Huyu mwalimu ndacha mimi uwa namufikilia sana kipindi nasikiliza mafundisho yake yaani ananishangaza sana ndani yake kuna Roho mtakatifu kabisa ndiy anay fanya kazi zake kwa hilo sina ubishi kabisa
@sindingasenior6260Ай бұрын
❤
@princessjasmine87973 жыл бұрын
Kazi nzuri mwalimu mwenyezi Mungu akubariki
@totojaphet92123 жыл бұрын
Mwarimu barikiwa sana
@ronaldkaingu93564 жыл бұрын
Hakika na barikiwa sana mtumishi mungu akubariki sana
@ericosoro76174 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mwalimu kwa kazi nzuri unayoifanya
@seasonepisode33284 жыл бұрын
Yesu yupo ndani yko mwalimu
@Musical1997-f4w4 жыл бұрын
Mwalimuu dacha nimwalimu mwenye elimu yakicha munguu ubalikiwee sanaa mwalimu dachaa hujawahii kuniangushaa
@casaica29933 жыл бұрын
Good work Mwalimu Ndacha ubarikiwe Sana...
@kingtouch84233 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mwalimu ndacha azidi kukuzidishia baraka
@daud87854 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana .. piga kazi mtumishi.
@enosbahati2232 жыл бұрын
Napenda sana huyu m2mishi ndacha
@happyfraha56494 жыл бұрын
Nakufatilia nwalimu ndcha unenitoa mbali sana Ameni
@kincaid87334 жыл бұрын
Sasa nikweli paoul alirudiyaka tena muisilaamu tena
@sulehassanshall61404 жыл бұрын
Enyi makafri achen kudnaganywa naviongozi wamakanisa wao niwakora wezi wabakaji waongo wahuni walafi wazinzi wanatumia jina layesu ili kuwapora Mali yenu nakuwabaka watoto wenu nawake zenu. ..bblia ishasema kanisani kuna kiti cha enzi chashetan ikasema tena waliolala kwaukirsto wamepotea ikasema. ..niyni mumepotea...Nahao viongoz wenu wanazo kuwapoteza
@rosemutinda30764 жыл бұрын
@@kincaid8733 nani alisema?
@elizabethsidi5574 Жыл бұрын
@@sulehassanshall6140 toa maandiko usijisemee maneno yenye hujui
@AlphonceOnyango-nc4me6 ай бұрын
Thank you Mwalimu Ndacha am really learning something, may the Lord bless you.
@janenjenga56394 жыл бұрын
Tuelimishe kabisa tusije sema hatukusikia
@erickmaisha47732 жыл бұрын
Huyo Mzee n pasta hakutaka kujidhihirixha2
@rosemutinda30764 жыл бұрын
Ujumbe wa mwisho huo,, huokoa ila ni chungu.
@themessage35084 жыл бұрын
Tuko pamoja mtumishi wamungu
@kanganginjuki68809 ай бұрын
Je Yesu atakuja hapa duniani kutawala?
@kincaid87334 жыл бұрын
Mungu akubarili
@enosbahati2232 жыл бұрын
Amen
@abcdg19954 жыл бұрын
Sometimes I feel like preaching the word of God on KZbin channel But my problem is how to collect My offerings Money
@warningvoiceoflastdays58234 жыл бұрын
Nakufatilia,ila sijui mko wapi
@shabaniwilondja8924 жыл бұрын
Mimi ninapenda saaaana mafundisho ya ndungu dacha ila ninatafuta namba zake sizipati basi naomba kwa yule anayekuwa nanamba zake anipe ili nizindi kula neno kwake
@jeanefelix703 жыл бұрын
Number zake izo👉 +254 705 602959
@sandewillymusic56154 жыл бұрын
Tuko pamoja,,,,,,,
@ronaldkaingu93564 жыл бұрын
Huku ni wapi mwalimu
@sophiaesmarcharo97754 ай бұрын
❤❤❤🌷🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤝🤲🌷
@ramazecha28773 жыл бұрын
Quran ndio muongozo wa kweli hpa duniani na hakhera
@enosbahati2232 жыл бұрын
Mtumishi munngu akupariki kwa mafundisho safi
@mwesi527 Жыл бұрын
Et nn?
@mwesi527 Жыл бұрын
Quran hyo inasema mungu hana mwana au ingine wacha ujinga mskze ndacha uokolewe