UTAMPENDA AISHA MASHAUZI AKISOMA QURAN KWA MAQAM YA HIJAAZ MASHALLAH- TAREHE 31 AUG SI YA KUKOSA HII

  Рет қаралды 56,436

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

Күн бұрын

Пікірлер: 220
@naswiharashid7166
@naswiharashid7166 4 ай бұрын
Allah akuongowe Isha Masha Allah wasoma Quran vizuri sn jaribu kuacha ambayo Allah hayapendi km kuimba na kuigiza tamthiliya In Shaa Allah
@AliAhmed-m1o2u
@AliAhmed-m1o2u 4 ай бұрын
Maasha Allah msiseme wanafanyia ishtizai bali ni kuwaombea na pia kujiombe na sisi kudumu katika njia sahihi kwani mwenyezimungu huangalia zaidi mwisho wake binaadamu amemalizaje sisi sote ni wakosaji lakini mbora zaidi katika mkosaji ni yule anaetubia swadaka rasulullahi❤❤❤
@HemedLwambo
@HemedLwambo 4 ай бұрын
Nlichogundua ni kwamba UISLAMU Wetu una watu wengi ambao ALLAH KAWAJAALIA Kuwa na Ushawishi mkubwa ambao kwanamna nyngne wapo njia ambayo sio stahiki lakin wanahtajia saana KUDUMU KWNYE NJIA YA HAKI na KUUPIGANIA UISLAM WAO ni muda wa Masheikh zetu kuwaendea na wao huenda kwa REHMA ZA ALLAH wakaachana na yale yasiofaa😢😢😢
@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch
@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch 4 ай бұрын
Muwache mmbo ya kipuuuzi Kuna maisha baada ya kufa munatakiwa mubadilike nyinyi kwanza
@fundidinongo2308
@fundidinongo2308 4 ай бұрын
Aamiyn
@Mwasitisaid-p6q
@Mwasitisaid-p6q 4 ай бұрын
Wallah ten umesema kwel mashekh tunawaomb toen daras juu y din yetu ya uislm 🙏
@HemedLwambo
@HemedLwambo 4 ай бұрын
@@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch ahsante kaka kwa kunkumbusha
@HemedLwambo
@HemedLwambo 4 ай бұрын
​@@rayisadesigns2646shukran saana ndgu yangu kwa kuntetea japo haunfaham lakin kwa dhana njema kwangu Namuomba ALLAH AKULIPE KHAIRAAT wewe na familia yako INSHAALLAH❤❤❤
@AthumaniddIdd
@AthumaniddIdd 4 ай бұрын
Maashaallah siku zote hizi sikujua kama huyu dada anajua kusoma Quran vizuri hivi Allah s w amjaze majazo mema
@mohamedhamedseifelsawafi8309
@mohamedhamedseifelsawafi8309 4 ай бұрын
Wallahi akapata shkh nzuri huyu dada. Atakua msomi nzuri sana wa قرآن. Muokoeni jamani
@SophiaJumbee
@SophiaJumbee 4 ай бұрын
Hapana hiyo ni suratu alkahfi hazisomwi hivyo naamini unaijua ila tu hujafanya muraajaa na hivyo ndivyoilivyo qor,an ukiiacha nayo inakuacha jitahidi kuisoma mara kwa mara ili irudi kama ilivyo zamani Asante hongera dada yetu
@aswahabigantallar2021
@aswahabigantallar2021 4 ай бұрын
Ni Kweli. Aya Ya 9 - 10 Katika Suratul Kahf. Na Kakosea Kibinadamu. Mwenyezi Mungu Mtukufu Atusamehe Sote Na Atupe I'lmu Yenye Manufaa Duniani Na Akhera Wallah Tena, Aaamiin Aaamiin Aaamiin.
@MMo-o1u
@MMo-o1u 4 ай бұрын
kwenye kahfi yeye anasema kahti subhanallah Allah atufnyie wepes
@MaryamMashaka
@MaryamMashaka 4 ай бұрын
Hakika una usomaj mzur sana inahtajika muraja na Allah akufanyie wepes uisom quran kitajuwid na una saut nzur sana Maa Shaa Allah
@abubakaromar14
@abubakaromar14 4 ай бұрын
Allah amuongeze katika kheri na hasanaat. Amfanye aweze kuisoma quran vizuri kwa ufasaha
@ZulfaKassim-q2v
@ZulfaKassim-q2v 4 ай бұрын
@@abubakaromar14 Allah akuongezee hikma aamin
@saidmwinyi7062
@saidmwinyi7062 4 ай бұрын
Subhanallah mbona anakosea sana Sio rajaiyuna ni lajaiiluna Kwenye aya iyo ya amhasibta hamna kalu ni kanuuuuuj sio fitnatu ni fityatu Sio kahti ni kahfi JAMANI TUPENDELEEE KUDURUSU NA ISHA MASHAUZI ANAIPENDA KUIDOMA SURA HII SIKU ZOTE ANAKOSEAAAA TUJITAHIDINI KUSOMA TUSITAKE KUJIONESHA MBELE ZA WATU HUKU TUKIWA TUNAKOSEAAA
@husseinyussuf8827
@husseinyussuf8827 4 ай бұрын
anakosea sana.watu hawaijui quran...kisha wanakabbir
@Rukaka_jr
@Rukaka_jr 4 ай бұрын
Kumbe unamfuatlia na bado anakosea, na hatk kujirekebisha
@sefubakari
@sefubakari 4 ай бұрын
Isha na batuli. Muogopeni mwenyezi Mungu.
@NassoroChangani
@NassoroChangani 4 ай бұрын
Inapendeza sana mamaa mashauzi kipenzi cha wote , mungu akusaidie katika kila mipango yako ,akupe kizazi chema chenye kufuata mkondo wako na akupe Maisha mema marefu🤲 Ama kwa hakika ww ni mfano bora wa kuigwa
@AbdulShoo-ly1uf
@AbdulShoo-ly1uf 4 ай бұрын
Subhanallah..kumbe na kuraan twaijua asa inakuaje kwenye vyombo vya habari tunajitangaza ktk maasi...Allah akupe kheri dada udumu ktk njia ya Hali inshallah
@FathiyaAlshidhani
@FathiyaAlshidhani 4 ай бұрын
استغفرالله العظيم واتوب اليه
@biashaSalem
@biashaSalem 4 ай бұрын
Mashalhaa my mum 🙏
@Saum-o1w
@Saum-o1w 3 ай бұрын
Hicho kichwa sasa jmn😂 Innalillah wainnailayh rajiun Allah anachukia kwa wanaofanya maouvu ya dhahiri ,wameipa Akhera yao mgongo na kuipendekeza Dunia yenye maisha mafupi"" sasa tuseme bdo unajishaur kubadilika au tumlaumu nan
@SaidaAli-kr3bi
@SaidaAli-kr3bi 4 ай бұрын
Mashaallah ❤
@AishaissaMohammed
@AishaissaMohammed 4 ай бұрын
Mashallah mungu akuzidishie🎉😂
@milasbaibe307
@milasbaibe307 4 ай бұрын
Jazakallah kheir Amiin 🤲
@mahmoudzacharia442
@mahmoudzacharia442 4 ай бұрын
Sub' hanallah....! Yani kwa namna hiyo Qur'an alivyo iharibu, alafu MC anasema takbir🥶
@keyla3641
@keyla3641 4 ай бұрын
Mashaallh Allah akuingoe
@BashirIssa-hr7iy
@BashirIssa-hr7iy 4 ай бұрын
Masha Allah!
@hamissiali4121
@hamissiali4121 4 ай бұрын
Mashaallah ila amekosea sana kupita maelezo (practice makes perfect)
@shabani6631
@shabani6631 4 ай бұрын
Maashallah Dada angu Isha mashauz
@shaabanimbakana4031
@shaabanimbakana4031 3 ай бұрын
Surat al kahf
@NajmaRajabu-q8e
@NajmaRajabu-q8e 4 ай бұрын
mashaAlla paka nimetoa machozi mungu akuongoze
@Maimuna-n3z
@Maimuna-n3z 4 ай бұрын
Maa Shaa Allah
@hamissiali4121
@hamissiali4121 4 ай бұрын
Qur-an siyo bible imeifadhika ktk mioyo ya watu ukikosea tu japo kidogo watu lazima waskustukie huo ndio muujiza wa hicho kitabu hakina shaka Mungu mwenyewe KASEMA.
@hafsasaid5790
@hafsasaid5790 4 ай бұрын
Hayo ni maskhara ktk dining. ALLAH akuongoze
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 4 ай бұрын
Mashaallah dada mashaallah hakika inapendeza sana
@alitwalib7710
@alitwalib7710 4 ай бұрын
Kazivuruga sana Aya za Qur'an, kwani hakuna wa kumrekebisha?
@AmiriMalenge-kc5jk
@AmiriMalenge-kc5jk 4 ай бұрын
Mashaallah Ama kweli wanaojua ndio wanao kengeuka
@MatandiMatandi
@MatandiMatandi 4 ай бұрын
Hongera sana dada.
@shadiashaaly3956
@shadiashaaly3956 4 ай бұрын
qur'an ukibadilish herfi moja tu basi umebadilisha maana ya kilichokusudiwa😢
@allymtito8117
@allymtito8117 4 ай бұрын
Wallah nilijua anasoma mashairi, embu akasomeshwe quruan vzr
@kheriakida3309
@kheriakida3309 4 ай бұрын
Kashifa sio sehemu ya Uislam, wewe uliebahatika kusoma vizuri uko wapi na una nini?
@ZulfaKassim-q2v
@ZulfaKassim-q2v 4 ай бұрын
@@kheriakida3309 jitolee kumfumdisha na kusomea Quran utakua umefanya kheri kubwa
@janerouhassanjanerou7933
@janerouhassanjanerou7933 4 ай бұрын
@@allymtito8117 mwenye kujua Qur an vizuri anatumia ujuaji wake kukejeli wengine badala ya kutumia hikma na busara
@BakaryOmally
@BakaryOmally 4 ай бұрын
​@@kheriakida3309na amesaidia nini ktk juhudi ya kupeleka dini mbele??tunapenda kutoa hukumu ila kumbuka qurani ina sauti nyingi ukiwasikiliza wasomaji wengine unaweza kuwakosoa haya unajua amesoma sura gani huyo
@SharifaIsmail-cu5oi
@SharifaIsmail-cu5oi 4 ай бұрын
​@@kheriakida3309QURAN inatakiwa kusomwa kwa usahihi sio kukufuru , hajui kusoma akae ajifundishe sio asome jukwaani , Quran sio kitabu cha kuchezea chezea tumetakiwa tusome na tumeambiwa kusoma ni lazima kwa kila muislam na Quran Allah amesema isomwe kwa usahihi
@SharifaIsmail-cu5oi
@SharifaIsmail-cu5oi 4 ай бұрын
Astaghfirullaaah astaghfirullaaaaaah astaghfirullaaaaah , kajifunze kusoma Quran kwa usahihi umekufuru sana sana .Na badala ya kusema astaghfirullah eti wanapiga takbiir.
@abdulkawingaabdulrahman-sc8284
@abdulkawingaabdulrahman-sc8284 4 ай бұрын
Maashaallaah.... Dada inabidi uanze kufanya Muraajaa wa Qur'ani isije kukutoka kabisa
@AliKhamiss-r5k
@AliKhamiss-r5k 4 ай бұрын
Angejiendeleza akaisom vzr qur.an kuna sehem amekosea
@AishaAbubakar-mo7gl
@AishaAbubakar-mo7gl 4 ай бұрын
Masha Allah wasoma vzr lkn fanya murajaa vzr wakosea sanaa
@UmyMasud
@UmyMasud 4 ай бұрын
Umesoma lalkini umekea sana hizo Aya kuzisoma
@husseinyussuf8827
@husseinyussuf8827 4 ай бұрын
kweli
@SalmaMsangi-n2m
@SalmaMsangi-n2m 4 ай бұрын
Kidogo kidogo mashauz anabadilika maashallah Allah akutunze
@IbrahimKabanda-k2o
@IbrahimKabanda-k2o 4 ай бұрын
mungu akuongoze utoke kwny mambo ya kidunia kuimba na kuvaa mavazi ya uchi
@surusuru1994
@surusuru1994 4 ай бұрын
Masha Allah ❤❤❤
@jamilaalli
@jamilaalli 4 ай бұрын
Allah mpe her iliyo bora nshallah
@sallyMwakinginda1996
@sallyMwakinginda1996 4 ай бұрын
Allah aipelekei adhabu qaumu mpaka aipelekee mjumbe
@OmanOman-f7r2p
@OmanOman-f7r2p 4 ай бұрын
Mashaall
@JamilaJuma-kl2em
@JamilaJuma-kl2em 4 ай бұрын
mashaAllah Isha jmn
@juliusakilimali9424
@juliusakilimali9424 4 ай бұрын
HONGERA SAAAANA ISHA! WANAOKUBEZA, MUNGU AWASAMEHE!!
@a.856
@a.856 4 ай бұрын
Jazakallah khayran
@alsam4881
@alsam4881 4 ай бұрын
Isha Mashauzi anatowa nasaha ktk jamii na kusema tuwe na kizazi chema na pia kuwa na hofu kwa Mnyeezi Mungu, wakati yeye matendo yake hayapendezi ktk jamii na wala hayampendezi Allah, yeye ni kioo cha jamii na anaendekeza Zinaa na kumuonyesha hawara yake ktk mitandao, na pia amejichora matatoo ktk mwili wake bila ya kuwa na hofu kwa Allah, INNALILAHI WAINA ILAHI RAJIUN.
@seymaajodarn8432
@seymaajodarn8432 4 ай бұрын
Siku zote hata mlevi anaweza kukupa mawaiza ya kuwa uvite bangi maana ina madhara na yeye anavuta kwaiyo unachotakiwa ni kufata maneno yake na kumuombea kwa allah abadilike tu
@seymaajodarn8432
@seymaajodarn8432 4 ай бұрын
Nimekosea kidg mlevi anaweza kukuambia usivute bangi ile hali yeye anavuta . Ndio maana yangu
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 4 ай бұрын
Unapolinganiwa linganika
@HidayaHassan-ln6ig
@HidayaHassan-ln6ig 4 ай бұрын
Umeongea kweli mtihni
@hassaniddy8735
@hassaniddy8735 4 ай бұрын
Nikweli ndugu ulicho sema lkn huwez jua yeye na Allah wako karib vp usihukum acha mungu mwenyew amuhukum
@rauhiaomar977
@rauhiaomar977 4 ай бұрын
Mashllah 😢
@shakirashakira-gc2yw
@shakirashakira-gc2yw 4 ай бұрын
Isha wee adi nimelia kumbe msomi mzuli allah atupe mwisho mwema nakupenda sana kwa ajili ya allah
@JumaKibure
@JumaKibure 4 ай бұрын
Alichokisoma ni kitu gani?inaonesha woote hamjui sio quraani kasona kuluwani mpuuzi
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 4 ай бұрын
@@JumaKibure Hawa wajinga hamna kitu wamekimbia madrasa kazi kukata viuno2 Afadhali huyo Batuli kajitahid.
@JRN2612
@JRN2612 4 ай бұрын
​@@JumaKiburehahahhaha mbona kuluwani😂😂😂😂. Daah, msiba sana kwa kweli
@Worldunite
@Worldunite 4 ай бұрын
@@Hamis-ks1sy hakuna aliyesoma vizuri apo kati yao, hawa wamekuja apo kusanifu tu
@emmadora7848
@emmadora7848 4 ай бұрын
​@@JRN2612😂😂😂😂😂😂
@UmmukulthumAbdalla
@UmmukulthumAbdalla 4 ай бұрын
hlf unaisom km unasom izo njimb zk ht hivo unasom siv ukibadilish nen 1 t ktk qur an umetoa ushabadilish maan Allah akuongoze km alivyo muongoz dad snura na wy uach njimb umkimbilie yy Allah na kumuabud kikwl kwel 🤲🤲🤲🤲🤲
@abasimwinyibovu3090
@abasimwinyibovu3090 4 ай бұрын
Amesoma kwa kujifunza hapana makosa
@AdilSaid-c2n
@AdilSaid-c2n 4 ай бұрын
Usifanye maskhara na qur~an sio taraabu hio
@Salmaismai
@Salmaismai 4 ай бұрын
Anasoma Quran au anaimba taarabu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Kisase
@Kisase 4 ай бұрын
Fanya mazoezi upo vizuri pia usisome km unaimba
@Rukaka_jr
@Rukaka_jr 4 ай бұрын
Kama hatujui kusoma ni bora kukaa kimya kulikokukosea jaman sina nia mbaya kuwa namkosoa hapan ila anaicharanga sana quran na hapo maana zake halisi zinkufa, quran husomwa kwa utamkaji wa herufi sahihi, kam unajua huwez kaa kimya tu na sio kuSHOW OFF 😢
@hashimagilly3893
@hashimagilly3893 4 ай бұрын
Saa zingine mnakosa ya kufanya, yawezekana uhai wa hii dunia upo ukingoni, maonesho yenu hayana mvuto wala maana, mnaharibu sana!
@hawakassimu6120
@hawakassimu6120 4 ай бұрын
Mashaalllah
@hyy4114
@hyy4114 4 ай бұрын
Subhanna Allah Allah anisamehee na mm sijui yng ninayoyatenda anayajua Allah Hasa na hv vidudu kujipandika kila sehemu unaalika nn Allah atusamehee waislamu tunajidhalalisha tu juzi tu unahangaika na mwanaume mkifanya zinaa leo unasoma Qur'an acheni kumdhihaki Allah
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 4 ай бұрын
Njia bora ni kumuomba Allah awaongoze sio kuwalani nawe hujui hatma yako mtume s.a.w anasema Mtu atafanya matendo ya peponi mpaka kukaribia yeye na pepo umbali wa mita mmoja kisha likadhihiri liloandikwa akafanya matendo ya watu wa motoni na akaingia motoni.pia aweza mtu kufanya ya motoni ikabakia mita moja kuingia motoni likadhihiri liloandikwa akafanya matendo ya peponi akaingia peponi.
@RashidiAlly-cl7fo
@RashidiAlly-cl7fo 4 ай бұрын
Wewe ulishuhudia hiyo zinaa aliyoakiifanya Aisha Mashauzi?au inatuhumu tu juu!!.
@hyy4114
@hyy4114 4 ай бұрын
@@RashidiAlly-cl7fo uko wap majuz na yule bwana waloachana anaitwa mabango alikuwa mume wa Halali??
@Swamyhassan_sy
@Swamyhassan_sy 4 ай бұрын
Allah atujalie mwisho mwema hafai kulaumiwa usimhukum mwenzako
@janerouhassanjanerou7933
@janerouhassanjanerou7933 4 ай бұрын
Mbona umeandika gazeti ambalo halina maana ni taka taka tu Allah kaumba kukosea na kupatia na kaweka msamaha pia kwa kujua sisi waja wake tuna mapungufu sasa kama we hauna mapungufu basi ume pendelewa
@sheikhzuberirashidi594
@sheikhzuberirashidi594 4 ай бұрын
INNAA LILLAHI WA INNAA ILAYHI RAJIUUN
@janerouhassanjanerou7933
@janerouhassanjanerou7933 4 ай бұрын
Nani kafa?
@HUSSEINALLY-b7f
@HUSSEINALLY-b7f 4 ай бұрын
😂😂swali zuri sana😂​@@janerouhassanjanerou7933
@MohammedSaid-zk7yg
@MohammedSaid-zk7yg 4 ай бұрын
​@@janerouhassanjanerou7933ibnu uthaymeen😂😂😂
@aliabdalla9297
@aliabdalla9297 4 ай бұрын
Kwani msiba mpaka afe mtu
@janerouhassanjanerou7933
@janerouhassanjanerou7933 4 ай бұрын
@@aliabdalla9297 kiukweli ata sijui ila nime uliza nikajua labda kuna mtu kafa
@KuluthumRamadhani-b4c
@KuluthumRamadhani-b4c 4 ай бұрын
Fanya mrajaa vizuri
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 4 ай бұрын
Kweli
@hamidissa1807
@hamidissa1807 4 ай бұрын
Makosa matupu, wenye channel hii ipo haja mufute icho kipande cha uyo dada alochosoma. Hakina maana mana amekosea sana
@BimRamadan
@BimRamadan 4 ай бұрын
Mashallah
@RukiaJuma-ib3no
@RukiaJuma-ib3no 4 ай бұрын
Mashaallah
@SadaHashimhadoswa
@SadaHashimhadoswa 4 ай бұрын
Surat kahf ndo umeisoma hivyo😢😢😢 jitahidi kusoma Qur'an japo kwa wiki tu ili usiisahau , Allah atuongoze sote inshaallah
@nassor6333
@nassor6333 4 ай бұрын
Masufi wanaifanyia istizai Quran. Quran na mziki lini vikakaa pamoja?
@makamekhalfan5968
@makamekhalfan5968 4 ай бұрын
ila lkahti tena chukua msahafu na usisom km unaimba ila um jitahid maash allah
@saidmohammed2405
@saidmohammed2405 4 ай бұрын
Asifanye mchezo na aya za quran amekosea sana katika usomaji wake
@GhalibMohammed-u9t
@GhalibMohammed-u9t 4 ай бұрын
Ukipna hvy muombee dua asome sawa, haluna mwenye akili timamu akajua inasomwa hv akasoma anavyotaka Mtume S.A.W aliwahi sikia watu wanachezea adhana hakuwasema vibaya aliwaita na kuwafundisha na kuwaombea dua, uislam sio jeshi ni dini ya kuombeana kheri , umemuona hapo katika jambo la kheri muombee adumu kufanya hvy
@ZulfaKassim-q2v
@ZulfaKassim-q2v 4 ай бұрын
@@GhalibMohammed-u9t umeongea kama maneno yametoka mdomon kwangu.. jazba hairudishi iman ya mtu, wala jazba haimuongozi mtu..hawa jamaa wanajua amali zao zishapokelewa kwa Allah 🥺
@BakaryOmally
@BakaryOmally 4 ай бұрын
​@@GhalibMohammed-u9ttatizo sisi wenyewe ndio dini tunaipa uzito wakt ni nyepesi ukimkuta ama kumsikia mmoja wenu amekosea yakupasa umrekebishe sio kumsema hii sijui ni ukosefu wa kutojua au kujifanya ujuaji
@AliAhmed-m1o2u
@AliAhmed-m1o2u 4 ай бұрын
Tumuombee kwake mwenyezimungu amuongoze yeye na sote kwani hakuna mkamilifu katika huu mgongo wa ardhi na tusiwe wenye kulaumu bali tuwe wenye kufunza na kujifunza kama mtukufu wa daraja alijifunza kupitia Malaika jibril nae akawafunza maswahaba zake❤❤❤
@FatmaAbdi-k3y
@FatmaAbdi-k3y 4 ай бұрын
Dada anajua ila mazoez muhimu kwake
@sharifaals6427
@sharifaals6427 4 ай бұрын
Dada umekosea bora tizama kwenye kitabu cha Quran
@husseinally3015
@husseinally3015 4 ай бұрын
assalamu alaykum usomaji wako unahitaji kukaa kwa ustadhi ila jitahidi na sauti yako ni nzuri ila inshaallah mungu akuongoze uwe ktk watu wa quran
@ZulfaKassim-q2v
@ZulfaKassim-q2v 4 ай бұрын
@@husseinally3015 wewe umeongea kama muislam anaempenda mwenzie...Allah akulipe kwa nasaha
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 4 ай бұрын
Hiyo Quraan usiisome kama usanii Allah akuongozee Kuna maneno ya Allah umezikanyaga kanyaga
@ZulfaKassim-q2v
@ZulfaKassim-q2v 4 ай бұрын
In sha Allah utaanza darsa bila shaka😢
@kheriakida3309
@kheriakida3309 4 ай бұрын
Tatizo lenu ni ujuaji ndani ya waislam wajuaji wengi mnajifanya mnajua mno ,Hamumpongezi kwa kile kidogo alichonacho hata akikosea, ili kesho apatie Unafiki umetamalaki kwa kujitia mnajua sana
@ZulfaKassim-q2v
@ZulfaKassim-q2v 4 ай бұрын
@@kheriakida3309 wanahisi ni rahisi kumrudisha mtu katika njia...wanahisi jazba itarudisha iman ya mtu..tunawakimbia ndugu zetu haliyakua tunaona hawapo katika msari sahihi....dah Allah atuongoze katika njia ilionyooka atupe mwisho mwema
@BakaryOmally
@BakaryOmally 4 ай бұрын
​@@ZulfaKassim-q2vkumlingania mtu lazima ulimi wako uutumie vyema umpe maneno mazuri na laini lkn sisi tunapenda kukosowa kwa kibri sijui tuiteje Allwah atupe mwisho mwema
@IddyDaruweshi-jv1fu
@IddyDaruweshi-jv1fu 4 ай бұрын
KWA MIMI NAWAPA LAWAMA WALIOWAITA NDIYO WANA MAKOSA. TUNAJUWA TUNAPUUZA EEEE DUNIA WEEE NIACHE NIFANYE YA KHEIR
@aliabdalla9297
@aliabdalla9297 4 ай бұрын
Anaona kama anaimba taarb hapa wasanii wacheni ujinga kama munataka kusoma quran kwanza wacheni muziki
@SidiMkomwa
@SidiMkomwa 4 ай бұрын
Jee kaacha kuiemba yarab
@AmraniRamadhani
@AmraniRamadhani 4 ай бұрын
Daa msiba mkubwa QUR AN Sasa imekuwa ya kufanyia maonyesho
@aishathabit3732
@aishathabit3732 4 ай бұрын
Huu ni uhuni acheni kuchezea uislam kwanini wahuni kama hawa ndio wanakuwa kipaumbele? Lengo leo ni kuhalalisha ushetani wa wasanii tena lengo lenu ni kumshambulia Snura aliye acha uhuni huu ionekane kwamba alicho kifanya ni ovyo. #DABDEO mche Allah acha kurusha makhabithi hawa Angalia anavyo chezea Qur,an
@OfficialA83640
@OfficialA83640 4 ай бұрын
Basi angekuwa anavua hiyo mipini yake aliyojitoboa toboa Subhannallah mwili umejaa tatoo Ya Rabbi kesho tutajibu nn kwa Allah Qur,an tunaichezea mno
@zainabuali9915
@zainabuali9915 4 ай бұрын
Yaan ukitafakar utajiuliza wat Kam Hawa wanakwama wapi kuisimamia din wkat wanajua njia sahih ilipo😢
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 4 ай бұрын
Mnasema2 Maa shaa Allah mnajua wanasoma vizuri qur an au ujinga2
@JumaJuma-i2g
@JumaJuma-i2g 4 ай бұрын
yaani ni mtihani mkubwa watu ambao sio wajuzi wa QUR ANI wanasoma QUR ANI ovyo kabisa wakati wapo wajuzi wa QUR ANI wangehamasisha.
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 4 ай бұрын
@@JumaJuma-i2g yaani akhy unajua wa2 wanachezea dini ya Allah!
@allyalhussainy1216
@allyalhussainy1216 4 ай бұрын
Afanye bidii katika Fai anaweka Teeh
@AdilSaid-c2n
@AdilSaid-c2n 4 ай бұрын
1. Wacha ww mambo ya ajabu mnapotosha familia wachen kuimba
@QudraIbnUmar
@QudraIbnUmar 4 ай бұрын
Masufi bhna duuh
@ZahorSuleyman
@ZahorSuleyman 4 ай бұрын
Usomaji wao sio mzur hawasoma vizur msisifie kw sabbu ya kuwapenda huyu mashuz ndio kavuruga vipaya
@nusuraomar-xn2uj
@nusuraomar-xn2uj 4 ай бұрын
Kuna baadhi ya makosa katika baadhi ya sura jitahid kuisoma Qur-an mara kwa mara maana Qur- an ukiiwacha nayo inakuwacha
@Nufaila442
@Nufaila442 4 ай бұрын
Katika Sura nilisoma kwa ugumu ni hii Surat khaf . Ilikuwajee akaimba muziki
@ndorobo205
@ndorobo205 4 ай бұрын
Sasa naww Dada ilo jina mashauzi si ulifute naww asha si umeshajitoa usanii kuna haja kujiita msanii?
@Kabeya410
@Kabeya410 4 ай бұрын
Siyo Aisha ni ISHA
@HarunaFursana
@HarunaFursana 4 ай бұрын
Dadaangu kweli nimekuskiliza
@khalilhaji3115
@khalilhaji3115 3 ай бұрын
Aya zinasomwa kima kosaa
@KhalidAlliy
@KhalidAlliy 4 ай бұрын
Ndugu mwandishi umekosea nakusahihisha hiyo ni Nahwandi
@AbuuMuyassam
@AbuuMuyassam 4 ай бұрын
Bab deo hiyo video iondoeni hiyo sio qur an
@BiubwaMuhammed-un3dt
@BiubwaMuhammed-un3dt 4 ай бұрын
Surat kyahfi lkn kakosea kosea sana alivosoma nailivo andikwa sivo
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 4 ай бұрын
Ninyamaze mm😂😂
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 4 ай бұрын
ujinga huu hawa sasa wanini
@JokhaJokhaabla
@JokhaJokhaabla 4 ай бұрын
Mbona cjaelewa kasoma nn
@mkongwekhamis4331
@mkongwekhamis4331 4 ай бұрын
Hhhee subhanallah mtihn
@Worldunite
@Worldunite 4 ай бұрын
Hajui kusoma,anajua kuimba taarabu tu
@AbuuMkabugo
@AbuuMkabugo 4 ай бұрын
Acha Cho wwe unajua
@salimakida95
@salimakida95 4 ай бұрын
Soma wewe
@Worldunite
@Worldunite 4 ай бұрын
@@salimakida95 soma nikukosoe
@Worldunite
@Worldunite 4 ай бұрын
@@AbuuMkabugo soma nawe nikukosoe
@SalmanSuleiman-y6w
@SalmanSuleiman-y6w 4 ай бұрын
Ss hawa Wasanii mbona wanaifanyia mchezo Qur-an Hawajui hivyi wanavyokosea wanabadilisha maana kabisaa
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 ай бұрын
Quran ukikosea kidogo tu unabadili maana...Sasa angalieni msije mkawa mnamtukana Allah! kwann usiache mziki ukaenda kujifunza QURAN vzr??? mana unasoma hovyo kwel yan😢😢😢
@ZulfaKassim-q2v
@ZulfaKassim-q2v 4 ай бұрын
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x muombee dua iwe wepesi kwake..ushari ni mzuri sikatai
@BakaryOmally
@BakaryOmally 4 ай бұрын
​@@ZulfaKassim-q2vkuombeana ndio muhimu lakin kurani pia inahitaji kusomwa kwa mahadhi mazuri labda shida yeye kuonekanwa msanii lkn kasubutu
@msamgunda7684
@msamgunda7684 4 ай бұрын
Akhasante sana.
@qudraabdul3284
@qudraabdul3284 4 ай бұрын
Allah Akbar. Kwahicho alicho soma Iwe sababu yake yauongofu ya rabbal'aalamin. Na Allah amsamehe kwa MAKOSA yalio somwa humo ya ubadilishaji wa maana ya Quran.
@OthnoShezume
@OthnoShezume 4 ай бұрын
Anasoma vibaya maana anamakosa mengii
@husseinyussuf8827
@husseinyussuf8827 4 ай бұрын
kweli
@fatmaferuzy1972
@fatmaferuzy1972 4 ай бұрын
Hawa wanaitwa wasanii bwana kwa hiyo wanaontesha usanii wao ila nampongeza Ukt snura kwa maamuzi yake na Allah amthibitishe ktk maamuzi yake sasa huyo Aisha Leo Yuko hapo baadae Yuko kwenye kuimba tena amevaa hovyo nakchwa wazi
HASHIM IBWE KUMBE YUKO  VIZURI KWENYE QURAN SIO MPIRA TU
13:12
BABDEO MILADU
Рет қаралды 56 М.
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
DUA TWAYBAL ASMAU ILIYOSOMWA NA WATOTO MAYATIMA WA MIAKA 5
22:18
BABDEO MILADU
Рет қаралды 30 М.
MWANAFUNZI MWENYE KIPAJI AMUIGIZA RAIS SAMIA KILA MTU KICHEKO TAZAMA!!!!
7:51
MARYAM HAMDUN AMTOA MACHOZI BABDEO - KASWIDA MRIDHI - LAYLATUL 2024
15:00
THE MOST POWERFUL RUQYAH REMOVES Djinn IN THE HUMAN BODY AND BLOODSTREAM
1:40:25
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 126 М.