PROF JANABI AMJIBU MAZITO HAJI MANARA BAADA YA KUULIZWA KUHUSU LISHE, SIJAKATAA WATU WASILE

  Рет қаралды 15,602

Manara TV

Manara TV

18 күн бұрын

PROF JANABI AMJIBU MAZITO HAJI MANARA BAADA YA KUULIZWA KUHUSU LISHE,SIJA KATAA WATU WASILE

Пікірлер: 35
@lucykristensen7145
@lucykristensen7145 16 күн бұрын
Asante Prof.Jamabi. Endelea kutuelimisha. Wale ambao watakuelewa wakifuata maelekezo yako watakushukuru. Nina Diploma ya fitness and nitrition miaka mitatu abroad ninaheshimu sana elimu yako kwa Watanzania. Mimi nakula kama wewe. Pia nafuata Internate fasting. Nakula nyama mara moja moja sana. Niko zaidi katika plant based diet. Heshima yako Prof.Janabi. I salute 🫡 Big respect ✊ for you. Itachukuwa muda kueleweka. Maisha ya zamani na sasa hivi huwezi kuyalinganisha. Zamani watu walitmbea kuanzia utotoni na kufanya kazi za nguvu. Vyakula vilikuwa tofauti. Mazigira pia yalikuwa tofauti. 😊❤
@fatimasaid9469
@fatimasaid9469 12 күн бұрын
Dr Mo Allah akuzidishie afya kwa ulinganiajiwako. Hakuna kitu kigumu duniani kama kulingania watu ila muhimu ni kufikisha ujumbe tu mtu kuukubali siko kazi yalo na kutokuubali sio kazi yako . Ssi tuiliokubali tunaona faida zake . Wabishi tukukutane muhimbili wodini kwa Dr janabi
@saidmacha9219
@saidmacha9219 16 күн бұрын
Leo interview imekua Super sana hongera Mr. Manara pia Prof. Amekuja kivingine kbisa kwa kuangalia wa Tz wamemuelewaje kwenye interview zilizopita. Leo nimepata vitu vingine.
@user-fr7jj1bo7y
@user-fr7jj1bo7y 15 күн бұрын
swali la Haji kuwa vyakula ni hivyo hivyo sio kweli ...zamani tulikuwa tunakula vyakula vya mashambani sasa tunakula vyakula vya viwandani vyenye kemikali nyingi
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 9 күн бұрын
Nilikuwa na kilo 97 nika zingatia maelekezo yako Professor sasa ivi nna kilo 64 niko fiti sana sana mwepesi nna tembea kaaama kiberenge Good bless you Professor
@dubedangali4262
@dubedangali4262 12 күн бұрын
Huu ndiyo ukweli, lakini watu wamejaa jeuri subiri waugue ndo watakumbuka maneno yako Prof
@RamadhaniMshana-gk6vm
@RamadhaniMshana-gk6vm 15 күн бұрын
Nice interview
@kevinalpha4716
@kevinalpha4716 16 күн бұрын
Leo tunapata elimu ya afya🙏
@filberth_Mchilo
@filberth_Mchilo 15 күн бұрын
Chombo cha habari kikubwa kama hiki kutuletea interview kubwa hiii kwa sound ya hovyo Namna hiyo sii haki kwetu wafuatiliaji Tena Interview imefanywa na Mkurugenzi mwenyewe, vijana wangu Akina HopeTyger mlikua wapi vijana wenye taaluma na utendakazi mzuri kabisa shida nini hakuna hada NOISE KIBAO na ni ndani hapo 🤷🤷
@ip_header
@ip_header 15 күн бұрын
Very informative content 🎉🎉🎉
@johnjoycemalusu4886
@johnjoycemalusu4886 14 күн бұрын
Asante sana prof.janabi
@ahmedimakope
@ahmedimakope 14 күн бұрын
Mungu Yuko Kwa ajir ya hayo aliyoyaumba kwetu
@daudimusoma3337
@daudimusoma3337 14 күн бұрын
Uko sahibi fk ni watu hatuelewi tuu
@Mapenzi2635
@Mapenzi2635 15 күн бұрын
Haji at 20 minutes umeuliza swali muhimu sana. Hata hivyo prof . Janabi hakulijibu kisomi (intellectually honesty ) wala kisiasa (government theory ). Ukweli ni kuwa hatuwezi kuwa na mtaala wa chakula tiba kwa sababu udaktari ni umasoko wa bidhaa za kitiba za wazungu . Kwa upande wa government theory ni kuwa tunaongozwa na liberal economics ambayo hairuhusu kutetea wananchi (protectionism). Hivyo lazama mtu ajitetee mwenyewe.
@user-fr7jj1bo7y
@user-fr7jj1bo7y 15 күн бұрын
tatizo ni kwamba hatutoi elimu ya chakula bora tokea kwy elimu ya msingi.. zamani tulikuwa tunafundishwa somo linaitwa sayansi kimu lilikuwa linafundisha sahani ya chakula inatakiwa kuwa na sehemu tatu majani/vegetable, nyama au maharage na ugali au wali..hiyo ndio balance diet au chakula bora. masomo haya inabidi yarudishwe mashuleni pia yausishwe na athari sio kiafya tu bali kiuchumi na maendeleo ya nchi yatategemea taifa lenye watu wenye afya bora.
@Mapenzi2635
@Mapenzi2635 15 күн бұрын
@@user-fr7jj1bo7y, unajua ni kwa nini zamani tulikuwa na sayansi kimu? Tulikuwa na falsafa ya Protectionism. Na maanisha, tulikuwa na akili zetu wenyewe (homegrown government theory). Leo hii tuna Serikali inayoendeshwa na falsafa za watu watatu tu, na wote waingereza. Kimsingi, sisi ni Wajinga.
@user-fr7jj1bo7y
@user-fr7jj1bo7y 15 күн бұрын
@@Mapenzi2635 watu watatu hao wanaitwa Eli Lilly, Pfizer na Bristol Myers Squibb. Mitahala mingi ya elimu ya afya(drugs-oriented treatment) Africa inatengenezwa na wao na kufadhiliwa nao kwa ajili ya equitty portifolio zao ziendelee kukua hawajali maisha ya watu.
@1961nungwi
@1961nungwi 15 күн бұрын
Elimu ya chakula bora kwa maana ya balanced diet ndio (nutrition kwa ujumla) kinachoongelewa hapa. Na hicho hakuna uhusiano wowote na hizo habari za masoko ya Wazungu Wala Uchumi wa kiliberali! Ni sisi Wenyewe kuwasikia Ma Prof wetu kama Janabi na kuchukua hatua. Prof amejibu vizuri with all honesty! Hatuwezi kuacha kujielemisha, kutumia akili zetu alafu tukaanza kulaumu wengine
@Mapenzi2635
@Mapenzi2635 15 күн бұрын
@@1961nungwi, umejibu vizuri ipasavyo uhuru wa mawazo. Ila, kwa haki ya swali la Manara dakika ya 20, hukuwa makini. Hoja ya Manara niya Usalama wa Taifa (nation building). Wewe umejibu kimasoko (competitive model). Intellectual dishonest siyo tu plagiarism. Ni pamoja na kushindwa kuzalisha maarifa yanayotetea umahiri wa kuelimika. Je! Hukuona Bungeni wabunge wakiwa Hawaelewi hoja yake ya lifestyle kama chanzo cha magonjwa? Jibu lake haliwezi kuwa lifestyle bali philosophical rationale. Umemtetea ukajionea na kuonea mustakabali wa Taifa
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 14 күн бұрын
Nakushauri pia Haji Manara achana na matumizi ya Sigara sababu umri wako na matumizi ya Sigara utapata kansa ya mapafu. Mungu anakupenda sana na leo nakuambia mara ya 2 tena maana Tasnia ya Habari na Michezo inakuhitaji
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 15 күн бұрын
Kweli dr ugonjwa wa kisukar ni kubadirisha mfumo wa chakula tu,Mimi mwenyewe nilikuwa na sukari 30,nilivyofata masharti ya chakula sukari yangu imerudi kama kawaida na dawa situmii
@engzuberir.akilenza1764
@engzuberir.akilenza1764 15 күн бұрын
Kwani uoni hafifu siyo matokeo ya kutokula vzr au ni sukari tu na uzito.
@Excellent1Michael
@Excellent1Michael 15 күн бұрын
Sababu ni nyingi, moja ya sababu ni ugonjwa wa pressure na kisukari.
@johnabel8187
@johnabel8187 15 күн бұрын
janabi
@all4970
@all4970 14 күн бұрын
Poor sound.. Siwezi sikiliza mpaka mwisho
@HumoudSalim-ct1tz
@HumoudSalim-ct1tz 14 күн бұрын
ASALAM ALAIJUM HAJ MIMI NI MFUATILIAJI MZURI KWENYE RADIO YA NAHATA KABLA YA RADIO MIMI NAFUATILIA MAFUNDISHO YAKO IWE SPOT AU MAISHA AU MAUDHUI UNAYO PITIA MPAKA NAKUFANANISHA NAAKINA CHAZI HILARY MFUATE TENA PR JINABI ILI UTUPE ELIMU NA USIWE FUPI KAMA HII
@user-qe9ot4kl9u
@user-qe9ot4kl9u 15 күн бұрын
poor sound
@Mapenzi2635
@Mapenzi2635 15 күн бұрын
When a person with authority speaks, make an effort to listen to him or her.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 15 күн бұрын
Kwa nini Wazungu humalizia kula kwa chakula cha sukari?
@1961nungwi
@1961nungwi 15 күн бұрын
si ndio umesikia huko Marekani asilimia 40% wamezidi uzito na wagonjwa ni wengi
@hajihassan5433
@hajihassan5433 14 күн бұрын
@@1961nungwi Sawa ahsante
@dubedangali4262
@dubedangali4262 12 күн бұрын
​@@1961nungwini asilimia 60
МАМА И STANDOFF 2 😳 !FAKE GUN! #shorts
00:34
INNA SERG
Рет қаралды 4,4 МЛН
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41
Increíble final 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 114 МЛН
Mpoki na Ulaji wa Profesa Janabii
9:18
CHEKESHA
Рет қаралды 101 М.
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 55 М.
The Idea of Democracy
1:11:31
Institute of Design (ID)
Рет қаралды 223
МАМА И STANDOFF 2 😳 !FAKE GUN! #shorts
00:34
INNA SERG
Рет қаралды 4,4 МЛН