Raddi kwa Swaleh Al-ahdaly_dhidi ya madai yake "Madhehebu yote yapo ktk upotevu ulio wazi...!!

  Рет қаралды 4,528

SHAFII BASALIM AL-SALIMY

SHAFII BASALIM AL-SALIMY

Күн бұрын

Пікірлер: 76
@Albanabdullah1232
@Albanabdullah1232 Жыл бұрын
Nilikuwa nakuona unataka taqwa ila sasa najua kuwa wataka umaarufu
@MachinjaShabani-c2f
@MachinjaShabani-c2f 10 ай бұрын
Acha fikra zisizo ongozwa na elimu. Pinga kielimu
@abdallasalim4104
@abdallasalim4104 10 ай бұрын
Ustadh shafi endelea kuwaelimisha waislamu mpaka waelewe ukweli uloficha kwa mda mrefu ..Allah atakuhigadhi na kukulinfa InshaAllah kwake yeye pekee ndio matarajio ..na hii itakuwa hoja siku ya qiyamah kwamba palitokea msomi wa kuwafunguwa ummah wa kiislamu macho na kuwaondolea upofu ulificha kwa mda mrefu sana
@muhibbualii4580
@muhibbualii4580 Жыл бұрын
Masha Allah Sheikh shafii mimi nakukubali upo vizuri.
@Yayouselim
@Yayouselim Жыл бұрын
Upo sahihi sana Sheikh Shafii ulamaai wengi hawakuwa Ahlu Sunnah
@سليمه-ح2ن
@سليمه-ح2ن Жыл бұрын
بارك الله فيك يا شيخ
@SHEIKHSHAFIIBASALIM
@SHEIKHSHAFIIBASALIM Жыл бұрын
شكرا أختي الفاضلة بارك الله فيك وسدد خطاك
@سليمه-ح2ن
@سليمه-ح2ن Жыл бұрын
@@SHEIKHSHAFIIBASALIM اللهم آمين يارب العالمين
@misbahukhalifa3216
@misbahukhalifa3216 10 ай бұрын
Mungu atuhifadhi na atuongoze inshaAllah Aamiin yasikitisha 😢 hii fitna mbaya
@salmaanfaqiih
@salmaanfaqiih 4 ай бұрын
Basalome ziangalie na coment zangu uzijibu na ulinganishe
@salmaanfaqiih
@salmaanfaqiih 8 ай бұрын
Pia kwa upande mwengine ili kuthibitisha pia kwamba sio kila anaeitwa Mpotevu ni kafiri ni kuwa Mwenye enzi mungu amejaalia katika raddi yako hii hii seuzi nyengine (katika mwanzo wa dakika ya sita) umesema kwa هذا عين الضلال huu ni upotevu mkubwa : na tunadhania kwamba wewe hujamkafirisha Sheikh, maana yake: na wewe umelitumia neno Upotevu kwa maana ya uovu na sio ukafiri, kwahiyo tunarudia pale pale: Umefahamu sivyo maneno ya Sheikh na umeyatafsiri kwa mujibu unavyotaka wewe na sio kwa alivyokusudia. Na ikiwa neno *Upotevu* maana yake ni ukafiri tu: basi na wewe umemkafirisha Sheikh, na ikiwa ni hivyo: basi hii raddi unayomrudi yeye ni raddi juu yako wewe mwenyeo pia, yaani kila neno baya linarudi kwako wewe pia.
@abdallasalim4104
@abdallasalim4104 10 ай бұрын
Wakti huu tulonao kwa sasa unafiq na wanaoutumika unafiq umejitokea wazi kabisa kwa udhalimu wanafanyiwa ndugu zetu wafalastin na InshaAllah Allah azikifadhehesha
@sulaimanalamri9261
@sulaimanalamri9261 4 ай бұрын
Salam/kum Shekhe shafi mimi nakufuatilia vizuri mashaa Allah uko na ufafanuzi mziri ila mimi nako na shaka katika ile Hadith alioipokea Abuhuraira inayou tubainisha masiku na viumbwa tukasema ufafanuzi wa hadith viumba ni saba inaonesha vitu ni saba kwa siku saba lakini Quran ni siku 6 Mimi utatawangu uko hapa jee Nabii Adam alikuwa katika mpango ulio umbwa dunia kabla yake walikuwa Majini mbona hakutajwa katika hio hisabu wakati viumbe wote wametajwa mimi nahisi ule ufafanuzi ulikuwa ni utukufu wa siku tu
@salmaanfaqiih
@salmaanfaqiih 8 ай бұрын
Mwanzo wa kukosea ni pale ulipolichukuwa neno lake *ambao sio Ashaa'irah na MaaturiidiyyaMaaturiidiyyah wapo katika upotevu* na ukatafsiri kwa kusema kwa tunavyofahamu sisi: wapotevu ni Makafiri, Sheikh hajakusudia unavyofahamu yeye bali anavyofahamu yeye, Sio ili Mtu aitwe Mpotevu lazima awe kafiri, bali kuna upotevu katika Tawheed na kwengine ambae sio Ahlissunnah waljamaa'ah ni mpotevu katika Tawheed, na ama upotevu wake utamfikisha kwenye kufru au hautomfikisha kwenye kufru.
@salmaanfaqiih
@salmaanfaqiih 8 ай бұрын
Then Shaafi'iy miongoni mwa ambayo yanathibitisha kwamba tatizo lako nikuyatafsiri sivyo maneno ya Sheikh ni kuwa yeye amesema *Jumhuuri ya Waislamu* (Yaani kundi kubwa la Waislamu) *ni Ashaa'irah na Maaturiidiyyah* maana yake wapo Waislamu ambao sio Ashaa'irah na Maaturiidiyyah, japo kuwa watakuwa wameenda kinyume na Ahlussunnah waljamaa'ah wasiowafuata hao basi bado baadhi watakuwa wapo kwenye Uislamu na wengine ikiwa uzushi wao umevuka mipaka ndio watakuwa wametoka kwenye Uislamu. Na haya mambo nashangaa kuwa unayakosea wewe ilhali tulikupa sura ya ukubwa
@barkebahesmy1257
@barkebahesmy1257 Ай бұрын
Ukiona mtu akiongeya akaza menu hua ana machungu tabasammm😅
@uweysnoorsaid1419
@uweysnoorsaid1419 Жыл бұрын
Waaleikum slamma
@muhammadmochenje1409
@muhammadmochenje1409 Ай бұрын
Huyu anatufa Kiki anajiona ako na ilimu zaidi ataka kuzungumza kila anachokiona katika kitabu na kumkosowa kila anamtaka
@Princesadifaa
@Princesadifaa Ай бұрын
Una elimu gani ya kushindana na sayyid swaleh al ahdaly
@Princesadifaa
@Princesadifaa Ай бұрын
Wewe unataka umaarufu sheikh wangu tulia roho yako sasa unataka kushindana mpaka na masharifu maulamaa
@barkebahesmy1257
@barkebahesmy1257 Ай бұрын
Hata hueleweki punguza jazba😂
@abdallasalim4104
@abdallasalim4104 10 ай бұрын
Ustadh shafi ni msomi mtafiti na aliye huru..hivi ndio kila muislamu atakiwa awe hivi uwe mtafiti na uhuru ktk kujifunza Dini yako sio kufuwata kitongotongo ..hii ndio shida kubwa sana ya waislamu wengi sana wanafuwata Dini kitongotongo..iendapo akatokeya msomi wa aina hii inawashangaza watu wengi sana kwa sababu hajawahipo kisikia ukweli km huo ...kwa makusudi kuficha hayaambo watu waendele kufuwata dini kitongotongo
@abdallasalim4104
@abdallasalim4104 10 ай бұрын
Lau inhekuwa Dini ni kiridhisha watu basi hakuna atakaeingia peponi . Huyu ametowa hoja za kielimu na ajibiwe kielimu tu .sio kukashifiwa akisha kila mmoja ataamuwa mwenyewe kwa ufahamu wake ..haina haja ya kukashifiana na kuhikumiana
@AbuubakarBakar-w3g
@AbuubakarBakar-w3g Жыл бұрын
Wewe kijuhayl nenda ukasome tena hizo ibara zisikusokote السطور ميتة لا تتكلم إلا بأستاذ
@abdulazizkassim775
@abdulazizkassim775 10 ай бұрын
Tangu alipo radi sheikh Abdulqadir Alahdal ,nilijuwa kama hana msimamo wama salafi kabissa , huyo kachanganyikiwa na kusoma sanaa. Elimu kubwa inaharibu
@mudu_shine7554
@mudu_shine7554 9 ай бұрын
Yaani kelele hizo zote kumbe unataka tu kuwatetea Mashia… Eti walikuwa ni madhehebu ya Imamia.. Hata ukificha tunajua Imamia inamaanisha Mashia..
@sleemhamoud4394
@sleemhamoud4394 Ай бұрын
Kwani mtume alisema tuwe Ashaira 😂
@mudu_shine7554
@mudu_shine7554 Ай бұрын
@@sleemhamoud4394 mtume alisema tufuate yale tuliyoamrishwa tuachane na yale tuliyokatazwa!
@hajimakame7211
@hajimakame7211 Жыл бұрын
Shekh nilikuona wa maana lakini HUNA mpango wowote ni sawa na Bachu tu , mmekosa adabu za elimu
@MohammedOmar-wt3vg
@MohammedOmar-wt3vg Жыл бұрын
Kimewaramba wenyewe
@mohagurey2214
@mohagurey2214 9 ай бұрын
Ansema jamaa wetu kumb masufi na mashia ni moja tu
@Yayouselim
@Yayouselim Жыл бұрын
Ni kweli Madh Hab ya ashaairah ina kauli nyingi
@abdulhalim5950
@abdulhalim5950 10 ай бұрын
Shia muovu ww
@salmaanfaqiih
@salmaanfaqiih 8 ай бұрын
Shaafi'iy inastahiki utoe clip ya kukiri kukosea wewe kwenye hili unaloongea, Sheikh hajasema kila siefuata Ahlissunnah waljamaa'ah ni Kafiri bali amesema ni Mpotevu, na upotevu unaweza kuwa katika matendo au itikadi, na ikiwa katika itikadi inaweza kuwa ni kiasi cha kukufuru au ni upotevu wa kuingia kwenye madhambi makubwa na sio kufru kama vile waliopinga kuonekanwa Allaah Peponi bila ya kusifika kwa sifa za Viumbe na wakapinga kwamba ataonekana Allaah na hatofanana na uonekaji wa kitu chochote, kwani walioponga hili Wanazuoni wa Ahlussunnah waljamaa'ah wamesema ni Wapotevu lakini hawajawakafirisha, yaani wamesema kwamba kupinga hili ni katika madhambi makubwa. Shaafi'iy umekosea wewe hapa, pia jitahidi: ikiwa maneno ya Mtu yana maana mbili basi chukuwa maana nzuri uache maana mbaya ili uingie katika wenye dhana nzuri kwa Waislamu.
@banihashim5347
@banihashim5347 10 ай бұрын
WEWE HIVI SHAREF SWALEH NI MWENZAKO? MBONA UNAONESHA WAZI KUWA WEWE NI SHIAAAAAA
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 10 ай бұрын
Wewe si msufi kijana kwanza una paparuka sana kkk
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm 11 ай бұрын
Sheikh fanya radd kwa Masalafi na wao wanasema Waislamu wote ni watu wa motoni isipokuwa Masalafi. Pia wao hujiita "Firqatu Nnajiah" yaani kundi lililookoka.
@Albanabdullah1232
@Albanabdullah1232 Жыл бұрын
Duh kuweni wachamungu,makelele yamitandaoni yasikushuulishe
@maamunhassan7951
@maamunhassan7951 Жыл бұрын
Hawa jamaa yaonesha wamerushana pesa 😂😂😂😂😂
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Jibu hoja za sheikh shafii kama unaweza siyo kuleta propaganda za hovyo
@burujfoundation
@burujfoundation Жыл бұрын
Ww huna ujualo Swaleh Ahdal ako sawa sawa mia fil mia labda ww ni swakka huna ujualo nenda ukasome ilmu vzr na shekhe lako anaitwa nani
@faizbash8664
@faizbash8664 Жыл бұрын
Sayyid Swaleh Al Ahdaly ako sawa; ASHA3IRAH NA MATURIDY ndio aqeeda sahihi peke yake
@faizbash8664
@faizbash8664 Жыл бұрын
the closest ni madh-had ya ATHAR ALMUFAWIDH Ya Imam Ahmad Bin Hambal (mawahabi wanaichafua aqeeda yake)
@faizbash8664
@faizbash8664 Жыл бұрын
ambao hawajambo katika Tashayyu3 ni Zeydiyahh, ALLAH AWAONGOZE NA ATUONGOZE NA SISIS KWA JUMLA
@mwambashiiddi9295
@mwambashiiddi9295 Жыл бұрын
Abulhasan ashi arii Ni ahlusunnaa waljamaa Na sio suufii
@habibumuhammad730
@habibumuhammad730 Жыл бұрын
Kusoma irabu yenyewe huzipati kisha watoa watu makosa mzuka mmoja ww juwa Kusoma irabu kwanza kisha ndio uinuke kutoa makosa
@Sharifuhabiby
@Sharifuhabiby 10 ай бұрын
Jama na mukubali sana brooo nikiboko ya masheikh wanaojipenda ... Huyu hakuna mwanazuoni tz kumushinda
@habibumuhammad730
@habibumuhammad730 Жыл бұрын
Kisha mbona wamjibu ww na umeambiwa usipoteze mda wakujibu mzuka ww shafiii huna shekhe ww katafute shekhe wako kwanza huna asili ya ilimu ww mzuka
@hajimakame7211
@hajimakame7211 Жыл бұрын
Shekh kwa Nini kubwa , unapayuka utadhani wee hukosri wakati wewye hapo ibara tu unazisoma ovyo makosa ya kinahaui tu . HUNA hata hekma na uslubu wako mbaya sana
@muhibbualii4580
@muhibbualii4580 Жыл бұрын
Kosoa kiarabu chake tukuone
@USTAZZAGHAWIYUSTAZZAGHAWIY
@USTAZZAGHAWIYUSTAZZAGHAWIY Жыл бұрын
KWANI WEYE AQIDA YAKO NI IPI?! KAMA NI ASHAA’IRA AU MAATURIIDIYYAT BASI KUNA HAJA GANI KUTUMIA MANENO MAKALI KWA SHEIKH USIWAACHE WALIO KINYUME WAJIBU?!
@faizbash8664
@faizbash8664 Жыл бұрын
huyu atakuwa ni shia anajificha nyuma ya pazia ya ashaira na tasawwuf...ametoka povu sana aisee.. kila dalili ya maneno yake yanaelekea kwa imamah shia..
@USTAZZAGHAWIYUSTAZZAGHAWIY
@USTAZZAGHAWIYUSTAZZAGHAWIY Жыл бұрын
@@faizbash8664 NI KWELI ANATUTIA SHAKA
@hajimakame7211
@hajimakame7211 Жыл бұрын
Unatoka mapovu kwa kipi kwani
@mkubwamasoud2776
@mkubwamasoud2776 Жыл бұрын
Wanapingana wenyewe wenyewe wanachuoni wa Ahlul sunna Wala jamaa Washasema kuhusu makundi hayo
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Mawahabi ndiyo ahlul sunna waljamaa? Unachekesha sana
@abuujibriltv5233
@abuujibriltv5233 Жыл бұрын
Mimi nina shangaa kunawatu wanasema huyu mtoto ni sunniy na wakati aqida yake iko wazi kabisa kwamba ni shia. Au kwakuwa mnaona hajavaa joho jeusi?
@bagalucha
@bagalucha Жыл бұрын
Huyu ni Shia,aliyejichanganya na masufi/maghurafi,kama mnavyojua hawa kawaida yao wandugu,wa wakuungana mkono,na huu ndio msiba tuliokuwa nao, tuwaombee Allah awahidi
@abdulhalim5950
@abdulhalim5950 10 ай бұрын
Ni shia huyu sana tena ukifatilia masheikh wa kisalafy bas utajua ni shia huyu
@abdallasalim4104
@abdallasalim4104 10 ай бұрын
Huyu sheikh sio mshia ni msuni na wapo masuni wenye fikra km hizi lkn sisi kwa ukosefu wa kutojuwa mambo na uvivu wa kutofanya utafiti ndio tunaongea ujinga km huu
@faizbash8664
@faizbash8664 Жыл бұрын
Sheikh, wewe aqeeda yako ni gani?
@abdulhafidhtalib2226
@abdulhafidhtalib2226 Жыл бұрын
MASUFI NA MASHIA MAMA MMOJA
@abdulhafidhtalib2226
@abdulhafidhtalib2226 Жыл бұрын
MASUFI KWA MASUFI UNANYUKANA ALLLAH AWAONGOZE WOTE WAMEKOSEA MZUNGUMZAJI NA ALIOKOSELEWA WOTE WAMEKOSEA
@farijalakhalid5558
@farijalakhalid5558 10 ай бұрын
Huyu ni shia
@swalehabdulrahman4118
@swalehabdulrahman4118 Жыл бұрын
Shekh Swaleh ameteleza ,ubinadam umempitia
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Hapana si ishu ya ubinadamu.sheikh swaleh anaonekana ni mtu mwenye taasubi na kibri. Alikuwa akisema kwa kujiamini kumbe naye hana ajualo
@Alkheir
@Alkheir Жыл бұрын
Wapendwa wasikilizaji wamesikiza uzuka wako , au ulikuwa wataka ujulikane na channel yako .😂 Zuka hili .
@habibumuhammad730
@habibumuhammad730 Жыл бұрын
Ww watoa watu makosa umesoma wapi kwanza shekhe lako ni nani hujulikani kamwe kwanza mlemba mkubwa 2 huna lolote lile njoo usomeshwe ujue ilimu ni nn
@Zahra_Media255
@Zahra_Media255 Жыл бұрын
Ahsante shkh maneno mazuri jazaaka llah khayra
@habibumuhammad730
@habibumuhammad730 Жыл бұрын
@@Zahra_Media255 amiiiiin yarabbi inshaallah sote kwa pamoja hajulikani kamwe katika ilimu wala kitu kingine chochote kile lemba mwanzo wa barabara mpaka mwisho wa barabara kumbe debe tupu kusoma kwenyewe yuwasoma makosa kisha yy yuwainukaje kutoa watu makosa 2 bila ya mpangilio wowote ule
@shilingi-Ahmadi
@shilingi-Ahmadi Жыл бұрын
Hapo umegonga sipo wewe hufiki hata wakia ya elimu ya swaaleh al ahdaly kabisa katafute kiki kwengine
@habibumuhammad730
@habibumuhammad730 Жыл бұрын
Ahsanta sana ndugu yangu wacha kumuingia swaleh ahdaly mm mwana funzi wa ustadh said haniingii kabisa
@khidmatulquran
@khidmatulquran 10 ай бұрын
​@@habibumuhammad730 wewe unayako binafsi hasira zako unazimalizia kwenye comment
@abdallasalim4104
@abdallasalim4104 10 ай бұрын
Lau inhekuwa Dini ni kiridhisha watu basi hakuna atakaeingia peponi . Huyu ametowa hoja za kielimu na ajibiwe kielimu tu .sio kukashifiwa akisha kila mmoja ataamuwa mwenyewe kwa ufahamu wake ..haina haja ya kukashifiana na kuhikumiana
Majibu ya clip ya Shareef Mwenye Baba_Dua yajibiwa makaburini!!??
16:46
SHAFII BASALIM AL-SALIMY
Рет қаралды 5 М.
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
hukmu ya  laulaka kweny kitabu cha wasilatu shafii
9:35
Abdalhamidramadhani
Рет қаралды 4,7 М.
MAJIBU KWA YUSSUF DIWANI || SEHEMU YA KWANZA || Muhammad Bachu || 2023.
44:58
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 27 М.
MTOTO WA BACHU APIGWA NA KITU KIZITO UTOSINI INATISHA  NI KHATARI
13:32
Sheikh Yusuf Diwan
Рет қаралды 10 М.
MAJIBU KWA SHAFII BASALIM JE KWELI MASWAHABA WALIRITADI ? |
24:51
abuu all maan lushoto mlalo
Рет қаралды 4,3 М.
Radd Kwa Izuddiyn - Mufti Wa Mwembe Tayari Hizi Dalili Huzioni⁉️
15:03
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН