бұрын
Unaweza Yesu👌
@judithmasaki44493 жыл бұрын
Hallelujah unaweza Yesu🙇🙇
@tituswachira70422 жыл бұрын
i am in love with this song. nimebarikiwa
@Bulemela3 жыл бұрын
Seba unogijee! Wabeja sana!
@eddynjenga3 жыл бұрын
Unaweza Yesu 🙏🏾🙏🏾
@annamsuya15823 жыл бұрын
Nimebarikiwa Mungu aendelee kutukuzwa ndani yenu debora nimekupenda bureee
@jadielcornelius87163 жыл бұрын
Kwa kweli unaweza Yesu... You're able Jesus 🥰🥰🥰
@farajampembeule65183 жыл бұрын
Yesu kweli unaweza
@philemonkageleja38583 жыл бұрын
Onogijeeeee it on fire 🔥🔥
@simamgalla15693 жыл бұрын
Mungu ainuliwe sana
@josephnyamoga47473 жыл бұрын
Amen Yesu unaweza hakika,,,,imba kwa imani ni sifa nzuri kwa Mungu
@zaitunilucas32893 жыл бұрын
I have been waiting for this song I thank God is out now MUNGU awabariki sana