No video

PROFESA NGULI WA HABARI ANAYETAMBA JUA KALI,UTATA KIFO CHA MENGI, MAKUBWA SIRI ZA WAANDISHI AFUNGUKA

  Рет қаралды 58,777

Millard Ayo

Millard Ayo

Жыл бұрын

Пікірлер: 161
@aishaddddhh6272
@aishaddddhh6272 Жыл бұрын
Tuliomjua mzee professor kupitia juakali tujuane jmn japo kwa like
@japhetgeofrey2063
@japhetgeofrey2063 Жыл бұрын
Mimi leo ndo najua kama alikuwa mtangazaji
@happinesshezron6633
@happinesshezron6633 Жыл бұрын
Hee nyie watoto ee 😅😅
@bujashidaniel5537
@bujashidaniel5537 4 ай бұрын
​@@japhetgeofrey2063 nyie watoto kwel
@dottohami
@dottohami Жыл бұрын
Mwamba huyu hapa mzee anajua sana masha Allha mwenyewe zimungu amlindie🙏Insha Allha😘🔥😘
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 Жыл бұрын
Mzee Masako nilikua namkubali sana,Mungu akuzidishie maisha.
@nerryabel7512
@nerryabel7512 Жыл бұрын
Mtangazaji Hana mtiririko wa maswaliii,,Mtu kama Masako kwa ukubwa wake kwenye tasinia ya utangazaji angehojiwa na Millard Mwenyewe 👍👍
@evankya1955
@evankya1955 Жыл бұрын
exactly!
@brunovindallar1517
@brunovindallar1517 Жыл бұрын
Uyu mtangazaji wa Ayo,anajua kazi yake,..very nice!! Aongezwe mshahara!!
@user-eh4td3cj9s
@user-eh4td3cj9s Жыл бұрын
Babu yangu mimi Mume wangu Mungu akutunze kwaajili ya wajukuu zako sie
@NamnaYa
@NamnaYa Жыл бұрын
Hii interview ingepata mtu sahihi ilikua nzuri sana... humpi nafasi ya kusimulia, mwache asimulie. anaongea hiki we unakuja kuuliza swali toofauti kabisa mzee anahama tena. umefanya interview iende irudi mara ije kati kati. Hii zaidi ilikua ni kama Bio interview na sio Hard interview.
@fridabernadette6872
@fridabernadette6872 Жыл бұрын
Kweli aisee,yaan mi imebidi niishie njiani,Upuuzi mtupu!jamaa anataka mtu ajibu majibu anayoyataka yeye, Rainfred anajieleza kutuleta wasikikizaji kwenye point inayotakiwa ye amekazana kumkata na kutaka kujua aliingia lini ITV
@geez5076
@geez5076 Жыл бұрын
Kweli aisee…ameharibu sana
@patrickkamara5856
@patrickkamara5856 Жыл бұрын
Ametunyima uhondo wa mahojiano hatujapata story nzuri kwa nguli huyu
@wilbertmmary9076
@wilbertmmary9076 Жыл бұрын
Profesa kama Profesa🔥
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Maulidi mwenyew 🤣🤣😂🤣Profess bill 🥰
@vinnahjasson5546
@vinnahjasson5546 Жыл бұрын
Malizia bill mazengo
@mamalaozphilemonmtawali.8467
@mamalaozphilemonmtawali.8467 Жыл бұрын
waaah Prof mwenye kumbe nmwandishi wa habari hongera ila unatuudhi kumfatafata Maria😂😂😂
@janemtoma1082
@janemtoma1082 Жыл бұрын
Hii interview angeifanya Milard Ayo ingekua bomba sana. Ila huyu mmmmh kachemka waiii
@aishamasesa7159
@aishamasesa7159 Жыл бұрын
Prof anacheka jamani
@patrickkamara5856
@patrickkamara5856 Жыл бұрын
Afa angefanya vido vidox ingekuwa nzuri Interview inatakiwa iwe na mwanzo, kati , na mwisho sasa yeye anakurupuka na hajajipanga kumuhoji Nguli
@tiffanyakramJr822
@tiffanyakramJr822 Жыл бұрын
Lamata mnunulie gari mzee, anakuingizia pesa nyingi sana kwenye jua kali.. Najuwa mmejazana hapa wanafamilia ya Jua kali linamuakia mzee jamani
@radhiawarahul8432
@radhiawarahul8432 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@AdelinaLusekelo-xl4bm
@AdelinaLusekelo-xl4bm Жыл бұрын
Frank,kipindi mama yako ananisumbua Maria alikua kipozeo changu😂😂😂😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@paulalove1223
@paulalove1223 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@jolierazia2432
@jolierazia2432 Жыл бұрын
😀😀😀😀
@aishachambo8663
@aishachambo8663 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@lilianjoseph5290
@lilianjoseph5290 Жыл бұрын
😂😂😂
@hamidangitu227
@hamidangitu227 Жыл бұрын
Uyuuu baba nampenda sanaaa mungu akupe maisha marefu snaaaaa
@MAALIMish
@MAALIMish Жыл бұрын
Mtangazaji au anaemuhoji Prof Masako... Hajatosha kumhoji mgeni. Ndivyo watangazaji wa sasa baadhi walivyo.... Ilitakiwa kumhoji kwa mbinu ya juu afunguke zaid. Lkn tunakosa faida ya wazoefu kama hao. Awe anatazama walioendelea kwenye mahojiano. Mfano... VOA. LARRY KING Na wengineo. Ahsanteni
@Linda-1999
@Linda-1999 Жыл бұрын
Wow Asanteni kwa kumleta uyu mzee
@salumkibazo5908
@salumkibazo5908 Жыл бұрын
Dah, nimefurahi sana kumsikia huyu Mzee, sauti adhimu.
@serafinamalecela4728
@serafinamalecela4728 Жыл бұрын
Mtangazajiii kweli unakiherehereee nilijua wanakuoneeaaa ila unaharakaaa sanaaa
@hosseatippe6484
@hosseatippe6484 Жыл бұрын
Huyu mwandishi atolewe hajui kuhoji.... Profesa yupo vizuri sana.... Futeni hii rudieni....
@maryamhamad3485
@maryamhamad3485 Жыл бұрын
Yap yuko sawa baba
@leaherasto929
@leaherasto929 Жыл бұрын
Mzee anajua sana kwenye jua kali katisha sana utadhani alikua muigizaji tangu zamani
@geez5076
@geez5076 Жыл бұрын
Aisee mtangazaji ume haribu…kiherehere mno hutulii huna great body expression una ongea na mamikono kama unataka kurukia mtu yani humuachi mtu ajieleze kama una washwa washwa
@mohamedoman9344
@mohamedoman9344 Жыл бұрын
Ooooooooh mashllah mashallah hongera sana kweli mzee zetu mm nakumbuka mbali sana kweli movie ya zamani kweli
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 Жыл бұрын
Nakumbuka alikuwa akisema Ni mimi ALFRED MASAKOOOOO WA ITV😅😅😅😅
@imaf3st336
@imaf3st336 Жыл бұрын
Lamata Leah ajue kuna watu wanaipenda JUA KALI kwa sababu ya huyu baba
@ashaidd2912
@ashaidd2912 Жыл бұрын
Interview nzuri profesa big up
@yasodishonest9792
@yasodishonest9792 Жыл бұрын
❤❤❤❤
@amiribakari2528
@amiribakari2528 Жыл бұрын
Nafurahi kuona una Afya nzuri..wengi tumekumis
@mirroyjunior8348
@mirroyjunior8348 Жыл бұрын
Oyondo profu 🔥
@jmilan7334
@jmilan7334 Жыл бұрын
Woow proff ana miaka 72 na bado ni chuma MUNGU aendelee kukutunza
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 Жыл бұрын
Cndio maana anazidi kumpenda maria
@jmilan7334
@jmilan7334 Жыл бұрын
@@zuwenasalim2794 hahaha kweli
@kelvindrt2477
@kelvindrt2477 Жыл бұрын
ongeza bidii mwandishi unakihelehele sana atuwezi kusema hujuii ongeza juhudi
@wemakingdaily1462
@wemakingdaily1462 Жыл бұрын
Watoto wa juzi wanamjua huyu mzee kupitia juakali ila wakongwe tunamjua huyu mzee kupitia mtangazaji wa ITV hasa alivyotangaza ajali ya treni "wenye vijikoooo hayaaaaa,wenye mabegi hayaaaaa"
@joesimba
@joesimba Жыл бұрын
Unajua mi ndo mana hata sijaelewa kwann wanamuita professor, Maana mi namfahamu kama Alfred masako mtangazaji mkongwe wa ITV. Ni kwamba kuna igizo anaigiza kama professor au?
@Official83640
@Official83640 Жыл бұрын
​@@joesimba Jua kali mzee Bill baba yao na kina Anna. Frank na Bill
@Official83640
@Official83640 Жыл бұрын
Ilikuwa sio tren ni gari ya mafuta yalimwagika watu wakawa wanayachota nakumbuka mitaa ya kimara au Kibaha hii njia ya Moro road
@adammnyenyelwa5996
@adammnyenyelwa5996 Жыл бұрын
​@@Official83640 ajali ilikuwa imetokea mbeya iliua karibu watu mia hv
@Official83640
@Official83640 Жыл бұрын
@@adammnyenyelwa5996 Mwaka gani? Na je ajali ya Tren watu waende na ndoo na vijiko kubeba nn?
@fridabernadette6872
@fridabernadette6872 Жыл бұрын
Mtangazaji umeboa kinoma,waandishi mnakwama wapi????Rainfred is so eloquent we umekazana kumkatisha,learn to listen,na lengo la hizi habari tunatakiwa tujue mwanzo wa story,sasa wewe unataka akutajie kazi ya media,Jifunze kwa wengine.
@danielmkama24
@danielmkama24 Жыл бұрын
Kwa kumuheshim Professor @Millard ungeifanya hii kaz wewe mwenyewe
@martinmhina5596
@martinmhina5596 Жыл бұрын
Huyo mzee Mungu ampe afya njema
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha Жыл бұрын
Mwandishi anayemhoji Masako anaharibu story. Anaingilia na kuingiza maswali yasiyohusiana na mtiririko wa stori. Mfano, anapoanza kuelezea alivyopata elimu yake, hapana haja ya kumuuliza habari za media house ambazo mhojiji anaita house media. Mwandishi anaonyesha kutokomaa katika fani mbali na kupwaya kitaaluma. Yaani, anashindwa hata clerical officer anayoita clinical officer? Pia, inaonyesha mwandishi hakujiandaa wala hakuandika hata maswali yake. Anahoji utadhani yuko kijiweni. Ayo, tafuta vijana walioiva wafanye kazi kama unavyofanya wewe mwenyewe kwa weledi. Masako angepata interviewer mzuri na aliyekomaa kitaaluma na kifani, stori hii ingekuwa bora na ya kuvutia zaidi ya hii iliyokeketwa.
@AdelinaLusekelo-xl4bm
@AdelinaLusekelo-xl4bm Жыл бұрын
Hata mm nimeliona hilo nikataman bora angehojiwa na milard au vido ingekua poa sana kuliko huyu kwanza anamizuka,pili anadakia mada hovyo kabisa😂😂😂😂
@barakawiseman5073
@barakawiseman5073 Жыл бұрын
mbona iko fresh tu acheni ujuaji heshimuni professional za watu
@patrickchotto3731
@patrickchotto3731 Жыл бұрын
Mwandishi anayehoji ni wa hovyo. Pia apate hata English course kidogo. Mfano, neno `probation` anavyolitamka haileti picha nzuri. Kingine historia ya elimu na taaluma ya ndugu Masako mpaka sasa nimeachwa njia panda, mfano..academically ni form iv au vi leaver? Tunakuja professionally je ni diploma, degree, master's degree holder etc. Yote imechangiwa na muuliza maswali kutokukomaa.
@evankya1955
@evankya1955 Жыл бұрын
ni kama mwandishi anataka story version yake badala ya version ya Masako. Millard angemhoji huyu nguli wa habari.
@sebastiansimiono4305
@sebastiansimiono4305 Жыл бұрын
Muandishi hana kipaji
@zenapatrick8503
@zenapatrick8503 Жыл бұрын
Mtangazaj amezingua
@sixmelody4349
@sixmelody4349 Жыл бұрын
Nice one 🇹🇿🔥🔥🔥🔥
@joycealex2701
@joycealex2701 Жыл бұрын
Mtangaziji wako Alfredi masakooooo I TV😂😂😂😂😂nilikuwa sipitwi na taarifa zake kavunja record ya mwenye kijiko ayaa mwenye sahani hayaaaa duuh kweri Lamata umfute machozi huyu mzee wengine tunaangalia jua kali kwa sababu yake
@abdulomar608
@abdulomar608 Жыл бұрын
Professor akeeeeese🤣🤣🤣🤣
@elizabethmapima6658
@elizabethmapima6658 Жыл бұрын
waooo wa kwetuuuuuuu
@njuka3515
@njuka3515 Жыл бұрын
Nampenda sana
@peninashungu6633
@peninashungu6633 Жыл бұрын
Uyu alitakiwa haojiwe na miladi hayo
@kijahassan-zb6fb
@kijahassan-zb6fb Жыл бұрын
He kumbe jamani kazeeka ss
@estermuganda9298
@estermuganda9298 Жыл бұрын
Prof kama prof
@zayumar2955
@zayumar2955 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣prof nampenda kumbe ni mcheshi ila kwenye jua Kali unataman asiwe baba Wala mume Kwa majibu yake😅😅😅🙌🙌🙌 ubarikiwe Baba Mungu akupe umri mrefu wenye afya 🤲❤❤❤ Jmn mabos mjifunze kukaa na kumalizana vizur na wafanyakaz wenu mana mengi keshakufa ila prof Bado anakinyongo nae pesa ni mauwa tu
@angellwehela4303
@angellwehela4303 Жыл бұрын
Kwny juakali anajibu shortcut af anaondoka😃😁
@zayumar2955
@zayumar2955 Жыл бұрын
@@angellwehela4303 Yan unaweza kutaman kumpiga au ufe kabisaaa usimuone Kwa maudhi yake😂😂😂😂
@angellwehela4303
@angellwehela4303 Жыл бұрын
@@zayumar2955 😁😁😁😁😁
@JemaFideli-rl7we
@JemaFideli-rl7we Жыл бұрын
Mungu akupe Maisha mlefu ❤❤❤
@zayumar2955
@zayumar2955 Жыл бұрын
@@JemaFideli-rl7we amiiyn yarrab Kwa sote pia🤲
@scollantandu2350
@scollantandu2350 Жыл бұрын
Hahaha 😂 ila we mzee umekikera kuhusu frenk had machozi yalinitoka dah 😭
@happylynguya3464
@happylynguya3464 Жыл бұрын
Jamani! Kumbe ni Masako 🙆🙆.
@susanarabiel9717
@susanarabiel9717 Жыл бұрын
Milad Ayo naomba umtafute profesa urudie maojiano
@mdta8161
@mdta8161 Жыл бұрын
Mchuchu wa maria 😂😂unajua sana kuigiza
@khadijarashidy9304
@khadijarashidy9304 Жыл бұрын
Prof kama prof kumbe ndo anavo ongea hata kawaida nkajau ni kwenye kuigiza tu😅😅
@amriamraan2612
@amriamraan2612 Жыл бұрын
Wanakjiji wa isongole wakasema looh! Mungu atupe nini? Mwenye ndoo hayaa, mwenye debe twende kazi 😂😂
@jeromechembe2206
@jeromechembe2206 Жыл бұрын
Kwani Mzee Masako yuko wapi siku hizi? Tunammiss sana mzee wetu na sauti yake ya kipekee ya utangazaji
@umelamedia
@umelamedia Жыл бұрын
Professor
@njuka3515
@njuka3515 Жыл бұрын
Yaani huyu masako jama alinifanya nipende kuwa naangalia habari
@lilysthomtv
@lilysthomtv Жыл бұрын
Huyu mtangazaji hajamtendea haki professor hajui kuhoji vizur 😮
@martinsamatajr7972
@martinsamatajr7972 Жыл бұрын
Mtangazaji unamkatisha sana mzee anajibu ajamaliza tuachane na hilo doooooh afu umeanza na maswali baadae ndo umekuja kutaka historia yake ulitakiwa kuanza na historia afu ndo mengine yafuate
@fatumachilo1941
@fatumachilo1941 Жыл бұрын
Mzee Yani hataki frank amuoe Mariam ad amekuja interview,😆🤭Kaz ipo yaan jn alivyoambiwa n mkwe frank bdo amesimamia kumuoa maria Leo kaja interview 😆
@agnessmassawe5408
@agnessmassawe5408 10 ай бұрын
kumbe huwa anachekaaa😂😂😂
@hellenpeter3850
@hellenpeter3850 Жыл бұрын
Aki millard bora hyo interview ungempa vido afanye, yko jmaa amezngua kinoma...
@emmanuelcuthbert2666
@emmanuelcuthbert2666 Жыл бұрын
Nimependa, profesa sio mnafiki...
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Mmmmh kazi kweli kweli
@Official83640
@Official83640 Жыл бұрын
Yaani alijua kutuma msemo mitaani huyu mzee na hatosahaulika mwenye kijiko haya 😂😂😂
@ashminaabdulla8946
@ashminaabdulla8946 Жыл бұрын
Nimekoment hata sijakujua kinasemwa nini ila kilonivutia sauti ya Mzee namkubali zaidi ya sana
@mtagechota1002
@mtagechota1002 Жыл бұрын
Mzee apewe heshima yake huyu anashibana na Millard ayo irudiwee tena ingekuwa konk sana
@keziadanda5146
@keziadanda5146 Жыл бұрын
After Masaako,nilikuwa sikosi vipindi vyako, jamani watu alikuwa wanafanya kazi haraka unakuja mapema ili mkae mkao wa kucheka
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 Жыл бұрын
leo tupo na propesa mzee wa ovyo😀😀😀😀😀😀
@tumpeernest9690
@tumpeernest9690 Жыл бұрын
ata sijasikiliza ila mtangazaji mma gwagwhitu
@fridabernadette6872
@fridabernadette6872 Жыл бұрын
Yaan mtangazaji mma bhagwitu,mbombo,ameboa anataka kusikia anachotaka yeye,basi asingemuhoji na kurusha huku, Mtangazaji kaboa Ile kuboa,MXxxxxxxxxxxxm
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc Жыл бұрын
Nakubali prf😂😂
@madcheda
@madcheda Жыл бұрын
Ndugu mtangazaji aiseeeee
@tabuyagilbert9605
@tabuyagilbert9605 Жыл бұрын
We jamaa interview inakushinda hupangilii maswali unaenda mbele unarud nyuma mzee hajamaliza unamkatisha
@malongoisack5811
@malongoisack5811 Жыл бұрын
Hujui kuhoji kwa mtiririko unakatisha story na kuanzisha story nyingine huwezi kuhoji kabisa.
@dayana5513story
@dayana5513story Жыл бұрын
Achenj wakina kitenge watafute pesa maana watu waliteseka sana diamond for life umefanya watu wanapata vipato vinavyotakiwa
@aginsagins-jf4vz
@aginsagins-jf4vz Жыл бұрын
Namfaham kupitia ITV alivyokuwa anatangaza na aina yake ya uvaaji shati 😂😂😂 na mdomo wa chini kuuchongosha akiwa anatangaza hahaha
@deboraezekiel784
@deboraezekiel784 Жыл бұрын
Huyu hajajua kuhoji vzr japo anasauti nzuri
@faithmapondo7370
@faithmapondo7370 Жыл бұрын
Halafu hili tukio nmelikumbuka Leo na hyu Mzee nmemtaja hafi haraka jmn
@jacqueli18
@jacqueli18 Жыл бұрын
Hii mikono ya mtangazaji ifungwe nyuma kabla hajaenda kuhoji
@daudhabona8897
@daudhabona8897 Жыл бұрын
Ajira haikupi vyoote. Malalamiko ya mzee ni jambo kubwa la kujifunza. Waajiri ni WA binafsi sana.
@arafasaif
@arafasaif Жыл бұрын
Mtangazaji unazingua mwache ajielewe
@mariamusaulo4429
@mariamusaulo4429 Жыл бұрын
Mungu amtunze
@serafinamalecela4728
@serafinamalecela4728 Жыл бұрын
Mzee namkubaliiii sanaaaaa🙌🙌🙌
@bukombeshy3644
@bukombeshy3644 Жыл бұрын
Mwenye madumu hayaaa, mwenye masufuria hayaa,bili mradi kila mtu achote mafuta...ajali ya moto
@gatinashon9137
@gatinashon9137 Жыл бұрын
Hujui kuhoji Yan unamkatisha mzungumzaji....unaboa sana
@fredrickmweko-ds6jq
@fredrickmweko-ds6jq Жыл бұрын
Mwamba kafanya interview iwe mbaya
@peninashungu6633
@peninashungu6633 Жыл бұрын
Iludiwe hii
@jobmaclean5382
@jobmaclean5382 Жыл бұрын
Alikuwa anatangaza mbegu za mahindi za pana
@princekomu1209
@princekomu1209 Жыл бұрын
Mzee ana nongwa hyo
@AsmaAsma-gd3mv
@AsmaAsma-gd3mv Жыл бұрын
Mtangazaji anaboa Angekuwa Vido jaman ingenoga😥
@peninashungu6633
@peninashungu6633 Жыл бұрын
Kumbe huyu ndo masako jaman nilikuwa nishamsahau
@rich-lr8tq
@rich-lr8tq Жыл бұрын
ni Salama n Millard tu watabaki kuwa juu kwenye interview
@joachimbaldwin8511
@joachimbaldwin8511 Жыл бұрын
Kama hili swali kwañiní uliamua kustaafu hili ni swali la mwisho kabisa wala halikúwa na haja swali la kuulizwa harakaharaka huyu mtangazaji amebomoa kinyama maswali yà hovyo na mikono kunyoosha kama vile ugomvi
@godfreymuroba7973
@godfreymuroba7973 Жыл бұрын
Msimu wa mlilo mzee aliigiza kama sembe,moto wake alikuwa sikudhani matata
@kaliskaguzkalis4424
@kaliskaguzkalis4424 Жыл бұрын
Moses Kaulananga
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
APUNGUZE UKAUZU KWENYE JUAKALI 😃
@levinapetro8059
@levinapetro8059 Жыл бұрын
Kumbe anachekaga
@roqayaro9439
@roqayaro9439 Жыл бұрын
Mbona kumbe unatabasam
@happymbise-db5em
@happymbise-db5em Жыл бұрын
Huyu anamchanganyia habar ana haraka sana...
@geez5076
@geez5076 Жыл бұрын
Na sio house media…ni media house. Kwendraaaaa
@happynessmbuya3246
@happynessmbuya3246 Жыл бұрын
Mtangazaji anaongea mnoo.halafu mikono kama anaongoza kwaya alooo
@evelyneshemupunge9428
@evelyneshemupunge9428 Жыл бұрын
Nataka mafuta tafazali
@westmanmoses541
@westmanmoses541 Жыл бұрын
Masakoooo
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 61 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 42 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 32 МЛН
"Hizi hesabu mnaona nazidisha mimi nilipata F ya hisabati"
33:56
BBC News Swahili
Рет қаралды 138 М.