Prof jananbi ambaye ni mkurugenzi mtendaji wa hospitali ya taifa muhimbili amefunguka ukweli wote kuhusu kuwa daktari wa rais mstaafu jakaya mrisho kikwete#burnaboy #millardayo #diamondplatnumz #ikulumawasiliano #tbc
Пікірлер: 5
@lucykristensen714517 күн бұрын
Nina heshima kubwa sana na Prof. JANABI. Nia yake ni njema sana kwa Watanzania. Kuna siku watamuelewa. ASANTE sana Prof. JANABI. 🙏❤
@frankngoloka541617 күн бұрын
Dr uko vzr sana
@AdamSaffi21117 күн бұрын
Ukianza kuhojiwa na huyu albino ujue una mataftizo. Celebrity Doctor? We don’t need those in a poor country. Chai? Really? Doctor, how many can afford that? Ni nyinyi ma- bourgeoises mnahitaji chai na sukari. Huyu jamaa ni professor kweli?
@MinskBelarus-il2tl17 күн бұрын
Haihitaji nguvu kubwa kuwa na BUSARA na HESHIMA ,lugha unayoitumia ni Kumdharau HAJI na JANABI, au kwa sababu unaongea Kiingereza ndio unafikiri UMEELIMIKA? Kama hukupenda mahojiano hayo si Ungepita tu. Acha dharau na Matusi,Kuna watu wanapata Mafunzo na kubadili mfumo wa Maisha yao. Heshimu watu usiowajuwa
@temekepamoja275717 күн бұрын
Kama ni doctor wa msoga alafu akamtibu raisi wetu maguful........mmmmmhhh