Daah! Hatari sana. Unajua unaweza kujiona unajua sana na unatamani ukanushe ulkweli ambao uko wazi mwisho wa siku unaonekana juha. Anachokanusha hakuna hapo. Anasema baada CAG kugundua ubashilifu anapaswa pia kutoa ushauri nini kifanyike. Sasa kama ameahauri nini kifanyike halafu hakija fanyika si ndio alixhokiasema
@fredgasper75783 жыл бұрын
Bungee ni dhaifu sanaa 💯
@annamrsmoses74133 жыл бұрын
Iko wazi bunge la ndugai no dhaifu tena sana wala halivutii
@nelsonsimtowe42686 жыл бұрын
Safi prof asadi wewee nimtusafiii una dini kweli mkweli uishi milele Tanzania tunakupendaa❤❤❤❤❤
@abdallahlibwela97616 жыл бұрын
Ubarikiwe sana CAG, kiukweli hasa bunge letu bado dhaiifu sana.Bado uchama unazingatiwa.
@kilisikabasa28486 жыл бұрын
Ni vizuri kutoa maelezo kwa umma ni hatua gani Bunge limechukua in accord na ushauri wa CAG.
@hadijamatimbwa51956 жыл бұрын
Good leader, accept both positive and negative feedback. Think loud Hon Speaker.
@ainekishakahwa38296 жыл бұрын
Hadija Matimbwa %%
@zachariamassawe67016 жыл бұрын
@@ainekishakahwa3829 wapi hiyo Hadija
@ainekishakahwa38296 жыл бұрын
Zacharia Massawe Norway
@tonymnyamatv84836 жыл бұрын
Kubali tu bunge ni dhaifu Hata wananchi tunafahamu punguza hasira kwenye ukweli.
@salummkumbe56946 жыл бұрын
Kwa kweli hii serikali inazingua sasa hapo kosa lipo wapi kusema bunge kuna "udhaifu"ndyo kosa kwa hyo munataka mupewe sifa bila mabaya yenu
@mohamediiddi7616 жыл бұрын
Pangani Tanga km45. Tunataka Barabara ijengwe Tangu Tupate Uhuru mpaka leo si aibu hii. Mungu anasema. Sema kweli japokuwa ni chungu.
@lutufyojason1246 жыл бұрын
Ndugai imekuuma sana , lakini kweli bunge lako ni dhaifu sana na wewe ndio chanzo. Unajali sana maslahi yako na chama chako
@wiza23096 жыл бұрын
Mungu atusaidie Watanzania, ubaya wetu na uzuri wetu uko wazi mitandaoni jamani, Umahiri wa Bunge na Udhaifu nao pia unajulikana na kujadiliwa na media mbalimbali tunaona. Lakini Mungu tunamuomba siku zote maana Amani yetu tunaihitaji sana sana. Damu ya Yesu tulinde, tusimamie, tuongoze, wape viongozi wetu hekima na maarifa ya kuisimamia hii nchi kwa Uaminifu. Amen
@israelpwele55356 жыл бұрын
Ukweli umewafikia100%
@patrickmlay35096 жыл бұрын
CAG Mungu akulinde
@claverygavana52446 жыл бұрын
C.A.G yupo sahihi bunge letu limekuw dhaifu
@sangararawarioba30166 жыл бұрын
don't panic brother, just sit down and revaluate!!
@ainekishakahwa38296 жыл бұрын
Sangarara Warioba %%
@allykindawite19246 жыл бұрын
Upo sahihi kabisa Sangarara!
@ME-kb8rk3 жыл бұрын
Sangara Warioba %%%%%%%%.......
@kilimanjarowinnerssafaris6 жыл бұрын
Binge dhaifuu kwel Mara ngapi umeambiwa bunge lako linashindwa Fanya maamuz ya msingi?? Umeshindwa kumuhudumia lisu mbunge wako we co dhaifu ?? CAG uko vzr sana we need as transparent leaders as you prof.
@saviomlelwa5 жыл бұрын
Prof aliongea ukweli. Has got a high integrity
@herryblobby73236 жыл бұрын
Bunge la ndiyooooo udhaifu mtupu! Mauaji yanatokea watu wanapotea bunge limekaa kimya! Udhaifu mtupu
@anuaryally61776 жыл бұрын
Kama mauwaji na watu kupotezwa toka kipindi cha mababu zetu watu ndio maana tukaitwa watumwa
@garvaskuku41806 жыл бұрын
Bunge dhaifu kwelli.
@JosephDesideri6 жыл бұрын
Mheshimiwa Spika kimsingi CAG ametoa maoni yake na amehofia utekelezaji wa recommendation za CAG kwenye kaguzi mbalimbali. Naamini haya unayoyasema pia ni maoni yako na pia ni njisi wewe ulivyomuelewa. CAG ameulizwa swali na mwandishi naamini amejibu alichokiamini ni ukweli. Nafikiri accept kukosolewa na mtu akikuita dhaifu onyesha kivitendo kuwa wewe siyo dhaifu.. Ni muhimu sana kwa bunge letu ambalo umesema lina wasomi wengi sana kutekeleza mapendekezo ya CAG na siyo kutetea serikali. Zamani miaka ya 60 au 70 kulikuwa na wasomi wachache na walikuwa wakitumikia nchi yetu kwa Imani kubwa lakini miaka hii wasomi wanakimbilia siasa kwa kuwa inalipa zaidi. Kumbuka hata wewe ulikuwa mtumishi wa UMA kabla ya kuwa politician na kuna vitu vilikuwa havikupendezi kama mtumishi
@OscarBethel11 күн бұрын
Wewe Ndugai Wacha kupotosha alichoongea cage chaajabu ni nini Bunge lako ni dhaifu kuliko mabunge tote
@gastonmaheng82566 жыл бұрын
Bunge la wasomi halafu zero tuambie speaker bl 1.5 zilienda wapi na ujenzi wa uwanja wa chato bajeti ya fungu lipi? Bunge limefeli %99.99
@allyomari6806 жыл бұрын
bunge nizaifuuuuuuuu tenanatena
@asengasefu27676 жыл бұрын
Profesa kakaa darasan haswa, hawez ku kurupuka mheshimiwa
@desmunduwandameno31706 жыл бұрын
Natalajia kusikia kuna mtu kawekwa ndani kwa kesi ya Uchochezi hahahaha Kweliii Wazaifu wakali sana
@gerkombo65126 жыл бұрын
Mkatae mkubali bunge ni dhaifu, sababu hamtaki kusikiliza wapinzani huo ndio ukweli na ukweli ukiuma unabadilishwa jina unaitwa dharau.
@pichabapa22016 жыл бұрын
Dah.. Huyu mzee bhana!!!!! Haya basi tufanye Bunge ni TAKATIFU. Sasa kukosolewa si ndio mfano huo, chunguzeni kama kuna tatizo mliondoe. Swala la Bungeni kuna wasomi wengi... Mkumbuke MTAANI NDIO KUNA WASOMI WENGI ZAIDI!!!!!
@watchme56785 жыл бұрын
Wanajisahau sana hawa jamaaa
@stn48733 жыл бұрын
Ndugai Job lile soko pale Dom bora libadilishwe jina liitwe soko la Prof Assad. 2021 imedhihirisha wewe ni Dhaifu na mnafiki.
@elimuhuru26586 жыл бұрын
Ukweli huwa unachoma, 😂😂😂😂
@OkOk-dq4gk6 жыл бұрын
Bhana weeeee ukweli ushapewa 😂
@kasimugullum58626 жыл бұрын
Wassomi wa ndiyooooooooooooo!
@kheryalfred54486 жыл бұрын
Kwan Kaka Ndugai, kukiri udhaifu ni dhambi??????
@josephalex81806 жыл бұрын
Khery Alfred hahahahahaa viongozi wa kitanzania hawana desturi ya kukiri udhaifu.Kukiri ni hekima lkn wao ni aibu.
@shelangwaalex74836 жыл бұрын
'kwake nidhambi sio kwakila mtuu!!
@hellenrichard65286 жыл бұрын
😂😂😂
@masungajumapili58646 жыл бұрын
sasa kama ni dhaifu kwer unataka akusifia tu! kama unataka sifa acha udhaifu
@hersonlawrence42796 жыл бұрын
Je hujamsikiliza spika? Au ndo uvivu wa kuelewa kinachozungumzwa
@alinanuswemsokile74036 жыл бұрын
Mimi ni mwananchi wa kawaida mtanzania,nina mbunge wangu ananiwakilisha bungeni hata hivyo bado bunge halijakidhi matarajio yangu hivyo nasema bunge ni dhaifu.
@michaelmpanduji79526 жыл бұрын
Uko sawa kiongozi
@abdallahdataguy6 жыл бұрын
Ha ha haaaaaaaaaaaaaaa. Bunge dhaifu sana hata kama Ndugai atachukia...
@monynagulemba17726 жыл бұрын
Nijambo mhimu
@watchme56785 жыл бұрын
Nimependa ulivyoliongelea
@georgeikola48626 жыл бұрын
Ni kweli itakuwa ni dhaifu kwann hamutaki kuonyesha bunge live
@MussaBakar-p2p3 ай бұрын
Safi profesa Asad
@erodiasmallya4066 жыл бұрын
Huyu ni msema kweli. Sijaona kosa lake. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
@dr.hamiduibrahim13076 жыл бұрын
Mi nadhani hapa kuna shida, maana Binafsi nimeona clip ya CAG akihojiwa lakini response juu yake naona iko tofauti kidogo. Yote kwa yote nadhani ilikuwa ni mawazo ya kujengana tu Jamani.
@danielgwilenza42096 жыл бұрын
Trillion moja na nusu itatutesa mwaka huu
@hamadmri77106 жыл бұрын
Ukali huu uloonyesha kunajambo,sisi wananchi tuona bunge nidhaifu ukali huu
@mustafapandu51893 ай бұрын
Professor Asad mussa umemuelewa sana.
@alexjosephat90306 жыл бұрын
Toeni mfano tu, wa hatua iliyochukuliwa anagalu watanzania wafahamu
@wambulasson25926 жыл бұрын
Mkanyeni kwa kuongea ya nyumbani ya siri akiwa ugenini, hilo kakosea lakini baadae mjitathimini kama nyinyi sio dhaifu, hata ripoti yake ya 1.5t ambayo haijajulikana matumizi yake bunge hamjasema iko wapi mpaka sasa. Lkn pia bunge limekuwa ni sehemu ya kutetea vyama badala ya maslahi mapana ya nchi.
@nurukwawote47166 жыл бұрын
Waacheni; hao ni viongozi vipofu wa vipofu. Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, watatumbukia shimoni wote wawili. Mathayo 15:14 Viongozi vipofu, wenye kuchuja mbu na kumeza ngamia. Mathayo 23:24
@ausihaji23986 жыл бұрын
Hizo cv ni mtihani mtupu kwa wabunge wetu
@fadhililihinda64916 жыл бұрын
Nilifundishwa hivi, ukiwa kiongozi jaribu mara kadhaa kujua feedback ya uongozi wako; hope hiyo ndio feedback yenyewe so tusilalamike
@benjaminichipeto9826 жыл бұрын
Ndugai bunge lako zaifu sana usikwepe ukweri
@jacksonsungwana23446 жыл бұрын
Ifike mahala Watanzania tubadilike,tusipende kusifiwa tu kila siku hata pale mapungufu yanapoonekana,Nadhani spirit aliyo nayo CAG ndio tunatakiwa Tuende nayo kwenye ukweli tuseme ukweli tu,na siku zote ukirusha jiwe gizani litakaempata lazima utasikia Mguno tu,Tubadilike Watanzania tumejisahau sana.
@taxifytest80416 жыл бұрын
Nasikia cag ni mtu wa dini sana
@jumakapilima56743 жыл бұрын
Haswaa!!!
@janethjackson3746 жыл бұрын
Tena wewe spika ndo mdhaifu kuliko viumbe wote hapo,watch out
@elymollel6 жыл бұрын
The truth that hurts👍
@abdallahmbena17686 жыл бұрын
Nimerudia rudia sana kumsikiliza mheshimiwa speaker nlivhokiona spika yuko sahihi sana sio kwakua bunge haliko dhaifu au dhaifu bunge ni muhimili muhimu na mkubwa katika nchi na ndio unao panga na kupitisha bajeti zetu za maendeleo na kutunga sheria na kukosoa mwenendo wa serikali kifupi bunge ni kitu kikubwa sasa anacho kiongelea hapo spika ni uzalendo wa nchi na si kukataliwa kukosolewa wapi unaenda kukosolea hapa unaenda marekani kutuvua nguo kwa watu ambao pia wasingependa kutuona tunafika mbali sana na pia ikumbukwe hili bunge linaheshimika sana na mabunge mengine mbali mbali za nchi marafiki wanaofika kila mwaka kwa nia ya kuchota ujuzi kutoka bunge letu jinsi ya kuendesha mambo kistaarabu Leo unaposema lidhaifu unalivunjia heshima bunge huko nje na ndani pia ,tujifunze uzalendo tuache mihemko hao tunao waambia kila siri mbaya yetu hawatakuja kutusaidia kitu tupigane wenyewe na mungu atatubariki kwa jitihada zetu ...
@japhetlaisangai65306 жыл бұрын
Wasomi sasa amkeni safi sana
@erickzephania10306 жыл бұрын
Nimecheka sna! Kichuguu kimekuwa mlima😂😂
@samsonhaule36473 жыл бұрын
Kichuguu kime kuwa Mlima!! 😆😆😆😆😆😆
@dicksonmalekelah18046 жыл бұрын
CAG uko vizuri simamia unachoamin tatizo watu wanatetea matumbo tu badala ya kusimamia ukweli badala yake wanakuwa wanafiki
@jiddawyhazaa54476 жыл бұрын
NDUNGAI HUNA UBAVU WALA UWEZO WA KUMUHOJI MSOMI HUYO
@@fungamaliramadhani479 Mtu Kuwa Msomi Haimaanishi Kila Anachokifanya Ni Sawa........ Kwa Mfano Hata Wewe Sijui Kama Ni Msomi Ama Lakini comment Yako Haina Mantiki. Usomi Una Thamani unapofanya Kitu Kwa Kutumia Usomi Wako Kwa Manufaa ya Nchi na Jamii Pia Yawezekana Alichosema Ni Sawa Lakini ina Haja Gani Kwenda Kusemea Marekani Kwanza who the hell is Marekani...... Mfano tu Wa Karibuni it's Libya ila Yako Wapi Sasahv Wanajuta.... Uzalendo Ni Muhimu Sana
@depaolo34616 жыл бұрын
Elimu na hekma ni vitu viwili tofauti
@bukwimbasangulya83596 жыл бұрын
jiddawy hazaa j
@zullaicamatola34316 жыл бұрын
Ukweli unaumaaa,hajawadharau kuwaambia ukweli,mkiwa wasomi na mkawa mmewekwa mfukoni ni sifuri
@abdallahomari86806 жыл бұрын
Mtasikitika sana bunge mmekua vibaraka ,lisu mshindwa kumtetea hata spika mwenyewe kwenda kumuona hakwenda ,,udhaifu upo bunge naserekali imekua mhimili mmoja,
@finiaskagimbo38796 жыл бұрын
Wakati wa kampeni ya 2015 kuna kiongozi mmoja mkubwa alituita watanzania "malofa". Kweli sisi ni malofa
@DJDOPEEPISODE3 жыл бұрын
Naludia tena BUNGE LA TANZANIA NI DHAIFU
@rashidihamisi23506 жыл бұрын
Mbona muongo aliwezaje kusema bunge kama hajaona?muogope mungu kumbuka ikosiku atakutia nguvuni hapo sasa ndo utajuta niwewe na mungu hakuna nani wala nani
@ramadhanikhalfan69476 жыл бұрын
Hapana,prof.alisema Bunge ni dhaifu, hivyo Mh.speaker angetuonesha uimara wa Bunge na si kulalamika na kumuonesha profesa amekosea, Bunge limekaa kimya sana yapo mambo yanayotokea ambayo Bunge lingepaswa kuonesha uimara wake. Wajikosewe tu!
Sijamuelewa vizuri CAG,alitaka marekani waje kusimamia matumizi ya fedha za umma.Tanzania alileti maana a.ekosa maadlili.
@asubuhiotieno24635 жыл бұрын
V.malima_kweli huwezikuelewa maana huelewi
@arlonmwaka80773 ай бұрын
2024, daima ukweli unabakia na unaishi.
@nyupahafidhi4116 жыл бұрын
Mbona alijib vizur sana
@saidrakwe87278 ай бұрын
madam pro, kasema kasema dhaifu nivdhaifu tu100% .. wabunge mnakula pesa za uma tu,,,,,,,
@mpewashiyawi46286 жыл бұрын
Unadhani ni kwann mmeambiwa dhaifu?
@omarmuhammed96556 жыл бұрын
Acha kutoka vipovu ww ujinga tu sisi tunajua hali halisi ya bunge
@sumbawangahighschool4126 жыл бұрын
@@omarmuhammed9655 unaamini mimi sijui hali halisi ya bunge? acha ku-underestimate watu utakuwa na udhaifu kama wa ndugai
@alextzmmary51216 жыл бұрын
Kaka hadi inafikia cag mnaona anawazarau 🤣🤣🤣🤣 nimangapi hamtekeleziiii
@venancesamweli42096 жыл бұрын
duuu kunashida kwa spika wetu
@willyskalekwa3136 жыл бұрын
Ukweli unama
@unambwenaiman53556 жыл бұрын
kweli ni dhaifu mana bunge ni chombo kinachojitegeme sasa mh speaker unataka kutopotosha,mkiharibu mnakimbilia vyombo vya habari ili watanzania tusielewe,dhaifuuuuuu
@rodrickdamson39986 жыл бұрын
Lakini haya yote yanahitaji hekima kutoka kwa Mungu nawaombea viongozi wangu kuwa hakuna bidamu mkamilifu kinachotakiwa kwakuwa wote ni viongozi mnapaswa mkae pamoja ili kuwekana sawa kuliko kila mmoja aite vyombo vya habari bila kukaa kuwekana sawa ni hatari zaidi. Mimi nawaombea mkae wote muwekane sawa bila kutumia hasira, hasira haijengi bali inabomoa kaeni kwa Upendo na amani.
@erickgulayi20896 жыл бұрын
Amevuka mipaka Sana kama hii haita kuwa Movie ya kupoteza ile kauli ya Lissu kuhusu Demokrasia nchini basi Ndugai atakuwa kisukari- kina mliza vibaya maana Ibara 143(6) ya katiba ina eleza wazi kuwa hakuna mtu wa kumuoji CAG ata ukienda katika kanuni za Bunge hakuna kifungu kilicho mpa mamlaka spika kumuita CAG au Jiji kuu katika kamati ya maadili ya bunge kimsingi mimi najua Ndugai ana lijua hili, ila mimi naisi hii ni Movie tu
@malakigerald85866 жыл бұрын
Kweli itakuweka huru daima.CAG Mungu yu na wewe piga kazi za watanzania acha wao walumbane na kutoshughulikia mambo ya watanzania kwa kuutumia wingi wao badala ya kushirikiana na wewe kulinda kodi za watanzania.
@annamushy29206 жыл бұрын
ukweli huo tena niwabaguzi
@linnamlay36436 жыл бұрын
Kiruuu, ye womii,,Meku hiyo mtu ni noma usilinganishe elimu yake na ninyi aisee hizo degree anaziona chekechea,zaidi tumpongeze kwa kuweka maslahi ya Taifa mbele.Hongera CAG
@frankhaji13876 жыл бұрын
CAG kasha sema cha msingi ni kubadilika tu.
@akidasalim97986 жыл бұрын
Mshirikiane nae na sio kumshutumu mjiangalie kwanza .mnao udhaifu ?Mjirekebishe.mbona km umechanganyikiwa?Trilion 1,5.ziko wapi?
@nickmbecknkinda34866 жыл бұрын
CAG yupo sahihi kill tu mapungufu tatizo liko wapi
@rahymond41236 жыл бұрын
Soma hiyooooooo injjniaaaaaa
@chescokagali59626 жыл бұрын
Ukweli mchungu mkuu WS mhimili hits gnomon
@marcondokeji89826 жыл бұрын
Mheshimiwa Ndungai chunguza mambo kwa makini maana si CAG tu anaona hayo nahisi hata jamii nzima ya TANZANIA inafahamu mambo yanavyo Endelea.
@chiddybaba86486 жыл бұрын
Aumpendi kukosolewa cjui kwann
@tumainielmremi79126 жыл бұрын
NINANI AMEADHIBIWA KUTOKANA NA REPORT YA CAG. KUBALINI TU. POVU LANINI?
@fadhilichikolo38446 жыл бұрын
CAG Ana haki ya kutoa maoni yake mahari popote pale wewe unakereka nini
@naileyhussen37226 жыл бұрын
hahahahaha uwi nacha nanseko
@gonzalesdeus51176 жыл бұрын
wananchi tunaimani na CAG ni kweli bunge hailieleweki
@elibarikimollel71493 жыл бұрын
Utaula wa chuya Mjomba,subiri muziki wa fitina zako saa yaja!
@cloudjest52686 жыл бұрын
Bunge halina meno kila siku mnaambiwa,tukiongea sisi mnachukulia poa tu, povu linakutoka kwa sababu CAG kawaumbua huko nje. Ukweli ndio huo. Mmekalia kusema Ndiyooo na yule mwanamke kutoa taarifa kwa mh. Spika tu.
@desderymugasha79276 жыл бұрын
Ukweli unauma sana
@rashidihamisi23506 жыл бұрын
Mmetunyima bunge live na we umekubali huo si udhaifu acha hayo mambo
@allymohamed78326 жыл бұрын
Hpo kwenye kusema wabunge wasomi mmmh mhe speak unadanganya mahana wapo ambao tunawajua CV zao za kununua acha hyo maneno speak
@samsonchomola38276 жыл бұрын
ameshindwa kuvumilia ameamua kusema kwel
@fortuneakankizya53363 жыл бұрын
Bana spika former CAG is a very wise man who has choice words
@ainekishakahwa38296 жыл бұрын
C.A.G umekinukisha.. Nimekuelewa kwa kusimamia ukweli wa kile unachokijua. Huo ndo uzalendo....!!!!%%
Calm down🤚relax.... The trueth will come out sooner or later!
@lilianfaustine69866 жыл бұрын
Ukweli unauma. Tatizo mmezoea porojo za uongo na mnawapata wakuwaongopea. Hakuna siri chini ya jua. Mnachuja habari zakuongopa zenye ukweli zinadhibitiwa.
@manyakuulaompondelo44193 ай бұрын
NI DHAIFU NDIYOOOOOO
@geronamasangula46366 жыл бұрын
Na baada ya kumhoji mtupe report kamili kama ulivyopnga kauli ya CAG ya bunge ni dhaifa na wew kama kiongoz mkuu wa bunge na sio kukaa kimya Asante mh. Ndugai
@emmanuelniko37326 жыл бұрын
Acha vitisho bhanaa!! Bunge lako ni dhaifu tu!!! Alaaaa!!! Unapaniki nn!?? Kwan we huoni????
@josee82246 жыл бұрын
Ndugai anajaribu kuukimbia ukweli...amepoteza focus kwa hasira ...sio siri bunge linatuangusha sana,ndiyoooooooo zimezidi sana.