PROPHET IPM ''MAISHA YANGU YALIKUWA HATARINI/NILIKUA NAKULA CHIPS ZINAZOTUPWA NA WATU DARAJANI''

  Рет қаралды 12,157

SWAHILI GOSPEL TV

SWAHILI GOSPEL TV

Күн бұрын

Пікірлер: 28
@vickymeikasi8147
@vickymeikasi8147 3 ай бұрын
Hongera sana mtumishi wa Mungu, Mwenyenzi Mungu atembee na wew
@ungwanabilobi-mp3dr
@ungwanabilobi-mp3dr Жыл бұрын
Mungu akusaidiyw mtumishi wa Mungu ipm usigeuze mawazo yako ya kurudi maana aliyekuleta kwa ukristo si watu Bali ni Mungu
@happynessyusufu8258
@happynessyusufu8258 2 ай бұрын
Hata mm kaka nineteseka sana nilivyo amua kuokoka lakin kwa sasa siogopi namtazama Yesu kristo alie mwamba na wokovu wangu
@GeorgegSend
@GeorgegSend Жыл бұрын
Jipe Moyo❤ mkuu utashinda majalibu❤
@jumaboneventure7561
@jumaboneventure7561 Жыл бұрын
Amen
@JamesPeter-y3w
@JamesPeter-y3w 3 ай бұрын
Ongela San namungu akubaliki sana
@womanofsteel1402
@womanofsteel1402 Жыл бұрын
Kwanini unagangania kwamba Ukiwa mkiristo mpaka ushambulie waislamu hivo Ni visingizio mbona watumishi wa Mungu wengine wakikirusto hawashambulii waislamu ,Wewe cha kufanya hubiri injili ulioitiwa bila kuchanganya wislamu madhabahuni ,Wala bila kuwashambulia waislamu
@michaelrweyemamu1068
@michaelrweyemamu1068 3 ай бұрын
Hongera kwa kutoka kwa shetani na kuingia kwenye Nuru
@ahmedalbalushi6239
@ahmedalbalushi6239 4 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akusamehe . Njaa mbaya sana 😊
@matridawilium9945
@matridawilium9945 Жыл бұрын
Kama umeitwa kweli na kristo endelea kuomba tu yesu hashidwi na jambo lolote,
@furahamandai6628
@furahamandai6628 Жыл бұрын
Ipm mimi nakukubali endelea na huduma ikiwezekana ukianza tour nitakuja
@SuperatusMgwambe-gn1ez
@SuperatusMgwambe-gn1ez 6 ай бұрын
Safiii
@jumaboneventure7561
@jumaboneventure7561 Жыл бұрын
Ame
@HumudSalim-b3l
@HumudSalim-b3l 24 күн бұрын
Huyo hawahi kusalisha hata sikumoja huyo ni mnafiki
@DesderiusHaule
@DesderiusHaule 3 ай бұрын
Bwana Yesu alikuita kutoka kwenye uislamu ili umtumikie yeye kikamilifu, ni kama vile Yesu alivyo muita sauli ambaye baadaye aliitwa Paulo ili amtumikie kikamilifu. lakini wewe kwa kuipenda dunia umeamua uchanganye ya biblia na ya Qur'an ili upate radhi za walimwengu. Unajua fika kwamba Qur'an yote ipo kwaajili ya kuipinga biblia unawezaje kutuchanganyia mafundisho yanayopingana yawe chakula cha roho zetu?
@HumudSalim-b3l
@HumudSalim-b3l 24 күн бұрын
Mpumzi ina kudanganya
@coolpara8192
@coolpara8192 10 ай бұрын
Ww Yesu unamjuwa au alikutokea shetani
@JoyAbraham-kh8qh
@JoyAbraham-kh8qh Ай бұрын
Do
@samsondaudi5483
@samsondaudi5483 2 ай бұрын
Nimependa ushuhuda wako
@ahmedalbalushi6239
@ahmedalbalushi6239 4 ай бұрын
Wewe umetoka kwenye uislam ukajiita mtume Na njaa Wadanganye hao wahayawani 😊
@BiubwaJuma
@BiubwaJuma 5 ай бұрын
Ipm badilisha msimamo wako kabla hujafa dini ya kwel mbele ya mungu ni uislam😂
@coolpara8192
@coolpara8192 10 ай бұрын
Ww umepokea tena una wazimu
@shabanisefu1229
@shabanisefu1229 Жыл бұрын
Jay plus
@SamMako-qm8cs
@SamMako-qm8cs Жыл бұрын
Kumbuka shetani yupo kazini kupambana na huduma yako
@awadhsalim2680
@awadhsalim2680 6 ай бұрын
Njaa inamsababisha mtu asiekuwa na iman yakweli kuchukua maamuzi mabaya.
@BiubwaJuma
@BiubwaJuma 5 ай бұрын
Acha uongo njaa tu inakusumbua wew
@BiubwaJuma
@BiubwaJuma 5 ай бұрын
Wew muongo ulikua c imam unadanganya waislam tu
@timohmassawe6057
@timohmassawe6057 Жыл бұрын
Amen
LIVE :  FRIDAY  SERVICE WITH PROPHET IPM
45:48
IPM TV
Рет қаралды 32 М.
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 31 МЛН
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 26 МЛН
KWANINI TUTUMIE JINA LA YESU?
51:52
IPM TV
Рет қаралды 9 М.
PROPHET IPM : HAKUNA UTAJIRI WA MAJI YA UPAKO | NILITOKEWA NA YESU
23:38
BIBLIA INAMAKOSA KIBAO
29:11
UNIVERSITY FILMS
Рет қаралды 19 М.
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 31 МЛН