MFAHAMU"GENERAL NKUNDA"..KAMANDA ALIYE WAUWA MAMIA YA WATU HUKO CONGO DRC"/KUBAKA/KUCHINJA...02

  Рет қаралды 77,928

Dar24 Media

Dar24 Media

Жыл бұрын

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Makala #Congo #Maisha

Пікірлер: 94
@raphaelmatinda1059
@raphaelmatinda1059 5 ай бұрын
Kweli kaka hapo huwezi jua nani mkweli ,vita haviishi kabisa Kongo ni Mungu ndiye anayeweza saidia sio binadamu ambao hawaeleweki .
@ByizigiroFreddyByizigiro-fb9hm
@ByizigiroFreddyByizigiro-fb9hm 10 ай бұрын
viva nkunda viva tutsi congolese
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 3 ай бұрын
Kitu pekee nimefrahi unavyo itamka rwanda unaipatia
@bbkas9639
@bbkas9639 Жыл бұрын
Laurent Nkundabatware not Nkunda. All Rwandan soldiers operating in Congo they change names to find a Congolese like name. Nkunda is surname in some tribe in Congo, Laurent Nkundabatware is a kinyarwanda name and he's a Rwandan soldier operating in Congo on the behalf of Rwandan government.
@innocentmuzaliwa9789
@innocentmuzaliwa9789 Жыл бұрын
This guys are nyamurenge and not what you are saying.. Banyamurenge they are congolis.. They came from mulenge village they are not rwandis and they have a part in Congo
@estajeanette7487
@estajeanette7487 Жыл бұрын
@@innocentmuzaliwa9789 🤣🤣 no munyamulenge lives in the area of mulenge. So shut up.
@karangwajoseph1015
@karangwajoseph1015 Жыл бұрын
@@innocentmuzaliwa9789 Nkundabatware isn't Munyamulenge he is born North kivu,is not South Kivu Banyamulenge areas!
@innocentmuzaliwa9789
@innocentmuzaliwa9789 Жыл бұрын
@@karangwajoseph1015 you just don't know what you are saying
@karangwajoseph1015
@karangwajoseph1015 Жыл бұрын
@@innocentmuzaliwa9789 Nkundabatware is Mugogwe not Munyamulenge bro but bothare rwandafone,don't like nkok🤔
@sophianyog6426
@sophianyog6426 Жыл бұрын
Bless up ✨🇲🇿
@williamkishiva9446
@williamkishiva9446 Жыл бұрын
Umetisha kaka
@responsenteziryayo9553
@responsenteziryayo9553 Жыл бұрын
Asiyo kwangaliya we tazama juu kwanza wew ni wawapi
@mrlyricsstar7881
@mrlyricsstar7881 Жыл бұрын
In Congo we don't have the Tutsi Tribe in Congo
@jokandagoyetu831
@jokandagoyetu831 Жыл бұрын
Sio Miungu ya kivita,lugha sahihi ni viongozi wa vikundi vya waasi .
@Marjeby
@Marjeby Жыл бұрын
Dogo unajua sana kupresent aiseee more life dogo nakuona mbali
@victor-qh9oe
@victor-qh9oe Жыл бұрын
Yaaani huyu ndo anae tufaa sisi
@islachristabinastaravista8104
@islachristabinastaravista8104 Жыл бұрын
Upo moto Sana tunaomba story ya nchi ya Africa ya kati maana Ni nchi inayosahaurika Sana lakin inauhasi na mapinduzi
@jacksonmgasa6882
@jacksonmgasa6882 Жыл бұрын
1
@georgelwamba5144
@georgelwamba5144 4 ай бұрын
Sio mkongomani huyo bwana mwongo huyo
@abdallaabdulrahman8319
@abdallaabdulrahman8319 Жыл бұрын
Terminator ni Dominic Ogwein na sio Ntaganda
@FabriceAssani-qs2gs
@FabriceAssani-qs2gs Жыл бұрын
Una sema bongo ule ni wa Rwanda sana taka Ku tu vamiya kwetu
@danielmuthunga7064
@danielmuthunga7064 Жыл бұрын
Umoja wa mataifa upo hapo kuhakikisha amani haipatikani na kuhakikisha silaha zinasambazwa
@allywilson4155
@allywilson4155 Жыл бұрын
Kenge waporini huyo wala aendani hata kuwa mcongo
@rastonekahindi2409
@rastonekahindi2409 Жыл бұрын
M23 hongerera xana nakubali kwamaelezo
@responsenteziryayo9553
@responsenteziryayo9553 Жыл бұрын
Heeee iyi kazi ni ya Jamal na Ananias
@pioraphael7324
@pioraphael7324 Жыл бұрын
Hivi hao waasi wanalala saa ngap 🤷🏾‍♂️🙌🏽
@atugonzalugemalila5142
@atugonzalugemalila5142 Жыл бұрын
Aliyekosea ni yule aliyetoa taarifa za kukamatwa kwa boss wake ikaonekana boss awai mchezoni
@mcharoun8483
@mcharoun8483 Жыл бұрын
Nakubali kaka
@Hi-jw1mw
@Hi-jw1mw Жыл бұрын
Kk aca ukweli tunaufahamu
@iranzityraxkega3333
@iranzityraxkega3333 Жыл бұрын
Nkunda si mbaya wacongoman ndio watutaki huko DRC wa nasema tume toka Rwanda atii turudi huko mbona wao wasirudu Cameron, Tanzania wa tutsi si wabaya nyinyi ndio mnaifanya ikuwe mbaya
@superdupaproducer4294
@superdupaproducer4294 Жыл бұрын
Nyie mna shida nyie. Haiwezekani mtuhumiwe vitu vyote hivo pasipo sababu.
@elizabethnyirato9856
@elizabethnyirato9856 Жыл бұрын
Watusi ni watu wenye mafanikio ndio maana wanachukiwa sanaa
@fadhiliromwald
@fadhiliromwald 7 ай бұрын
Si mrudi kwenu rwanda
@UwezoAmani-eo1fe
@UwezoAmani-eo1fe 3 ай бұрын
😂😂loran ngunda Iko Rwanda anakula bat
@tnsinzimodeste1674
@tnsinzimodeste1674 Жыл бұрын
Wewe ujasema ukweli
@wakatv3704
@wakatv3704 Жыл бұрын
Congo papigwee nyuklia mbili basi
@victaboy7273
@victaboy7273 Жыл бұрын
Noma kaka,. Tupe story
@chibunews5642
@chibunews5642 Жыл бұрын
Hii kitu tumuachie Jamal April Jamal mustapha
@BrEgEdiA_254
@BrEgEdiA_254 Жыл бұрын
Umekuja fanya nini sasa
@malengamsombwa3115
@malengamsombwa3115 Жыл бұрын
Hao wanyama wamepandikizwa na wa President wanyama kama wao inchini Congo ili kumwaga damu za wakongomani na kupora Mali, nasio wengine ni Kagame na Mseveni.
@rugendorunene545
@rugendorunene545 Жыл бұрын
Ni ukweri... Rwanda na Uganda wamefadhiri ukatili Congo.
@iranzityraxkega3333
@iranzityraxkega3333 Жыл бұрын
Mjinga wewe wakati mnakatala wa tutsi si wacongoman alafu mnalia sipia nyinyi muri toka Cameron
@husseinmongolare3417
@husseinmongolare3417 Жыл бұрын
Hhhhh kweli bro alafu wanadai eti ni wacongomani wanauwa wacongomani kupitiya jina la wacongomani lakini ukweli ni wayarwanda jiulize kama anapiganiya Amani kamaunajuwaku tafautisha Mamadu ndala na uyo anaye dai eti anabiganiya Amani congo
@giuseppemanaos75
@giuseppemanaos75 Жыл бұрын
@hussein mongolare Brother Congo kuna mambo mengi sana Soma historia vizuri sehemu ye madini Ghari Duniani ya nayo endesha Technology ya ghari sana ... Dunia na ndiyo maana Watu wa Magharibi wamejazana Apo. Ila tunabaki kuwambiwa Wafrica Ukiwa mwanajeshi ulikuwa komando hutotaka kutawaliwa kiboya. Kitu ambacho ujuii ni kwamba kongo kuna vikundi vingi sana kaka na vyote vinaletwa na Wamagharibi... ila tunasema Rwanda na Uganda. Pale kuna Majeshe ya Inchi zaid ya 20 Duniani plus ➕️ Jeshi la UN ila hapajawahi kutulia ili Congo ipoe kila mtu aondoe Jeshi lake apo Congo.
@andreadaniel8276
@andreadaniel8276 5 ай бұрын
😊
@bwenge5332
@bwenge5332 10 ай бұрын
Bro akuna jeshi la CDP or M23 balipa usiongeze kusema hivo tunapigania our freedom
@abdallavictory6723
@abdallavictory6723 5 ай бұрын
Nchi ya Konfo ni nchi huru, huo Uhuru unaopigania ni Uhuru Upi?
@abdallavictory6723
@abdallavictory6723 5 ай бұрын
Tatizo la Waatu hawa ni kutotaka kuheshimu na kusamini wenzao, Ukuzaliwa nchi furani ujue hito ndio nchi yako uliowakuta ndio Ndugu zKo Ukikaa kufikilia Mababu zako walikopitia hapo ndipo unapotafuta Matatizo, Watutsi wametoka kaskazini wamefikia Uganda Wakaitirafiana wbaadhi wakaenda Rwanda baadhi Kongo nk, lakini haina mahana kwamba lazima walikoenda Wapatawale,
@johnmaky9383
@johnmaky9383 5 ай бұрын
Nkunda mbwa
@pattoh6855
@pattoh6855 9 ай бұрын
Nkunda, hakufanya mauaji usidanganye watu, alitafuta amani congo lakini wa Africa sisi niwajinga sana, na Congo haitakua na Amani kama ina endelea na ubaguzi wa sula
@Ba63828
@Ba63828 Жыл бұрын
Nkunda hana sifa nzuri yoyote ile si budi uhai wake ufutwe kama bado yu hai
@elizabethnyirato9856
@elizabethnyirato9856 Жыл бұрын
Hujui chochote kuhusu huyu shujaa kaa kimya
@Ba63828
@Ba63828 Жыл бұрын
@@elizabethnyirato9856 wewe ndo jinga of all time
@NepporSabith
@NepporSabith 5 ай бұрын
In God utatangulia mwenyewe
@Ba63828
@Ba63828 5 ай бұрын
@@NepporSabith shamba wewe god ndo ujinga mwingine huo
@mack_vita_onyango8409
@mack_vita_onyango8409 Жыл бұрын
Huyo ana onekana kabisa ni mnyaruwanda kibaraka wa kagame anadanganya ni mkongo mani mwongi huyo, hiyo ni mwizi wa dhahabu na armasi
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 3 ай бұрын
Umemuona alivyo mnyarwanda kabsa
@sabunibakarimakhawe2880
@sabunibakarimakhawe2880 Жыл бұрын
Afrika tupo katika vita ya propaganda.
@Prodgectz
@Prodgectz Жыл бұрын
If these rebels are a good cause for their rebellion or not is up to you indeed because you are spectators and are watching this situation from a safe corner. What would you think if you were Congolese knowing that your kindness is being repaid with evil continually? When it comes to Rwanda, I have the impression as if the UN and almost everybody in the world stops studying their story on the genocide and no one wants to know the consequences of that same stuff today. With all respect to the Rwandans, the genocide is a very tragic story. Yet, you've brought it to us when we welcomed loads of you in 1996 on our territory. We have taken care of you while you were forging your knives and preparing support from Kigali to later turn on us, and take a portion of our country by force (the creation of the 200+ rebel groups in the eastern DRC), and distabalize our institutions. By the mercies of God we are still alive today, and God knows how evil you are. We are 450 tribes, yet no genocide! You were just 3, yet one genocide already! Can you imagine what Congo would be like if we were as wicked as you are (how many genocide would that produce)? You are so wicked that I am currently scared of my own Rwandan church brothers and sisters. Serious fear! I don't know what she is thinking in her heart. And also, you are not Centre African Republic's neighbor. What are you doing there? Is it them after us? All Africans will soon know your ways and you will be exposed! God bless Africa. And I pray that we do not have a president like Mobutu again, 'cause you guys will repent in the next couple of days knowing that he is not a Christian. Sometimes I think you have over abused of our Nation.
@Prodgectz
@Prodgectz Жыл бұрын
I know that most of us are Africans, and we have an idea of what hospitality and friendly means. I have noticed that Central African Republic could rank best of us. They are fine gentle people who speak last. So kind. They can keep quiet and yet in the last unexpected second, they will kindly let you know that what you're doing is bad. And this makes them the most vulnerable in Africa somehow. What a crazy world we're living in! Rwanda, pack up your things out of that country and mind your own troubles. What a bloody regime!
@johnrutagonya9020
@johnrutagonya9020 Жыл бұрын
If you hv this kind of mentality, Congo will never have ☮️ peace.....treat Tutsi Congo and their Kinyarwanda language as the Congolese.... Their are Congolese same as you....nor there father's nor your father's had been there during the Bern conference 1884 which divided the Africa continent into countries. Some people will, even their land fallen to other part of other part not originally should have been their country. Ppl
@alexandernkwamah5905
@alexandernkwamah5905 4 ай бұрын
Perpetuation of killings of innocent civilians in the name of rebellion is outrageous inhuman. Irresponsibility of the government is not angrily rebelled by killing everyone. The government will also behave rebelling to succumb. Then? Then? Stories. Govt fights rebels and rebels fights rebels. Madness. Móre inflow of arms. From blood tasted rebel leaders now looking for wealth for themselves and little for their countries. Freedom fighting. Nationalism. Looting.
@sbchris2277
@sbchris2277 Жыл бұрын
Oya kama haujuwe story ya inchi ya watu acha Nani kakwambiya kwamba uyo Kunda ni mukongomani Iyo jina hatuna kwetu Congo
@Bmc_Production1
@Bmc_Production1 Жыл бұрын
Ajasema ivyo fuatilia vizuri
@johnrutagonya9020
@johnrutagonya9020 Жыл бұрын
If you hv this kind of mentality, Congo will never have ☮️ peace.....treat Tutsi Congo and their Kinyarwanda language as the Congolese.... Their are Congolese same as you....nor there father's nor your father's had been there during the Bern conference 1884 which divided the Africa continent into countries. Some people will, even their land fallen to other part of other part not originally should have been their country. Ppl
@solidground2045
@solidground2045 Жыл бұрын
@@johnrutagonya9020 we know that you Rwandans you have no land to keep your cattle and trying to use benyamulenge has an opportunity to grab what you want, Congo is not for sell
@johnrutagonya9020
@johnrutagonya9020 Жыл бұрын
Sb Chris Official unaongea kama unajuwa mipaka ya ukongoman.... Kila Congo iliko pakana, Kuna kabila liko ndani ya Congo na hiyo nchi iliyopakana....iwe Zambia; Angola; Burundi; Rwanda; Tanzania; Uganda; CAR au Southern Sudan Republic kote huko kuna makabila watu wake wako nchi hii na hii, ilimradi zimepakana....Wazungu hawakutugawa hivyo
@johnrutagonya9020
@johnrutagonya9020 Жыл бұрын
Sold Ground, Congo has never been Congo if you exclude Tutsi of Congo with their language Kinyarwanda. If you will keep those no senses North and South Kivu will end up coming new countries....the Congo Tutsi have no country other than Congo.
@Inzaghi809
@Inzaghi809 Жыл бұрын
Acha ongo we rofa mutanzania?nkunda hajawai uwa watu
@JJ-fb9jp
@JJ-fb9jp Жыл бұрын
Kabisa
@chrisonbwanasua4007
@chrisonbwanasua4007 Жыл бұрын
Nanyinyi muko wa nyarwanda wauwaji wakuu
@Prodgectz
@Prodgectz Жыл бұрын
Wa sema uwongo wakuu.
@Inzaghi809
@Inzaghi809 Жыл бұрын
@@chrisonbwanasua4007 uko interahamwe muhutu
@sumayananabintimusa6321
@sumayananabintimusa6321 Жыл бұрын
😭😭😭mkundu sana wewe
@solidground2045
@solidground2045 Жыл бұрын
Una zuba zuba muku hongeya yote ni hongo mutupu. Bona watu wa pale Kenya muna ogopa Rwanda na Ouganda? uliza raiya vile ime nanaswa na kuchinjwa kama mbuzi kwa wale ma jambazi Nkundabatware , Bosco taganda, sulutan makenga, Willy ngoma, mbele ilikuya CDP sasa ina kuya M23. pale Kivu juu ya vyashara coltan, gold, lithium etc....
@FistonPlaista-ih3px
@FistonPlaista-ih3px Жыл бұрын
Eti wewe ni mlevi nani kaogopa uganda na rwanda? Taza makalio yako kama jipu ime oza katowa arufu mbaya atumitaki ulimwengu mzima ajili mumekuwa wezi inchini kote
@Prodgectz
@Prodgectz Жыл бұрын
Incredible work! Almost perfect😀. This is true. One day, they will all pay for all their crimes. Thank you for spreading the truth out there.
@babalao910
@babalao910 Жыл бұрын
Anafaa Kuwa Rais wa Congo
@robertamsini1256
@robertamsini1256 Жыл бұрын
Ya baba yako
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Жыл бұрын
Wewe utakuwa kibaka bila shaka
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Жыл бұрын
@@robertamsini1256 Kaka umenitukana bure nilikua nasema huyo Baba lao ndio hana uruma na wakongo kweli. Yani unyama alio fanya wote uyo jambazi nkunda kisha eti anafa kuwa Rais wa nchi hio ndio napinga
@robertamsini1256
@robertamsini1256 Жыл бұрын
@@sonnyr1899 samahani kaka nilizani umenitukana mimi ilionesha kwangu kama una replied samahani kk
@robertamsini1256
@robertamsini1256 Жыл бұрын
@@sonnyr1899 naivuta kk
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 11 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 6 МЛН
EPUKA LAANA HII ISIPIGE FAMILIA YAKO
49:26
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 160 М.
KOMANDO ACHINJWA KIKATILI NA WAASI:INATISHA/WAHUSIKA WAMFUATA....
20:19
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 11 МЛН