"WABUNGE TUPEWE LAKI MOJA NA NUSU, HALAFU TUKAISHI MBAGALA" - MBUNGE KISHIMBA AWAVUNJA MBAVU WABUNGE

  Рет қаралды 39,923

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

"WABUNGE TUPEWE LAKI MOJA NA NUSU, HALAFU TUKAISHI MBAGALA" - MBUNGE KISHIMBA AWAVUNJA MBAVU WABUNGE
Bunge la 12 mkutano wa 7 umeendelea leo jijini Dodoma, ambapo wabunge wamepata nafasi ya kuhoji maswali kwa serikali, na kuchangia hoja zao katika bajeti kuu ya serikali kwa mwaka 2022 / 2023.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 99
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 2 жыл бұрын
😭😭😭 Mzee kishimba umeniliza kwa pwenti zako na imemgusa kila mwenye hali ya chini. Ungekua makamu wa rais ungesaidia nchi sana. Mpango kapooza sana, na haeleweki.
@mariamuomari6054
@mariamuomari6054 2 жыл бұрын
Watu wenye akili huwa hawapewi nafasi kwenye hii nchi sanasana wanapotea kama ushachunguza
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 2 жыл бұрын
Mipango imemezwa na walamba asali. Hoi bin taabani.
@pastorlutebukabahinyuye238
@pastorlutebukabahinyuye238 2 жыл бұрын
Kishimba uko vizuri unajua kutetea wananchi tungekuwa na wabunge wawakilishi wa wananchi
@hassanmpwepwe3826
@hassanmpwepwe3826 2 жыл бұрын
Uko vzur sana m.bunge wabunge kama wew ndio wanao takiwa katika inchii sio hao wabunge vilaza kazi yao kusifia 2 ujinga 2 wanainchi wanapata tabu hao kazi yao kusifia 2
@mwakanyokixsagala4491
@mwakanyokixsagala4491 2 жыл бұрын
Hera Sina ya kukupa mzee, ila heshima yako sana
@martinymaryogo8753
@martinymaryogo8753 2 жыл бұрын
Huyu mzee anaongea maisha ya masikin kabisa ila hao.........ngoja tu ninyamaze
@innocentmarunda8140
@innocentmarunda8140 2 жыл бұрын
Yaani katika watu nawafatiliaga Sana ni kishimba ni mzee mwenye uruma na watu wa nchi yake sio Jimbo lake ni mzalendo.
@livinusmugisha5469
@livinusmugisha5469 2 жыл бұрын
Yani huyu mbunɡe yuko vizuri sana
@sometimes5621
@sometimes5621 2 жыл бұрын
Huyu ni Mbunge makini sana!
@faustafrancis3462
@faustafrancis3462 2 жыл бұрын
Mbona nyumba zake watu walio panga Kodi na umeme wanalipa juu Sana mbona hapunguzi Kodi..ili watu wamudu mfumuko wa Bei..
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 2 жыл бұрын
@@faustafrancis3462 kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake,we unaona ghali lakini wapangaji wanaishi kiroho Safi!
@twahambonde4095
@twahambonde4095 2 жыл бұрын
Huyu mzee ana karama ya uongozi,binafsi namuelewa sna utetezi wake hasa kwa watu wa maisha ya chini,gombea urais jembe langu kura yangu unachukua
@ibrakikome9163
@ibrakikome9163 2 жыл бұрын
Wasukuma wako vizuri
@jamespapaa644
@jamespapaa644 2 жыл бұрын
Kishimba mzee wangu nakukubali sana maana wewe hua unaongea ukweli mtupu wengine wanaongea pumba kabisa yani wewe unaitekeleza kile ulicho tumwa na wanaichi wako kila mchango wako una samani kweli
@deogratiasmwandu55
@deogratiasmwandu55 2 жыл бұрын
Uko vizuri Sana unapoint za maana kuliko hao wabunge wengine ambao kilakukicha nikumusifia rais tu
@denispeter1520
@denispeter1520 2 жыл бұрын
Maswala ya msingi wabunge Kimya
@mussathomasdossa4687
@mussathomasdossa4687 2 жыл бұрын
Dalasa la saba mnamawazo mazur Sana mungu akubariki
@titus_maridhia
@titus_maridhia 2 жыл бұрын
Huyu ni mbunge wa wannchi kweli kabisa. Unajua wabunge huwa wanazungumzia hasa yale yanayowahusu kwa uchumi wa level yao, sio wale wenye uchumi wa chini yao.
@Iam_fadheel
@Iam_fadheel 2 жыл бұрын
Huyu Mzee anaongeaga point tupu Kuwazidi hata Hao wenye elimu ya Degree kina Mwigulu
@denismvile7919
@denismvile7919 2 жыл бұрын
Mhh kishimba kweli unaona uhalisia wa maisha ya wananchi wako
@eliyanorobeth8567
@eliyanorobeth8567 2 жыл бұрын
Safi saaana Yan m niponzega tbr Ila 2025 nakuja kupga kula jimboni kwako
@yasminsalim291
@yasminsalim291 2 жыл бұрын
Raha Ya Kuwa kiongozi Af ni Tajiri Huwa kila unacho ongea ni point
@Swahili_used_items4
@Swahili_used_items4 2 жыл бұрын
Mungu akulinde uendelee kuwapa maono viongozi wetu
@maulidihassani8324
@maulidihassani8324 2 жыл бұрын
huyumzee anagusa maisha yahaliyachinii saàaaana maisha nimagumu
@nasrakibonye2178
@nasrakibonye2178 2 жыл бұрын
Kishimba big up,wasomi ndio wanaharibu nchi
@josephbahati1607
@josephbahati1607 2 жыл бұрын
tatzo kubwa la nchi za kiafrika ni kufuata sheria za ulaya badala ya ku2nga sheria zetu kwa masilahi ya nchi zetu
@jukiboy7012
@jukiboy7012 Жыл бұрын
🙏🙏
@rehemanicholaus1838
@rehemanicholaus1838 2 жыл бұрын
Kwanini huyu mzee asiwe rais wa nchi
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 2 жыл бұрын
Hao mawaziri na wabunge wengine hawajui kama magogo na mbao yanatokana na miti ila mkaa ndio unao tokana na miti.
@Reactions001
@Reactions001 2 жыл бұрын
Kahama mna mbunge
@msouthqualitymabati4657
@msouthqualitymabati4657 2 жыл бұрын
Mimi Ni nimeona binti mdogo Alie beba mimba mtaani ana Ambiwa anunue huduma ya kujifungua Kwa operation alipe laki Moja na 40 aweze kupata huduma Yule dada alitafuta ela Kila MTU Ali mwambia Hana sasa Sina uhakika Ali pata au haku pata,mungu tu asimame
@albetomfuse444
@albetomfuse444 2 жыл бұрын
Yuko Sawa kabisa tena shida nyingine hata hizo dawa za kununua hazipo
@tryphonefriday6010
@tryphonefriday6010 2 жыл бұрын
Namtamani kama angekuwa mbunge wetu wa jimbo la ukonga huyu
@shijemakenzi2047
@shijemakenzi2047 2 жыл бұрын
Masikini wa mungu wabunge wengine wameshika mashavu yao wakimsikiliza kishimba akiongea point wengine wamenuna kusikia anagusa maisha ya watu masikini kwan kwao hawataki kusikia neno masikini wanasema ni mkosi mbaya zaidi alipogusia matibabu yawe bule ndipo ameharibu kabisa mgonjwa wa hali ya chini nchi hii hana dhamani wao wanatibiwa bule ss pesa tena nyingi ukiwa huna kifo kinakusubili wachungaji mungu alimpenda zaidi utasikia wakisema nchi ngumu
@husseinibnuhassan1272
@husseinibnuhassan1272 2 жыл бұрын
Sujawahi kuacha kuangalia mchango wa huyu mzee kishimba anatema madini sana
@horizongroup-tanzania6363
@horizongroup-tanzania6363 2 жыл бұрын
Akili kubwa sana! Waziri anasema mitambo ya kuchaka makaa ya mawe
@JIWEtv6484
@JIWEtv6484 2 жыл бұрын
Huyu ndio mbunge mwenyewe akili kuliko wabenge wote hapo bungeni. Sijaona mwenyewe akili kumliko
@eliasnganira7661
@eliasnganira7661 2 жыл бұрын
Kishamba Asante sana
@johnpesambili4806
@johnpesambili4806 2 жыл бұрын
Mungu akuzidishie pale ulipopunguza😃😀😃😀
@asiaokelay8421
@asiaokelay8421 2 жыл бұрын
Yaani nikimsikia huyu baba natamani bunge lisiishe 😭😭😭😭
@ramlazubery1682
@ramlazubery1682 2 жыл бұрын
Huwa lazima nicheke au nilieee. MUNGU AKUBARIKI
@abdulmalikiramadhani8067
@abdulmalikiramadhani8067 2 жыл бұрын
Hongera wejembe
@dazk7861
@dazk7861 2 жыл бұрын
Kishimba shikamoo,, your so interesting
@simonlurai7033
@simonlurai7033 2 жыл бұрын
Kishimba wewe ni mbunge unayetimiza majukumu yako kwa wananchi wako, kweli nimeguswa na point zako
@mwailubikamongo9774
@mwailubikamongo9774 2 жыл бұрын
Mzee Kishimba Mungu akusimamie
@janekapinga6793
@janekapinga6793 2 жыл бұрын
Uko vzr mzee
@tegemeawilliammsewa1950
@tegemeawilliammsewa1950 2 жыл бұрын
We mzee nakuombea uendelee kuwepo bungeni.
@emanuelsamson-hq2jv
@emanuelsamson-hq2jv Жыл бұрын
Kwakwer bana wanatuu kamata alafu waowana tumia mikaaa yaniiii 😭😭😭😭😭
@yordanyona1234
@yordanyona1234 2 жыл бұрын
akili nyingi hawapati uwaziri
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 2 жыл бұрын
kumbe umeona wanawapatia wenzao wanaoongea porojo za siasa sio utendaji!!!!!
@erastosaisa565
@erastosaisa565 2 жыл бұрын
Hawa ndo viongozi wenye maono ya kujenga inchi
@richardchiha6387
@richardchiha6387 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa elimu yetu haina uhusiano na biashara
@zakayomtundilo395
@zakayomtundilo395 2 жыл бұрын
Uko vizuli mubunge nakufatilia sana nikiwa kigoma
@johnsontalian1172
@johnsontalian1172 2 жыл бұрын
Yote umezugumuza Point lkn suala la mkaa sijaafiki wasukuma waangalie njia mbadala ya kuishi walime hata mazao ya biashara
@isikesamike
@isikesamike 2 жыл бұрын
Rudia tena kumsikiliza nahisi hujamwelewa kabisa.
@stevemwakisimba5986
@stevemwakisimba5986 2 жыл бұрын
Huyu mbunge ananikosha sana wa pili msukuma wa tatu lusinde
@ngwavi2886
@ngwavi2886 2 жыл бұрын
Yani huyu ndio MBUNGE
@abellutonja4589
@abellutonja4589 2 жыл бұрын
Mzee kavurugwa na Naibu Waziri kwa taarifa ya kisenge
@khamisali5978
@khamisali5978 Жыл бұрын
Tabia nchi 😅😅😅
@bekaashbai1781
@bekaashbai1781 2 жыл бұрын
Tukibadilisha katiba tunampa wizara ya bishara yuko sawa ,ila tumchunguze ,ccm kwanza au ccm wa karne 21
@mosesrichard1547
@mosesrichard1547 2 жыл бұрын
Hospital matibabu yapo juu. Pharmacy wamewanyanganya dawa ili twende hospital
@evancegidion9155
@evancegidion9155 2 жыл бұрын
Na hao watu wenu wanaopora mikaa ya wananchi ndio wamefungua vigenge nyumbani mwao na kuuza mkaa 9000 mpaka 10000 je huo sio uhuni.
@seko_graphics
@seko_graphics 2 жыл бұрын
KISHIMBA MIAKA 10 TENA!
@albertchubwa2546
@albertchubwa2546 2 жыл бұрын
Tajiri akiongea wote kimyaaa
@thomassalvatory8303
@thomassalvatory8303 2 жыл бұрын
jamaaa yuko logical sanaaa
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 2 жыл бұрын
Wewe ni zaidi ya rais wenzako wanawaza namna ya kuongeza tozo hawatuwazii sisi kabisa wanavaa suti na tai zarangi ya bendera ya Tanzania wanatukamuaa hasa
@rehemashaban6858
@rehemashaban6858 2 жыл бұрын
Tupo ugaibuni huku watu wao matibabu bule wageni pesa
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 жыл бұрын
Wazungu Wana export mkaa kwa sababu wao Wana gas na umeme. Pia.waafrika na waarabu ndio wanaona wali uliowekewa mkaanjuu nitamu. Sisi Watz nishati ya kupikia ni kuni na mkaa. Ukivuna mbao masalio ukachoma mkaa hakuna ubaya. Hata ukiotesha misitu ya biashara Kama soft woods pia utapata mkaa kutokana na prooning. Sio kila mkaa ukamatwe!
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 2 жыл бұрын
Labda sio awa wakija wengineee tutatibiwa buree
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 2 жыл бұрын
Swala la matibabu ni swala nyeti sn watu wanakufa kwa kukosa pesa kabisa watu hawapati tiba bila pesa
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 2 жыл бұрын
Serikali yatz siyoyawananchi niserikali yamanyang'au makatili wachoyo nafitina zabure sijuwi wafrika tukoje nimesikia kicheko humundani kwenye hoja yakusisimua kiasihiko, pumbavu kabisa akilimbovu,
@rehemashaban6858
@rehemashaban6858 2 жыл бұрын
Nikweli kabisa matibabu yawe bule
@JIWEtv6484
@JIWEtv6484 2 жыл бұрын
Dunia Gani ambayo ndio inaruhusu matumiz ya makaa ya mawe, mbona akili zetu ni kama ng'ombe Yani kitu chetu matumiz tuamliwe na hao mbwa ambao kwao wametumia Hadi wamealibu ozone layer
@mheleladavid2588
@mheleladavid2588 2 жыл бұрын
👏👏
@neymarjr5342
@neymarjr5342 2 жыл бұрын
Kahama stand up
@mejamiela7436
@mejamiela7436 2 жыл бұрын
Namkubal Sana huyu jamaa
@luzigagodfrey4165
@luzigagodfrey4165 2 жыл бұрын
HUMO NI KISHIMBA NA MSUKUMA TU WANAUCHUNGU NA NCHI
@fredysiwale5413
@fredysiwale5413 2 жыл бұрын
Kishimba ni mbunge wa Taifa sio jimbo lake tu maana anaongea vitu vinavyo tuhusu wananchi wote huyo kiruswa akawe mbunge huko marekani sio Tanzania kwa masikini
@kalokolakiita3463
@kalokolakiita3463 2 жыл бұрын
Uyu mbunge ni nondo
@mahmoudukusso4488
@mahmoudukusso4488 2 жыл бұрын
Swadakta
@nassorhaji2637
@nassorhaji2637 2 жыл бұрын
Mm nauliza kwann ZANZIBAR kuna baraza la Wawaakilishi ila huku Tanganyika hakuna baraza la wawaakilishi kuna Bunge tu shida ipo wapii
@Okayafilm
@Okayafilm 2 жыл бұрын
Linakusaidia Nini unahisi Hilo likianzishwa litapunguza ugumu wa Maisha?
@luzigagodfrey4165
@luzigagodfrey4165 2 жыл бұрын
HUYU MZEE ANAPESA YA KUTOSHA HANA TAMAA NA PESA NDO MAANA ANATUGUSA PIA INGEFAAA APEWE NGHI KAMA RAISI NI MWANAUCHUMI MZURI SAANA
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 2 жыл бұрын
Bunge lawapendamapambiyo nakusifia kinafikinafiki tu, serikali yenyewatawala makatili wachoyo fitina nachuki zakisiasa kiujinga jinga,
@rehemanicholaus1838
@rehemanicholaus1838 2 жыл бұрын
Huyu mzee ni hazina ya taifa tuitunze
@buddahmakucha6848
@buddahmakucha6848 2 жыл бұрын
😥🤔
@josephjila957
@josephjila957 2 жыл бұрын
Wasomi fikirieni na kabla
@lawrencegwerino1656
@lawrencegwerino1656 2 жыл бұрын
Swala la mkaa lifutwe munatuharibia mazingira,hilo mimi siungii mukono
@sarahmavura2617
@sarahmavura2617 2 жыл бұрын
Lakin magogo n mbao wanatengeneza mazingira
@isayamichael
@isayamichael 2 жыл бұрын
Leo wewe hukula chakula kilicho pikwa na mkaa muogope MUNGU JAMAA Et
@hassanmussa7804
@hassanmussa7804 2 жыл бұрын
Watu wakishaapishwa wanaenda kuwapa umasikini waliowachagua
@kalokolamulumbe8445
@kalokolamulumbe8445 2 жыл бұрын
Yaani huyo profesa aliyetoa taarifa ni bure kabisa,eti tunaleta mitambo ,,,,
@errydeo8865
@errydeo8865 2 жыл бұрын
mjinga sanaaaaana..hana hata aibu,makaa ya mawe TZ yamegundulika miaka nenda rudi,kila siku tunaleta mitambo.Pili,Wanazidi kuharibu hali ya hewa ni wakina nani??KWA kuwa wariharibu for centuries,leo ndo wanatuona sie ndo tunaharibu??
@lawrencegwerino1656
@lawrencegwerino1656 2 жыл бұрын
Kule kwetu iringa kumekuwa kama jangwa kwasababu ya kuchoma mkaa. Watu wanakata miti ila hawapandi miti.sasa unategemea nini?
@emanuelarbelto8262
@emanuelarbelto8262 2 жыл бұрын
Tumepata jembe kahama kishimba oyee tumwombee akiwa rais tutainjoi huyu mtetezi wawa nyonge kama magu
@johnpesambili4806
@johnpesambili4806 2 жыл бұрын
Mungu akuzidishie pale ulipopunguza😃😀😃😀
@kimpalambapj
@kimpalambapj 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mbunge kwaajili ya wote wenye kuguswa na hoja zako.
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 41 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 31 МЛН
Jumanne Kishimba: Hauwezi kuoa kwa friji au TV
10:35
Mwananchi Digital
Рет қаралды 30 М.
MBUNGE KISHIMBA ALIVYOWAVUNJA MBAVU WABUNGE KWA HOJA ZAKE
14:02
Millard Ayo
Рет қаралды 209 М.