Qoqlyyy ngoma nakukubali alama ya bongo fleva @lovefoeva
@afmabeat95676 жыл бұрын
Uwongo mbaya na ni dhambi. Hii kawaida sssaaannnaaa... Huu mtazamo tu masela msilete chuki.
@djelly76216 жыл бұрын
Toka zari la mentali bado Tunapagamiza nomaaa saana broo if ok am ok waaaaaaraaaa nic 1
@alimachiusjohakimu6176 жыл бұрын
Kiukweli jay ww hauchuji ngoma nzuri sana wasanii waige kwako
@colinsilvano24276 жыл бұрын
Nakubali Nakubali Prof JeeZ yaan100%√
@annajaphary84626 жыл бұрын
ngoma za zamani zako nilizielewa sana ila now du bado bora nisikie .usilie na bongo .saut ya geto
@greatthinker3706 жыл бұрын
Ngoma Kali kinoma inapagawisha yan echu echu..
@wilsonnyabagaka22656 жыл бұрын
Kazi nzuri muheshimiwa(Pagamisa)hahaha, waue ng'ombe hazeek main
@tadyinkmussa25306 жыл бұрын
Bonge la ngoma mh.jay pamoj san😚👏👏👏🙌
@eddiebilly34756 жыл бұрын
"tupige hata risasi tunatokanka tundu lissu" nice sna
@richardmduma9206 жыл бұрын
wakipiga risasi Sir GOD anatutoa kama TUNDULISU
@aswileadamson94826 жыл бұрын
mh bigapu sana usahau uriko toka eshima kwamo mzazi mi Awile toka mbeya nakukubali mbaya kwasasa nipo dar ntakutafuta tuongee
@princeallykitambonomaasana17616 жыл бұрын
Nakupali sana pia mm napenda kupadika kama ww mbunge makini hongera broo
@marjanmahrez54656 жыл бұрын
dude kali umetisha mzee baba respect @professor jay
@allymasta48666 жыл бұрын
bonge la dude mh jay unatisha mbaya,mr t na dee pia saruti kwenu watapata tabu sanaa
@nyanjejawa86816 жыл бұрын
Kaliiiii kama umeikubali,gongs.ka.like.kako apo.chini
@maulidrehani6 жыл бұрын
Michano ok prof ni noma sijutii kuwa shabik ako ila hapo kweny pagamisa namuona ney wakawaka pia mond na rick wakawaka
@mtepestech43786 жыл бұрын
Naaaaaam The heavy MC ....... imependeza
@ezekielnjau88306 жыл бұрын
Upo vizuri sikuzote Bro, unazid kuwachapa kwa mkwanja, fun base, idea n muzik mzuri
@rodneyford886 жыл бұрын
bonge la ngomaa....prof wa miaka ile amerudi
@RomwardWM6 жыл бұрын
Ngoma kali nimerudia kuicheki kwa mara nyingine 🔥🔥🔥🔥😂😂😂😂Pagamisa
@tonmaroni9746 жыл бұрын
hii ngoma ukikaa frexh uisikilize frexh, utamu unazd korea frexh.
@maleop29506 жыл бұрын
pipipiiiii mtulinga hiii imekwenda salam zake bill nenga
@mussakizingiti35526 жыл бұрын
nmependa ubunifu huu sehemu ya wakawaka mmeibadilisha imekuwa ...........aloesikia anijibu bas
@mapundacalvin73576 жыл бұрын
hii ngoma inanifanya nifikirie kuuza drugs ambazo sina.. ni fire aarifu
@mzeewakibada64056 жыл бұрын
Safi sana Professor bonge la ngoma
@rahimumapondella80436 жыл бұрын
daaah aisee ipo poa sana mwanalizombe
@ndilanajunior6 жыл бұрын
Wenye mziki wake mzee #wakutulinga
@elibarikikivuyo57554 жыл бұрын
Daaa hii ngoma bado tu like m!! Jamaani
@mwanabinmariam84755 жыл бұрын
Daaaaah hongela m bunge wetu
@madabingawalwa30546 жыл бұрын
jay ngoma Kali aisee nakkbali kinoma
@hazardngolo27516 жыл бұрын
Nakubali Sana We mkaali mheshimiwa
@Togolay6 жыл бұрын
pagamisa mzee baba mgodi unaotembea
@jirac14563 жыл бұрын
Lejendari Wakenya hatukuwezi.
@mrenobishoo11186 жыл бұрын
Hii ngoma Kali sana aise👉🙏💣💣
@michaelkastochannel80546 жыл бұрын
Hukoseagi Mkuu. Bonge la Ngoma
@natalbernad98436 жыл бұрын
Rick Rozery wa bongoo safiiiiiiiii
@aslama.suleiman52165 ай бұрын
Professor mwenyewe 🫡
@MBAGOTV6 жыл бұрын
Sawa mheshimiwa nakukubali noma sana
@ibrahimpatrickmwafute6 жыл бұрын
Mh. Prof j nakukubal kinoma
@fikiritofautiletautofauti11826 жыл бұрын
Inabidi Raia wafundishwe matumizi ya dislike button,sio kila kitu cha ku dislike#Props kwa Prof tisha mbaya
@elvisilanyi Жыл бұрын
This song was highly marketed by Mzazi Willy M Tuva
@romyquality57886 жыл бұрын
naona umeongeza idara br touch
@emzmillion11876 жыл бұрын
Professor jay nimekutolea kofia niko out of words ur music is on another level
@eliassimon43506 жыл бұрын
owky...... ingekaa chorus ingekuwa kali zaidi but nawapa 78%
@jacksonjoseph95046 жыл бұрын
Ase bonge rangoma kama unamkubar professor jay gonga like twende sawa
@berryxmsani69526 жыл бұрын
Moto unawaka hapa iseee
@harunfamily32786 жыл бұрын
hahahahahaaaa🔥🔥🔥🔥🔥 mmetshaa kama umeikubar ngoma hii usipte bila kugonga like👍👍# Africa stand up nouma sana 2namwaga pesa
@omariribwera2725 жыл бұрын
uuuu .mziki mzuli ira naomba msaada mmoja unitafutiee namba ya mr touch au professor jay nitumie katika namba yangu hi 0626611496 nitakulushia shilingi 5000 ukilushia namba hizo
@gbbuku47146 жыл бұрын
Mbunge unaeongoza binadam na wanyam umetisha ngoma kali
@domydocta.6 жыл бұрын
Bonge LA Dude Kaka Mkuu
@donaldmhulula68883 жыл бұрын
Kama ume sikia kicheko cha Dogo Young De basi pamoja sana.
@simonkaleko25356 жыл бұрын
Your my role model bro,bado sijafikia hatua fulan but mungu atujalie uzima tutafanya kazi siku moja na wewe,from 2001 up to now bado naamin kuna siku itakua.
Bonge la chemistry mr t-touch ft wamituringa hallahhh🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@evaristiraiswamlalakua50616 жыл бұрын
Pagamisaaaaaa Nyimbo la dunia
@samid0906 жыл бұрын
Yani professor, toka zera la mentali mpaka leo unaimalisha hip hop ya bongo. Wewe king for sure
@ahmekfatal28646 жыл бұрын
R u ok.....then am ok....one luv one pple one continent @touch
@tzchannel63146 жыл бұрын
Hukoseagiii 💯💯💯💯😀✔
@allymasta48666 жыл бұрын
ngoma kali tisha mbaya
@isackbaton97596 жыл бұрын
N noma mkongwe kazini
@antonykilusi55586 жыл бұрын
daa umetisha mbunge nice
@michaelrambo62076 жыл бұрын
Baba j salute sana Mzee baba
@amospaul54696 жыл бұрын
Noma sana professor jay
@balozimchomvu77796 жыл бұрын
Huyu mbunge yuko vizuri aisee
@GodwillAkilimali6 жыл бұрын
Hili jamaa linajua sana
@saidkassim29086 жыл бұрын
Kazi mzurii bro salute
@moziidavchonchi33386 жыл бұрын
SEMA NINI SINCE DAY ONE PROF JEEZ AJAWAI NIANGUSHA ASE THE BEST MC ALL THE TYM TZ ==>EA
@charidofaraja42106 жыл бұрын
siasa huiwez we Fanya muziki tu
@abdulmaliki40816 жыл бұрын
nakubhaleee sanaaaaa
@user-od3fv4zb8u6 ай бұрын
Oh wow my role model 😍
@salumjumah56486 жыл бұрын
Mh amerudi#pagamisa mikumi stand up
@jackookoosoro1556 жыл бұрын
My best lyrically and bars gifted EAST AFRICAN RAPPERS are in this order Afande Sele Khaligragh Jones Fid Q Hon. Professor Jay Young Killer Juliani Abass Kubaff Solo Thang Otero
@hezekiahomulo40976 жыл бұрын
The legend himself... Kali sana... tuendelee ku pagamisa... :)
@amositensonking71206 жыл бұрын
Tulikumiss kitaa babake
@mwangiiraq57966 жыл бұрын
mheshimiwa !au sio
@theresiapastory96376 жыл бұрын
kaliii ile mbyaaa
@gaudenciamallya97793 жыл бұрын
Wabunge hawa walikuwa wawakilishi wa wananchi ila basi tu.
@tarchisyolukose75116 жыл бұрын
ngoma Kali #proJay....🎶🎶🎶 #Ttouch.....youngDaddy
@willasuitbert34986 жыл бұрын
huyu jamaa hazeeki etiiiii
@dannykilaza90486 жыл бұрын
Kama umesikia kichekk cha young d gonga like
@adsonjoseph89333 жыл бұрын
Mwanamsoropaganziiiiii
@shukranilameck21332 жыл бұрын
Prof umetisha
@thenolstagiclord94102 жыл бұрын
Sauti ya kitaaaaaaaaaaaaaaaa Tooooooouch
@geradnaftal91696 жыл бұрын
Kama rick Ros vileeeee j wale nikweree
@eyebiz88646 жыл бұрын
Kali sana respect TZ boss Jay
@allymasta48666 жыл бұрын
ngoma kali mh unatisha
@davidnyimbo88706 жыл бұрын
Amani kwa mwanagu Darassa #too much
@atikombogolo23566 жыл бұрын
Yaaani mwanzo mwisho hakuna ishu za mapenzi bhana wewe....ARE U OKEY!!?? IF UR OKEY AM OKEY😩😂😂🤣🤣🤣 hawa ndo wasanii dadadek
@kalongaalex82626 жыл бұрын
Tunapagamisa, hahahahahaaaa J fundi
@jumannehassan19976 жыл бұрын
Hatar sana hii ngoma
@mahumbijilala15686 жыл бұрын
Hii ni kazi bora kabisa katika wakati wa sasa. Mashairi yake yana urali mkubwa sana na mahitaji ya jamii ya Tanzania na Afrika mashariki katika masuala mtambuka tuliyonayo. Hongera sana @Professor Jay