PROF TIBAIJUKA AIANGUKIA SERIKALI ya RAIS SAMIA - "TUNAOMBA MTUSAIDIE KUIONDOA SHELI MTAANI KWETU"..

  Рет қаралды 39,241

Global TV  Online

Global TV Online

7 ай бұрын

PROF TIBAIJUKA AIANGUKIA SERIKALI ya RAIS SAMIA - "TUNAOMBA MTUSAIDIE KUIONDOA SHELI MTAANI KWETU"...
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PESA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 119
@globaltv_online
@globaltv_online 7 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@gerraldgready8051
@gerraldgready8051 7 ай бұрын
Ww mkuu wa mkoa ni bonge la genius, chalamila una bonge la kalama ya uongozi nakuona mbali sana siku za usoni
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 7 ай бұрын
Mama Tibaijuka zile pesa ulizoiba hatujasahau pamoja kuwa ni kiasi cha mboga tunaomba uzirudishe tafadhali halafu mengine tutakuunga MKONO Asante
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 7 ай бұрын
Turushie kwanza hela zetu
@abassjuma6248
@abassjuma6248 7 ай бұрын
The.Uko Vizuri sana
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 7 ай бұрын
A wise man ❤Chalamila🎉
@emanuelmushi9917
@emanuelmushi9917 7 ай бұрын
Hongera san chalamila
@antipasjohn62
@antipasjohn62 7 ай бұрын
Chalamila ❤ upo vizuri sana mkuu nmekukubali namna unavyongamua matatizo
@HassanAhmed-di9jq
@HassanAhmed-di9jq 7 ай бұрын
Nauliza hicho kituo kimejengwa leo asubuhi hapo mwanzo hamkuonaaa
@giftmgaya9739
@giftmgaya9739 7 ай бұрын
Wezi wanakamata wezi..nchi ngumu sana hii
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 7 ай бұрын
Hahahahaaaaa inauma hiyo.
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 7 ай бұрын
Hapa ndio kuna msemo wa mla vya wenzie na vyake pia vitaliwa, unakamilika, mama yangu huyu si alìalamikiwa na wananchi kipindi cha nyuma wakati yupo serikalini kuita bilioni mbili ni pesa za mboga tu, ila siku hizi amekuwa mlalamishi huyo dah kama masikini wakati amewekeza mashule ya kifahari mashamba na majumba ila bado haishi kulalamika anaona anaonewa tu dah! Wapo watu hawana huruma hata kidogo na watu wenye maisha duni.
@msatibongonyuzi14
@msatibongonyuzi14 7 ай бұрын
Sioni haja ya kusimamisha huo ujenzi huyo mama anajikuta yy kama ndo nchi yake hii
@neemaackting8758
@neemaackting8758 7 ай бұрын
Wakati anaanza kujenga hamkumuona?
@highvoltages4169
@highvoltages4169 7 ай бұрын
1.Walifunga na mabati, ikadhaniwa ni nyumba ya kawaida, 2.Hawakuweka kibao/bango la ufafanuzi kwamba wanajenga nini (walijua wakiweka bango basi sheli isingejengwa)
@safielkabonda295
@safielkabonda295 7 ай бұрын
Nilichoona hapa mtu mwenye akili mingi ukimfikisha kwa watu wenye akili mingi anatumia akili mingi, Chalamila here was so smart to tackle queries raised by these very educated people tofauti akikutana na masela anaogea upupu mwingi sana hadi anaonekana ana mambo ya kitoto
@user-ef2zr4un2u
@user-ef2zr4un2u 7 ай бұрын
Wandekuwa wao ndiyo wenye hicho kituo akatokea MTU wa chini ingekuwaje acheni ubabe SASA hivi huku kwetu mikowani kunabiashara za kuchenjuwa Dhahabu mtaani kwenye makazi ya watu je Sisi tunaovuta sumu na hao wanauza mafuta Nani Bora charamila hongera and big up
@bongo39
@bongo39 7 ай бұрын
Yako yashaisha kutesa kwa zamu wakati wenu mlijiona miungu watu ila mama samia hataki ujinga huo na umepata chalamila kakujibu vizuri sana hongera mkuu
@ulamaaworiaa8879
@ulamaaworiaa8879 7 ай бұрын
maelezo mazuri kaka
@winniefridamutakyawa5943
@winniefridamutakyawa5943 7 ай бұрын
Asante mama olige muno.
@user-ok8rx3sd6x
@user-ok8rx3sd6x 7 ай бұрын
Hakuna anayezungumzia madini ya prof. Tibaijuka
@athumanfuko199
@athumanfuko199 7 ай бұрын
Vituo vinajengwa kiholela sana na izini au vibali vya ujenzi inatoka serikalini.sasa huyu mama amesema kwa sababu imemtokea yeye imagine huko kwingine atawasemea nani.
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 7 ай бұрын
Nice RC
@user-yk5gm5qj4u
@user-yk5gm5qj4u 3 ай бұрын
Good speach chalamila
@athumanfuko199
@athumanfuko199 7 ай бұрын
Kituo cha mafuta cha SHELL kimepata airtime sana
@africonexion
@africonexion 7 ай бұрын
Nimevutiwa na umakini wa Mheshimiwa Chalamila katika kufafanua suala hili tata.
@issaalfani1030
@issaalfani1030 7 ай бұрын
Tanzanite kuna shida sana
@leokamil6284
@leokamil6284 7 ай бұрын
Haswa Ardhi Makao Makuu wapigaji wengi wamebadili sehemu nyingi kuwapa watu binafsi kufanya makazi badala ya Shule.Utakuta zamani zilitengwa ziwe shule ila wanafuta kwa rushwa wakisema ati eneo limefutiwa matumizi ukiuliza kwa msingi upi?rushwa tupu nchi inawatu wanatamaa tupu
@frankvianey2438
@frankvianey2438 7 ай бұрын
Leo chalamila umetumia akili kusolve hii issue,kinyume na hapo ungeweza kutoa maamuzi chin ya pressure ya professor
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 7 ай бұрын
Yani na muonaga mlevi Ila leo kajibu kikazi ase nimempongeza
@lucasmugoma2870
@lucasmugoma2870 7 ай бұрын
Kwani wakati akijenga mlikua wapi kulipoti amemaliza munaaza kelele na wivu hizo ni vijihela vya mboga
@bouweengabriel2477
@bouweengabriel2477 7 ай бұрын
Sema chalamila mtu smart sana
@khalidballeth5957
@khalidballeth5957 7 ай бұрын
maza Tiba inaonekana kama vile alikua akipataka hapo lkn akazidiwa kete
@husseinkarim7663
@husseinkarim7663 7 ай бұрын
Wakati anajenga mlikuwa wapi,amepata kibali cha manispaa. Mpeni pesa zake alizojengea. Tibaijuka leo anasema serikali yetu sikivu😂
@abroadconnectededucationlt5435
@abroadconnectededucationlt5435 7 ай бұрын
ahahahha nimecheka sana
@nashirkamugisha9425
@nashirkamugisha9425 7 ай бұрын
Huyu tibaijuka hela alizoiba zinamtosha kwenda pembeni ya mji akaanzisha city yake. Aaache roho mbaya
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 7 ай бұрын
Ongea mama tubaijuka president 2025🇹🇿✌️
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 7 ай бұрын
Fisadi huyu alikula hela za richmod.alipewa na rugemali.zitakuwa zmeisha.
@kharidngimba9182
@kharidngimba9182 7 ай бұрын
Roho mbaya 😢😢
@conasmalale1073
@conasmalale1073 7 ай бұрын
prof kingereza king sn
@giftroony8523
@giftroony8523 7 ай бұрын
Chalamila Uko Vizuri Sana Tambuen Hizo Ni Hela Za Watu
@user-cc4jk1ll5v
@user-cc4jk1ll5v 7 ай бұрын
Chalamila angalia watumishi wako wanakupiga changa lamacho
@issakawaya8315
@issakawaya8315 7 ай бұрын
Hekima ikuizidi mashallah ukubwa jiwe
@leokamil6284
@leokamil6284 7 ай бұрын
Nyaraka si maujanja ujanja kila pahali sehemu nyingi mmeharibu mipango miji sehemu za michezo mashule mmeuza kienyeji kienyeji nchi mmeharibu kwa tamaa zenu
@erickuiso3703
@erickuiso3703 7 ай бұрын
Chalamila ataenda mdogomdogo lakini ataiweza Dar es Salaam
@alphoncejmrema7912
@alphoncejmrema7912 7 ай бұрын
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam umeongea point kubwa sana imesimama kwenye njia huwez Kusimamisha Kituo Kwa sababu Hadi kujengwa kuna nyaraka nyingi sana had ukafuatilie kwanza
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 7 ай бұрын
HUYU MAMA ANATAKIWA ALETE ILE HELA ALIYEPEWA NA RUGEMARILA.TENA UKATUJIBU ETI ZA MBOGA.RICHIMONDI
@conasmalale1073
@conasmalale1073 7 ай бұрын
Ivi zile ela za mboga mboga bado mnazikumbuka alizogawia prof tibajuka
@paulinekisanga1637
@paulinekisanga1637 7 ай бұрын
Mnaoongea ni kwa sababu watz mumezoea kukalia kimya kila ujinga unaofanyika mitaani! Hongera Prof!
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 7 ай бұрын
Mwambie arudishe kodi yetu aliyopewa na rugemalima na habinda.hela za richmond tena alijibu kwa dharau.vijisent vya mboga.
@henryndosi2002
@henryndosi2002 7 ай бұрын
​@@hamadsheni8997huyu bibi ni mwizi amepora ardhi ya wananchi huko biaramulo
@abdultandala6576
@abdultandala6576 7 ай бұрын
Chalamila unakitu utafika mbali👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 7 ай бұрын
Yaleo kanifurahisha Sana alafu anawajua baadaee wasije muachia msalaaaa😂😂😂😂😂
@user-fr7jj1bo7y
@user-fr7jj1bo7y 7 ай бұрын
kama sheria zimevunjwa kwanini hamuendi mahakamani?? Chalamila ni mpiga domo hawezi kuamua mambo ya kisheria
@EarnOnlineX
@EarnOnlineX 7 ай бұрын
😅😅😂
@JK-uq1tv
@JK-uq1tv 7 ай бұрын
Vituo vyingi siku hizi vinajengwa ktk makazi ya watu na wanao toa vibali ni hiyo hiyo Serikali Sasa Leo hawa viongozi wastaafu wamefikiwa.
@user-cc4jk1ll5v
@user-cc4jk1ll5v 7 ай бұрын
Haowenye pesa wanasumbua
@Shayojjj
@Shayojjj 7 ай бұрын
Kwani vibali walitoa wapi vyakujenga na Toka wanajenga serikali ilikuwa wapiii
@richardhosea8827
@richardhosea8827 7 ай бұрын
Ameanext tangu 2021 bibi😅😅😅😅😅 matechinolojia ya vijana wazee tulieni tu
@salimmbarak2825
@salimmbarak2825 7 ай бұрын
Huyu mama ana roho mbaya sana,kala hela za serikali kiwizi wenzie wanatafuta hela kihalali roho inamuuma!yy kazuia open space anajiona yupo sahihi hii nchi anaiona ni yakwake peke yake....eti aondoe matanki yake ......
@rehemarwanda6039
@rehemarwanda6039 7 ай бұрын
Wise......Man RC CHALAMILA
@adammjomba5814
@adammjomba5814 7 ай бұрын
Chalamila umeingia ktk jiji la wajanja kuamakini utapigwa changa la macho mpaka ugundue unapigwa changa, tayari watu wecha chukua chao wananenepeana , wanakula Laga ktk kiti kirefu chunga sana broo Chalamila. 😂😢
@ummySheikh72
@ummySheikh72 7 ай бұрын
Kwani Tatizo nini kituo kikiwa hapao? Mama ana taka nini sijaelewa
@hamynas
@hamynas 7 ай бұрын
boss kalamba mpunga😂
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 7 ай бұрын
Mbn hichi kituo kina fwatiliwa sana au Kuna kigogo anapataka
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 7 ай бұрын
Acha hizo mama,enzi zako uliharibu wewe lakini Sasa waja juu. Hatari sana huyuama wa vijisenti
@jumashedafa
@jumashedafa 7 ай бұрын
Hapa prof mmeamua shida na cku zote mnalalamikia bango hamjaon kwenye kujengwa ad kuuza mafuta hamjaon au mlutak mumtie hasara...achen roho mbay
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 7 ай бұрын
Sijawahi kuacha kumuombea chalamila kila nikisali unaakili mingi sana Maana hicho kituo kimefata sheria
@fidelismwakanyamale6787
@fidelismwakanyamale6787 7 ай бұрын
Aka kamama ndiyo kalisemaga bilioni moja ni za.mboga, ndiyo maana kanalaisisha eti hii ni zege tu atowe. Kumbe aka kamama akajitambuwi kuwa mpaka leo tunajikumbusha kauli yake
@abdallahomary515
@abdallahomary515 7 ай бұрын
Hahaha mama hataki kituo cha mafuta, hayo ndo maendeleo mama nchi hii mmeitafuna sana, mwacheni Samia awaletee maendeleo wananchi, Yani huyu mama yeye mwenyewe anagari halafu hataki kituo cha mafuta kijengwe niaibu
@alphoncekagezi4950
@alphoncekagezi4950 7 ай бұрын
Nchi yetu na wanaoaminiwa ktk utumishi wa umma nyanja za kitalaam 100% ni ujanja mtupu.
@muhammadalibhaz1390
@muhammadalibhaz1390 7 ай бұрын
chalamila hajaelemea upande mmoja Leo yupo neutral
@salimabdul4424
@salimabdul4424 7 ай бұрын
Vizuri mkuu wa mkoa...
@FilbertKalembe-fy4oq
@FilbertKalembe-fy4oq 7 ай бұрын
Kweli viongozi wetu wastafu mlikuwa kama magufuri mnapenda haki elimisheni jamii hii inayojuita kizazi kipya komaeni msisikie siasa nyinyi uongozi wenu mlitenda haki huu niudharimu
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 7 ай бұрын
Nyaraka tu,siyo ukweli.Ukẁeli na uwazi ndiyo haki.Toeni haki kwa raia.
@williamkeita1519
@williamkeita1519 7 ай бұрын
Kubadili matumizi ardhi Sheria taarifa inakuhitaji uweke bango wananchi wasome na watoe maoni yao kabla ardhi hawaja ruhusu kukupa hata.
@eliazarinyakiema1969
@eliazarinyakiema1969 7 ай бұрын
Msomi anajibiwa kisomi, mpuuzi anajibiwa kipuuzi. 50/50
@user-tq7im4hn8f
@user-tq7im4hn8f 7 ай бұрын
Saf
@user-rs9sz5hx8t
@user-rs9sz5hx8t 7 ай бұрын
Nyie furahin tu lamuhimu Kila panapoibuka jambo kilahoja ifanyiwe Kaz sio oh anaroho mbaya wewe ukijengewa petrol station getin utajiskiaje? amesema wakat wanalumbana selikari zamitaa engineer alikuwa anakimbiza ujenzi au labda mjengaji anaonewa tujadili hoja pandezote Watanzania wenzangu sio mambo yamtu yahuko nyuma kila mtu anayake.
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 7 ай бұрын
RIP j
@EarnOnlineX
@EarnOnlineX 7 ай бұрын
Kwanini ujihakikishie mahakamani huwezi kishindwa? Au ndio bao la mkono?
@user-gc3ec9wx6z
@user-gc3ec9wx6z 4 ай бұрын
Si ongea Kiswahili ww Bibi mbona hashuo
@simbajumanne9718
@simbajumanne9718 7 ай бұрын
Ingekua ni nyinyi mmejenga mgekubari kubomoa jaman hzo ni chuki binafsi
@user-ok5et4xy4c
@user-ok5et4xy4c 7 ай бұрын
Hicho kituo kisitoke kwasababu kimewagusa wao mbona huku kwa wanyonge mambo mengi kama haya yanafanyika kimya tuu huyo asitoe hicho kituo
@bongo39
@bongo39 7 ай бұрын
Wamechoka kwa roho mbaya
@HabibuSaid-up5sn
@HabibuSaid-up5sn 7 ай бұрын
Kilijegwa Leo watu wametumia ela kissa geti au ajali
@ntibashimadicksonmathiasna2915
@ntibashimadicksonmathiasna2915 7 ай бұрын
Kweli hapo siyo pazuri kabsa cjapenda😅
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 7 ай бұрын
Hapo kuna mkono wa Mkubwa siyo Bure ondoa Kituo hicho acheni Uonevu kwa wananchi..Chalamila Uko vizuri mno safi sana...Mwenye vituo hivyo tunamjua
@azizamvungi1871
@azizamvungi1871 7 ай бұрын
Unataka uabudiwe wakati wako ulishatita cheo ni dhamana mama
@bongo39
@bongo39 7 ай бұрын
Bibi kakauka kwa roho mbaya mangapi ulipokuwa waziri wa ardhi kipi ulichokifanya zaidi ya kujinafsisha ardhi kwa kutumia majina ya watu wako na kuuza ardhi usiwache watu wakasema machafu yako
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l 7 ай бұрын
Njoni mbagala huku vituo viko holelela tu
@user-gb5vz6wm2q
@user-gb5vz6wm2q 7 ай бұрын
Wewe Tibaijuka unaongea kama nani kutaka Kituo kitoke,Wewe uliiba pesa za Escrow mbona hukuchukuliwa hatua yeyote.Kituo kisitoke kinalipa kodi
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 7 ай бұрын
Ndio muone matatizo ya wizara ya aridhi niwizara ilokua na balaa nazara inohusiana na tra pia ni wiza ino adhibu raiya niwizara zilolaaniwa kuadhibu watu
@moriscollins4494
@moriscollins4494 7 ай бұрын
Mtu mzima anatumika vibaya angetulia ale uzee kimya kimya
@ibrahimgwasma1223
@ibrahimgwasma1223 7 ай бұрын
Kilijengwa Wkt ule yeye ni Waziri wa Nyumba na Makazi
@fauzseif7344
@fauzseif7344 7 ай бұрын
Mkuu upo sahihi kabisa
@damasiuspetro5178
@damasiuspetro5178 7 ай бұрын
Kuna haja ya kubadili mifumo ya kikatoba.
@nicodemashaggite8429
@nicodemashaggite8429 7 ай бұрын
Hela ya mboga yamemkuta😂😂😂😂
@RoanCorporation
@RoanCorporation 7 ай бұрын
sheli ya mafuta amepata kibali yote , ameweka bango , majirani badae ya miaka moja wameamkaa? yule ambayo amewekeza kwagna sheli atalipa na nani ?
@laurencematitah7046
@laurencematitah7046 7 ай бұрын
Hii kwa sababu imewakuta wakubwa ndo mnakuja juu, Mtu mpaka kafikia hapo ndo Mnajitokeza kupiga kelele kama sio kumkomoa nini
@user-zd6ms6xh5q
@user-zd6ms6xh5q 7 ай бұрын
Mtu kaanza kujenge mna mwangaliatu mpaka kamaliza ndo mnaanza maneno mngekua nyie sijui Inge kuaje acheni roho mbaya hizo nihela hamuujui uchungu wa kubomolewa .mkuu wa mkoa uko vizur ndomana mama kakuweka hapo nikutokana nahekma ulio kua nayo
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l 7 ай бұрын
Huna lolote kingekua chako ungekubali kitoke?
@moriscollins4494
@moriscollins4494 7 ай бұрын
Ogopa mtu anenepi na pesa anayo
@user-dv6uw1if6n
@user-dv6uw1if6n 7 ай бұрын
Tibaijuka ulikataa Bandari unafikiri wamesahau? kula vyuma hivyo tibaijuka hii ndy CCM ikirusha matangazo kutoka kwa tibaijuka tulia tulia unyolewe CCM inawenyewe na ww umoo ya hilo karai la CCM?
@musantimizi9526
@musantimizi9526 7 ай бұрын
Huo ni wivu tu
@salimseif
@salimseif 7 ай бұрын
Huyo bibi hvihvi ana roho mbaya😡😡
@amourmbarouk1568
@amourmbarouk1568 7 ай бұрын
Exactly true
@danielsostenes1640
@danielsostenes1640 7 ай бұрын
Mwambie aamie mbweni
@mchomvuelias64
@mchomvuelias64 7 ай бұрын
Hon. Chalamilla is really genius. I like the way he approached the issue. I am sure Prof. Understood this Congratulations!!
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 7 ай бұрын
Alimpa nani kibali sio wenyewe mlimpa kibali
@saidyussuf2291
@saidyussuf2291 7 ай бұрын
Haoneshi zaidi ya chuki tuuuuu
@henryndosi2002
@henryndosi2002 7 ай бұрын
Wewe bibi mbogamboga Rudi kwenu bukoba ukakamate senene acha watu wafanye kazi,
@binseif2216
@binseif2216 7 ай бұрын
Huyu mama anabifu na huyo tajiri
@abdultandala6576
@abdultandala6576 7 ай бұрын
Halafu anadai huyo tajili hajawahi msalimia prof,😂😂😂😂😂😂
@binseif2216
@binseif2216 7 ай бұрын
@@abdultandala6576 🤣🤣🤣🤣
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 7 ай бұрын
Na nyie pia mvunjiwe nyumba zenu ili muone uchungo wa kilio cha wanyonge waliozulimiwa jasho lao kwa kuvunjiwa nyumba zao wakati nyie mpo madarakani mnaiba huku mnacheka
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 78 МЛН
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН