QURAN NI KITABU CHA ALLAH AU MAJINI? USTADH. MATHAYO AJIBU HOJA ZA MCH NDACHA NA UST. MWANKEMWA

  Рет қаралды 4,512

SIMULIZI ZONE

SIMULIZI ZONE

Күн бұрын

HAWA HAPA WAALIMU WA DINI YA KIISLAMU, USTADHI MATHAYO NA SAUTI YA ZEGE WAKICHAMBUA HOJA ZA MWALIMU NDACHA NA DANIEL MWANKEMWA KUHUSU QURAN TUKUFU NA KUJIBU HOJA ZAO

Пікірлер: 191
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 5 күн бұрын
Huyu sheikh Mwanzo nilikuwa namchukulia poa na kikofia chake Kumbe dad!! Ni bonge la Mwana wa zuoni Mashallah.
@paulmushi2428
@paulmushi2428 5 күн бұрын
Mwanazuoni 😂😂😂😂😂😂
@cetriclugonyi4452
@cetriclugonyi4452 5 күн бұрын
Hiyo aya ya yohana 16 yesu anatuma msaidizi pengine tutoe roho tueke Mohamad na mwenye ruhusa ya kutoa ama kutuma nabii ni mungu basi yesu ndiye aliye mtuma mohamad so yesu anakua allah,though Shaikh atapinga kama kawaida yao
@joezeno8
@joezeno8 4 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@graduationtv3072
@graduationtv3072 3 күн бұрын
@@cetriclugonyi4452 hawa hawana lolote bhana ukisoma 2:97 inatosha kabisa kuamini hawa Mungu wao ni Shetani
@moshajexplore
@moshajexplore 3 күн бұрын
@@cetriclugonyi4452 Yaani, Yesu ndiye alituma Muhammad Sasa yesu ni Allah. Asante sana
@malebtv1991
@malebtv1991 5 күн бұрын
Mashallah
@badirunuhu8363
@badirunuhu8363 5 күн бұрын
Mashaallh
@abdinyangassa4547
@abdinyangassa4547 5 күн бұрын
Kijina mashaallah!! Unaupiga mwingi sana, nahuyo anayewahoji ni mgalatia mbaneni mpaka asilimu huyo.
@rejim2231
@rejim2231 5 күн бұрын
Bora mgalatia kuliko ww mwanaharamu unaehukumu ilihali msikitini hupajui
@DesderiusHaule
@DesderiusHaule 4 күн бұрын
Pastor Ndacha ametufunua macho juu ya uongo wa Muhammad ❤❤
@anwarabdallah7095
@anwarabdallah7095 5 күн бұрын
Maasha Allah shk uko vizuri kabisa kumjibu huyo kikafiri simulizi
@ronaldmatimbo9691
@ronaldmatimbo9691 5 күн бұрын
Mungu yuko Kila mahali kwa hiyo ni sawa kusema huyu,hiki,hawa.......
@abdinyangassa4547
@abdinyangassa4547 5 күн бұрын
Shekhe Mathayo unazo hoja za msingi mashaallah.
@graduationtv3072
@graduationtv3072 5 күн бұрын
Kumbe shetani siyo adui wa Mungu kwa hoja ya 2:97 . Na binadamu anaweza kuwa adui wa Jibril kivipi hapa. Hapa tumepigwa hiyo aya inathibitisha tu kuwa mohamad awaambie uma wake kuwa aliye teremsha hiyo qurani ni adui wa Mungu ambaye ni shetani.
@AntonyManeno
@AntonyManeno 5 күн бұрын
So Mnajua Kua Bibilia Ni Ya Ukweli Maneno Yaliyomo Bililiani Muliyachukua Mkayaandika Kwa Qorowan Na Muna Muamini YESU❤ Sasa Ubishi Ni Wa Nini Wakati Mtume Wenu Mhamad Alihadtiwa Ndio Aka Andika Qorowan😢 Sasa Basi Sisi Tunacho Kataa Ni Kujionge Zee Maneno Yake Mwenyewe Hapo Dio Alikosea😢
@graduationtv3072
@graduationtv3072 5 күн бұрын
@@AntonyManeno 10:94 qurani inawasuta kabisa ili wapate kujua lazima warud kwetu tuwafundishe lakni hawatak tuwafundishe
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 5 күн бұрын
Hatahivyo Rohomtakatifu sio msaidizi wa Yesu Bali Yesu Ni msaidizi (Nabii) wa Mungu
@jacksonmwafongo1917
@jacksonmwafongo1917 5 күн бұрын
Nashukulu Allah Kwa kuzidi kutuletea Wana zuoni wachanga Allah muzidishie zaidi na zaidi elimu kijana wetu Allah akubaliki
@user-ek7bx6sk6f
@user-ek7bx6sk6f 5 күн бұрын
MaashaAllah ALLAH Akuzidiye nguvu sheikh wetu uzidi kuwaelimisha
@aasatt78
@aasatt78 5 күн бұрын
MashaaAllah mashekhe zetu Allah awalipe kila la kheri. Amiin
@AlhajiAhmadi-nz9ms
@AlhajiAhmadi-nz9ms 5 күн бұрын
Simuliz pia Mungu hajawahi ongea na Yesu,
@mwesi527
@mwesi527 5 күн бұрын
Na tumfanye MTU kwa mfano wetu, hapo Mungu alikua anaongea na mwanae ambae ni Yesu.
@Anonymous23216
@Anonymous23216 5 күн бұрын
We kaa zako kimia kwa sababu hujui maandiko.
@AlhajiAhmadi-nz9ms
@AlhajiAhmadi-nz9ms 5 күн бұрын
@@Anonymous23216 tafuta mdahalo na mimi
@AlhajiAhmadi-nz9ms
@AlhajiAhmadi-nz9ms 5 күн бұрын
@@Anonymous23216 tafuta dini yako ndio tuongee
@AlhajiAhmadi-nz9ms
@AlhajiAhmadi-nz9ms 5 күн бұрын
@@Anonymous23216 tafuta dini yako ndio tuongee: maana huna dini 1Timotheo 6:20 , kama huna dini 64:2 Quran na (yuda 1:4 .. ndio kwako)
@navokisembo
@navokisembo 2 күн бұрын
Uislamu bila uongo hauwezi chochote poleni saana. Ndacha na mwenzako mbarikiww
@user-mb7on7tu3r
@user-mb7on7tu3r 4 күн бұрын
Wanamutafutia utume Muhammad , si mitume wa Mungu
@banyankirubusamarc1727
@banyankirubusamarc1727 3 күн бұрын
Sheik anavyo jibu maswali, anasikitika, anataka uongo uwe kweli alakini anavyo jibu habiingie akilini.
@aliroro9344
@aliroro9344 5 күн бұрын
🤲..Kwa Elimu mlioitoa ni faida kwa wanaoskiza na kuelewa na kuijua Haki ☝️anaepinga Quran naapinge tu lkin ajue kiame atapata Hasara tu kama Allah swt ☝️ alipotutarifu na Mapema.
@samxx411
@samxx411 4 күн бұрын
Walimu wa kiislamu wanafundisha lkn walimu wa kikristo wapo kupinga na kulalamika
@LucaWanzuki
@LucaWanzuki 5 күн бұрын
Jameni nimeona moja wetu katoa comments yake katukana sio vivuri ivo haturuhusiwi kutukana waisilamu bali kuwalingania wala sio kutukana pongeza au toa hoja mmi nimuisilamu bt cjapenda ivo ulivyo fanya
@mahsneermohammed2107
@mahsneermohammed2107 5 күн бұрын
Sijawahi kuona mashekhe wakiingia kwenye ukristo lakini nimewahi kuona mapasta wakislim wengi, Kuna watu wanaangalia lakini hawaoni na kuna wengine wanaskia lakini hawaelewi Subhana Allah
@robertmwangiotieno6183
@robertmwangiotieno6183 5 күн бұрын
@@mahsneermohammed2107 wata uwawa dio mahana
@robertmwangiotieno6183
@robertmwangiotieno6183 5 күн бұрын
Wata uwawa dio mahana
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 5 күн бұрын
Kwa sababu ukristo sio dini na hakuna andiko ukristo dini
@aishahazary4097
@aishahazary4097 Күн бұрын
Alhamdulillah kwa neema ya Uislam.Yaan hakuna muislam mwenye akili timam anaeriadi zaid ya kina Paulona Yohana mzer mzima kaona amalizie uzee wake kwa ukristo.Kidume huyu ALLAH kamtoa kwenye ukafir anamtangaza kiukweli kweli
@SebastianKisokola
@SebastianKisokola 4 күн бұрын
Nyie waongo tu wadanganyeni waislam wenzenu mungu hana haijui dini yenu
@user-mb7on7tu3r
@user-mb7on7tu3r 4 күн бұрын
Biblia tu njo kitabu Cha mwenyenzi Mungu kweli kweli 🙏🙏, Quorun Si kitabu cha Mungu, ila wanaibia nusu ya maneno katika biblia kitabu Cha Mungu ili Quorun nayo ionekane kuwa ni ya Mungu. Kwasababu kama katika Quorn hamunge patikana maneno mtakatifu ya biblia, watu wasinge amini kwasababu watu wote wanaamini kwamba biblia Ni kitabu Cha Mungu ❤❤🙏🙏🙏,::: Mbali tu na maneno yenye kupatikana kwenye biblia izo zingine ni ushirikina, uchawi , fundisho la majini
@mwesi527
@mwesi527 5 күн бұрын
Kitu nimejifunza kwa hao mashehe ni kwamba wana roho ya mpinga kristo inayofanya kazi ndani yao
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 5 күн бұрын
Hakuna mwislam anayempinga kristo.
@aliroro9344
@aliroro9344 5 күн бұрын
Wewe kasome...Sisi yesu ni wetu kama manabii na Mitume yote waliotumwa na Mungu (Allah swt ☝️)
@petergoyandi5699
@petergoyandi5699 5 күн бұрын
Yaani hao mashee hawawezi hata kidogo kwa ndacha mana simulizi mwenyew kujibu ni shida
@GeraldMswazi-bp2kw
@GeraldMswazi-bp2kw 5 күн бұрын
Mjomba naona unajikakamua ili utoke kupitia ndacha,kupitia ndacha utajulikana.
@SebastianKisokola
@SebastianKisokola 4 күн бұрын
Mungu wenu amewambia mtumie uwongo ili mwapate wakristo na sisi tumewajua ninyi waongo tu na kitabu na mungu wenu ambae hata yeye ataenda motoni
@GeraldMswazi-bp2kw
@GeraldMswazi-bp2kw 5 күн бұрын
Waislam Hanna elimu YA kuwa funza wakristo,nyie Dini Yamuna.
@bakarimakomola
@bakarimakomola 5 күн бұрын
We mwenye elimu ndo unaandika kiswahili cha namna hii😂😂😂
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 5 күн бұрын
​@@bakarimakomola😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@GeraldMswazi-bp2kw
@GeraldMswazi-bp2kw 5 күн бұрын
@@bakarimakomola ,boss nilikua Na haraka ndio maana sikuandika vyema ,kama Ni fasii Na ifahamu vizuri.
@EmilianoVelasquez-ft4ie
@EmilianoVelasquez-ft4ie 5 күн бұрын
Mwalimu Francis ndacha ni firun ndogo wa zama hizi hana lolote achojua ila anapinga tu , ukisiliza unajua huyu hana achojua
@MWALIMUCHAKATV
@MWALIMUCHAKATV 5 күн бұрын
Wapi Yesu kasema injili isiandikwe?
@SirikwaMollel-y3k
@SirikwaMollel-y3k 5 күн бұрын
Lakini mbna Quria imebeba biblia? Na biblia haijui Qurani
@SebastianKisokola
@SebastianKisokola 4 күн бұрын
We said umechanganyikiwa mashehe watupeke mbingini sisi kwa kitabu gani cha majini kitabu ambacho hakina roho mtakatifu hicho sawa na gazeti tu wawapeleke ninyi sio wakristo
@josephmusagasa
@josephmusagasa 4 күн бұрын
Uislamu ni ubabaishaji tu,huwezi kutetea uislamu kwa Biblia
@ronaldmatimbo9691
@ronaldmatimbo9691 5 күн бұрын
Hata shetani ana mitume ,sijui kama tunaelewana😂😂😂
@paulmushi2428
@paulmushi2428 5 күн бұрын
Maamuma Mathayo, Kwa Mujibu Wa Qur'an yenyewe mwandishi wake anasema imeletwa na ADUI WA JIBRI Qur'an Surat Baqurah 2: 97 - Sema: aliyekuwa ADUI wa Jibri basi huyo ndiye aliyeiteremsha Qur'an Moyoni mwako! (Tafsiri ya Baruan) (Swali huyo ADUI wa Jibri malaika wa Mungu) ni nani?
@graduationtv3072
@graduationtv3072 5 күн бұрын
Nimejifunza kitu kumbe adui wa Mungu ni wayaudi siyo Shetani. 😂😂😂😂😂😂
@aasatt78
@aasatt78 5 күн бұрын
@@graduationtv3072 Mayahudi ni maadui kwa kuwakataa manabiii na kuwauwa na kumsingizia Maryam mama wa Yesu mambo machafu kuwa amezaa mtt wa zinaa ni jambo kubwa hilo mbele ya Mwenyezi Mungu kwa sababu kuzaliwa kwa Yesu ni muujiza na shetani amelaaniwa na Mwnyezi Mungu na yeye uadui wake ni kupotosha wanaadamu apate wafuasi wakwenda nao jahannam
@OmariShuli
@OmariShuli 3 күн бұрын
Hebu kaisome vizuri hiyo aya, utulize akili na ujue vizuri lugha ya qurani.
@graduationtv3072
@graduationtv3072 3 күн бұрын
@@OmariShuli una chakusema bhana tumesoma mpk wanazuoni wenu wanasema walikaa mezani wakakubaliana kuwa adui wa jibri ni binadamu kutoka Israeli ambao ni wayaudi sasa tangia lini adui wa malaika na Mungu akawa binadamu na siyo shetani?. Au kwasababu shetani alisilimu akawa Muislamu hvyo akageuka kuwa rafiki wa Mungu.
@josephmusagasa
@josephmusagasa 4 күн бұрын
Kwani Quran haiwezi kujitetea hadi mtumie Biblia? Hebu tumieni Quran pekee ijitetee. Naamini haiwezekani. Quran haiwezi kujitetea yenyewe.
@zuberkasim7150
@zuberkasim7150 4 күн бұрын
Uislam hauwezi kubabaishwa na wachungaji wanaopindisha maandiko hawasemi ukweli wala hawajui lolote
@edwardkarithi2347
@edwardkarithi2347 5 күн бұрын
Jameni tuseme ukweli na utuweke huru.Hawa waliilimu sijui mashehe hoja zao dhaifu sana ,finyu sana
@Utulivu444
@Utulivu444 2 күн бұрын
Simulizi na sauti naomba ongeza swali hili mimi kila napo sikiliza midahalo sijawahi kusikia swali hili na linanitatiza 🧭1.Kwann Muhamad ajisemee yeye ni nabii wa mwishoo kuwako...?? Uthibitisho huo tunaupataje kwa kusoma tu kitabu alicho andika yeye..??? BIBLIA Ina Muunganiko wa utabiri na manabii kutoka AGANO LA KALE Mpaka ujio wa YESU..... Swali ni je kwann ujio wa MUHAMAD haujatabiliwa kwenye biblia ikiwa wanaitumia INJILI na ikiwa Quran inakili kuwa injili ilikuwako na inakili habari ya YESU/ISSA
@samxx411
@samxx411 4 күн бұрын
Simulizi akifika kwa mkristo anatetea ukristo akifika kwa muislam anachallenge ok ndio unasoma ila ktk uislamu utasoma sana ila figisu na kona utapata kwa wagala
@cetriclugonyi4452
@cetriclugonyi4452 5 күн бұрын
Je,quran aliyo acha Mohamad je ndo hiyo ya sahii,wapi aya ya kupiga mawe sura iliyo liwa na mbuzi iliongelea nini
@samxx411
@samxx411 4 күн бұрын
Simulizi hayo maswali yake unajibiwa lkn akirudi kwa ndacha atakuja uliza hilohilo
@rejim2231
@rejim2231 5 күн бұрын
Quran ni kitabu kilichoandikwa sio kushushwa baada BIBLIA TAKATIFU. Mtume hakujua kusoma wala kuandika ivyo hakuandika yeye. Alieandika quran alianza kuisoma Biblia yooote, then akachagua ya kusadiki na akachagua ya kuyapinga ili quran ipate njia ya kupita tuiamini. JESUS CHRIST
@MbanoMrage
@MbanoMrage 4 күн бұрын
@@rejim2231 Hata yesu alikua hajui kusoma wala kuandika sio tatizo
@user-mb7on7tu3r
@user-mb7on7tu3r 4 күн бұрын
​@@MbanoMrageusi mlinganishe yesu Na Muhammad nimbalisaaana ,,,,,,,Na hata katika mitume walio tumwa na Mungu Muhammad ayumo, kwasababu hakuna nabii ao mtume waMungu aliye kuja kuipinga biblia na kusema Kama imearibiwa hakuna , yeye tu peke yake katika mitume wote 🤔🤔🤔🤔🤔😱😱😱😱
@joachimluhamo3042
@joachimluhamo3042 4 күн бұрын
Du mwezi ni sayali du waislam elimu ya dini hamna na elimu dunia hamna mmekalia ubishi tu
@mwinzilavincent3774
@mwinzilavincent3774 20 сағат бұрын
HUO UONGO WA MWEZI PIA UKO KWA UISLAM.. HAKUNA MTU HAJAWAI FIKA MWEZINI... THEN UNADANGANYA MWEZI SIO SAYARI..
@Milanova460
@Milanova460 4 күн бұрын
.. Quran haikuteremshwa.....iliandikwa tu na waadhiri...
@chiringakandoro4391
@chiringakandoro4391 5 күн бұрын
KWELI WALIKOPI KUTOKA KWA BIBILIA KABISA
@paulmushi2428
@paulmushi2428 6 күн бұрын
Na Kwa Mujibu Wa Qur'an na Khadith Muhammad siyo mtume wa Mwenyezi Mungu!! Sitaki makasiliko Wala matusi twendeni Kwa hoja
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 5 күн бұрын
Ndugu zetu wakristo msiwe na chuki wala jaziba sikilizeni kwaumakini na kujifunza msijaji kwa ushabiki balisomene naskilezeni mpate elimu na maarifa ili muijue haki nadini yakweli ilimpate kufaulu hapa Duniani na kesho mbele za mungu someni koroan na bibilia kwa umakini sana
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 5 күн бұрын
Sijui uletewe hoja gani ndio uelewe
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 5 күн бұрын
hkn KAFIRI ukiwemo ww ambaye ataweza kui-challenge Quran, kabla hujaigusa Quran, kasome kwnza biblia , 1 WAKORINTHO 15:9, huyo wajina wako Paulo alowaingiza ktk ukafiri na kujiita wakristo, asema hastahiki kuitwa mtume jadili hilo kwnza
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 5 күн бұрын
et wataka hoja kwa elimu gn ulokua nayo ww mwenyew bd ni mjinga soma kwnza uitambue dini y kwel
@paulmushi2428
@paulmushi2428 5 күн бұрын
​@@halidimgonza5945 😅😅 Paulo ni mtume Muhammad hakusimuliwa Khabari zake Qur'an Surat An-Nisaa 4: 164
@GeraldMswazi-bp2kw
@GeraldMswazi-bp2kw 5 күн бұрын
Quran ilicopy Kwa biblia,kwasababu biblia iliandikwa mbele Quran ikafuata.
@kibaikiramadhani1475
@kibaikiramadhani1475 5 күн бұрын
@@GeraldMswazi-bp2kw ww ni zwazwa kabisa qu,ran inaipinga bible sio vitab vingine
@bakarimakomola
@bakarimakomola 5 күн бұрын
Na biblia ilicopi injili, torati, zaburi na mkaongeza maandiko yenu umo ndani
@rejim2231
@rejim2231 5 күн бұрын
WAISLAM BHANA, YESU WANAMPINGA, ILA WANASADIKI MAANDIKO YAKE. YESU WANAMKATAA SIO MWANA WA MUNGU NA SIKU WANAKUAMBIA YESU NI MKRISTO! 😂 😂 Hawajiamini hawajitambui
@SaidIsmail-f1j
@SaidIsmail-f1j 5 күн бұрын
Mashaalla watanzania tukienda moton tutakuwa tumetaka wenyewe mashekhe wetu wanatufunua akili sana
@SukariSukari-sq9tf
@SukariSukari-sq9tf 5 күн бұрын
Ustadh mathayo ni moto wa kuotea mbali wapi muhadhara yeyeote alifanya na makafiri.
@cetriclugonyi4452
@cetriclugonyi4452 5 күн бұрын
Alafu simulizi zamahani hawa waislamu husema bibilia iliharibiwa mara ilichomwa je mbona huinukuu hiyo bibilia kujenga hoja zao
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 5 күн бұрын
Mtume alitabiri nini? Kiama kilishatabiliwa na biblia yeye kachungulia maandiko yaliotangulia then anawalisha matango pori eti katabili
@allychengula3511
@allychengula3511 5 күн бұрын
Wambie mashehe ukwel jaman uislam ulianza miaka 600 AD baada ya kristo
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 5 күн бұрын
Wagalatia 2:7 bali, kinyume cha hayo walipoona ya kuwa nimekabidhiwa lnjili ya wasiotahiriwa, kama vile Petro alivyokabidhiwa ya waliotahiriwa Nawakumbusha tu kuna injili ya magovi pia km una govi basi ijue injili yako ipi
@POVELSPORTS
@POVELSPORTS 16 сағат бұрын
Elimu ndogo Sana
@hamisikeneth2332
@hamisikeneth2332 5 күн бұрын
Wsomome maandiko yote ya musa kwenye qiruan kama ilivyokua kama kwenye bibilia
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 5 күн бұрын
ndacha nimujinga natazidi kuwapiteza wajinga wenzake awatapera ajipatiye pesa kwamaandiko yawongo yakuongeza naviraka 🤔
@josephmusagasa
@josephmusagasa 4 күн бұрын
Mwezi haupo mbinguni
@JohnMarco-f1p
@JohnMarco-f1p 5 күн бұрын
Kama we shehe si muongo kitabu gani kisemacho ellen g write alisikia adhana akiwa mwezin na akasilim huko misiri
@JoviniFaida-uj5qb
@JoviniFaida-uj5qb 4 күн бұрын
sasa mbona injili Na zaburi torati havipatikani kwenye qoroani?
@moshajexplore
@moshajexplore 3 күн бұрын
Kumbe Yesu ndiye alituma Muhammad kisha yesu akawa Allah 😂😂😂
@paulmushi2428
@paulmushi2428 6 күн бұрын
Qur'an haijashushwa Bali iliandikwa na watu na siyo ya Mwenyezi Mungu MUUMBA MBINGU NA ARDHI Waislamu someni historia ya dini yenu
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 5 күн бұрын
Lbd utusomeshe ww,maana tuliposoma ndio tumejua Muhammad S.A.W nimtume
@favoritebrayo
@favoritebrayo 5 күн бұрын
@@ZayyanaBamuni atakuwa mtume wa nani kafiri kama yeye mbakaji
@paulmushi2428
@paulmushi2428 5 күн бұрын
​@@ZayyanaBamuni Qur'an iliyopo ya kitabu Cha karatasi Kwa Mujibu Wa Qur'an haikuandikwa na Muhammad Surat Ankabut 29: 48
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 5 күн бұрын
Wewe unaijuwa dini? Kwanza wewe ni dini gani?
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 5 күн бұрын
@@favoritebrayo mnaleta kejeli i kwa mtume wa mlmungu then mkijibiwa mnasema waislamu wanatukana
@josephmusagasa
@josephmusagasa 4 күн бұрын
Je,kuvuka kwa Wana wa Israel ktk bahari ni utabiri au ni tukio lililotokea? Huo siyo utabiri. Utabiri ni jambo linalokusudiwa kutokea siyo lililiotokea. Nyie vipi? Huo siyo utabiri,au shule ndogo?
@zuberkasim7150
@zuberkasim7150 4 күн бұрын
Nando maana huwezi kusikia mkristo anampa mwanae jina la ismaili kwasababu yachuki 😂
@SebastianKisokola
@SebastianKisokola 4 күн бұрын
Waislam kumbukeni shetani nae ni mwislam mwenzenu kwhy ni ya shetan hiyo na alislimishwa na mtume wenu
@moshajexplore
@moshajexplore 3 күн бұрын
Huyu ni copy ya Mazinge sikiliza anaongea kwa mapua kama yeye
@SebastianKisokola
@SebastianKisokola 4 күн бұрын
Huo uislam umekuja miaka mia sita baada ya ukristo kuwepo inamaana mungu hakuwepo kwa hiyo mungu amekuja na kuruan? Msijipendekeze kwa yesu kwana mnamwita isa hy ni wenu na muhamed na waraabu
@ronaldmatimbo9691
@ronaldmatimbo9691 5 күн бұрын
Kumbe Biblia ni ya kwanza kwa quran? Logically sheikh has said that Christianity is older than Islamic religion 😂😂
@TheAlman
@TheAlman 21 сағат бұрын
So what. Christianity was never religion in first place This kind of argument is for stupid people it's like you say Jesus was fraud because Moses was the first before Jesus 😂😂😂😂😂😂😂😂 Allahu akbar
@edwardkarithi2347
@edwardkarithi2347 5 күн бұрын
Sio hellen g white hajai kuwa muislamu wala hakawai kwenda kwa sayari.helimu ya wapi iii.may be he is talking about Armstrong
@hamisikeneth2332
@hamisikeneth2332 5 күн бұрын
Injili haikushuswa Bali imehubiriwa
@anwarabdallah7095
@anwarabdallah7095 5 күн бұрын
Simulizi wewe Ni mbishi isilimu tu wacha viji swali za kikafiri Allah Akbar
@MWALIMUCHAKATV
@MWALIMUCHAKATV 5 күн бұрын
Huyoo mzee ana nongwa kweli. Kwanza ameanza kuitikia salamu zako kwa kusema WAALEINA SALAAMU. huo ni ufidhuli wa kiwahabbi.
@TheAlman
@TheAlman 20 сағат бұрын
Kosa lipo wapi
@AlhajiAhmadi-nz9ms
@AlhajiAhmadi-nz9ms 5 күн бұрын
Toa no simuliz
@paulmushi2428
@paulmushi2428 5 күн бұрын
Acha porojo Qur'an iliandikwa na Zayd Ibn Thabit mwaka 632BK kwa amri ya Omar na Ab bakri
@RashMash-l1b
@RashMash-l1b 5 күн бұрын
wewe unaye sema kur,ani xi kitabu cha allah wewe unasema ni cha nani!? acha mambo yasio eleweka ,uisilamu ni kitabu cha allah bila shaka wala ubishi,ispokuwa wakristo only ndio watapiga hilo,kur,ani amesema kur,ani yeye ndie aneiteremsha na yeye ndio atakaye ihifdhi,ndio mana hawawezi kuibadilisha viumbe kwambinu zao zote wanazo fanya,wakijaribu mbinu zinagundulika swadaka llahul adhwiim.
@chrispinkagaruki4170
@chrispinkagaruki4170 5 күн бұрын
Hiyo haya ya 2:97,98 umezibananga kukimbia hoja. Haya hizoo ziko wazi kabisa kwamba hizo haya ziliteremshwa na adui wa Jibril na Mwenyezi Mungu, na malaika zake, na mitume wake. Na qur'ani inasema mkishindwa kuelewa vizuri uliza watu wa kitabu kilichotangulia. Sasa soma hizo haya za qur'an harafu uulize katika Matayo 13:24-39.
@Milanova460
@Milanova460 4 күн бұрын
Ukiskiliza muizilamu unaskia kisunzi....ahahah
@AlhajiAhmadi-nz9ms
@AlhajiAhmadi-nz9ms 5 күн бұрын
Ndio maana inamakosa mengi sasa
@muliamadi859
@muliamadi859 5 күн бұрын
Wachristo mtaishia ku bweka tuu,mashoga nyie
@stephanojoseph4357
@stephanojoseph4357 4 күн бұрын
Quran wamecopy maneno ya kwenye biblia
@JohnKirema-fc6sn
@JohnKirema-fc6sn 5 күн бұрын
Wewe tafuta mwalim ndacha akufunze plz
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 5 күн бұрын
Ndacha hajuwi kitu
@TheAlman
@TheAlman 20 сағат бұрын
Atufundishe kuwa makondoo😂😂😂😂😂😂😂
@user-mb7on7tu3r
@user-mb7on7tu3r 4 күн бұрын
😂😂😂😂 niajaaaaabuu ya uyu shehe, anasema manabii wote walikuwa na Roho mtakatifu hata na Yesu alikuwa naroho, muhulize Sasa Muhammad alikuwa na Roho mtakatifu 0?¿????🤪🤪🤪🤪🤪
@SirikwaMollel-y3k
@SirikwaMollel-y3k 5 күн бұрын
Kwanini mohamand aliofia ili ni mtume wa mungu asijue inachoendelea mbele
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 5 күн бұрын
kwani kila mtume anajua kitakachotokea mbele??? wakristo sijui kawaroga nani
@SirikwaMollel-y3k
@SirikwaMollel-y3k 5 күн бұрын
@@salimchimwaga8384WWE toka uko Maan uko kwnye Giza okoka ufuate yesu akufikishe kwa Mungu maan ako hai Mohamed analindwa mifupa ya kule maca akigoja haukumiwe Na yesu
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 5 күн бұрын
Kwani ni nisiri apana sio siri qurani siii kitabu cha mungu foolstop
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 5 күн бұрын
Bibilia si kitabu cha mungu period
@ZukhelRwegoshora
@ZukhelRwegoshora 5 күн бұрын
We unausibitisho gan kuwa biblia ndo kitab Cha mungu
@martinmkoba361
@martinmkoba361 5 күн бұрын
Quran hiyohiyo ndio ilosema Issa alizaliwa nakuongea siku hiyohiyo😂😂😂
@favoritebrayo
@favoritebrayo 5 күн бұрын
waislam mnapotea bure
@paulmushi2428
@paulmushi2428 5 күн бұрын
Muhammad hakujua kusoma wala kuandika!! Wapi aya ndani Qur'an inayoonyesha Muhammad aliagiza Qur'an ya kitabu Cha karatasi kama mnayosoma iandikwe?
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 5 күн бұрын
Ndugu zetu wakristo msiwe na chuki kikibwa ni kujifunza ukiona haki basi ifuate wala usisikileza na kujaji kwa hasira au ushabiki maana ushabiki hautakisaidia Chocho kumbuka nikwaajili ya manufaa yako hapa Dunia nakesho mbele ya muumba wako nautakua manuufa kwako milele na milele usilisahau Hilo ukapoteza mdawako hapa Duniani soma vizuri koroan na bibilia vizuri usifuatetu unacho hubiliwa bali tumia vizuri akilazo maana ndio kitukikubwa mungu amekupa itumie vizuri iliupate kufaulu na kumjua muumba wako iliusijeukajuta siku ya kiama
@paulmushi2428
@paulmushi2428 6 күн бұрын
Sasa hapo unazungumzia Qur'an ipi naya nani? Ya Ab bakri? Au ya Uthuman? au ya wahay wa Muhamad isiyokuwa ya kitabu Cha karatasi?
@hemedbamja3197
@hemedbamja3197 6 күн бұрын
Unaropoka ukiwa wapi; toa Quran ya uthman ina sura ngapi,juzuu ngapi; na ya abubakar inazo ngapi?usiropoke ropoke tu.Quran siyo biblia ambapo iliyopo kanisa moja si iliyopo kanisa lingine
@paulmushi2428
@paulmushi2428 6 күн бұрын
​@@hemedbamja3197 sawa nasubiri comments za watu kama wewe ili ni wape Darsa Kwa pamoja!!
@paulmushi2428
@paulmushi2428 5 күн бұрын
​@@hemedbamja3197 karibuni hapa niwape Darsa! Iko wapi ya Qur'an ya Muhammad Ile ya wahay isiyo ya kitabu Cha karatasi, Iko wapi Qur'an ya ya Ab bakri iliyochomwa moto na Uthuman swahaba nakharifa wa pili wa Muhamad? Iko wapi Qur'an ya Uthuman? Iko wapi Qur'an ya Hafsa? Je ni hiyo mnayoisoma?
@hemedbamja3197
@hemedbamja3197 5 күн бұрын
@@paulmushi2428 : nilijua labda utakuja na empirical evidence kwa kutupatia rejea kumbe umekuja na ngano!hoja huambatana na ushahidi:mfano biblia ya KJV,au implimato ;hivyo mtu unakwenda direct kuzitizama.
@aliroro9344
@aliroro9344 5 күн бұрын
😂😂😂..Unaoogea Sanaa ata sjui kipi ujuacho hao unao wataja wawajua 😂 wewe
@josephshume7619
@josephshume7619 5 күн бұрын
Wewe hauna elimu ata ya quaran😂
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 5 күн бұрын
Wewe hata kuandika kiswahili vizuri hujuwi
@gibsonmomanyi2692
@gibsonmomanyi2692 5 күн бұрын
Kama ni walimu wa kweli basi wafanye mdhahalo na ndacha tubaini ukweli
@TheAlman
@TheAlman 20 сағат бұрын
Skia ndugu yangu tatizo sio mdaharo ipo zahiri kabisa kwamba ndacha anakata maandiko Ili kutengeneza uongo Ukiisoma nusu mstari huwezi kuelewa maana ya andiko husika❤
@GODFREYSABAYO-yz4qx
@GODFREYSABAYO-yz4qx 5 күн бұрын
Acha kujificha kwenye bibilia muhamadi alimpinga yesu simwana wamungu Sasa anakuwaje yesu amtabili
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 5 күн бұрын
Yesu si mwana wa mungu
@opujejoshmahjoshmah1432
@opujejoshmahjoshmah1432 6 күн бұрын
Huyu Sheikh mathayo atafuta tu mAARUFU MIKIKI TU AMEJAA TU MANENO ILA HANA NENO
@paulmushi2428
@paulmushi2428 5 күн бұрын
😂😂 huyo ni mpiga ngonjera porojo hamna kitu hapo
@AlhajiAhmadi-nz9ms
@AlhajiAhmadi-nz9ms 5 күн бұрын
Wewe unajua nini
@AlhajiAhmadi-nz9ms
@AlhajiAhmadi-nz9ms 5 күн бұрын
Wewe ndio hujui kitu
@paulmushi2428
@paulmushi2428 5 күн бұрын
​@@AlhajiAhmadi-nz9ms Najua Biblia, Qur'an, Khadith Niulize Niulize Swali ndiyo utajua sijui au najua
@AlhajiAhmadi-nz9ms
@AlhajiAhmadi-nz9ms 5 күн бұрын
@@paulmushi2428 wap bible ipi unaijua ok swali Yesu anasema yeye ndie njia na kweli na uzima mtu haji kwa baba Ila kwa njia ya Mimi .swali ili Yesu awe njia wapi andiko Yesu anabatiza ili tumfuate nasi tubatize
@favoritebrayo
@favoritebrayo 5 күн бұрын
mmbakaji mohammed hawezi kuwa mtume wa MUNGU huyo ni mtume wa uongo
@IMRANITV1
@IMRANITV1 5 күн бұрын
Mungu akulaani wallahi
@anwarabdallah7095
@anwarabdallah7095 5 күн бұрын
Mbakaji Ni wewe utafedheka siku ya Kiama InshaAllah Ameen
@favoritebrayo
@favoritebrayo 5 күн бұрын
@@anwarabdallah7095 nifadhaike kwani naabudu shetani kama nyinyi
@favoritebrayo
@favoritebrayo 5 күн бұрын
@@IMRANITV1 anilaani kwani unafikiri yeye ni baba yako
@badirunuhu8363
@badirunuhu8363 5 күн бұрын
Mashaallh
@stephanojoseph4357
@stephanojoseph4357 4 күн бұрын
Kwann anaulzwa swali kwenye quran ajitetee na biblia asiyoiamini?
@badirunuhu8363
@badirunuhu8363 5 күн бұрын
Mashaallh
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 50 МЛН
MSABATO ALIYE SILIMU AWASHAURI WAKRSTO WASILIMU UISLAMU NDIO NJIA PEKE
22:43
Koech Abubakar Daawah Kenya
Рет қаралды 2,6 М.
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 50 МЛН