PROF. KABUDI AFANYA TUKIO LA AJABU/ AMWITA MWALIMU ALIYE JITOLEA MIAKA 26 MBELE YA RAIS SAMIA

  Рет қаралды 43,858

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

Пікірлер: 65
@piusmapunda5900
@piusmapunda5900 2 ай бұрын
Hongera Rais kwa usikivu na kumsikiliza Mwl. wa kujitolea. Mungu ampe maisha mrefu huyo Mama mwl. wa kujitolea kwa miaka 26. Sharing is caring! A shared love is a maximized love.
@KabwikaIbrahim-ld8vf
@KabwikaIbrahim-ld8vf 2 ай бұрын
Inafurahisha sana!Asante Mh.Rais Samia S.Hassan,asante Professor Kabudi!Kazi iendelee
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 2 ай бұрын
Mungu awabariki sana kwa kumtambua mwalimu aliyejitolea miaka 26.
@judicateurassa7817
@judicateurassa7817 2 ай бұрын
Kazi ya huyu kusifu tiu mtukufu mungu alimwita magufuli
@yahayaramadhani6418
@yahayaramadhani6418 2 ай бұрын
Prof. Kabudi Wewe Jembe sana.
@jonathanakhabuhaya1693
@jonathanakhabuhaya1693 2 ай бұрын
udhaifu wa Prof. Kabudi ni kusifu ovyoovyo.Anaogopa kusema ukweli.
@kasimkassam9565
@kasimkassam9565 2 ай бұрын
ni ubaya gani kwa kabudi kurithika na kazi ya kiongozi wake jamani
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 2 ай бұрын
Jona hivi wewe bosi wako unaweza ukamkashifu hata kama hajakukosea?! au wajifanya kichwa maji?!
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 2 ай бұрын
Ubaya gani kwani huoni huyu mama yetu aliyefundisha miaka 26 bila hajira we kuweza?hata miaka hiyo sijui kama umefikisha kama umefikisha heshimu na hilo la huyu Mwalimu kutambulika
@josephlorri431
@josephlorri431 2 ай бұрын
Busara za uongozi sio sawa kumkosoa kiongozi mbele wananchi mnaowaongoza,kuna vikao vya ndani..lakini Prof ni mbunge,kwenye vya bunge ndo sehemu sahihi kukosoa/kupeleka matatizo ya watu wako.. hapo ni Mafanikio yailtopatikana ili kujenga imani ya wananchi kwa serikali yao.. uongozi wa pamoja.
@matipukamatipuka9654
@matipukamatipuka9654 2 ай бұрын
We huoni hayo maendeleo, unajichanganya sana mjomba
@ezehabari947
@ezehabari947 2 ай бұрын
Mh Mama samia Mitano tena inakuhusu
@hantiayman3994
@hantiayman3994 2 ай бұрын
Wala hajakosa Kabudi kumwita huyo mama, hii nchi ni yetu sote na Rais ni mwajiriwa wa wananchi. huyo mama angemwona wapi bila kuitwa apo. tofauti tu ni kwamba angekuwa Magufuli angetoa maagizo apo apo.
@HamadaZubeirTahir
@HamadaZubeirTahir 2 ай бұрын
Mama atayapeleka wapi mazawadi yoote hayo
@MeckitilidaTushabe-or9hu
@MeckitilidaTushabe-or9hu 2 ай бұрын
Asee wakati wa Mungu ukifika hakuna wa kuzuia kabisa ilo ndo najua
@festommakoti6151
@festommakoti6151 2 ай бұрын
Kijana wa makuzani nimekuona uko juu
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 2 ай бұрын
Professor rudi college tthere is where you trully belong
@SelijusMalambo
@SelijusMalambo 2 ай бұрын
Mama mpe maua yake huyo mama cheti sio sababu
@noelnoel4916
@noelnoel4916 2 ай бұрын
Mama Mary masudi Sanya 🎉
@mubarakatwaha7776
@mubarakatwaha7776 2 ай бұрын
MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KAMA RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NAKUOMBA KAMA RAIA WAKO KIPENZI UJUE KUWA KUNA WATU WENGI SANA HAWANA ELIMU LKN WANA MAONO MAKUBWA KWA MAENDELEO MBALIMBALI YA NCHI HII LKN HAWAONEKA KAMA HUYO MAMA ALIYE HUDUMU KWA KUJITOLEA KUFUNDISHA LKN KWA SABABU HANA VYETI LKN IKIFIKIA SHULE ZINAKAMILIKA ANAKOSA NAFASI SASA KWA JASHO KUBWA ALIPOJITOLEA KWA MIAKA 26 NATAMANI KWAMBIA JAPO KAMA RAIS UNAEJALI WANYONGE HUYO MAMA KWA JINSI ALIVYOJITOLEA JAPO UMJENGEE NYUMBA YA KISASA JAPO KAMTAJI KAMSAIDIE KUDUMISHA MAISHA YAKE
@emmanueltillya2017
@emmanueltillya2017 2 ай бұрын
Professor arudi chuo kikuu akafundishe.siasa aweke kushoto.
@stevensosipita
@stevensosipita 2 ай бұрын
WEWE HUJITAMBUI KABUDI JEMBE KAMA MAGUFULI HAYA KARAMBA UWAZIRI WA KATIBA NA SHERIA UNALO??NADHANI LIMEKUSHUKA SHUUU
@KELVINHENRY-j1k
@KELVINHENRY-j1k 2 ай бұрын
Kabudi pewee hata wazirii fanja kaz nzuri sio Muna wapa mnanga
@robartmdamu4755
@robartmdamu4755 2 ай бұрын
Uliyokuwa umependekeza Raisi amefanya😂😂
@KELVINHENRY-j1k
@KELVINHENRY-j1k 2 ай бұрын
@@robartmdamu4755 🙏🙏🙏👍
@AnatoriaRwabatwa
@AnatoriaRwabatwa 2 ай бұрын
Mhhhh
@boscoafikile4737
@boscoafikile4737 2 ай бұрын
Duuuuu jamani Huyu mama hana budi kukumbukwa, ana upendo wa ajabu
@MrutaJusto
@MrutaJusto 2 ай бұрын
Mmmmh WANAWAKE
@hatiagk4447
@hatiagk4447 2 ай бұрын
Chuma.cha pua safi kabisa. Kichwaa hicho.
@andersonchongoma1723
@andersonchongoma1723 2 ай бұрын
Agwe mzengetumbi ara mwaluko KOLE BAHO ! Na wewe mbunge wetu kabudi HATKDAI ..
@BenardSadani
@BenardSadani 2 ай бұрын
Kazi kusifia sifia 2 morogoro balabal mbovu mabasi mabovu yayoenda uk
@rehemarwanda6039
@rehemarwanda6039 2 ай бұрын
Mungu atmpa inshani yake jmn 26 years....Moyo wa kizalendo
@mjemamjema9695
@mjemamjema9695 2 ай бұрын
MZEE ALIYEOKOTWA JALALANI HAAAA
@stevenmrama3123
@stevenmrama3123 2 ай бұрын
Ongera sana mhe professor kabudi,huyo mama ni mzalendo ,tunakumbuka waalimu wa upe wakati huo walikua na uwezo mkubwa sana.naamini hata huyo mama anastahili kupewa tuzo.kwa heshima na taadhima mhe Raisi analolakufanya juu ya huyo mama mzalendo .ongera sana mhe Raisi
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 2 ай бұрын
Kabudi hauna utulivu kabisa mimi naona muwe mnakubali kuwaachia vijana nafasi ili wachape kazi
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 2 ай бұрын
😂😂uy mwalim yup wap😂😂
@EmanueliWildausoni
@EmanueliWildausoni 2 ай бұрын
Muheshimiwa kabud kipindi unafundisha chuo kikuu ulikuwa unatema madin kuhusu muungano ulivyoteuliwa tu kuwa waziri mh kama vile so ww sasa umegeuka kuwa chawa kutuelimisha kuhusu muungano Aaaaaaaa
@shedrackngaila383
@shedrackngaila383 2 ай бұрын
Chuma tupu
@nikundiweamosi5087
@nikundiweamosi5087 2 ай бұрын
Wanasiasa waovu sana yaani prof unachumia tumbo unadanganya kuwa kilosa hawana tabu tena uongo mtupu na wajinga wanashangilia ukidhania shida zao zimeisha
@SaleheMkomwa
@SaleheMkomwa 2 ай бұрын
KABUDI HATUFAI WANA KILOSA YAANI TUNA KERO YA WAFUGAJI KUTULISHIA MAZAO YETU LEO ANASEMA HAKUNA SHIDA RAIS HADAIWI HIVI NI KWELI AMETUHUDHI SANNA WANA KILOSA
@am2323Diaspora
@am2323Diaspora 2 ай бұрын
Hatari sana. Hawajali afya ya rais.
@kuchimillionaire6683
@kuchimillionaire6683 2 ай бұрын
Yaani uheshimu hata huyo mama alichikifanya kwa miaka 26. Wote hawa ni wanaddmu
@am2323Diaspora
@am2323Diaspora 2 ай бұрын
@@kuchimillionaire6683 the second time I heard that Prof Kabudi introduced this woman. If not last year the year before. The same story under the tree
@am2323Diaspora
@am2323Diaspora 2 ай бұрын
Mimi namuheshimu huyo mama lakini huyo ni rais. Sio kila mtu amkaribie. Kuna taratibu zake
@am2323Diaspora
@am2323Diaspora 2 ай бұрын
@@kuchimillionaire6683 do you know TUBERCULOSIS?
@SelijusMalambo
@SelijusMalambo 2 ай бұрын
Ww acha ujinga umemuona huyo mama anaumwa nini
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 2 ай бұрын
Adui wa mwanamke ni mwanamke. Rahis ameshindwa hata kumpa mkono au kumhag! Kweli tuna tatizo waswahili. Angekuwa mtasha hapa wangekumbatiana na kuongea utadhani wanajuana. Ulimbukeni sijui kama ni huu au kutokujua kwangu
@ssekabiradauda7127
@ssekabiradauda7127 2 ай бұрын
presidential security, what if the fingers have poison?,shaking hands is to some extent a risky job.
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 2 ай бұрын
@@ssekabiradauda7127 Total hogwash. Why is it not dangerous when she is campaigning? This self-indulgence and holier than thou whatever you call and massage it
@waziribakari6426
@waziribakari6426 2 ай бұрын
Rais au kiongozi yyt mkubwa hatakiwi kumkumbatia au kupeana mikono na kila mtu bila ya tahadhari na watu wa usalama hawaruhusu jambo hilo labda huyo mtu awe ameshakaguliwa na watu wa usalama na wamejiridhisha kufanya hivyo
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 2 ай бұрын
Unadhani urais ni kazi rahisi usalama wake lazima hauzingatie
@chinashao4679
@chinashao4679 2 ай бұрын
Wewe unakumbatiaga wangapi
@MatikoMarwa-g6m
@MatikoMarwa-g6m 2 ай бұрын
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN TUNAKUPENDA SANA KWA KAZI NZURI UNAZOFANYA
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 2 ай бұрын
Zipi
@osodowilberforce2321
@osodowilberforce2321 2 ай бұрын
Huyu Profesa/Waziri is a "psycophant"hana muelekeo,mdomo kubwa tu.
@am2323Diaspora
@am2323Diaspora 2 ай бұрын
@@osodowilberforce2321 propaganda nyingi na kuongeza chumvi
@mkadammkadam
@mkadammkadam 2 ай бұрын
Kwa nini mnachukia Prof. kueleza ukweli wake?
@am2323Diaspora
@am2323Diaspora 2 ай бұрын
@@mkadammkadam chumvi nyingi
@KELVINHENRY-j1k
@KELVINHENRY-j1k 2 ай бұрын
Kabudi pewee hata wazirii fanja kaz nzuri sio Muna wapa mnanga
Wait for the last one 🤣🤣 #shorts #minecraft
00:28
Cosmo Guy
Рет қаралды 10 МЛН
MAKONDA APIGIWA SHANGWE, SIJAJA ARUSHA KUFANYA SIASA
38:23
Uhondo TV
Рет қаралды 7 М.
PART 1: MZEE MAKAMBA AMVUNJA MBAVU KIKWETE HADI MACHOZI YAMEMTOKA...
20:48
Wait for the last one 🤣🤣 #shorts #minecraft
00:28
Cosmo Guy
Рет қаралды 10 МЛН