Рет қаралды 75,454
Msikilize Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule maarufu kwa jina la Profesa J akichangia bungeni utazani yupo jukwaani akimwaga mistari kwa kuimba nyimbo zake. Haule alikuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2018/2019.