PUTIN ALIVYOTOA 'KAFARA': ZAIDI YA MAITI 100/ ALIPIGA SIMU MOJA/ THE KURSK/ HAIWEZI KUSAHAULIKA

  Рет қаралды 18,540

Dar24 Media

Dar24 Media

4 ай бұрын

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Dar24 #Dar24Media

Пікірлер: 29
@EmmmaTembo
@EmmmaTembo 4 ай бұрын
Sauti bro mwisho mwisho hatukuskia kitu Wasaidizi wako ni wengi wawe makini bro
@user-fo4hb9cu8i
@user-fo4hb9cu8i 4 ай бұрын
Nakukubali sana sema unakaasana kutoa makala
@user-mn5rh1eq1n
@user-mn5rh1eq1n 4 ай бұрын
Kweli kaka uyu jamaanoma Yuko vzur
@hamadiselemani8665
@hamadiselemani8665 4 ай бұрын
sauti ipo chini sana
@user-wr3jp6tg4p
@user-wr3jp6tg4p 4 ай бұрын
tunapenda hizi stori il kunakitu nakushaur maneno yako tunaskia na hii n video si audio ni vyema hata kuediti sio kuonekana ww tuu
@bbng9475
@bbng9475 4 ай бұрын
Bbng band mzk🇨🇩🇹🇿🇱🇷✌️🌹🔊🎼
@iddiabdallah7352
@iddiabdallah7352 4 ай бұрын
Ua wote hao putin wanakuchezea 🤣🤣🤣safi sana
@allyfaraji2812
@allyfaraji2812 4 ай бұрын
Sauti hakuna hapo mwisho kwahiyo hatjui kilicho tokea kuhusu hiyo simulizi
@paulmwachia8346
@paulmwachia8346 4 ай бұрын
Hahaa mpaka nato imeanza kufadhili waafrika kueneza propagander kuhusu urusi hahaaa hatari
@yosefamlumbe7044
@yosefamlumbe7044 4 ай бұрын
unatunga stori za uingo kifupi mbaba wa bahali yaote duniani ni marecan hao wengine ni vyura tu
@ChristopherNjaiko
@ChristopherNjaiko 4 ай бұрын
Uongo mwingi Sana we jamaa
@kassimmuktarymurji4242
@kassimmuktarymurji4242 4 ай бұрын
Dupa mdupange jina zuri sana,jina na uasili wake
@RanchoGuezzella
@RanchoGuezzella 4 ай бұрын
Broo unazingua story zako ni shoty alaf sauti vp bana
@Hassan.Nassoro
@Hassan.Nassoro 4 ай бұрын
Sauti haisikiki 😢
@yohanakihumi1356
@yohanakihumi1356 4 ай бұрын
Sauti ni muhimu kuliko picha
@johnjoseph1106
@johnjoseph1106 4 ай бұрын
Vp ikipigwa blast bunker
@ashrafzahoro7876
@ashrafzahoro7876 4 ай бұрын
Sauti mwisho imekata hatujasikia kitu
@user-tx9nz9fx7i
@user-tx9nz9fx7i 4 ай бұрын
Mmmh! Huongo
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 4 ай бұрын
Unapoongea acha swaga toa sauti bro
@bahaty123
@bahaty123 4 ай бұрын
Hiyo heading yako yakifala
@ProtusNjau
@ProtusNjau 4 ай бұрын
Sauti mwisho hausikiki
@mbokanitaribo5106
@mbokanitaribo5106 4 ай бұрын
Zoweya marekani wewe wandanganye wandugu zako wa Tanzania 🇹🇿 kwasababu awajuwi kizungu😂😂😂😂😂😂watatengeneza wewe ni rais wa urusi muwe nawapinga hawo waongo sana
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 4 ай бұрын
Walimuua Gadaf
@asadiagilly4237
@asadiagilly4237 4 ай бұрын
Dupa mdupange
@charlesunganiunjuu920
@charlesunganiunjuu920 4 ай бұрын
Mdupange
@mbokanitaribo5106
@mbokanitaribo5106 4 ай бұрын
Anawadanganya uyo 😂😂😂😂mongo wewe tatizo wa Tanzania 🇹🇿 wengi awajuwi kingereza 😂😂😂😂mongo wewe
@fredysigy4771
@fredysigy4771 4 ай бұрын
Jifunze kujieleza kwanz
@allymohamed4764
@allymohamed4764 4 ай бұрын
Ushauri : muwe munakagua ubora wa video zenu kabla yakupost. Video haieleweki bando limekwenda bure.
@chancekambale3498
@chancekambale3498 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 18 МЛН
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 40 МЛН
Rethink Mars: Why Going to the Red Planet Is Risky | Revealed!
22:35
JR STUDIO-Sci Talk Malayalam
Рет қаралды 460 М.
2 Hours Of The CIA Taking Down America's Enemies | CIA Declassified
2:26:03
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН