Sheikh Sule Awataja Viongozi Wa Mashoga Tanzania / Ushoga Upo Tanzania / Sheikh Sule

  Рет қаралды 66,122

DARSA TV

DARSA TV

Ай бұрын

Sheikh Sule Awataja Viongozi Wa Mashoga Tanzania / Ushoga Upo Tanzania / Sheikh Sule
Mashaa Allah Dr. Sule akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Kisa Cha Watu Wa Lutwi / Namna Ya Watu Wa Lutwi Walivyoangamizwa / Sheikh Sule
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Airtel Money +255782466586
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/DarsaTv?locale.x=en_US
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Darsa tv
Instagram @Darsatv
KZbin @Darsa tv
TikTok @Darsa tV

Пікірлер: 232
@suzysam6002
@suzysam6002 Ай бұрын
MUNGU wa mbinguni akubariki sana umepaza sauti yako imesikika na kila mwenye masikio na wasikie , MUNGU akukumbuke siku zote za maisha yako
@magnet-mt7nt
@magnet-mt7nt Ай бұрын
Wote tupaze sauti kukemea ushoga kwaajili ya MUNGU na kwaajili ya vizazi vyetu
@rauhiyahassan5498
@rauhiyahassan5498 22 күн бұрын
Tunaomba mpaka zanzibar ufike hali tete sheikh
@mussamathayomadole8401
@mussamathayomadole8401 25 күн бұрын
Nimekukubari kwa hili, umeisema kweli ya Mungu, ya kukataza uovu huu, hata mimi naulaani kwa jina la Yesu.
@HemedMsangi-yy8pn
@HemedMsangi-yy8pn Ай бұрын
Na Dr. Sulle tunakushukuru sana na tunakuomba usichoke kuielimisha jamii na Allah atakujaalia utafanikiwa na insha allah Tutafanikiwa. Na viongozi wengine wa dini zote wakemee jambo hili kama dr.Sulle kwa nguvu zote.
@user-wx9or8rw4n
@user-wx9or8rw4n 19 күн бұрын
Yaaa rabbi tuhifadhi na balaa hizi sisi na vizazi vyeti,amin.
@user-fq1gg8rj9i
@user-fq1gg8rj9i Ай бұрын
Inna lillah wainna illaih Rajiuun,,eee Mola wetu tunusur waja wako na vizazi vyetu
@SalumMohamed-sb6or
@SalumMohamed-sb6or Ай бұрын
Dr sulle Allwa akupe maisha mema na yabaraka ww itakua mfano na wengine wawe kama wewe
@SalimAbdulla-gw5rq
@SalimAbdulla-gw5rq 4 күн бұрын
Yani serikali yetu wao wanaangalia pesa tu alaf kwa mtazamo km hawaamini Asa km kuna kifo ila umeongea kweli sana sana sana . Mungu atulinde na vizaz vyetu.
@HafidhKhamis-ph8qg
@HafidhKhamis-ph8qg Ай бұрын
Dr sule upo sawa kwa hili na tupo pamoja naweAllah akuhifadhi
@twebechachamegera5925
@twebechachamegera5925 5 күн бұрын
Amina Dr. Sulle. Ubarikiwe sana na BWANA!!
@user-cy8nr9ky9q
@user-cy8nr9ky9q 18 күн бұрын
Mungu sikia sauti ya Mtumishi wako,tuma malaika kama ulivyotuma Sodoma na Gomora wapo wa Tanzania wengi kweli hatutaki tendo hili la shetani Mungu uwe Nasi kwa jina la Yesu kristo mwokozi wetu tuokoe sauti hii ikubalike kwako .Amini Mungu amekusikia.
@albahsans
@albahsans 28 күн бұрын
Allah awape laana na awavunje UTI wa mgongo wote wenye kufanya na kufanyiwa liwati
@adamgobeka5664
@adamgobeka5664 21 күн бұрын
Amiin! Mwenyezi Mungu akulinde na akupe nguvu katika kuondoa uchafu huu
@aminachoga9266
@aminachoga9266 8 күн бұрын
Mwenyezi Mungu akupe mwisho mwema
@mozakhalfansaid7246
@mozakhalfansaid7246 26 күн бұрын
Subhana Allah, Allah atuhifadhi namabalaa hayo, Allah awahifadhi wtt wetu na jamii islamu, Allah atakuwezesha atakupanguvu na elemu yenyekunufaisha
@mashakhamiskh8880
@mashakhamiskh8880 Ай бұрын
Na Zanzibar tunakukaribisha Dr sule Karibu sana
@user-ni9zc3gx5t
@user-ni9zc3gx5t 28 күн бұрын
Hongera Sana shekhe hakika ww ni mjumbe wa mungu sio viongozi wengine wa dini wapo kimyaa mungu akulinde shekhe,
@mashakhamiskh8880
@mashakhamiskh8880 Ай бұрын
Hakika adhabu ya ALLAH haichagui hata siku Moja.. na inaangamiza sote.. Ya Rabbi tujaalie khatma njema na kizazi chetu
@filorammbaga5710
@filorammbaga5710 26 күн бұрын
Asante mtumishi wa Mungu. Hatutaki ushogaaa .Wabunge nawawe serious na jambo hili. Mungu ingilia kati jambo hili baya .
@evvyyurek1862
@evvyyurek1862 28 күн бұрын
Allah akusimamie lnshaallah tuko pamoja Inshaallah
@richardmichaelshekoloa8302
@richardmichaelshekoloa8302 Ай бұрын
Sawa kabisa dk sule saidia watu kwakua upewa sauti na mwenyezi mungu
@RamadhanRamadhan-cx3tj
@RamadhanRamadhan-cx3tj Ай бұрын
Allah bless you for the true speech . Pia umetuwakilisha
@RamadhanRamadhan-cx3tj
@RamadhanRamadhan-cx3tj Ай бұрын
😮
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 Ай бұрын
kaka Sule nimekusifu sana,viongozi wa dini wako kimya wanaogopa wazungu na viongozi tuna kwenda kwenye shimo kubwa sana
@Ashrey82
@Ashrey82 10 күн бұрын
Hatutaki USHOGA🙏😭
@mozaalmahruqi4252
@mozaalmahruqi4252 10 күн бұрын
Maneno mazuri na ya kweli sana in sha Allah Allah hatowapa nguvu hao wanotaka kuharibu watoto wetu . MOLA AWAANGAMIZE..TUNAKUSHUKURU KWA NASIHA ZAKO..
@suhailaidarousahmed2879
@suhailaidarousahmed2879 20 күн бұрын
Mashallah umeongea point sana umaskini ni wa Mungu na utajiri ni wake ili tumpende Mungu na tulaani ushoga Tanzania
@HassanOmary-f3z
@HassanOmary-f3z Ай бұрын
Do k Sule wewe unatoa elimu nzufi san.mungu Akulinde
@mohammedgulam9274
@mohammedgulam9274 Ай бұрын
Shukran Dr.❤
@MagrethKatondo-qs9oz
@MagrethKatondo-qs9oz Ай бұрын
Mwenyezi mungu utuhurumie. Lihurumie taifa letu baba mungu. Iangalie nchi yetu na viongozi wetu wajalie kutambua kwamba hilo ni chukizo mbele zako wewe ulituumba na ukatujalia utashi wa kutambua mema na mabaya tunakuomba uwajali wote wanaojihusisha na chukizo hilo awaacha kwani hatutaondoka na kitu hapa duniani. Tutaambatana na matendo yetu mema tu.
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn Ай бұрын
Tunakushukuru na wewe
@mashakhamiskh8880
@mashakhamiskh8880 Ай бұрын
In shaa ALLAH Allah tujaalie hili jambo liindoke katika taifa hiliii, Ya- Rabbi tuvue katika hili janga
@OchinotzTZ
@OchinotzTZ Ай бұрын
Mungu aiponye nchi yetu kwa ushoga amen
@GodfreySanga-un8cd
@GodfreySanga-un8cd Ай бұрын
Mungu akubariki sana! Mtumishi.
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 12 күн бұрын
Lahaula walaakuwat ilabilah inalilahi wainailahi rajiiun 😢😢😢😢😢
@user-kr6ou9ko7r
@user-kr6ou9ko7r Ай бұрын
Dr sule mungu akubariki sana na azidi kukutia nguvu na ulinzi mkubwa kulikomboa taifa hili
@user-mi9zf4ju6w
@user-mi9zf4ju6w Ай бұрын
Yaani maneno uliyoongea Dr. Sule nakuunga mkono kwa asilimia zaidi ya mia moja na nakuomba endelea na mapambano hayo, Watanzania woooote tuko nyuma yako. Naitwa Thomas Kobelo waMbezi Luis.
@jackietogwa7957
@jackietogwa7957 5 күн бұрын
Eeh Mwenyezi Mungu tunusuru sisi na vizazi vyetu kwaajili ya utukufu wako.tuepushie jambo hili baya.
@kasigwaedgar5415
@kasigwaedgar5415 24 күн бұрын
Dkt. Tumakusikia vizuri, binafsi niko nawewe katika kulipinga hili. Mungu akutie nguvu kutimiza wito huo aliokupa moyoni mwako. Ameen Ameen.
@maggiedtp5524
@maggiedtp5524 11 күн бұрын
Ubarikiwe sana sheikh Sule, umenene atakae sikia na asikie tusubiri moto wa Mungu yanayoshuka kwani binadamu mioyo yao ni migumu.
@KassimKinyashi
@KassimKinyashi Ай бұрын
In shekh mungu akuzidishie nguvu kamahawajakuskia hawatakuskiatena
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 Ай бұрын
Allah akusaidie Dr na watu wafahamu ubaya wa laanahii
@PaschalMakubi
@PaschalMakubi Ай бұрын
Mwenyezi mungu akutie nguvu katika hilo
@VenerandaKundi-ph4hg
@VenerandaKundi-ph4hg 28 күн бұрын
Mungu akubariki Dr sule ukweli inatisha loo hata vyombo muhimu vina wanahusika na ushoga na ubasha mungu tusaidie taifa letu
@FatumaIssa-kw3vv
@FatumaIssa-kw3vv 25 күн бұрын
You have spoken so well sir!! Thank you so much for sharing this information
@saimonrodgers8262
@saimonrodgers8262 Ай бұрын
Mungu akubariki sana Sheikh
@awenamohamed6522
@awenamohamed6522 19 күн бұрын
Hasbunallah waneemal wakil
@khamisikhamisi2501
@khamisikhamisi2501 15 күн бұрын
Mwenyezi mungu azidi kukubariki nakukupa pumzi zaidi natupinge wote kwapamoja nakumuomba mungu yeyote anaekubali swala hili mwenyezi mungu amuondoe hapa Duniani yani wafe haraka wote wanaokubali ushenzi huu
@nzeyimanaadidja7684
@nzeyimanaadidja7684 23 күн бұрын
Mtihani sana, Allah atulinde kwakweli
@KabwikaIbrahim-ld8vf
@KabwikaIbrahim-ld8vf 11 күн бұрын
Inshaala,hoja ni nzuri na imeeleweka .Kila la kheri Asante
@martharugwana2130
@martharugwana2130 24 күн бұрын
Dr Sule Mungu azidi kukutia ujasiri 🙏 komesha mapenzi ya jinsia moja!!!
@boazmpazi260
@boazmpazi260 Ай бұрын
Safi sana hongera sana baba karibu Mwanza.
@elihaikamrema1693
@elihaikamrema1693 24 күн бұрын
Ubarikiwe mtu wa Mungu. Wazazi Muda wa kukemea swala hili ni Leo na sio kesho. Tupazeni sauti ili Mungu asikie.
@user-jv9qn3uu3o
@user-jv9qn3uu3o 18 күн бұрын
Asante Dr Sule, ubarikiwe mno, Mungu azidi kuingilia kati, ushoga hauna nafasi Tz kabisa
@SalumMajorhood
@SalumMajorhood Ай бұрын
Kbs Dr.sule ongea
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 23 күн бұрын
Dr Sule , baba mungu hadhihakiwi, hakika kama hakuna adiyetaka kukusikia, adhabu ipo. Umri wako uwe Khera, afya yako iwe Khera, Familia yako watoto na uzao wako uwe Khera, umenena kwa msisitizo Sana baba, na Dr. Mwakyembe smeekezea Sana jambo Hioli sijui. Sema, Sema Sema, mbona tunakimbizana tu na wabakaji, tena ni wachache na wanafungwa 30nyrs kabisa. Na Hilo nalo likemewe. Umaskini wetu usiguangamuze . Tunaipenda afya, na maisha 120 yrs.
@davidmpesa2201
@davidmpesa2201 Ай бұрын
Hongera tuko pamoja kulipinga swala la ushoga hatutakiiii washindwe Kwa jina la YESU
@DavidMwamba-vh9ut
@DavidMwamba-vh9ut 2 күн бұрын
Mungu wa Mbinguni Babayetu akupe nguvu
@SalmaMrembo
@SalmaMrembo 24 күн бұрын
Allah akujaalie Dr sure Allah atujaalie watanzania ushoga uondoke Tanzania
@richardmichaelshekoloa8302
@richardmichaelshekoloa8302 Ай бұрын
Sawa dk mungu akusaidie kupaza sauti
@RehemaPanton-kg6lf
@RehemaPanton-kg6lf 13 күн бұрын
Walahi mungu akubariki na kizazi wako umefanya kitu cha muhimu sana kusema jambo hilo
@SalmaMrembo
@SalmaMrembo 24 күн бұрын
Mama Samia raisi wetu ebu sikuliza sauti za watanzania ebu tupinge ushoga na ubasha na usagaji yarabi tunusuru watanzania tuepushe yarabbi Mungu inusuru Tanzania yetu
@zahraalbaloochi2841
@zahraalbaloochi2841 26 күн бұрын
May Allah bless you always Ameen Yarrab
@nzeyibless3280
@nzeyibless3280 24 күн бұрын
Allah akufishe haliyakuwa amekuriziya mwisho mwema kwako inshaallah
@3jaysroyal
@3jaysroyal 27 күн бұрын
Umesema vyema Mungu aendelee kukutumia kwa ajili ya kizazi chetu.
@davidwatson6821
@davidwatson6821 16 күн бұрын
Mtumishi wa Mungu upo sahihi
@umislam9203
@umislam9203 21 күн бұрын
Allah Akubariki sheikh wetu
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn Ай бұрын
Hongera kwa ukweli mini mromani
@witneskilinda5034
@witneskilinda5034 Ай бұрын
Kutoka 20:1-17 soma hapo utapata mambo yatakayo kukuhekimisha
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Ай бұрын
Soma maandiko hayo yote yapo kiatabu luthu kitabu cha mwanzo soma
@nassorkhalifa4923
@nassorkhalifa4923 16 күн бұрын
Mungu akubariki na akulipe kwa bidii yako hii
@Rooney1184
@Rooney1184 22 күн бұрын
Nakusapoti kwa hili safi sana
@KennedyKway
@KennedyKway 20 күн бұрын
Nakubali sana shekh Mungu akupe uhai mrefu
@jafarimsigwa277
@jafarimsigwa277 23 күн бұрын
Umeeleweka sana shehe Mungu aturehemu. Tunaochukizwa na tendo hili.
@jeniphermyingajeniphermyin8029
@jeniphermyingajeniphermyin8029 15 күн бұрын
Mungu akubariki Sana mtu wa Mungu
@user-xr5lf6pe1n
@user-xr5lf6pe1n Ай бұрын
Umeongea sahih shekh wetu serekali ikae ijadili ilo jambo
@ndenengomwende4915
@ndenengomwende4915 25 күн бұрын
Mungu akutie nguvu, aliyekutazamisha haya, wengi tuko nyuma yako kwa hili
@neemafatu471
@neemafatu471 23 күн бұрын
Kuna wakati nakusapoti sana Allah akuongoze na sisi pia atuongoze
@user-qo8uj1ym4m
@user-qo8uj1ym4m 21 күн бұрын
TUMEAMBIWA KTK DINI UKIONA UCHAFU 1UKEMEE 2UCHUKIE 3ULIONDOWE KWA MKONO,TUMECHOKA KUKEMEA NA KUCHUKIA,SASA TUONDEWENI KWA MIKONO YETU2, MASHOGA TUPAMBANE NAO IKIZIDI TUWAUWE ILI IWESOME KWA WENGINE
@simontamba1285
@simontamba1285 24 күн бұрын
Mungu akulinde Shekhe
@RaymondSwai-c6c
@RaymondSwai-c6c 22 күн бұрын
Hongera Dr Sule kaza buti
@user-by9wo9km6t
@user-by9wo9km6t 19 күн бұрын
mungu akujalie shekhe wachane
@khamisMussa-yx1ld
@khamisMussa-yx1ld 20 күн бұрын
asw. hakika dk. sule. Allah aikubali hii kauli . aipe nguvu na malengo yafimiwe uozo huu uondoke
@hemeditessua289
@hemeditessua289 22 күн бұрын
Dr swile Allah akusimamie kwa kusimia jamii
@shebatimathayo8471
@shebatimathayo8471 25 күн бұрын
🎉Docta Sule uko vizuri Bwana Yesu akulinde.
@princesslatifah3033
@princesslatifah3033 21 күн бұрын
Allah akulie sheikh sule.umeusema ukweli ulio mchungu.
@Faiza-fc4ms
@Faiza-fc4ms 13 күн бұрын
Mwenyezi MUNGU ni. Mbola. Na. Wakutegemea
@albahsans
@albahsans 28 күн бұрын
Allah akupe nguvu Dr kwahili nipo pamoja na wewe allah azidi kukupa nguvu wewe na wengine
@jochachallengetv7061
@jochachallengetv7061 Ай бұрын
Hakika Dr. Sule hili jambo linachukiza sana, nakushukuru KWA kufungua mdomo wako juu ya jambo hili.. sauti y'ako ni sauti ya mungu.. mungu wa mbinguni akulinde.
@faridanurdin9635
@faridanurdin9635 27 күн бұрын
Subhanallah 😢
@user-hz3jx7wu4p
@user-hz3jx7wu4p 18 күн бұрын
Mungu akubariki
@MbarakSuleiman-s3r
@MbarakSuleiman-s3r Ай бұрын
Dr tuko pamòja wataje ile iwe funzo kwa wengine ahsante sheikh
@samiukhamis2703
@samiukhamis2703 Ай бұрын
DR upo sahihi
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 23 күн бұрын
Hongera sana dr sule
@gemmamwajombe3169
@gemmamwajombe3169 19 күн бұрын
Na Mungu akulinde
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Ай бұрын
Huwa nakubeza lakini mnyonge mnyongeni haki yake mpeni baba umesema kweli vitabu vyote vinapinga ushoga Mungu akubariki
@SaidiKiberenge
@SaidiKiberenge 26 күн бұрын
Allah akubaliki akupe nguvu,binafsi nimekuelewa..msg send
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri Ай бұрын
Unainjilisha vema.Mungu akubariki sana.
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 Ай бұрын
tusiite ndoa za jinsia moja tuite ushenzi wa jinsia moja,mazungu majinga sana
@mazulacelestine3038
@mazulacelestine3038 25 күн бұрын
Katika hili nakuelewa, Mungu akufunulie zaidi kweli yake uokolewe uokoe wengine
@HamisHaji-v6u
@HamisHaji-v6u Ай бұрын
Dr sule tupo na wewe bega kwa bega mungu atatulinda inshaallah.
@user-fy4op1sw2f
@user-fy4op1sw2f Ай бұрын
Tuko pamoja Al hajj Dr Sule
@joycefrank5630
@joycefrank5630 21 күн бұрын
Mwenyezi MUNGU atuhurumie .. viongozi Kwa nini hili swala hawaliongolei ni kimya tu MUNGU atatuangamiza jamani 😭😭😭😭😭😭 MUNGU atatupa Adhabu gani jamani..tusiogope watanzania kulikemea
@user-pg1lp8oe5q
@user-pg1lp8oe5q 23 күн бұрын
Mungu akutie nguvu uendelee kupaaza sauti
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 14 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 48 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 20 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 44 МЛН
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 56 М.
Oi Oi Oi & E E Ei Meme Looking For a Girlfriend
0:26
Mischief time
Рет қаралды 40 МЛН
Слепой узнал о измене своей жены😳
1:00
Фильм про побег от родителей
0:59
Holy Baam
Рет қаралды 4,6 МЛН
Did you see the photo?
0:20
Women Power
Рет қаралды 37 МЛН
头还可以刷卡买东西的吗?#海贼王#路飞
0:26
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 14 МЛН