Masha-allah una hekima sana ya maongez pr: Mussa Assad.
@ramaaman40208 ай бұрын
Mashallah
@mukesharamadhani41418 ай бұрын
Mashaalah
@husseinshaaban35188 ай бұрын
Natamani tunapowaita hawa wanazuoni katika hadhara wapewe muda wa kutosha yani hapo ndo kama alikuwa ananza
@babuloliondo747 ай бұрын
Kiswahiri kimetokana na kiyarabu
@clarencehilary55888 ай бұрын
Ndugu zangu hebu tufike mahala tukikuze kiswahili chetu hata maprofesa hawaoni aibu kuogea kiarabu ilihari wao ni watanzania
@coyancodavao40047 ай бұрын
Ww ndio unaongea kiswahili gani ewe Mdini?
@babuloliondo747 ай бұрын
Kiswahiri kimetokana na ruga yakiyarabu upo wapi wewe nyau
@clarencehilary55888 ай бұрын
Mnachonikele ni pale mtanzania anapojitambulisha kwa kiarabu ni utumwa iliopitiliza
@coyancodavao40047 ай бұрын
Udini unakufurukuta
@babuloliondo747 ай бұрын
Wewe peke yako abaye auna ruga kiswahiri kimetokana na kiyarabu ukitaka meza ukitaka tema kazi unayo
@YusufMsumi-gx4ih6 ай бұрын
Nakuskitikia kuwa huoni utumwa kuongea kingereza ila kiarabu ndio utumwa Yani nivike roho inakuuma kuona profesa ni mwisalamu kajitambua ktk dini yake mtakufa na chuki zenu ugueni adi mfe
@user-bp6fb6wo5u7 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/mWK0lHqefNd3facsi=odVMKjIplso3m29p Hii vipi jamaa??