Jumanne Kishimba: Hauwezi kuoa kwa friji au TV

  Рет қаралды 27,996

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

9 ай бұрын

Mbunge wa Kahama Mjini (CCM), Jumanne Kishimba ameitaka Serikali kufanya mabadiliko ya sheria na kanuni mbalimbali zilizorithiwa kutoka kwa mkoloni ili kumrahisishia mwananchi wa hali ya chini maisha.
Kishimba amehoji juu ya adha ya wanaodhamini kesi vijijini kuwa ni watumishi wa serikali pekee na kuwaacha wanakijiji aliowaita watu wa Ng'ombe kuwa wenyewe ndio wenye mali na wakati ambapo kwenye masuala ya kijamii kama vile ndoa Ng'ombe ndio wamekuwa wakitumika kama mahari.
"Leo ukipata kesi unatakiwa udhaminiwe na mtu ambaye ni mwaajiriwa wa Serikali, unakataaje mtu wa Ngombe kunidhamini mimi, na Ng'ombe mwenyekiti sisi ndio tunaolea mke, hauwezi kuoa kwa friji au TV, huyu mtumishi wa serikali anamiliki TV na friji" Aliongeza Kishimba
Kishimba amezungumza haya leo wakati akichangia maoni yake kwenye Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 pamoja na Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 bungeni jijini Dodoma. P

Пікірлер: 42
@StartSmall
@StartSmall Ай бұрын
Huyu mzee naweza kumsikiliza kwa ushauri juu yangu tu inatosha, yupo vizuri sana unaweza ukatoka na ukasimama
@ibrahbzz8516
@ibrahbzz8516 9 ай бұрын
Ushauri wangu kwa vyama vya pinzani kwenye jimbo analowakilisha huyu mzee kwa sasa na kama yupo mwingine wa hivi bora wasiweke mgombea kama kweli wapo kwa maslahi ya watanzania.
@sonnyr1899
@sonnyr1899 5 ай бұрын
Naungana na wewe kukubali huyu ni wawatu. Huyu mbunge wa hali halisi.
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 4 ай бұрын
Ushauri WA kishimba ni dahihi japo mtamkejeli ila meseg ameifikisha
@mawazokarume2824
@mawazokarume2824 3 ай бұрын
​@KaburuKimat.mmm h-eu5nf
@sarahmwakipembe5033
@sarahmwakipembe5033 9 ай бұрын
Asante muheshimiwa wamefuta mpaka bima za watoto ambazo tulikuwa tunalipia 50400/= hii chi wanyonge na familia zetu hawatutaki Ila watoto wao wtibiwe Mwigulu chemba Ni chazo Cha yote Mungu atawalipa
@defaondimbo9600
@defaondimbo9600 5 ай бұрын
Huyo mbunge Jumanne yupo vizuri sana
@bigdad1816
@bigdad1816 9 ай бұрын
Tanzania itapata Haki na umasikini kutoka Wakati serikali itakapoaanza kuweka mikataba ya Mali za asili kuwa wazi kwanini mikataba iwe siri Wakati mari ni ya WaTanzania this is a joke it is time things need to change huu ni upumbavu na ujinga wa hali ya juu kuhusu mikataba ya Mali mali ni ya WaTanzania CCM ni Tatizo kubwa sana. Solution ni katiba Mpya.
@abhambomihambo6754
@abhambomihambo6754 9 ай бұрын
He is very smart and he knows exactly what he's talking about... This is type of MP we want... Yaani amevaa viatu vya wanyonge walio wengi hauyupo kimaslahi km hao wengine kina Mr,&Mrs Yes×3 kazi zao kugonga meza tuu na kujaza wingi.
@wanguwangu34
@wanguwangu34 6 ай бұрын
Definition ya siri huwa ni wizi na kuficha mambo.
@edilisambaryo1904
@edilisambaryo1904 9 ай бұрын
Huu ni mchango mzuri sana, unagusa maisha ya chini
@abuumkumbalu9123
@abuumkumbalu9123 6 ай бұрын
Mimi sio CCM na wala sina mapenzi na CCM lakini naweza kumaliza bando yangu kumsikiliza huyu mzee
@sarahmwakipembe5033
@sarahmwakipembe5033 9 ай бұрын
Waziri Ni namba moja ndiye chanzo Cha matumizi mabaya ya fedha hivi sijui Kama anajua kuwa wananchi anatukera Sana wafanya biashara walalamike kwa ajili yake
@geeva99
@geeva99 9 ай бұрын
Kweli umasikini hii nchi ni chaguo dah!! Yani mkoloni bado anatawala na sheria za 40’s
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 9 ай бұрын
NILIKUA NASUBIRI MCHANGO WA HUYU MZEE MUNGU AMTUNZE
@chiefndatu1895
@chiefndatu1895 9 ай бұрын
Basi tu kila kitu ni bahati kichwa hiki ni zaid ya baraza zima la mawaziri!!😢😢
@yusuphmwanza4405
@yusuphmwanza4405 9 ай бұрын
Umezungumza point sana
@StartSmall
@StartSmall Ай бұрын
🤣🤣🤣
@mcgabby
@mcgabby 9 ай бұрын
Sasa mtu kama huyu kwenye teuzi hata hayomo wakana naniliii tu ndio wanazungushwa kwenye viti virefu wapige vizuri 😢
@macknonkibona2401
@macknonkibona2401 9 ай бұрын
watu wanao jielewa huwa awateuliwi mkuu mana kumburuza kazi
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 9 ай бұрын
Kwa kweli kama unanikopesha umeme nalipa mwisho wa mwezi kweli kwa nini matibabu usinikopeshe nikalipa mwishoni kwa mwezi pia
@charlesmustafa8998
@charlesmustafa8998 9 ай бұрын
Huyu mzee anajua sana
@rwechungurajohn3592
@rwechungurajohn3592 9 ай бұрын
Haaaaa watu wagekuwa na hakili kama kishimba taifa lingekuwa ulaya anaongea anacheka msg inafika
@KelvinMtavangu-ow8yo
@KelvinMtavangu-ow8yo 9 ай бұрын
Duu!! Huyu Mh. Ni balaa, sidhani endapo Wah. Wabunge wanaifahamu lojiki yake. Usipoijua wewe basi. Huyu jamaa ni balaa.
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 9 ай бұрын
Ninyi mmeacha mashimo ya dhahabu nchi nzima mnafikiria kumaliza dhahabu iko ulaya mashimo na umaskini na mashimo yamebaki Tanzania
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 9 ай бұрын
Kweli tutengeneze mifumo yetu
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 9 ай бұрын
Ninyi mmeshiba wala hamuelewi shida za watanzania mnakera tu
@user-gv9rf1lw5w
@user-gv9rf1lw5w 9 ай бұрын
Nondo za ukweli uhakisia wa maisha ya mtanzania
@user-hf9kp7ys2h
@user-hf9kp7ys2h 5 ай бұрын
Mzee huyu ni noma nashauri mwisho binge apewe tuzo !
@EmmanuelNyinyigwa
@EmmanuelNyinyigwa 9 ай бұрын
Katiba mpya ndo suluhisho Mzee
@kibonajuhudi4214
@kibonajuhudi4214 9 ай бұрын
Huyu Mzee Hana degree lakini anatoa madini ambayo hata maprofesa hawana
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 9 ай бұрын
Hivi siyo ninyi mliyoshabikia kuuza bandari yaani wabunge hawa wanashangaza
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 4 ай бұрын
SIYO WOTE
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 9 ай бұрын
Mh kishimba hautakiwi kumshukuru waziri wa fedha...
@manjoriwakunesa7006
@manjoriwakunesa7006 9 ай бұрын
Kwenye shamana umegusa ndipo
@sittantemi
@sittantemi 3 ай бұрын
Wagapi awe rais kshmba
@jonathansehaba7441
@jonathansehaba7441 3 ай бұрын
Inawezekana nchi yetu imamuruki wa nchi zilizo tutawala kwhiyo huwez kbadilisha mikataba ila nkweli uko sahihi
@komboabdullah6265
@komboabdullah6265 9 ай бұрын
Israel
@leonardmanawa952
@leonardmanawa952 5 ай бұрын
ivi huyu baba Huwa anatoa wp madin kama haya
@KelvinMtavangu-ow8yo
@KelvinMtavangu-ow8yo 9 ай бұрын
Usiri wa mikataba unaleta utata kuhusu rasilimali za nchi hii. Usiri umetuponza hata kwa DPWORLD. Kuna maslahi gani ya usiri huu?
@jonathansehaba7441
@jonathansehaba7441 3 ай бұрын
Apo kuna mikataba yenye udalali nahilo litawakwaza waweka mikataba
@rasakakaombwe
@rasakakaombwe 25 күн бұрын
Mwamba kabisa huyu
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 150 МЛН
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 26 МЛН
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 18 МЛН
HUYU Ndiye MBUNGE Darasa La 7 Anaetema MADINI Kama Ana PHD
9:59
Global TV Online
Рет қаралды 260 М.
Godbless Lema Aliamsha Dude Bungeni, Hali ya Hewa Yatibuka
15:51
Global TV Online
Рет қаралды 574 М.
Walimu waliokuwa na sifa za utoro wawafundishe wanafunzi watoro
10:16
Daily News Digital
Рет қаралды 82 М.
Mbunge Kishimba awavun ja mbavu wabunge "Kwani akili ni Bando?"
10:05
Mwananchi Digital
Рет қаралды 32 М.
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 150 МЛН