NABII MKUU ATOA ZAIDI YA MILIONI 13 KWA WADADA WALIOKUWA WAKIJIUZA SASA WAFANYE BIASHARA HALALI.

  Рет қаралды 57,579

GeorDavie TV

GeorDavie TV

Күн бұрын

SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
TUFUATILIE
▶︎ Facebook: / geordavietv
▶︎ Instagram: / geordavietv
▶︎@GeorDavie Maarifa

Пікірлер: 260
@fredrickomwega8250
@fredrickomwega8250 Жыл бұрын
Great work... Man of God.. I salute your efforts to support those ladies. They deserve a second chance in life. Umewatoa misri.
@florencemushi6561
@florencemushi6561 7 ай бұрын
Nabii i highly commend you for that wonderful work you have done. You have saved those young women. May the Almighty God bless you and rerr member you in His Kingdom. Mimi ni mama Florence Mushi[ Kimambo] former Arusha NIC. Manager. My regards to your good family.
@twalibukassim6111
@twalibukassim6111 29 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa kazi uliyoifanya wengine wanapitia haya kutokana na wanaume wanaotuzalisha wanakataa mimba pamoja watoto.
@HAAM670
@HAAM670 10 ай бұрын
Ok. Huyu sasa ndo nabii mkuu, leo ndo nimemjua mwenyewe kwa akili zangu. Sio huyo mnaye msema sema. God bless you chief prophet.
@stamilinyakunga
@stamilinyakunga 2 ай бұрын
Ujue😢❤❤😢hata mmi nimemwelewa ujue
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior Жыл бұрын
UBARIKIWE SANA NABII MKUU!MUNGU AKUTUNZE!KAZI YAKO NI NJEMA SANA.
@ebenezermachange-zp4es
@ebenezermachange-zp4es Жыл бұрын
Amen..Amen Glory be to God kwa kazi hii kubwa ya Mungu ...❤❤❤❤...Thank u God kwa Nabii mkuu...kwakwel anayesema huyu sii Nabii mkuu shetani yuko nyuma yake
@HAAM670
@HAAM670 10 ай бұрын
God bless chief Prophet GEOR DAVIE
@NeemaKipande-hr9rz
@NeemaKipande-hr9rz Жыл бұрын
Mungu akubariki sana baba wewe nimtumishi wa mfano mimi nalia tu nikiangalia jinsi unavohudumia watoto wako
@samwelnevele7796
@samwelnevele7796 Жыл бұрын
Mungu akuzidishie nabii mkuu geordavie the king of father over the world
@NAFSIILIYOHAI
@NAFSIILIYOHAI 8 күн бұрын
Safi sana By mchungaji VENISTUS PACIFIC kutoka mwanza
@samwelnevele7796
@samwelnevele7796 Жыл бұрын
Je mungu afanye nini kwa ajili yako nabii naamini mungu atakuzididishia mapesa mengi sana mkono unaotoa ndio unaopokea zaidi
@rostardsanga
@rostardsanga 2 ай бұрын
tafuta hela wajina. acha tamaa mbaya
@ErickCosmas-o6y
@ErickCosmas-o6y Жыл бұрын
Nakukubali sana prophet wewe ni mfano wa kuigwa ukiwasaidia wengne kwangu Mimi inatosha sio lazima tusaidiwe wote
@mohamediradukunda3996
@mohamediradukunda3996 Жыл бұрын
Baba Sisi warundi tunakukubari san mungu azidi kukubariki
@PaskalinaNgiliule
@PaskalinaNgiliule 11 ай бұрын
Amina nabii mkuu mungu akubariki baba na ninaomba na mimi unifungue kwa damu ya yesu na umponye mwanangu
@salmampinga4995
@salmampinga4995 Жыл бұрын
"Kazi nizifanyazo mtafanya na kubwa kuliko.....",Hii ndiyo maana yake 🙏🙏 Daddy ❤
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 Жыл бұрын
Aminaaaaaa,, waache wasiomjuwa Mungu na matendo yake wapuyange midomo,Hawana hela,Hawana Elimu,Hawana chochote na wala hawajui nini maana ya Ukuu wa Mungu na wala hata Yesu mwenyewe hawanjui na matendo yake makuu,wanekalia kupiga ngumu ukuta, Mungu akubariki baba Geordavie
@HappinessKitosi
@HappinessKitosi Жыл бұрын
Amina
@PaskalinaNgiliule
@PaskalinaNgiliule 11 ай бұрын
Amina dada Roz
@SalmanSelah
@SalmanSelah 6 ай бұрын
Asante Baba;kuwa saidia hao nahisi umenisaidia mimi na wengineo zaidi;
@StanslausCostantine
@StanslausCostantine 29 күн бұрын
Mungu Baba akubariki sana mtumishi wa Bwana
@stamilinyakunga
@stamilinyakunga 2 ай бұрын
Balikiwa saana leo nimekuelewa❤❤❤
@CassianiusJohn
@CassianiusJohn Жыл бұрын
Baba Asante mungu akubali maneno machache kazi kubwa zaidi
@constantinnicoiconoppa587
@constantinnicoiconoppa587 2 ай бұрын
Umejenga kizazi kijacho , hao watoto wao nawaza wangekuwa watoto wa aina ipi , maisha na kazi za wazazi wao zingewafanya watu wa ajabu zaidi. Mungu Ni Mwema . Apewe sifa Yesu Kristo
@IMODESIGNER-ej6gj
@IMODESIGNER-ej6gj 7 ай бұрын
Asante kwa Tendo hili Umefanya Jambo jema la kuwafunika miili yao
@estarmwakatage220
@estarmwakatage220 Жыл бұрын
Nimebarikiwa na uduma yako mungu akubaliki kupitia uduma yako nimeona mtandaoni ukiwaudumia watu ata Mimi nimependezewa na uduma yako ninaitaji unikumbuke naitaji msaada wako ninashida na milioni moja naitaji kufanya biashara Sina mtaji baba Niko mbeya mungu akuzidishie uishi miaka mia
@MtumishiMwalabu
@MtumishiMwalabu 4 ай бұрын
Amen wewe nimwanaume baba piga kazi ya Yesu mana hata Yesu alipigwa mawe lakini mwisho ameshinda
@OmarAli-bj2cw
@OmarAli-bj2cw Жыл бұрын
GOD bless u man of God
@christinakomba689
@christinakomba689 7 ай бұрын
Mungu atakulipa acha wakutukane,mimi nakupenda sana
@kagonjigodwin8307
@kagonjigodwin8307 5 ай бұрын
Hakika huyu ni Mungu wa kweli,acha tu Nabii watukane ila mambo unayoyafanya yanatoka juu kwa Mungu mwenyewe
@BobgIsmail
@BobgIsmail 5 ай бұрын
Huna akili wewe
@BobgIsmail
@BobgIsmail 5 ай бұрын
Huna akili wewe
@dainessukosi
@dainessukosi Жыл бұрын
Baba mungu akutunze haya unayoyafanya ni ZAIDI ya upendo yaani machozi yamenitokankwa majengo yako ya hekima
@josephstephen2047
@josephstephen2047 Жыл бұрын
Ana majengo ya hekima?
@tollywycliffe
@tollywycliffe Ай бұрын
Baba mungu akutunze haya unayoyafanya ni zaidi ya upendo🇰🇪🇰🇪
@dianahussein8934
@dianahussein8934 Жыл бұрын
Ivi mungu amekushusha ujeukomboe vizazi kiukweli
@daudismart2142
@daudismart2142 3 ай бұрын
Mungu azidi kukuinua baba iyo ndo maana ya nabii mkuu
@OmarKizinga
@OmarKizinga 4 ай бұрын
Mungu akubariki na kukuzidishia Mtumishi wa Mungu hakika umefanya jambo jema sana. 1. kuwasaidia hawa watu na Wana wa Mungu. 2.kueneza injili kwa mali na fedha zako. 3. Na Mimi natamani siku Moja jicho la Mungu lililopo ndani Yako linitazame nipate fursa ya kwenda chuo cha biblia.
@ibrahimzabron4619
@ibrahimzabron4619 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@richardmollely2933
@richardmollely2933 Жыл бұрын
Wewe ubarikiwe sana nakutakia mafanikio makubwa Amen kazi hiyo ndio kazi wito Mkuu wa Mungu kweli kabisa
@agnessmalyeek9387
@agnessmalyeek9387 Жыл бұрын
Mungu akuongezee Nabii mkuu
@giftmed1a332
@giftmed1a332 5 ай бұрын
Haya ni mazahabu ya ushindi sana,barikiwa sana mtumishi na huu ndio utumishi unaotakiwa
@marianajoseph1892
@marianajoseph1892 Жыл бұрын
Baba, Mungu amekuita kweli. Asante sana nabii mkuu 🙏🏻🙏🏻👍🏽👍🏽🌺🌺🌹🌹🌻🌻💐💐
@judicasarakikya9315
@judicasarakikya9315 7 ай бұрын
Mfano wa Kuigwa Baba Mchungaji, Mungu Akubariki Sana
@DenisNzowa-e2r
@DenisNzowa-e2r 3 ай бұрын
Mtumish ubalikiwe Sana endelea kuinua watu wa mungu
@lucylaizer-dv5yc
@lucylaizer-dv5yc Жыл бұрын
Daah hii sijui tusemeje lakini ni zaidi ya upendo, baba Mungu akubariki na uzao wako
@Ally-dc5tz
@Ally-dc5tz 7 ай бұрын
Kweli baba nimekuelewa sana na nimekukubali sana baba naomba unisamehee sana nimekuwa nikikulaumu sana kwa sababu nilikuwa sikuelewi mtumishi wa Mungu
@ushindieliya278
@ushindieliya278 Жыл бұрын
Ni kazi njema
@RuthJeptoo-sc9ox
@RuthJeptoo-sc9ox Жыл бұрын
God bless you daddy hii yote inanikusa Sanaa mimi pia niko hivyo daddy uniombee nifanikiwe nitoke kwenye hii shida kama wao nina watoto watatu daddy secondary sina jojote ninajiusa pia ndio nipate pesa ya nyumba na school fees ninapitia mambo mingi daddy ninakufutia kwa simu uniombee
@happynessyohana9568
@happynessyohana9568 10 ай бұрын
Baba mungu akubaliki kwa kazi nzuri❤❤❤❤
@idrissaissa5607
@idrissaissa5607 Жыл бұрын
Ukwer mzee nakufatilia sn Ila ww na diamond platinumz umebalikiwa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ kwer mzee nime elewa maana ya kua Kiongozi bora
@annamungure4335
@annamungure4335 Жыл бұрын
Mungu akubariki baba unafanya kazi uliyoitiwa
@adenisaac7599
@adenisaac7599 Жыл бұрын
Barikiwa sana mchungaji
@josephlucas2786
@josephlucas2786 Жыл бұрын
🙏 naomba na Mimi nimsaidie mmoja 1mln ya mtaji atakao itaji
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Жыл бұрын
Nisaidie hata Mimi ndugu, utabarikiwa
@iweningogoofficial3733
@iweningogoofficial3733 Жыл бұрын
Huko hawako!??
@fatumaayubu1106
@fatumaayubu1106 Жыл бұрын
Mimi nipo hapa
@tikisaelikivuyo4030
@tikisaelikivuyo4030 Жыл бұрын
Ivi ndivovitu serekali ingeviunga mkono
@zinzendorfmwansasu1628
@zinzendorfmwansasu1628 Жыл бұрын
​0654
@QueenElizabeth-ws6rp
@QueenElizabeth-ws6rp 10 ай бұрын
Mungu akuzidishie nabii mkuu
@JaneGracious-t9l
@JaneGracious-t9l 8 ай бұрын
Congratulations prophet, for taking them through processing, because processing is always greater than the results
@VisionVibes8
@VisionVibes8 Жыл бұрын
Geordavie ni mtumishi WA mungu WA mbinguni Alie hai
@ReginaRombo-ug7uj
@ReginaRombo-ug7uj Жыл бұрын
Baba mungu akubariki sana Kwa upendo na utu uliyo nayo
@nehemiakahangwa1091
@nehemiakahangwa1091 Жыл бұрын
Wewe niazina mungu akupe maisha malefu
@judicasarakikya9315
@judicasarakikya9315 7 ай бұрын
Baba Mungu Akulinde tu na hilo Kundi la Mwisho usije ingia majaribuni mahana , kwa mtazamo wangu naona wao dhairi ksbisa shida zao ni hela tu na endapo hela ikisha wanaonekana tu watarudia mambo yao !! Angalia hata wakivyo vaa utazani siyo kanisani!!
@NEEMASWEDI
@NEEMASWEDI 4 ай бұрын
Yaanii baba umenifurahisha kweli kweli maana iyo labia ya kujiuza ni mbaya sana sana umewaokoa na moto wa jehanam. na wewe mkimbilie YESU kirsito nabii mkuu usiwaogope wanadamu jehanam ni moto. na YESU kiristo atakusaidia kama umeamua
@SeciliaNikolaus
@SeciliaNikolaus 3 ай бұрын
Baba naomb unisaidie milion mbili nifungue biashala na mungu atakuongezea utakapo toa nisaidie nabii wa mung
@marianajoseph1892
@marianajoseph1892 Жыл бұрын
God bless your path,
@NEEMASWEDI
@NEEMASWEDI 4 ай бұрын
Kwakweli nabii mkuu kwa huo wema uliowatendaea hao madada poa MUNGU akubariki sana sana.
@janethsempiga970
@janethsempiga970 Жыл бұрын
God's movement..fire fire 🔥
@AmosiLazaro-i5i
@AmosiLazaro-i5i 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu
@tikisaelikivuyo4030
@tikisaelikivuyo4030 Жыл бұрын
Safi sana awa mliowapa pia wafatiliwe
@ebbyescor7614
@ebbyescor7614 Жыл бұрын
Nabii mkuu Mungu akupeleke mbali sana
@joycehaule9686
@joycehaule9686 Жыл бұрын
Unamoyo wa huruma xn Mungu akutunze 🙌😔
@bambuguyasamuel3107
@bambuguyasamuel3107 Жыл бұрын
❤Kazi Nzuri Inaonekana Kabisa
@MahamuduShabani-x8i
@MahamuduShabani-x8i Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni akupe maisha marefu wewe wa kweli umeponya kondoo waliopotea
@enocktuza1819
@enocktuza1819 Жыл бұрын
Kazihii imenitoa machozi ya furaha. Mungu wangu àkutunze. Umetimiza maandiko, " Nilikuwa na njaa ukanipa chakula".
@BAHATIAMRI
@BAHATIAMRI Жыл бұрын
Zamani nilikuwa sikuelewi kabisa na nilikua nakupinga sasa nimekuelewa hakika una Mungu tena wewe ni nabii
@ChristinaShirina
@ChristinaShirina Жыл бұрын
Mungu akuinue sana
@MariamuJumbe
@MariamuJumbe 7 ай бұрын
Munguakulinde
@GahimbareMariechantal
@GahimbareMariechantal 7 ай бұрын
Mungu akubariki sana mutumishi wa Mungu 😭😭😭😭😭😭😭 nitakupataaje uniombee mutumishi wa Mungu kwakweli namuomba Mungu akubaliki sana sana 🙏🙏🙏🙏
@ebbyescor7614
@ebbyescor7614 Жыл бұрын
Prophet Mungu akutunze sana
@GodfreyBashonsho
@GodfreyBashonsho 7 ай бұрын
Mungu akubark sana
@KIYESTERDAY
@KIYESTERDAY Жыл бұрын
This is amazing and very believable you really a man of God royal prophet and I'm proud me saying you my spiritual father
@SALOMENkya-p4y
@SALOMENkya-p4y 7 ай бұрын
Mungu azidi kukubariki mtumishi
@JoshuaMuyanjizi
@JoshuaMuyanjizi 7 ай бұрын
Baba kaz nzur wanaokusema vibaya mungu anawaona
@PaskalinaNgiliule
@PaskalinaNgiliule 11 ай бұрын
Mungu akubariki sana nabii
@QueenS-k3t
@QueenS-k3t 7 ай бұрын
Jambo zuri la kusaidia binadamu wezetu wasipotee kiongozi huyu mungu atamlipa mazuri Amin🤲
@HAAM670
@HAAM670 10 ай бұрын
God bless chief prophet
@Dancanchege
@Dancanchege Жыл бұрын
Glory be to God 🙏🙏🙏
@Ally-dc5tz
@Ally-dc5tz 7 ай бұрын
Amina Nabii zMungu akubariki
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt Жыл бұрын
Ubalikiwe sana baba mungu akutunze baba❤❤
@elizabethmushi7424
@elizabethmushi7424 Жыл бұрын
Nakufuatilia Sana kuna siku mama y'ako alisimama madhabahuni akielezea namna ulinyokua nilikufurahiya Sana kipaji Chako ulikianzia tumboni mwa mama Mungu akutunze Bb
@GraciaMbayo-hb4jc
@GraciaMbayo-hb4jc 9 ай бұрын
Mtumishi unachofanya unanibariki sana
@MusukwaAmos
@MusukwaAmos 7 ай бұрын
More Grace nambii
@antonydorian1402
@antonydorian1402 7 ай бұрын
God bless you
@PaskalinaNgiliule
@PaskalinaNgiliule 11 ай бұрын
Mungu akubariki baba akupe miaka mingi
@InnocentMlembe-qt9fd
@InnocentMlembe-qt9fd 8 ай бұрын
Ubarikiwe na mungu
@johnelias2
@johnelias2 Жыл бұрын
Heshima kwako na kwa Mungu wako IMEKUWA alama kwetu pia
@KulekatsengeHaruni-sb6qc
@KulekatsengeHaruni-sb6qc Жыл бұрын
Ubarikiwe sana baba
@respiciuscronery1133
@respiciuscronery1133 Жыл бұрын
We Mzee nimekupenda bure
@hassanzuberi9091
@hassanzuberi9091 Жыл бұрын
Nimependezwa na utendakazi wako mtumishi🎉
@JohnpNtilema
@JohnpNtilema Жыл бұрын
Baba pia nawanaume wanao nunuwa shiva's nao waje waokoke ngurumo Ina sauti Dunia nzoma ammmmmmmen
@stamilinyakunga
@stamilinyakunga 2 ай бұрын
Wake sawa
@stamilinyakunga
@stamilinyakunga 2 ай бұрын
Waje sawa😂😂😂😂wanunuaji??
@QueenElizabeth-ws6rp
@QueenElizabeth-ws6rp 10 ай бұрын
Mungu akubali nabii
@elizabethmushi7424
@elizabethmushi7424 Жыл бұрын
Baba nimelia Hadi kichwa kinauma hakika umechaguliwa na Mungu Mengi. Alikua mfadhili wa walemafu kimwili ww. Umeinuliwa nyanja. Zote kimwili na kiroho makahaba wahitaji na wote wenye shida Baba nashindwa. namna ya kutafakari hekima uliyonayo niseme 2 Mungu akupe miaka 120 ya kuishi dunia I ukiwa smati kama ulivyo
@KasuumwemaMwema
@KasuumwemaMwema Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
@estarmwakatage220
@estarmwakatage220 Жыл бұрын
Mungu akubariki baba
@happynessyohana9568
@happynessyohana9568 10 ай бұрын
Baba naitaji siku moja nikuone baba naamimi utanisaidia baba yangu🙏🙏🙏🙏
@ReubenMichael
@ReubenMichael 11 ай бұрын
Nakupenda San San baba yangu ❤
@veroniquemango1114
@veroniquemango1114 Жыл бұрын
Mungu aku bariki sana 🇨🇩🇨🇩
@abibumbota5160
@abibumbota5160 Жыл бұрын
Upendo mkubwa❤❤❤❤
@tollywycliffe
@tollywycliffe Ай бұрын
Amen amen papa 🇰🇪🇰🇪
@NeemaKipande-hr9rz
@NeemaKipande-hr9rz Жыл бұрын
Mungu azidi kikupa maono na kukuinua mtumishi qa mungu maana niwatumishi wachache wenyemzigo na wenye uhitaji maana yani apo mtumishi wa mungu umenisuru vifo vyao maana umepanda mbegu ndani yao
@giftkalenge418
@giftkalenge418 Жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA
ALICHOKIONGEA ROLINGA JUU YA MTOTO ALIYEUWAWA.
15:50
Haleluya Tv
Рет қаралды 21 М.