😂😂😂😂😂😂 nmecheka san hpo ..at akapta mke akawa anamchuna aliona amepta buzi la kuchuna😂
@devissyprian15269 ай бұрын
milioni 500 za kitanzania au kifilimasoni?
@erickmsimbe54249 ай бұрын
Huyu mch alete majibu na sio maelezo mengi
@nellydeborah9439 ай бұрын
Mwaache Mchungaji sisi tunataka kujua mengi na kujifunza sio majibu unayo yakimbilia huku hujui kudili na mizimu.haraka haraka haina baraka.kuwa mtulivu na upende kujifunza kwa upana na hapo itafaidika,usipende mikato
@annaandrea28129 ай бұрын
Kama hutaki kujifunza nenda kwa nabii akupe unachotaka